Mansha Allah Mungu amlipe Kheir zaidi watanzania mzidi kua kitu moja msikubari mtu yeyote kuwaharibia Amani na umoja wenu
@neemakaluwa18414 жыл бұрын
Amiin
@stanleychisaluni15034 жыл бұрын
Hongera jeshi,,fasta no kuremba,,,,,hapa kazi tu
@bakarimpame38244 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@hakikahoman6154 жыл бұрын
ila kumbuka ajaojenga yy
@munasaidi6144 жыл бұрын
Katika maraisi wote duniani magufuli afaa hongera namkubali
@alibell52464 жыл бұрын
Mashaallah
@fatumahassan82124 жыл бұрын
Allihamndullah, khakika hii neema kubwa ni history kubwa kwa watanzania allah awajaaliye yenye kheri duniya na akhery yaarab,.awape khatma njema... zawadi pekee ya watanzania mungu akuongoze kwa kila hatuwa akulinde daima. Mheshimiwa rais......🤲🤲🤲🤲🤲
@erickchitumbi13084 жыл бұрын
Safi JPM kwa kazi nzuri.
@yasinjuma14454 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kutujaalia waTanzania tuishi kwa amani na upendo kila m'moja wetu afuate dini anayoona inamfaa.
@mamachris68114 жыл бұрын
Napenda sana watu wanaojitambua kama Wewe
@neemakaluwa18414 жыл бұрын
Amiin
@hajjikasujja824 жыл бұрын
Ahh bwana mchapa kazi 🤔🤔🤔🤔 Huyu sasa ndio gaddafi wa pili sasa ✊✊✊
@FredsonIvan4 күн бұрын
Pumzika kwa Amani dady
@ibel4lf4 жыл бұрын
Mimi ni wa dini tofauti kudos to JPM no man is perfect but at least give a credit to a man who is making an effort to be one.
@khadijaomari93444 жыл бұрын
mashallah mashallah
@xerxespersian13844 жыл бұрын
Maandiko hayadanganyi "Mkishindwa kuulinda na kuufanya uislam kwenda mbele basi watakuja hata wasio waislam na watauendeleza tuu" Nyie bakien na uislam Jina kisha mkabeza binadamu wenzenu uku maandiko yakiwepo🚶♂️
@aymankhadija6194 жыл бұрын
Tenaaaaaaaa👌👌👌baeleze haooo watabaki kuchanganya na siasa na dini tu hawana lolote.Wangeachiwa wao labda wangegombania hela hata mskiti usingeisha
@mariamakanu16904 жыл бұрын
mashaallah
@wardajoseph69094 жыл бұрын
Chaguweni magufuli Tanzania izidi ng'araaa
@husseinally55504 жыл бұрын
Kuna watu walivoumbwa nikukosoa tu kila kitu.lkn ukimfuatilia ktk dini hajui hata suratul faatiha.Pengine hata mama yake nitaariku swalat lkn anajishughulisha tu nakupinga kila hambo
@binsultan69814 жыл бұрын
Ww unaejua naomba unitofautishie kati ya mskt huu na MASJID ZIRARAAA
@husseinally55504 жыл бұрын
@@binsultan6981 siuna ona sasa kumbe huji chocht ktk Dini jina lenyew hujui kuliandik.soma kabla ya kutoa fatw'wa
@binsultan69814 жыл бұрын
@@husseinally5550 ilo ndo jibu au....???
@husseinally55504 жыл бұрын
@@binsultan6981 Elimu haiulizwi huwa inasomwa.Acha kushughulika na Furuu'i Shughulika na Usuuli
@hassankaita10394 жыл бұрын
@@binsultan6981 kweli elmu ndogo ni najisi haya tuambie Wewe kisa cha kuufananisha huu msikiti na hiyo masjid dhwirara Nini usitupotoshe Umma kaa darasani usome sio kusikiliza CD afu waja kutoa fatwaa piga goti acha uzembe
@husseinally55504 жыл бұрын
Huyu ni Rais wa watu.Kwakweli nashindwa hata lakusema namna moyo ulivyojaa furaha
@realmadrid96404 жыл бұрын
Hana lolote mnafiki mkubwa tu!waislamu wangapi wamedhalilishwa ktk utawala wake,ila waislamu Waleo njaa nyingi hata tukiona maovu tunashindwa kuyatetea.Tubadilikeni
@andulilemwakihabha20484 жыл бұрын
@@realmadrid9640 msiwe na chuki pasipo itaji chuki taja mwislam mmoja Alie zalilishwa katika utawala wa Magufuri
@allyhassan21364 жыл бұрын
@@realmadrid9640 Usipochunga utakuja kuwa mchawi hata kwenye familia yenu.We unafikiri huyo ni Malaika akufurahishe au apatie kila jambo?
@newman19064 жыл бұрын
@@andulilemwakihabha2048 nani alitaka kumuua lissu? Amri ilitoka kwa nani?
@hassankaita10394 жыл бұрын
@@realmadrid9640 Nani kazalilishwa embu tuambie sisi Waislamu wenzako tujue kuwa Ni flani kazalilishwa nilicho kiona niwewe ndio wajidhalilisha na kutu dhalilisha siye ndugu zako
@kambamazig020244 жыл бұрын
Halafu watu wanasema ati maendeleo ya miundombinu si maendeleo ya wananchi. Hapa tayari jamii itaweza kujikusanya na kuangalia ni nini wanataka wakifanye, maana dini ndio mwongo wa tabia za jamii zote duniani.
@kadogoomushadi54094 жыл бұрын
Mashaallah mungu akupemaisha marefu yenyefuraha
@alimohamedalisaid65374 жыл бұрын
Mashallah x3
@abdallakidim16624 жыл бұрын
Sio sawa kabisa
@khatibumujitaba69564 жыл бұрын
Watu muna midomo mirefu kama bata john kwani lazima mcommet manajiona wakamilif sana
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n524 жыл бұрын
Hasbiya Allah wanighma lwakil
@emmanuelmbwambo65713 жыл бұрын
Nenda BABA.
@wardajoseph69094 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah Allah awajalie hidya
@suleimanngare67074 жыл бұрын
Masha Allah 🇰🇪🇰🇪
@mechanicaldesignbrain4 жыл бұрын
Inna lillahi wa innalillaahi rrajiuun
@fatmatraashidu85224 жыл бұрын
Sifieni hata cku moja jmni jema analofanya mtu,sio kila kitu ni kukosoa tuu,yaani kila kitu ni makosa hamna jema hata moja nyie la kusifia!??🙆
@aishamuhammad77854 жыл бұрын
Mtihani kweli kweli
@allygeesalem73854 жыл бұрын
Ila waislam tuamke,,Allah asema ,Hawatoridhia mayahud n manaswara mpaka mufuate mila zao.. polepole tu tutaingia kwnye mitego yao
@FredsonIvan4 күн бұрын
2025
@nassimali97514 жыл бұрын
Machaallah
@ahmedelalawi61434 жыл бұрын
Hayo mafirimbi wapi na wapi katika uislamu
@allygeesalem73854 жыл бұрын
Innalillah wainaillah.. ndo uislam w zama zetu bruh.. sunnah kwisha, Watu wampongeza kufaru kw kujenga mskiti,ila Allah asema hatozidishiwa ila hasara
@frankfaraja47674 жыл бұрын
Mitano tena kwake jembe letu Magu
@zahiruhamisi41824 жыл бұрын
Hawatokuwa radhi mayaudi na manaswala mpaka mfuate nyayo zao. Lahana tullahi BAKWATA,😭😭😭kiongoz wa dini mwenye elimu zake anapigisha tarumbeta mckitini!!!alafu Magufuli ndo anaufungua mckiti🤔🤔🤔tumejwisha hatuna nusura kwa ALLAH😭😭😭.
@ezekielewald98974 жыл бұрын
Umechangia ata chembe ya mchanga mbwaa wewe ttzo udini umezidisha sanana
@hassankaita10394 жыл бұрын
Allahu anatuambia yule mwenye kupenda kulaani wenzake yeye hulaaniwa na malaika na Vilivyomo mbinguni na ardhini embu kasome vizuri tarekh ya Uislamu afu utagundua pia hapo sio ndani ya msikiti Ni njee mbaya mziki ila hiyo Ni bendi ya jeshi kasome Kwanza afu uje ukoment tena
@theafricaiknow66154 жыл бұрын
Hujasoma hapo kwenye jiwe la msingi ndugu? Mfunguzi ni mufti na mshuhudiaji ni Magufuli
@kelvinswai75994 жыл бұрын
Hiyo cyo tarumbeta ya kikristo. Ni brass band ya JWtz na hupigwa pale rais anapokuwe kwenye shughuli maalumu kama vile kuwaapisha viongozi wanchi!
@aishamuhammad77854 жыл бұрын
@@kelvinswai7599 ata iwe nini lkn ni kharamu tuuuu
@salmasaif78204 жыл бұрын
🙏🙏😭😭😭
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Inauma asikwambie mtu
@mwinjilistiboniphacealfred60354 жыл бұрын
MAGU 5 TENA
@kingnicky25684 жыл бұрын
Jeshi hio ela imegawanwa juu kwa juu alaf wajent wamekula molali 😂😂😂
@ommyali15144 жыл бұрын
MashaAllah
@ikrissaidrissa86134 жыл бұрын
yani waislam muwe na ata shukrani saa nyingine mnatia aibu mtu kweri unapinga kwa sababu tu! ya kinanda kwani iyo sala mtu anashindwa kuisoma kimoyomoyo kwani Mungu wenu ata ckia au haoni uchaji wako acheni izo bwn mnatia aibu
@salimharrasy70474 жыл бұрын
Kweriiii.
@hajiha65074 жыл бұрын
Kinanda hapana.
@aishamuhammad77854 жыл бұрын
Kinanda ni kharamu
@iddijumaali71924 жыл бұрын
So sad
@yusuphamani724 жыл бұрын
Mh, duh vp hizo tarumbeta tunapewa au wanaondoka nazo
@aishamuhammad77854 жыл бұрын
Hahahaaaaa, mnataka mtumie wapi?
@yusuphamani724 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 sasa kama msikiti unafunguliwa na tarumbeta tutegemee nini kama sio kanisa Hilo
@aishamuhammad77854 жыл бұрын
@@yusuphamani72 tena kanisa katoliki, watu wanauchukulia uislaam ni powa tu km dini nyengine, hawajui kwamba inamipaka yake
Kuna mambo mengi hapo, 1) Nani kajenga msikiti? ni ipi hukmu ya msikiti uliojengwa na asiekua muislamu. Wanazuoni wa kiislamu watupe dalili hapo. Nadhani hoja zote zinajibiwa hapo
@sponsor78824 жыл бұрын
Vipi mashehee wetu walioko magerezani?
@bongotv71204 жыл бұрын
Sioni msikiti wa Mil300.
@abdulfatina1304 жыл бұрын
Wakwako uk wapi tulinganishe
@jumahory30694 жыл бұрын
msikiti unafunguliwa kwa takbira sio kupiga makofi
@hassankaita10394 жыл бұрын
Ndio Vyote vime fanyika kwa pamojah takbira zime pigwa makofi yamepigwa na ndugu Zetu wasio kua waislamu Alafu jeshi letu likapiga tarumbeta Nini mbaya hapooo msikiti ndio huo teyar kazi kwetu Sasa Waislam
@kelvinswai75994 жыл бұрын
Hiyo ni brass band ya jeshi. Na huwa inapigwa tu pale mkuu wa nchi anapokuwa anafanya uzinduzi au kuwaapisha viongozi wa nchi!😂
@mwinjilistiboniphacealfred60354 жыл бұрын
Jenga wako tuje kuufungua hivyo
@zuheorsalim77594 жыл бұрын
هذا مسجد ضرار أسس على باطل
@matendupiterngoge87074 жыл бұрын
أخي وضح قولك بالوضوح ليفهم من يفهم
@matendupiterngoge87074 жыл бұрын
هل هذا هو مسجد ذكرفى القرآن الكريم ؟
@zuheorsalim77594 жыл бұрын
@@matendupiterngoge8707 كلا ليس هو... لكن شبيه به
@matendupiterngoge87074 жыл бұрын
@@zuheorsalim7759 لوكان هذ المسجد أسس لضررالمسلمين وصحتهم وعقائدهم وتفريقهم أي (المؤمنون) فلا ريب سيكون هذا المسجد مسجد ضرارا وكفرا
@zuheorsalim77594 жыл бұрын
@@matendupiterngoge8707 سيبدي لك الايام ما كنت جاهلا ويأتيك الاخبار ما لم تزود
@mariamsuma30034 жыл бұрын
Waislaam wenyewe hawapend wakirsto wanaroho mbaya kama za shetan
@annassuleiman45084 жыл бұрын
Wewe ndiyo Una Roho Mbaya kama tako la kenge,,mapenzi yaliyokatazwa ktk dini ni ya Kuchanganya imani ila kuehirioiana ktk Mambo mengine yasiyoharibu imani za dini ya Mtu hilo halina Tatizo hata kidogo
@annassuleiman45084 жыл бұрын
Kushirikiana ktk Mambo mengine☝️☝️☝️☝️ Ni Makosa ya uandishi
@jacklinethomas1104 жыл бұрын
Usirudie tenahiyo kauli ukome naukome kusema waisilamu wana roho mbaya mkundu wewe,mchonqanishi wadini mnafki mkubwa unatofauti na abdall bin obeid alikua mnafki wadunia..
@KaziDepartment4 жыл бұрын
The architecture could have been better. Kudos to His Excellency though
@mshalewasumu31214 жыл бұрын
Kujenga mskiti ni Jambo jembo jema Ila kumbukeni waislam uislam sio kusali Tu hospitali pia ni kitu muhimu vyuo vya Kati na vikuu
@hajiha65074 жыл бұрын
Hakika kaka
@hassankaita10394 жыл бұрын
Hakika broooo
@mosesaliy60984 жыл бұрын
J
@lovenessbaynit10284 жыл бұрын
Mnashangaa vinanda kupigwa pesa tulichanga kanisani ...muwe mnaona jambo jema na cyo udini
@newman19064 жыл бұрын
Siku tutaambiwa ijumaa tukasalie kanisani...na viongoz wetu wa dini watakubali coz amesema mtu fulani....uanafq umetujaa zama hiz
@hassankaita10394 жыл бұрын
Kwani kusalia kanisani Ni haramu Kama utafuata masharti ya Sala na nguzo za salaa embu msiwe mnapenda kuropokwa Kama kitu hujui uliza maana elimu ndogo ni najisi
@vincentcharles43854 жыл бұрын
@@hassankaita1039 kwani ni haramu?
@theafricaiknow66154 жыл бұрын
Kanisa na msikiti ni majengo tu. Unaweza ukaomba popote na Mungu akakusikia. Kipindi cha corona waislam wa Ujerumani walipewa kanisa walitumie kufanyia ibada maana msikiti waliokuwa bao hautoshi kuwafanya wakae umbali wa kuepuka maambukizi ya corona. Wakristo na waislam sisi sote ni watoto wa baba mmoja. Imani zisitutenganishe
@hassankaita10394 жыл бұрын
@@vincentcharles4385 achana nahao wenye elmu ndogo Sala Ni popote madam utakua umekamilisha masharti yote na taratibu zote za salaaa
@hassankaita10394 жыл бұрын
@@theafricaiknow6615 kabisa ndugu Hilo hawakuliona hili wanaleta kero afu unakuta mtu Kama huyo kusali Asali pia hata kuchangia sadaqa hakuna
@mariamsuma30034 жыл бұрын
Hata kama kajenga miskt haidaidii farauni huyu mkubwa anafanya nch iwe na njaa kubwa na mateso meng
@kahmardintebe92662 жыл бұрын
Kaondoka neema imekuja na njaa imeisha
@huaweinova7x9224 жыл бұрын
Duh mtihani kwakweli mnafungua msikiti au kanisa????
@learningkiswahili5daysstre3674 жыл бұрын
Waislam ifike kipindi Kuwe na shukulani
@hassankaita10394 жыл бұрын
Wewe waonaje
@amiriomari11824 жыл бұрын
Yan msikitin munapgwa vinanda kwel tumuogopen mungu jaman
@theafricaiknow66154 жыл бұрын
Kwani vinanda vina tafsiri gani kwenye uislam?
@kelvinswai75994 жыл бұрын
Hicho siyo kinanda cha kawaida kama unavyodhani. Ni baragumu la ikulu linalopigwa na jwtz katika shughuli maalumu kama uzinduzi zinazomhusisha raisi
@realmadrid96404 жыл бұрын
Hivyo vinanda na takbira vp? Mbona dini tunaifanyia masihara!
@joycemwambe34944 жыл бұрын
Hiyo ni ishara ya ufunguzi so vinanda vya kawaida ni baragumu LA ikulu linalopigwa na jeshi kwenye hafla za ikulu
@hassanshamte16104 жыл бұрын
Hawani mashekhe mpunga tu wanafunguwa msikiti wa tarumbeta!!! Inalilahi waina ilahirajighuni rajighuni hunimsiba mkubwa.
@theafricaiknow66154 жыл бұрын
Tarumbeta zina tafsiri gani kwenye uislam?
@kelvinswai75994 жыл бұрын
Hiyo ni baragumu ya ikulu / brass band inayopigwa na jwtz katika shughuli maalumu ambazo raisi anakuwepo kama vile uzinduzi wa vitu mbalimbali pia wakati wa kuapisha viongozi wa kiserikali!
@rajabulema44364 жыл бұрын
Mtihani mkubwa kwakuwa mtu ajachangia ndio mtu asikosoe jmn hapana badilikeni bc penye kosa mtu aseme ukweli ndio huo mpo
@lovenessbaynit10284 жыл бұрын
Mnashangaa vinanda kupigwa pesa tulichanga kanisani ...muwe mnaona jambo jema na cyo udini
@fatumahassan82124 жыл бұрын
Tatizo uelewa finyu
@askkongl68214 жыл бұрын
Auvp
@fatumahassan82124 жыл бұрын
@@askkongl6821 Ni mfano wakuigwa na siyo kubeza, Mungu awabarki kwa support....🇧🇬
@radhiambwana87874 жыл бұрын
Kwahiyo unatusimanga sio kisaikolojia? harambe ilianzia kanisani nawalichanga kiasi hatukati lkn pesa nyingi zilitoka kwa viongoz waserekal nataasisi zake. Mungu akubariki sana iliusije kumsimanga ata mgeni akila kwako.
@rosemarymsulwa2034 жыл бұрын
@@radhiambwana8787 Ahsante upo sahihi kabisa .Kikubwa alichokuwa anaonyesha Rais wetu ni umoja na undugu wetu. Kuanza kuchangia kanisani siyo ishu. Tupendane bila tabaka za dini na kabila zetu.