RAIS SAMIA APIGA SIMU KANISANI KWA KUHANI MUSSA, AAHIDI MILIONI 100 UJENZI WA KANISA

  Рет қаралды 25,806

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 168
@Graceyusuphh
@Graceyusuphh 18 күн бұрын
Mungu akulinde Rais wetu❤
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 17 күн бұрын
Ameen mama Rais wetu, kweli tuna Rais anaejali pasipokubagua Dini.
@mellenarasa8497
@mellenarasa8497 17 күн бұрын
Hongera wana TZ kwa kuwa na Raisi , wa mfano "MWEMA"kwa wengi, from Kenya 🇰🇪 GOD BLESS PRESIDENT SULUHU, NA NCHI NZIMA YA TZ 🎉🎉🎉🎉❤
@naasibabuu
@naasibabuu 17 күн бұрын
hawanaga shukrani hawa ngoja utaona
@mellenarasa8497
@mellenarasa8497 17 күн бұрын
Wana TZ HONGERA SANA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 AMEN 7X AMEN 👏 🙏
@rusimbitumaini7772
@rusimbitumaini7772 18 күн бұрын
Dr samia Suluhu Hassan mama yetu natamani niseme mema yako kila mtaa wa Tanzania 🎉🎉🎉
@ObedMwankina
@ObedMwankina 18 күн бұрын
Tunazijua hizo ni kampeni tuuu😂😂😂hii ndo Tz
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 18 күн бұрын
Sio kweli, inaonyesha ana moyo uliopondeka mbele za MUNGU, hatafuti kura huyo, maana CCM hata ukiweka jiwe kugombea uraisi! Litashinda, ivi wewe unawajua CCM vizuri?😂😂😂
@TeddyJames-l3o
@TeddyJames-l3o 18 күн бұрын
Endeleeni kuzijua
@RaphaelMbughi-n1g
@RaphaelMbughi-n1g 17 күн бұрын
Pamoja sana
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 17 күн бұрын
Hii ni kampeni si vinginevyo
@ObedMwankina
@ObedMwankina 17 күн бұрын
@@BenjaNetanyahu Hahahaha Moyo uliopondeka,khaaa thubutuuu
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 18 күн бұрын
uyu mama anajua vile anatafuta kura kiuchacha chacha😅😅😂
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 18 күн бұрын
Sio kweli, inaonyesha ana moyo uliopondeka mbele za MUNGU, hatafuti kura huyo, maana CCM hata ukiweka jiwe kugombea uraisi! Litashinda.
@MATIKO9640
@MATIKO9640 17 күн бұрын
Only great thinkers will grab it.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 17 күн бұрын
Asingepiga simu na wala asingechangia chochote ktk ujenzi huo ungekomenti hafai au vipi?! Ndugu jifunze kuwa na shukrani.
@ogasa_sm5940
@ogasa_sm5940 17 күн бұрын
Huyu Rais Ana moyo tu wa upendo.huyu mama ameweze kuituliza nchi kwa kiasi kikubwa japo Kuna watu wasiopenda utulivu wanamsakama. Huo ndio mtaji wake mkubwa wa kisiasa.watanzania hawapendi vurugu japo wengine Tabia hii huiita uoga lakini ndio yenye faida kuliko hiyo ya kutokuwa waoga.Hao wanaoitwa sio waoga nadhani Kuna wakati watatamani kuhamia kwetu.
@raheemsaleh14
@raheemsaleh14 12 күн бұрын
Wame struggle muda ktk ujenzi wanajichanga na sadaka zao taratibu na waumini watafurah kuona uyo mchango and then ..! Kamati ya siasa ya selekali lazma iwe na ubunifu wa kuona mbali inajua mikakati yakeikiwemo kutoa msaada kijamii ila sehemu ambapo kutapatikana reciprocity
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 17 күн бұрын
Mellenarasa Ahsante sana kwa kuwa nasi Watanzania❤🎉
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 16 күн бұрын
Ameen Mama yetu,Ahsante kwa Kujali M/Mungu Akulinde Kipindi hk tena cha 2025 Mama yetu🙏🙏
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 17 күн бұрын
Kasongo yeyeee!! Mobali nangai, proud of Catholic
@Mohamed-j5w6w
@Mohamed-j5w6w 17 күн бұрын
Dah! Mama ana mwaga Ela tyu. Kwasisi tulioish cuba mchezo tushaujua apo nn kinaendelea
@robertzamani5612
@robertzamani5612 18 күн бұрын
Kenya mapadri walikataa huu mchezo wa kupokea hela
@Dipeson700
@Dipeson700 18 күн бұрын
@@robertzamani5612 hao wanaakili sana
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 17 күн бұрын
Ndio maana umesema kenya na Kenya sio Dunia nzima ! Sio kila kinachofanywa Kenya basi kifanywe dunia nzima !
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy 17 күн бұрын
😷😷😷😷😷
@dorcasdavid2247
@dorcasdavid2247 16 күн бұрын
Ameen Kuhani Wetu,Mungu Akulinde sn sn🙏🙏🔥
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 18 күн бұрын
Aaamina mama Yetu weeeeeeeMungu akulinde ❤❤❤❤ Shujaa wa Afrika
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 18 күн бұрын
Ni jambo jema,hongera rais .
@moddy8744
@moddy8744 18 күн бұрын
Huyu ndie Rais tunaehitaji nchi za Africa ni kiongozi anaejua nini wanafanza kwa wananchi wake
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 17 күн бұрын
Hongera kwa Raisi wetu wa Taifa letu la Tanzania Dokt. SAMIA SH, kwa kuendelea kuafanya kazi ya kuweka amani katika Nchi. 2025 ndio Rais. Niwashauri ndugu zangu wa vyama vingine. Tukienda katika uchaguzi kwenye vyama vyenu nafadi ya Rais wekeni picha ya Samia suluhu Hasani na msisahau nembo ya CCM. kisha Ubunge na udiwani wekeni picha zenu na chama chenu. Huu ni ushauri wa bure.
@deokessy6596
@deokessy6596 18 күн бұрын
Mama shikamoo..love you my mum
@OscarNshimirimana-y1i
@OscarNshimirimana-y1i 17 күн бұрын
Kumbe waislam wanaijua amen
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 13 күн бұрын
Wanajua nn wakati huyo anahonga ili apate kura kwa waty wa kanisa
@rukiamadati336
@rukiamadati336 17 күн бұрын
Ndiyo kura lazima zitafutwe kwa bidii yani kila kona🙌
@abubakarabdullah-vg7vf
@abubakarabdullah-vg7vf 18 күн бұрын
Allah amuongoze katika kher
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 18 күн бұрын
Utahangaika sana tu kwa hii roho ya kupinga msaada kwa sehemu ya kuabudu Mwenyezi Mungu kwa kukinganisha na shida yako jipange unaweza sota hata kwa pesa ya kula .
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 17 күн бұрын
​@@souvenirweber7169ah elimu ni kitu muhimu sna kwani kasema baya gn hpo kwa akili yko
@abdasiruhincha1735
@abdasiruhincha1735 17 күн бұрын
akili zako sijui zikoje kwan hapo amecomenti kitu gani kibaya acha udini na fikra finyu ww​@@souvenirweber7169
@AnjelinaKafui
@AnjelinaKafui 14 күн бұрын
Nakupenda sana mama Samia wetu
@MalaikaHome-b6r
@MalaikaHome-b6r 18 күн бұрын
Mamaa Samia top in africa
@divinemwakapina4059
@divinemwakapina4059 17 күн бұрын
😂 Mama yetu rais wetu upo vizuri tunakupenda sana. Wewe huna baya, unawapenda wote pasipo kujali dini. Ubarikiwe sana mama.
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 17 күн бұрын
Mama anamwaga Ela .
@ManaseJubilate-kk2gz
@ManaseJubilate-kk2gz 16 күн бұрын
Kenya walikataa hii mambo🙌
@PeterIdd-d3c
@PeterIdd-d3c 18 күн бұрын
Hii nchi duuuuuh
@star_wizard2792
@star_wizard2792 18 күн бұрын
😂😂😂
@GervasLyimo-f7p
@GervasLyimo-f7p 17 күн бұрын
Kamwe Hutakaa uone kitu kama hiki ndani ya Kanisa Katoliki. Eti Padre asimamishe Misa ili apokee simu?😂. No way!.
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 17 күн бұрын
😂😂😂 kwani riko wapi ilo kanisani mkoa gani
@emmanueljohn7
@emmanueljohn7 14 күн бұрын
Alafu kanisa lenyewe la Mtu Binafsi😂😂😂majitu yanashangilia Africa Wake up utawala wa sasa hivi wanalambwa Pesa tu afu Kanisa linakuwa mali ya Ukoo wake... hizi Dini Basi tena YESU njoo Haraka ulichukuwe kanisa lako Uhuru wa kweli unaanzia Makanisani
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 18 күн бұрын
Siku moja itakua kwangu NAAAMINI NAAMINI
@michaelgilbert1531
@michaelgilbert1531 17 күн бұрын
Kuhani Musa wwe umeshabarikiwa wanaokupinga wanapingana na Mungu mwenyewe songa mbele kazi yako ni njema
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 17 күн бұрын
kanisa lake lipo wapi mkoa gani
@michaelgilbert1531
@michaelgilbert1531 14 күн бұрын
@stellahlinusi8215 lipo kimara temboni
@MkumbaJuma
@MkumbaJuma 18 күн бұрын
Mama samia TUNAKUPENDA SANA una ubaguz wa din Wala ukabila
@hassaniyusufu6443
@hassaniyusufu6443 17 күн бұрын
Dalili zakufeli .kweny uongozi hizo .
@jumawaziri9656
@jumawaziri9656 18 күн бұрын
Rais kwa mwezi anapokea sh ngapi
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 17 күн бұрын
Kama alizokuwa akipokea MAGUFULI
@abubakarabdullah-vg7vf
@abubakarabdullah-vg7vf 18 күн бұрын
Subhaanna llah
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 17 күн бұрын
Allah Akbar
@GervasLyimo-f7p
@GervasLyimo-f7p 14 күн бұрын
Wengi mnaoandika maoni yenu ni wakristo na waislamu. Sasa lugha hii ya matusi mumefundishwa na nani. Huwezi andika maoni yako bila kumtusi mtu. Tubadilike ndugu zangu. Tunadhalilisha dini zetu.
@AgustaZaile
@AgustaZaile 18 күн бұрын
Rais kafanya vizuri lakini body language ya kuhani inaonyesha dharau
@T_Darius
@T_Darius 18 күн бұрын
Kazi kweli kweli
@robertphilip385
@robertphilip385 18 күн бұрын
Badala yakumwabia katiba mpiya ni lini mhungaji mzima unafurahia hela mtumishi mzima unakua chawa
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 18 күн бұрын
Kwani wewe unashindwaje kumfuata ukamwambie? Alafu umeshindwa kulifanyia taifa mchango wowote,Hiyo katiba mpya utaifanyia nini?
@Eng2460
@Eng2460 17 күн бұрын
nyie ndo vijana wenye mchango mdogo kwa taifa
@ElijahGehamba
@ElijahGehamba 17 күн бұрын
WEWE HIYO KATIBA MPYA ITAKUSAIDIA NINI?
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 17 күн бұрын
Muulize mzazi wako tu ! Mchungaji na katiba mpya ni wapi na wapi ? Katiba ya wakristo ni Biblia tu na yesu ndio kiongozi wa hiyo katiba ! Na kwa waislamu ni Quran na msimamizi ni Mtume wao ! Basi hayo mengine waulize wajinga wenzako watakujibu kina Lissu Kitime , Boganza nk
@robertphilip385
@robertphilip385 17 күн бұрын
@@MohammedAwadh-gq9si wewe huwezi kunielewa Kwa sababu majini yamekujaa kichwani ndo vita tuliyonaya sisi kwahiyo sisi tunaamini Nabii anwezakutuambia nilini katiba mpya na niwakati Gani Sasa nyeee mpaka mpandishe majini Ili mlogo watu
@gladysmsele4291
@gladysmsele4291 18 күн бұрын
Aminaa Heri ya Mwaka mpya mama Samia Suluhu
@Shaniatwain06
@Shaniatwain06 17 күн бұрын
Msipompigia kura huu mwaka mtamuangusha maana pesa tu anajua kuzimwaga 😅😅
@Toysstoretz
@Toysstoretz 15 күн бұрын
Hii nch ipo kihuni sana 🤣🤣🤣🤣
@hajimnzava1972
@hajimnzava1972 17 күн бұрын
Mama oyeee❤
@mozejcs9160
@mozejcs9160 18 күн бұрын
Huuu ndo upuuzi wa kuwa na watu ambao hawana vision! Mmeacha mambo ya msingi mnakuja kutuigizia! Very nonsense
@OliverJames-u4m
@OliverJames-u4m 14 күн бұрын
Hi I mbona wengi tunaomba kwaajili yao tunawaombea sana mbona hawafanyi lofoten hongera rahis kwa upendeleo ilaMungu hana upendeleo utuangalie nasi wachungaji wanyonge hukuchini asante samia
@Paschal-t8p
@Paschal-t8p 17 күн бұрын
Mama unamaliza pesa bana watu wanakufa kw kukosa matibabu alafu ww unatoa rushwa
@Mimikijana-u2r
@Mimikijana-u2r 17 күн бұрын
Waislam mpo hapo? Lini tushawahi kuchangiwa mamilioni kama haya? Hizi siasa eti tunadanganywa kwakuwa raisi ni mwislam ndo basi.
@JohnShayo-i8k
@JohnShayo-i8k 18 күн бұрын
Tujifunze kushukuru mungu Kwa yote alioyafanya mama Samia kujitolea kanisani alafu yeye ni mwislam ni utukufu Kwa mungu unavyoponda ni umaskini matajiri wanajiunganisha na upako wa kifalme wakisema na Mimi nipate kibali
@iddyissa8110
@iddyissa8110 17 күн бұрын
Yanini hii nchi ngum sana Antía ml100 ukienda shule uko vijijini utatamani kulia tundu la choo moja wanafunzi1000
@georgemwasyeba1891
@georgemwasyeba1891 18 күн бұрын
Sadaka ni hiyari ya Mtu na anaamua sadaka yake apeleke wapi
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 17 күн бұрын
Kumbe ana mjua kuhani Mussa
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 18 күн бұрын
Wakenya endeleeni ujuaji tu sisi watanzania tumebarikiwa kuwa na viongozi mahiri naiona Tanzania anither level ifikapo 2030😮
@Zeddaw-tl2yy
@Zeddaw-tl2yy 17 күн бұрын
Love u so much mom from my bottom of my heart
@AliciaKyai
@AliciaKyai 18 күн бұрын
Ninyi watu mbona mmekuwa wajinga sana mnapiga makofi tu amjielewi
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 18 күн бұрын
NI KWELI KABISA,HUWA KANISA HALIJENGWI NA MTU MMOJA KWA MCHANGO WAKE TU. -WEWE ULIYE NA: 50,100,1000, 10000,100000,1000000....LETA MCHANGO WAKO...ILI UMJENGEE,MUNGU MTAKATIFU,KANISA LAKE ,NAYE ANAKUBARIKI. -NA KANISA LINAKUWA NI LA WOTE WALA SI YA MTU MMOJA
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 18 күн бұрын
Wewe usie mjinga, umetoa sh; ngapi ya ujenzi wa kanisa/msikiti? Maana kanisa/msikiti hujengwa na watu wote, kwa chochote mtu alichonacho.
@inzirayubwenge
@inzirayubwenge 17 күн бұрын
Amen Amen
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 14 күн бұрын
EE MUNGU LIREHEMU KANISA!! LIPE KANISA MACHO YA ROHONI KANISA TUSIKUBALI KURUBUNIWA KI HIVI TUSIMAME KWENYE HAKI NA UKWEL
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 17 күн бұрын
Lissu atazidi kuchanganyikiwa
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 17 күн бұрын
Apeleke pesa kwa mapadri katoriki tuone kama simu itawekwa live
@GervasLyimo-f7p
@GervasLyimo-f7p 14 күн бұрын
@@paschalpaul3862 Thubutu!. Hilo likitokea ujue ndio MWISHO wa ukristo duniani. Yaani Padre aache Ekaristi altareni aanze kushangilia milioni 100. Hata mimi mwenyewe nitahama kanisa siku hiyohiyo.
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 18 күн бұрын
Waumini wanajua sana kushangilia.
@TonnleeLwisgon-c6m
@TonnleeLwisgon-c6m 17 күн бұрын
Rafiki pekee ña msaada pekee wa ccm uliobaki ni kanisa .
@faridmohamed203
@faridmohamed203 18 күн бұрын
ilikuwa akitoa kanisani 100 apeleka na msikitini 100
@Thomasj-o6e
@Thomasj-o6e 18 күн бұрын
Km msikitin hawajaomba je😂
@T_Darius
@T_Darius 18 күн бұрын
Kajenga misikiti zanzibar kila sehem, kuna video humu shekh mwenyewe anasema hiyo inshu... Akifanya kwenye dini yake hasemi sababu ya midomo yenu wenyewe
@abdasiruhincha1735
@abdasiruhincha1735 17 күн бұрын
​@@T_Dariusnyie ndo mna midomo na hampendi hat kidogo tunawajua kaa kimya tu.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 18 күн бұрын
Hela hizo inakuaje nchi yetu maji na umeme madarasa watu wanakaa chin
@lifeonearth94
@lifeonearth94 17 күн бұрын
Shule gan wanakaa chini, sema mfano tu, au unaongea imrad usikike
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 17 күн бұрын
Wewe Phili ulitaka akuchangie wewe?! Asingepiga simu na wala asingechangia chochote ktk ujenzi huo pia ungekomenti hafai au vipi?! Ndugu jifunze kuwa na shukrani.
@samehewaliokukoseya2605
@samehewaliokukoseya2605 17 күн бұрын
Duuuh 😮😮
@devissyprian1526
@devissyprian1526 17 күн бұрын
Mama mitano Tena, mpaka 2030
@barnaba3037
@barnaba3037 17 күн бұрын
NEW TANZANIA IS COMING
@SimbaJumanne
@SimbaJumanne 18 күн бұрын
Shida uyuu kuhani ni tapeli mama
@manifestationmastermindset6518
@manifestationmastermindset6518 18 күн бұрын
Mama mbona mimi hujawahi kunipigia simu
@AgreyAckim-pt3wv
@AgreyAckim-pt3wv 17 күн бұрын
Wotee hawaa wanatumikiaa ufalmee mmojaa
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 18 күн бұрын
Tunatafuta ada za watoto kumbe zingine ,.ni za kutafuta kura mwaka huu,hongo
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 17 күн бұрын
Mamaa mama !
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 17 күн бұрын
Ilo kanisa lipo wapi mkoa gani
@SamwelMabula-m3i
@SamwelMabula-m3i 17 күн бұрын
Dar ( kimala, Tembon).
@truthtv2573
@truthtv2573 17 күн бұрын
Akipewa mchezaji millioni 500 ili acheze mpira watu wanasifia ila likipewa kanisa ili lihubiri injiri watu wanatokwa povu. Kweli shetani ana wivu😢
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 18 күн бұрын
Uyo mwacha ni usalama shituka wewe😊
@MichaelPaulo-k1c
@MichaelPaulo-k1c 17 күн бұрын
Iko siku utatoka hesabu.
@moddy8744
@moddy8744 18 күн бұрын
Amin
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 18 күн бұрын
Simba yanga watumishi wakubwa wa dini wengi ni vyombo vya usalama 😂😂😂
@AmmielNzala-fu4xu
@AmmielNzala-fu4xu 18 күн бұрын
Watu wengi sana wanashida wanauhitaji, hawana makazi hawana mitaji, alafu mtu anawapaa matajiri pesa nyingi wachezaji wa mpira kununua magori, ambao walipwa mamilioni, na bado anawapa pesa, ila kuna wahitaji wengi sana aseee Mungu amrehemu, na kumpa jicho la kuwaona wahitaji wenye shida
@Paschal-t8p
@Paschal-t8p 17 күн бұрын
Hapa hatuna rais aiseee
@Dipeson700
@Dipeson700 18 күн бұрын
Mcgungaji hajui jinsi ya kuweka sura ili tusijue hiyo ni michezo tu😅😅
@JumaSoli-j7d
@JumaSoli-j7d 18 күн бұрын
Kwahiyo saut ya nan hiyo yadada yako au?
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 18 күн бұрын
Bado Tz inasafari ndefu hasa kwenye kipengele cha afya ya akili
@jacklinejuma-bo7zj
@jacklinejuma-bo7zj 18 күн бұрын
@@hellendaniel3809😂😂😂😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 18 күн бұрын
Hakuna mchungaji hapo ni chawa wa hatari
@robertphilip385
@robertphilip385 18 күн бұрын
​@@JumaSoli-j7dacha uchawa wakijinga na wewe hizo hela anazogawa anazotoaga wapi Kodi za watanzania mtu. Moja anaamua kugawa kijinga halafu tunafurahia tu
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 17 күн бұрын
Hizi hongo zitaisha lini??
@VictorJulius-b7o
@VictorJulius-b7o 17 күн бұрын
Ivi hii ni nniiii.......?
@lagetvonline
@lagetvonline 18 күн бұрын
Kuhani alikuwa anasikiliza kwamakini Sana
@mpegesaaswile6581
@mpegesaaswile6581 17 күн бұрын
Siku hizi wahuni wanaitwa makuhani
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 17 күн бұрын
Ukitaka watu waseme amen peleka pesa
@AminaRajabu-mm1jf
@AminaRajabu-mm1jf 16 күн бұрын
Bora ni nyamaze ...
@libeberu
@libeberu 18 күн бұрын
kwani mshahara wa huyu mama ni kiasi gani?
@T_Darius
@T_Darius 18 күн бұрын
Magufuli alisema milion 9 sa sijui kama huyu analipwa hiyo
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 18 күн бұрын
😅😅😅, mhmm mwenye utaweza kumpangia kweliiii 😢😢😢 atachotaaa Tani yake acha maswali maswaliii😂😂😂
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 18 күн бұрын
Ni wewe usie jiongeza! Unaishi kwa kutegemea mshahara, huyu mama alianza kulima kabla ya kupata uongozi wowote, na inaonyesha ana miradi mingi, kabla ya kuingia kwenye siasa, mfano Ana makinda! Niliyajua mashamba yake makubwa tangu 1990, sasa wewe utazani mafanikio yake ameyapata bungeni, kumbe sio,, mzee usitegemee kazi moja.
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 17 күн бұрын
Kanisa linazinduliwa na dini gani?? Tapeli
@johnmrina2020
@johnmrina2020 17 күн бұрын
HUU UJINGA UMEFIKIA MWISHO TANZANIA MPYA INAKUJA
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 18 күн бұрын
MUNGU akujalie umri mrefu! Wenye afya njema,,, 2025 na 2030 ushinde kwa kishindo ni raisi wa kwanza TANZANIA kipenzi cha MUNGU, na MUNGU akuzidishie × 100 kwa sadaka uliyotoa.
@DismasVenance
@DismasVenance 17 күн бұрын
Wewe akili huna soma neno UJUE. Sadaka kampaa KUHANI si MUNGU. MITHALI 23:1. SOMA
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 17 күн бұрын
@@DismasVenance hua sielimishani na wapumbavu
@boxdad
@boxdad 18 күн бұрын
Mnatuletea siasa makamisani
@MiseyekiLongidu
@MiseyekiLongidu 17 күн бұрын
Siasa hadi kanisani
@JustinJoseph-k2t
@JustinJoseph-k2t 18 күн бұрын
Inaumiza kuona dini zinatumika kama majukwaa ya siasa
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 18 күн бұрын
Hata siasa ni kazi ya MUNGU, sema tumshukuru mama hata kumjua MUNGU.
@mugishagerard8241
@mugishagerard8241 17 күн бұрын
Hao wanajuwana
@martinisadru
@martinisadru 18 күн бұрын
MUNGU akujalie umri mrefu, na 2025 ushinde kwa kura nyingi zisizo na upinzani.
@IreenJaphan
@IreenJaphan 17 күн бұрын
Sas kam wayisilm wamesem ukimtakia her yamwak mpya mkrist umemukuful muhamd so samia amekosea???
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 17 күн бұрын
Shida yote ni kura
@jmvuna2792
@jmvuna2792 18 күн бұрын
Chawa mdudu
@estherrnyangasa1389
@estherrnyangasa1389 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MariaEvance
@MariaEvance 18 күн бұрын
Anatafuta kula huyo
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 17 күн бұрын
Hakika mtaji ni Watu namimi nafungua kabisa 😂😂
@alexmichael5850
@alexmichael5850 18 күн бұрын
Hizo rushwa kwaajili ya uchaguzi ila mwaka huu utaludi kwenu zanzibar
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 18 күн бұрын
😮kwanini huwa hawawapigii wachungaji wa kweli,Kama kina Mwakasege,??!!
@majondejohali5259
@majondejohali5259 18 күн бұрын
Traore awe nani?
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 423 М.
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 229 М.
Sikiliza Ushuhuda wa Ndugu Wanaotaona Kafara | USHUHUDA | Rev. Dr. Eliona Kimaro
14:04
AFYA: SABABU 10 ZITAKAZOFANYA FIGO ZAKO KUFA-JANABI
9:03
Mchumi Digital
Рет қаралды 103 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН