Hajj maqbuul na shukran kwa maelezo mkuu wa mkoa wa kusini Ayub Mohamed
@rehemamahendeka-rm2ekАй бұрын
Alhamdulillahi,Rabbi azipokee ibada za hujaji nyote mliofanikiwa kwenda Makka,nac atufanyie wepec/upana wa riziki ili tukafanye ibada inshaAllah. Nimejipata faraja sana kuckiza mahojiano haya,Alhamdulillahi !
@hamadsuleiman5177Ай бұрын
Sheikh Saidi kafia Ardhi takatifu kwny Ibada takatifu na masiku matukufu...yaaa Allah mpokeee na umswamehe dhambi zake yeye na maiti zetu washaotangulia
@mohamedaley5632Ай бұрын
Allahumma amin
@Aisha-lj8buАй бұрын
Amina yaarabbi
@mzalendomzalendo2567Ай бұрын
@@robertphilip385kwa imani yako ya kigalatia,
@husna34562Ай бұрын
Amiin
@aliabdalla9297Ай бұрын
@@robertphilip385sawa wewe usie na dhambi
@AleiHadji-js3edАй бұрын
Makka sio Lele mama Makka ni Kubadilika Tabia hakuna Hijja mbili hii ni Fursa ya Mwisho 😢😢😢😢😢😢😢
@ShakrinAliy-kz2elАй бұрын
Allah akupokelee hijja yko Allah akujalie mema dunian mpka akher wallah machozi yana nitoka kwa furaha ya mate ndogo yako Allah akuhifadhi
@hamadsuleiman5177Ай бұрын
Allah Akbar...Umeongea point Mkuu wa Mkoa
@aliymurid4433Ай бұрын
Ma sha Allah. Allah akubarik na aikubali Hijja yako. Amiin
@SARAHKATAGIRAАй бұрын
Allah akujalie uitumze hijja Ako nasi tuombee tuweze kwenda
@KhamisHaji-pw4joАй бұрын
Masha Allah
@faudhiasalum7279Ай бұрын
Pole sana
@user-me5jv4fq4cАй бұрын
Mungu akuweke sana
@harithmohd6318Ай бұрын
Munajitahid kwenda makka ila ikifik siku za ushaguz mweny hak hapewi anapewa asie na haki na munajua kuwa mtu fulan hakushinda ila munatetea ili t ashind kuwen wakwli mtu akitok mji mtakatuf wa makka huwa mkwli siku zot hapend batli Allah akusimamie kwny ukwl Ayoub
@maryamabdullah9169Ай бұрын
Swadakta
@siriyangu4724Ай бұрын
Innalilai wainna illah rajiun poleni...Inshaallah
@hassanhaj994Ай бұрын
Na mshauri akarudishe na ardhi aliyowapora wananchi wa Kijiji cha Kilimajuu - Matemwe Kusini. Akiwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini ‘A’ Unguja.
@AleiHadji-js3edАй бұрын
Zama za hijja Kua Ni Utalii ndio Hizii... Jamani Hija Hija Alihamdulilah
@makamekhalfan5968Ай бұрын
subir kira utum maaskar muuwe wat kish usem ushahijj
@husna34562Ай бұрын
Mashallah tabarakallah
@HashimSalim-qj7znАй бұрын
Allah ajaalie khutuba yako hii fupi iwabadishe viongozi wote na wawe waadilifu
@alisharia6831Ай бұрын
Hatukatai lakini uwezo hatuna wanyonge sisi kiongozi
@Dulla_kiteАй бұрын
Mashallh 🙏🏻
@abdullhamid5868Ай бұрын
Huyu ndo raisi wa zanzibar
@abdulrahmanmohammed4449Ай бұрын
Jamaa fasaha sana
@IsmailJuma-zb5niАй бұрын
Ndio Mujitahidi kutenda haki sasa
@user-ql2om7qj3v28 күн бұрын
Mbona unawakumbatia wanawake. Hujuwi kama ni haram
@maase2023Ай бұрын
Wazanzibari bana washamba sana dah
@aishakhamis2996Ай бұрын
Mshamba mwenyewo hujielew ww ...!!
@user-cq4lp5rv1lАй бұрын
Ukisema zanzibr washamba sasa nyiny wa tanganyika sjui tunakuonani vp nyiny huku
@walidmgonja3644Ай бұрын
Acha kuharibu amali zako kwa maneno machafu,hiyo lugha uliyotumia hapo sio sahihi,ujinga huo waachie wanasiasa.Ushamba wa wazanzibar ni upi hapo?
@maase2023Ай бұрын
@@walidmgonja3644 kutoka hajj mtu mnafanya matangazo????? Duh
@walidmgonja3644Ай бұрын
@@maase2023 huo sio ushamba,pia usihusishe na uzanzibar maana hata wasio wazanzibar pia wapo wanaofanya hivyo
@maase2023Ай бұрын
Sasa mtu akitoka hajj kwao ni ajabu sana dah
@user-xc7qj7ze7mАй бұрын
Mhh
@maase2023Ай бұрын
Hawa wazanzibari mtihani kweli ! Sasa hajj ni jambo la fardhi kwa muislam kutimiza sasa hawa sijui kinachowashangaza na kusifia sijui kitu gani
@nouraynaasheikhunkabir3749Ай бұрын
Uwe na adabu kwenye Maongezi yako , culture ya wazanzibar watu wanaposafiri hujumuika airport kuwaaga na wanaporudi kuwapokea na sio kuwashangaa kama unavosema . Na Kuna faida nyingi zinapatikana katika mambo hayo hasa kwenye suala la maombi
@maase2023Ай бұрын
@@nouraynaasheikhunkabir3749 old fashion habit
@cecilialivingstone9202Ай бұрын
unamacho lakini huoni
@robertphilip385Ай бұрын
Ameenda kumpiga shetani wa saudia lkn amemwacha shetani wake nyumbani Kweli tunaangamia kwakukosa maarifa
@user-yj5on8cz3eАй бұрын
We mkristu unajuwa Nini kausha we una maarifa ya kusema yesu Ni mungu so kukosa maarifa nako
@HeboniBabuАй бұрын
Acha chuki uwondio mwanzo wa umasikini
@kutailass6671Ай бұрын
Huyu anachuk za kikafiri
@robertphilip385Ай бұрын
@@user-yj5on8cz3e ukweli unaumeee
@user-yj5on8cz3eАй бұрын
@@kutailass6671 wemwenyewe na makafiri wenzio mmekosa maarifa mpk Leo watu mna madegegree yenu ya ilmu kichwani hayawasaidii kitu mnasema yesu Ni mungu mmeshindwa kujua Ni binadamu Kama ninyi alienda haja na aliona njaa Kama ww mungu gani anaona njaa
@vincentcharles4385Ай бұрын
Hivi Allah ni Mungu? Dini za wakoloni shida
@masoudrashidmohammed4124Ай бұрын
Ni vyema kukaa kimya kwa mambo usio yajua
@user-dl1mg2qf4nАй бұрын
Inamana wewe umetokea tu by nature? Hivi hata mwili wako haukupi dalili ya alie uumba?
@ameirmanzi2684Ай бұрын
Chunga ndimi yako frauni kapiganiya ukafira usimame na kashindwa utaweza wewe kifuu tundu kwanza tafuta mungu yupi ataekufisha siku yako ikifika