MREMBO MSOMI, KUNGWI MTOTO AFUNGUKA MAKUBWA, MIAKA YAKE "MABOSS WANANITONGOZA, CONNECTION NA ASLAY"

  Рет қаралды 123,851

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 269
@ndayisabanelly7924
@ndayisabanelly7924 7 ай бұрын
She's very smart and confident, and she will make it .keep up, girl...
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 7 ай бұрын
Asante sana ayo TV kwakuleta huyu mudada nilikuwa naumiya nikiona wanavyo muongelea vibaya❤
@mugabephilbert2178
@mugabephilbert2178 6 ай бұрын
Jamani ninatamani kukuona unaendelea na kazi yako ukiwa mke wa mtu na mama watoto. Barikiwa dadangu, ❤❤
@elizabethrimoy962
@elizabethrimoy962 6 ай бұрын
Very smart I appreciate her
@jacklinemassawe-cz8it
@jacklinemassawe-cz8it 7 ай бұрын
smart, well organised and compounded
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 7 ай бұрын
Aaauuuuwww!! she's pretty ❤ she ain't looking 30
@africannuggets
@africannuggets 6 ай бұрын
"If you want to destroy any nation without war, make adultery and nudity common in the next generation." (Salahuddin Ayyubi)
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy 7 ай бұрын
Wachagga wanzuri jamani ebinona kasura kake! Kazuriii Wachagga in beauty ni fire/ lit 🔥
@MakanyilaTeam
@MakanyilaTeam 7 ай бұрын
Acha umalaya ww ushinde moyo
@hallin9561
@hallin9561 7 ай бұрын
Tatizo lipo kwenye shape
@Ciyara248
@Ciyara248 7 ай бұрын
Aushinde moyo au sio😂😂
@khadijaamiri6629
@khadijaamiri6629 7 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅​@@hallin9561
@matishomateso4639
@matishomateso4639 6 ай бұрын
Makubwa
@gaudancesimon7911
@gaudancesimon7911 7 ай бұрын
Your so smart. I appliciate you👊
@Gigisalem
@Gigisalem 6 ай бұрын
Appreciate
@liannsambu7264
@liannsambu7264 6 ай бұрын
Always Lilian is bright girls,women & I love to call my child girl my name Lilian junior, so Lilian is woow name
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 7 ай бұрын
Lilian Lema mwanamke kutoka Machame, I like her kwakweli. She is real kwakweli. Elimu anayo toa ni nzuri ila tu watu ndio hawaelewi.Kanaonekana katoto kumbe kakubwa!
@Tanganyika-w5p
@Tanganyika-w5p 7 ай бұрын
Kumbe ni li Machame hatari sana
@florahmushi748
@florahmushi748 7 ай бұрын
​@@Tanganyika-w5pkelele wewe
@Tanganyika-w5p
@Tanganyika-w5p 7 ай бұрын
@@florahmushi748 mimi huniwezi. Kabilla langu tunawaweza nyie mafala wa machame. Wauaji nyie
@reganusiry8175
@reganusiry8175 6 ай бұрын
Sio wa machame uyu niwanarumu uyu. Hakuna machame mjinga
@Tanganyika-w5p
@Tanganyika-w5p 6 ай бұрын
@@reganusiry8175 unamaanisha nini? Wanawake wakimachame wanaogopeka na wanajulikana kwa kuua
@Mshuta
@Mshuta 7 ай бұрын
Mjini pamenoga Aya nataka like zangu nipo marekani 🔥🔥🔥🔥
@NeemaMuna
@NeemaMuna 7 ай бұрын
Siunifanyia mpango ata wakati ndugu yangu
@WilsonEmmanuel-bs6op
@WilsonEmmanuel-bs6op 7 ай бұрын
Wawo yan Unamiaka 30 najisi Ulivyo kama 16 Mungu nimwema dada
@SelestineKulwa
@SelestineKulwa 7 ай бұрын
Marekani😂😂😂😂
@RamadhnHamid
@RamadhnHamid 6 ай бұрын
Wambie wamarekani wenzio wakupe like
@OmarOmar-ol3fj
@OmarOmar-ol3fj 7 ай бұрын
She is very smart
@Keyjop
@Keyjop 7 ай бұрын
She's very smart cool ...ila content zake Sasa woooyiii inahitaji ujasili wa hali yajuu ki bongo bongo
@nashommagwe5112
@nashommagwe5112 6 ай бұрын
Pongezi sana liliani nakupenda bure ❤❤❤
@HalimaHusseni-h1p
@HalimaHusseni-h1p 7 ай бұрын
Jamani mafundisho ya mapenzi ni mengi sana sana Ila Tu hakuna mjanja kwenye mapenzi
@nashommagwe5112
@nashommagwe5112 6 ай бұрын
Tuna jaribu tuu❤❤❤
@Rasoulhk98
@Rasoulhk98 6 ай бұрын
Apewe ajira..ni vile hizi nchi zetu watu wengi wamekariri, unadhani ingekua ulaya awe na ofisi ya consultation, gharama ya kumlipa kwa huduma kama hiyo watu wangeweza? Nadhani ifike mahali mtu afanye kile awezacho for living as far as asivunje sheria za nchi.
@Manyara-Jr
@Manyara-Jr 7 ай бұрын
veery smart girl. loyal na msomi.. nimegundua watanzia tunasumbuliwa na umbea
@LuizerNdayanse
@LuizerNdayanse 6 ай бұрын
Asanteee huhuhuhuhuhuhu
@augustinealex4178
@augustinealex4178 7 ай бұрын
Huyu dogo yuko smart xana..mnamuatack bure tu…wabongo ushamba unawasumbua na wivu
@nashommagwe5112
@nashommagwe5112 6 ай бұрын
Napenda macho yako na mdomo wako❤❤
@nordinebaraca4635
@nordinebaraca4635 7 ай бұрын
Nipate Hela niende uchagani👌👌👌👌
@nashommagwe5112
@nashommagwe5112 6 ай бұрын
❤❤❤
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 7 ай бұрын
I love her,she’s lighter girl 👧
@salesiomweda1747
@salesiomweda1747 7 ай бұрын
Obrigado pela informação
@marieiradukunda9298
@marieiradukunda9298 7 ай бұрын
Entendeu oque nesta entrevista?
@davidcharleschiragwile532
@davidcharleschiragwile532 7 ай бұрын
Obrigado de u mbwedede
@MazobaMazoba
@MazobaMazoba 6 ай бұрын
Jamani hogera wengine miakaa 30 humezeheka❤❤❤
@azizaaziz9261
@azizaaziz9261 6 ай бұрын
Yaan mi nlijua ni katoto
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 5 ай бұрын
Liliani au ni neema eliasa
@smartgeoffrey9550
@smartgeoffrey9550 7 ай бұрын
Kazi nzuri sana lily...usiache kutuelimisha
@wilfredbyabato4732
@wilfredbyabato4732 7 ай бұрын
Smart sana huyu binti
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 7 ай бұрын
Uliza mambo ya msingi ambayo wasikilizaji wako watsjifunza vitu kutoka kwa mrembo. Unauliza amewahi Fanya na nani. Unataka tujue ametembea na akina nani cc itusaidie nini.
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 7 ай бұрын
Binti mzuri sana
@ElizaJon-ob5ss
@ElizaJon-ob5ss 6 ай бұрын
🎉
@esterabonga7947
@esterabonga7947 7 ай бұрын
She’s 30 na mishangazi akina wema , irene, mobeto kila mwaka wapogo 28 😂😂😂
@LindaKway-yn4xw
@LindaKway-yn4xw 7 ай бұрын
😅😅😅😅
@ZuhuraDaniel
@ZuhuraDaniel 7 ай бұрын
😂😂iyo mishangazi ni miongo balaa hiyo ni mizeee mnoo
@aimeranceseko1042
@aimeranceseko1042 7 ай бұрын
Watanzania nyinyi wahongo sana kwaku sema miaka yenu ila huyu dada mkwelikabisa Mungu akubariki mrembo
@Rasoulhk98
@Rasoulhk98 6 ай бұрын
😂😂😂
@nashommagwe5112
@nashommagwe5112 6 ай бұрын
Pice kali ❤❤❤❤
@mugabephilbert2178
@mugabephilbert2178 6 ай бұрын
Sure! Lilly am so impressed with your focus and never give up, it's matter of time! WATAKUEKEWA make una ipaji Cha kuelimisha jamii.
@mohammededy7086
@mohammededy7086 7 ай бұрын
Tumuabud MUNGU jamn dunia ina mwisho wangap walikuwepo
@qassimmajeed9865
@qassimmajeed9865 7 ай бұрын
Nimesikiliza hadi mwisho huyu dada ni mkweli
@musichealsTz
@musichealsTz 7 ай бұрын
ukweli anaujua yeye na Mungu wake
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
​ ASANTE
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 7 ай бұрын
Hivi ni kwanini siku hizi wanawake,mabinti hawaoni aibu kutaja idadi ya wanaume ambao walishazini nao.So sad kwakweli😭😭😭
@PaulMapolela-rs2sb
@PaulMapolela-rs2sb 6 ай бұрын
Kwamba unataka watu wafiche dhambi zao?
@barakakusa7606
@barakakusa7606 7 ай бұрын
Vyovyote vile wanavyosema ila Uzuri na Urembo amebarikiwa 😂😂
@MichaelaPhilip-q9k
@MichaelaPhilip-q9k 6 ай бұрын
Sawa dada underage ni tatizo kwa wasiolewa ila Kuna underage anaweza kukushauri na ukatoboa
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 7 ай бұрын
Wazinifu mnajiita wapenzi, shenz
@isihakaliyuma1848
@isihakaliyuma1848 7 ай бұрын
Ulisikia wapi kungwi mchaga 😂😂😂😂 nicheke kwanzaa
@efgeniamass278
@efgeniamass278 7 ай бұрын
Umekariri maisha
@youngchezo2744
@youngchezo2744 7 ай бұрын
Yaaap
@joycesanga8483
@joycesanga8483 7 ай бұрын
Keep t up girl 🥰
@hajjiramso1937
@hajjiramso1937 5 ай бұрын
Aslay kafaid sana kwa katoto
@RamlaAbdi-m3m
@RamlaAbdi-m3m 7 ай бұрын
Nmekuja kusoma comment tu😊
@SafariMsafi-um1pz
@SafariMsafi-um1pz 7 ай бұрын
Ukiwa na sula nzuri kama kichwani hakuna akili zitakazo umia ni sehemu za siri
@GeluadaMbepera-ys5wt
@GeluadaMbepera-ys5wt 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ih imeniuma
@adelinamaluli4216
@adelinamaluli4216 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
@linaxavier6336
@linaxavier6336 7 ай бұрын
Mtangazaji ana jua kuuliza na kupangilia maswali. Sema Lily kama una hofu ya Mungu fanya uolewe, huo ni uzinifu mapenzi bila kufunga ndoa.
@JacqDaniels-hu5xj
@JacqDaniels-hu5xj 7 ай бұрын
Kazur af mkweli
@safiyamajidi5388
@safiyamajidi5388 7 ай бұрын
Yani Millard ayo mnashindwa kufanya interview n kina meena ally wanaojielewa munatuletea Hawa wafuska ....kazi yenu nikufundisha au kuipoteza jamii 0:08
@swaumuabdallah6886
@swaumuabdallah6886 7 ай бұрын
Neema ally ndo kumbato lake yan mamaa chanja wa ayo
@safiyamajidi5388
@safiyamajidi5388 6 ай бұрын
@@swaumuabdallah6886 sina habari .....kumbe nimegonga mfupa
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 5 ай бұрын
Hajasomea chochote ambacho anafanya sasa ivi,hajafanya anything to do with reproductive health,wala sexology,wala hygiene and sanitation. she's not a professional japo ana act as a professional,...hajasomea guidance and counselling,wala mental health and wellbeing mpaka aseme eti anapeana ushauri nasaha.... she's an economic graduate atafute kazi afanye aache umalaya...coz huu ni umalaya akuna professionalism apa...
@WivinaFrance-xn3mk
@WivinaFrance-xn3mk 7 ай бұрын
Daaaah😃😃😃
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 7 ай бұрын
Seems alikuwa anasubiri sana kitu kama hiki, kuhojiwa.
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 7 ай бұрын
Mdogo wangu nkushauri sana tulia na economics yko., huko unakoenda.! God for Bid🤗🚶🚶🚶🚶🚶
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 7 ай бұрын
Umeanza kupangia watu Maisha sasa
@QGmnene-d5j
@QGmnene-d5j 7 ай бұрын
Afu nilisahau huyu na aslay maisha yao ni kawaida tu kama tulivyo huku"wasituletee maigizo
@GloryMariki-ng6gf
@GloryMariki-ng6gf 7 ай бұрын
Hata kama ana maisha ya kawaida haimaanishi asiishi maisha ya ndoto zake
@alliymohammed4227
@alliymohammed4227 7 ай бұрын
Mama karidhia ufanye utovu waadabu mtandaon et!
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 ай бұрын
Shikamo kaka
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
Watoto wa leo tunasikia basi Mungu tu atusaidie
@eagle_839
@eagle_839 7 ай бұрын
Kwamba wewe kupiga nyeto walikuambia ni adabu mpumbavu
@NtemiJoseph-v6u
@NtemiJoseph-v6u 6 ай бұрын
Mtangazaji huo mto umeweka wa nini?? Hisia ziko karibu umedidisha
@lyimoej7198
@lyimoej7198 5 ай бұрын
Nimecheka kinomaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@neypaul6416
@neypaul6416 6 ай бұрын
Mtangazajii mpuuz
@FionaMjata
@FionaMjata 7 ай бұрын
Unajuwa Millard ayo umeanza kufeli tuletee habari z msingi
@IbrahimKimath-u9z
@IbrahimKimath-u9z 7 ай бұрын
Kwa elimu uliosomea kwa gharama tafuta kazi nyingine kama kuuza pochi viatu n.k zipo nyingi .Lakini hii ya kuwa kungwi hapana aisee kwa elimu uliyonayo.
@eagle_839
@eagle_839 7 ай бұрын
Kwo ajira ni kuuza pochi tuu 😏😏😏huna akili
@safinanyiwala386
@safinanyiwala386 6 ай бұрын
​@@eagle_839Yaani 😅
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 7 ай бұрын
Wachaga ni watu makini sana ,hamuwezi kumuelewa
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 7 ай бұрын
❤❤
@PendoNyemba
@PendoNyemba 7 ай бұрын
Karibu Dar es Salaam...
@harmonymattondo4042
@harmonymattondo4042 7 ай бұрын
she want our booking....mens let us be smart
@David-if6nk
@David-if6nk 6 ай бұрын
Huyu dada nampenda natamani hata walau nikutane nae nimshike japo mkono nafsi yangu iridhike
@SaidiNgomesha
@SaidiNgomesha 7 ай бұрын
anaitwa nan ? kwenye mitandao ya kajamii
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 7 ай бұрын
Anaitwa Lilian Lema
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 7 ай бұрын
amlilly
@liannsambu7264
@liannsambu7264 6 ай бұрын
Ex ni Ex tu really, acha aende
@elizabethbwakila3982
@elizabethbwakila3982 7 ай бұрын
Kwani mpo mapacha?
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 7 ай бұрын
Hyo NGOs ichunguzwe, bila shaka inadeal na vilainishi pia
@MontySentara
@MontySentara 7 ай бұрын
Mwamba huo mto vp?
@rukiamnamba-gc9gd
@rukiamnamba-gc9gd 7 ай бұрын
30 years?? Mbona kadogo
@modimpoz7546
@modimpoz7546 7 ай бұрын
Mtangazaji unauliza kama form1
@MISSTOURISMLINDISECOND
@MISSTOURISMLINDISECOND 6 ай бұрын
nilitaka kushangaa kama ni wa 2000 mbona anamatiti makubwa
@lightnessurasa4928
@lightnessurasa4928 7 ай бұрын
Ukisikiliza vizuri ni kama yuko single vileee
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 7 ай бұрын
Nilijua nimegundua peke yangu
@emmanuelmatiko7307
@emmanuelmatiko7307 6 ай бұрын
Hakuna Cha machachari Wala Nini, muhimu ukiwa na mahusiano mengine x wako hata usimzungumzie kumtaja Wala kupigiana simu labda iwe Siri me nisijue
@modimpoz7546
@modimpoz7546 7 ай бұрын
Presenter unafeli
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 7 ай бұрын
Huyo sibure kajiunga maana huu si utamaduni wa Taifa hili
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 6 ай бұрын
Wew ni malaya tu , nimemaliza
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 7 ай бұрын
Ni ngumu saana mtu kukuelewa leo... ni usilazimishe ueleweke leo..
@emmanuelmuniko17tz21
@emmanuelmuniko17tz21 7 ай бұрын
Which country is this
@robertadolf562
@robertadolf562 7 ай бұрын
Tanzania,
@MarthaBakari-b7c
@MarthaBakari-b7c 7 ай бұрын
Shida ya wat kuto kukuelewa ni cultural differences and mind set za ngozi nyeusi
@SuzanaMonary-fn6fm
@SuzanaMonary-fn6fm 7 ай бұрын
Mtangazaji wa hovyooo sana unauliza maswali ambayo hayana maana uliza yenye maana
@rosesilio9008
@rosesilio9008 7 ай бұрын
Huyu kafanana na wanyarwanda ❤❤
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz 7 ай бұрын
Kwani uyu ndo binti ambae ameonekana na Aslay kwenye Video? 🤔
@mommyaudrey7058
@mommyaudrey7058 7 ай бұрын
Sio yeye
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz 7 ай бұрын
@@mommyaudrey7058 mbona wamefanana?
@reganleonce4731
@reganleonce4731 6 ай бұрын
Dada mzur ila inabdmpaka sasa awe na katoto umri nao unaenda atufundishe na pia imjenge na yeye
@safinanyiwala386
@safinanyiwala386 6 ай бұрын
Poor mind! Ndoa na Mtoto sio mafanikio pekee Kwa mwanamke
@meimama9706
@meimama9706 7 ай бұрын
Mmmmh napita tu wapendwa
@koletajeanne8824
@koletajeanne8824 7 ай бұрын
Neywamitego
@LazandaSweety
@LazandaSweety 7 ай бұрын
Kumbe ana miaka30😂😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
Ee mbona kicheko
@LazandaSweety
@LazandaSweety 7 ай бұрын
@@agnesjohn9382 nimefurahi tu
@Hassanbaoma
@Hassanbaoma 7 ай бұрын
Kina akili sana hiki kidemu
@deogerald7828
@deogerald7828 6 ай бұрын
unamtoto?
@reganusiry8175
@reganusiry8175 6 ай бұрын
Mchaga wakwanza mpumbavu Sana. Hakuna mchaga yupo ivi hili ni Pepo lakukemea kwenye wachaga jamani
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 7 ай бұрын
Tuliozaa watoto wa kike Mungu atusamehe... Haka s ndo kame..... Na Aslay😭😭
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 7 ай бұрын
Siyo yeye
@eagle_839
@eagle_839 7 ай бұрын
Sio yeye wew Mpumbavu
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 7 ай бұрын
Mtangazaji alianza vzr baada ya kudidisha sauti na maswali yakabadilika 😂😂 ila wanaumd kuyashunda majaribu ni sawa na tembo kupenya kwenye tundu la sindano 😊😊
@LillianPeterMugoya
@LillianPeterMugoya 7 ай бұрын
Pesa
@avitusmichael5
@avitusmichael5 7 ай бұрын
Ila ni kadem kazuri japo kanapotea taratibu
@mwitaagness455
@mwitaagness455 7 ай бұрын
Hakika, amechagua kaz ngumu jaman, mbona kasomi jaman😢😢
@ChenchiKing
@ChenchiKing 7 ай бұрын
Mjini Pamenoga Na Muda Ni Mchache Kbs😂😂😂
@HappyShirima-k9t
@HappyShirima-k9t 7 ай бұрын
Kumbe ni mkubwa sema ana mwili mzurii lkn hatoxeeka mapema
@mwitaagness455
@mwitaagness455 7 ай бұрын
Ana baby face
@SmilingCorgi-pr9bn
@SmilingCorgi-pr9bn 7 ай бұрын
Nikaa alilelewaaa vzry uyo ni mtoto mayao😂
@bryanzeconfesor5476
@bryanzeconfesor5476 7 ай бұрын
Mtoto yuko vizuri kichwani namkubali
@EMANUELSPANGA
@EMANUELSPANGA 7 ай бұрын
Presenter umezingua kinoma ulianza vizur mwishoweee umengiaa kwenye mfumo wa bi dada😂 go direct to the points unatuboaa 😂😂😂
@zainabwage4658
@zainabwage4658 7 ай бұрын
Iv hawa wazaz wao wapo hai kwer ?😮
@eagle_839
@eagle_839 7 ай бұрын
Wewe mzazi wako alikufa
@criminalminds7723
@criminalminds7723 7 ай бұрын
Yani Aslay kumchokora mavi huyu basi ndio kashakua kungwi sasa??haya na ambaruti nae tumuiteje
@jacklinemushy6870
@jacklinemushy6870 7 ай бұрын
Sio yeye jmn mbona picture ya yule alie nanilii na aslay mange aliipost akasema sio huyu dada
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 7 ай бұрын
Anatumia jina gani social networks
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 7 ай бұрын
Hofu ya mungu maanake nn?
@lyimoej7198
@lyimoej7198 5 ай бұрын
Hofu ya Mungu maana yake ni kuchukia uovu. Kama mtu hachukii uovu basi hana hofu ya Mungu huyo.
@EAGLESCONSULTANTS-i1u
@EAGLESCONSULTANTS-i1u 7 ай бұрын
wanajifunza sana mdogo wangu endelea tu wala usiache
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,2 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 186 М.
ZAIYLISSA ATARAJIA MTOTO NA MANARA. @iptvTZ
1:43
IP TV
Рет қаралды 283
KUNGWI DUME sehemu ya Nne
30:33
Ibrah Thedon
Рет қаралды 120 М.
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 32 МЛН