UJENZI wa CHUO wa BILIONI 1.4 WAKWAMA - DC MAGOTI AFOKA AKIFANYA UKAGUZI KISARAWE...

  Рет қаралды 33,756

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@safnosmosha
@safnosmosha 3 ай бұрын
Wakati mwingine kumbe wakandarasi hawana shida
@salumally663
@salumally663 3 ай бұрын
Wajanjaa wanazizungushaa pesaa za watu...Wanamsumbua sana mama yetu....pesa awape mpaka kifuatilia aanze kupiga kelele...!
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 2 ай бұрын
Hiyo wilaya Mbunge ndie sababu ana raho.mbaya sana. Husikii hata siku 1 akiitetea wikaya yake
@emmanuelhayghaimo3969
@emmanuelhayghaimo3969 3 ай бұрын
Side mnyamwez hongera sana engineer kwa kaz nzuri. Dit civil o.d10moja hiyo
@celestinermantenga2463
@celestinermantenga2463 3 ай бұрын
Huyu jamaa ana kiwango cha kuongoza mkoa aisee!
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 3 ай бұрын
Safi Mh.DC. Magoti, hakuna kubembelezana Mura kazi iendelee😂
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 2 ай бұрын
Hayo ndio Majidudu yanayoitafuna hii Nchi. Kama ipo sehemu imepelekwa fedha na hamna mfuatiliaji ahaa ndipo wapigaji wanapataka hapo kusomeshea Watoto wao Ulaya. Mungu anawalipa Mitoto yenyewe ina kuwa Mishoga ikirudi huko Shule... Billal Shenzii.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 3 ай бұрын
We want deeds not words.
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 3 ай бұрын
Hiyo ndio shida ya watendaji wetu Ni Kwa nini hawafungwi wakichelewesha muradi kama huu.
@tediusmakwara3931
@tediusmakwara3931 3 ай бұрын
Ongera mkuu wilaya
@DudddyWhyCant
@DudddyWhyCant 3 ай бұрын
Ongera ni jina la mtu? Au una maana hongera ( yaani pongezi )
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 3 ай бұрын
Huyo jamaa anayejibu maswali ya DC ana akili sana
@jumashedafa
@jumashedafa 3 ай бұрын
Fanyen muende kwa DC magoti akawape historia yake ya elimu mpk kufikia hapa alipo tunahitaj
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
Mkuu wa wilaya Safi sio chawa
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 ай бұрын
Yan watendaji wengi wa kitanzania wanatia hasira san kuna vyuo vingi havijengwi kwa kua wana hongwa na vyuo binafsi wasiharakishe
@MathewAlphonce
@MathewAlphonce 3 ай бұрын
Magufuli 2takukumbka
@damianokwaangw4402
@damianokwaangw4402 3 ай бұрын
Hivi kweli kodi ya watanzania inachezewa hivi duh kwakweli hali siyo
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 3 ай бұрын
Wapigie Simu Moja kwa moja
@fundimtz8111
@fundimtz8111 3 ай бұрын
Nondo zipo nje ya zege la jamvi
@AliVuai-cv8xv
@AliVuai-cv8xv 3 ай бұрын
CCM inaoka vijana
@byabatokaroma2522
@byabatokaroma2522 3 ай бұрын
Safi mkuu Serikali inahitaji watendaji makini wenye ubunifu wa kazi kama nyie
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
boss mtoto
@MenelusCzar
@MenelusCzar 2 ай бұрын
😅
@MatokeoKasindi
@MatokeoKasindi 3 ай бұрын
Watanzani wamezoea kujaribu uskubari kujaribiwa mama amekuweka hapo kwaimani kubwa
@ramadhaniraphael6955
@ramadhaniraphael6955 3 ай бұрын
Haha kajamaa kajeuri sana
@youthmediatv1
@youthmediatv1 3 ай бұрын
Wapike mpaka waungue
@Allen-u4s
@Allen-u4s Ай бұрын
Pengo la magufuli halitafutika
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz 3 ай бұрын
Mheshimiwa wiraya yetu ipo nyuma kiuchumi hakuna kitagauchumi vijijini wengine tumeacha nchi yetu kwa ajiri hakuna ajira
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 2 ай бұрын
Kuna ardhi kubwa ni utajii mkubwa
@hamzasaidi7697
@hamzasaidi7697 3 ай бұрын
Mkuunauriyamabasinikubwakutokakigogompakamsanga sh 6000 ukishukapopotebeindiyoiyoiyo fuatiliailo
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 3 ай бұрын
Ata we menyewe una weza kusoma daah
@zakayomgaya2758
@zakayomgaya2758 3 ай бұрын
​@@salimalaquimane3077😂😂😂😂😂😂
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 3 ай бұрын
Balaaaaa!!
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 3 ай бұрын
Shule za sekondar zijengwe kwenye vijiji ili kila myazania asome maana shule za kata zipo mbali Sana na jamiii hivyo husababisha utoro na ukosefu wa elimu kwa uma wa WaTanzania!!!!
@husseinmramba
@husseinmramba 3 ай бұрын
@@salimalaquimane3077yani watu wengine mpk unawaz hvi vichwa vyao vinakua na nn yani, dhahir waonyesha ndio ameanza kushika simu na akili zao ni mbili😅🤦🏿‍♂️
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН