Mwanamke mwenzangu ukiona ndoa yako haina amani mwachie Mungu, chagua wanao, hakikisha wanapata elimu na malezi bora, jipende, jithamini, jipe raha, naamini utakuwa na amani sana ktk haya maisha. Mwanaume akikengeuka ni Mungu tu peke yake anaweza akambadirisha, hata upige kelele unajiumiza, hakikisha unapambana na kulea wanao mengine mwachie Mungu. Inasikitisha kuwaacha watoto yatima na kupoteza mwelekeo hasa ktk dunia hii ya sasa, Mungu tusaidie wanawake
@FaridaMahami-zw1mv7 ай бұрын
Umenena yaliyo kweliiii
@HafsaIrakoze7 ай бұрын
Aamin
@palokuthereza25558 ай бұрын
Trust me mtu Wakulaumiwa ni aliyeingilia ndoa ya watu 😢😢sababu angetulia na amuache mume wa watu yote haya yasingetokea.Ndoa na iheshimiwe na watu wote
@GloryMariki-ng6gf7 ай бұрын
Wakulaumiwa ni huyo mwanaume mwenyewe... kwanini hakutunza agano la ndoa aliloliweka kwa mkewe?? Asingemtongoza huyo mchepuko wangeingiaje kwenye mahusiano
@gracegeorge48487 ай бұрын
Kakojoe ulale hakunaga mume wa mtuuuu.ndo maana mwanaume ndo anaetoa mahari na si mwanamke
@merygodfrey37097 ай бұрын
Soo kusema wanawake wa kichaga.Watu wangapi wameuwawa bila hatia na wake zao au waume zao?WW umeona ni wachaga tuu.Acheni Zenu Shetani yupo kazini na hofu ya Mungu ikikutoka lolote waweza fanya. 2. Mambo ya ndani kwa wanandoa ni siri kubwa sana hakuna wa kumlaumu wala kuhukumiwa.
@PeninaJonh7 ай бұрын
Hakika umenena vyema
@sarahfuraha8757 ай бұрын
@@gracegeorge4848Kwan huyo unayesema hakuna mume wa mtu anapokuwa anaapa kanisani ulisikia anasema atakuwa mume wa wake wengi? Nyie michepuko ndo mnasemaga hakuna mume wa mtu. Jitengeneze ufae kuitwa mke wa mtu dada..
@nesielias94938 ай бұрын
Unazaa na mwanaume watoto 6 unamuuwa kwajiri ya bi mdogo watoto wanakuwa yatima kwajiri hasira za kipumbavu😭
@kanankirannko61748 ай бұрын
Na bado unaenda jela duh hapana akiamua ahamie huko kabisa
@betyjoseph68128 ай бұрын
Sahiv anajuta,, hasira hasara
@csato94158 ай бұрын
@@betyjoseph6812 Ndio hivyo ukiwa na hasira usifanye MAAMUZI na ukiwa na furaha USIAHIDI.
@valeriamtenga33848 ай бұрын
Ningewaza watoto wote 6 hapana aise Afu watoto wanavyomweka busy mwanamke, Aende tu, wengi tu tumeumizwa na mapenzi na tumeanza a , kwa kusema unazaliwa Uchi na utakufa Uchi Kisasi kikizidi moyo wa mwanadamu lazima alipize! Tujitaidi kusoma neno na kuomba, dunia ina maumivu mengi sana
@twiseghekisilu88458 ай бұрын
Mpumbavu Sana huyu mama!watoto sita bado una wivu wakijinga hivyo!nyoko zake huyu dada
@ACHP-o208 ай бұрын
Haya miungu ya duniani najua uyu mwanamke hakupanga kumuuwa mume wake jumbo povu tu limemuangukia ila maumivu ya kusalitiwa anayajua Mungu mama wa watu na kwenda jehanamu ndogo leba mara sita bado kiumbe cha Mungu kikatafuta mwingine na tisa kumi kamjengea kimada yamkinii mwanamke uyo alilala njaa alipokuwa anatafuta na uyo mwanaume leo kimtu kinakuja kumenya tu kwa kuondoa ukakasi eti mke mdogo toka lini wakristo wakaoa wake wawili binadamu tuache unafiki hao mashemeji,mawifi na wanaona mke kakosea sana ingefika kwao wangefanya ukatili mara tano ya hivyo
@DM.22008 ай бұрын
Upo sawa kabsa yani iweje mtu eti aje kula kirahisi na mwenzake anapigwa jua lautosi kwenye biashara zake kila siku ata wasimlaumu huyo mke mkubwa stress kamletea mume wake na zimemmaliza yy
@valeriamtenga33848 ай бұрын
So alivyoua imempa nn zaidi ya kutesa uzao wake? Hiyo ni hukumu ya kibinadanu
@jamesjoseph68258 ай бұрын
Roho mbaya na wivu, hata kama alilala njaa ndo uende kuua? Kwani upo nyumbani tena mjengo mkubwa hivyo huli? Hulali? Shida ni nini mpk ukaue kisa eti umemkuta kwa mke mdogo? Hapo angekua mwanaume ndo kaua sidhani kama haya maneno ungeyaongea. Angeua mwanaume hapo ungesema kama umemchoka mwache wala hilo neno maumivu ya kusalitiwa usingeliweka, all in all haijalishi nini kimekutokea kwenye maisha kwanza kaa chini umshirikishe Mungu
@ubuntubantu24048 ай бұрын
@rosetemba una nyota ya mauwaji dada yangu, ikemee
@jescarwegoshola17548 ай бұрын
Umeonae
@MsNajma-e6e7 ай бұрын
Wakiristu mnajidanganya mke moja mungu arivyotoa mandiko howeni wake zaid ya moja arijua wanaume hamridhiki na mke moja na amuwezi tamaha mnazo nyingi na nguvu,,,na pya mke uriehaza nae maisha hacheni zarau ukiowa mke mdgo
Mwanaume anakuwekea mazingira mazuri Ivo bado unamuuwa si umuache Aende Mimi hata akiamia ili mradi watoto wanasoma ,awalali njaa na maisha yanaenda ohiiiii aende tu na njululu yake ohiiiii
@mwanaidimussa8 ай бұрын
Yaaan mtu akisha kjengeaa, uhakika wakula upo kwa dniaaaaa hiiii muacheeeee tu aeende akitakaaa kwenda
@israelkisaila84018 ай бұрын
Shida sasa atakuletea magonjwa,wengi huwa wanaogopa hivyo,maana mbali na huyo bibi mdogo,kesho ataenda kwa mwingine,sasa mtu unakuta ndo Ana watoto 6,halafu anapatia magonjwa ukubwani,ndo Inawauma.
@maprotv18 ай бұрын
@@israelkisaila8401 unaogopa magonjwa kwa kumuua mtu?
@neemamtangi48188 ай бұрын
Yaan dada angu nikama upo moyoni mwangu me umenijengea nyumba nzur hivyo hata watoto weletu me nitalea jmn kuna watu hawana bahati😢
@ummySheikh728 ай бұрын
Rahisi tu kusema hivyo labda uwe hujampenda umefata pesa itakuwa rahisi. Mume anauma weee! Acha ya sikukute unaweza kufanya kama hivyo au zaidi wao wanatuuw kila siku! Kwa hisia tu sikwambii umeona mazingira! Kafia kwa mchepuko aibu saana kakuzalia wtt 6 bado hajaridhika
@superwomanmwenyeheri.13677 ай бұрын
Kama aliweza kubeba kisu mpaka eneo la tukio, kaona kabisa huyu ni mume wangu, na bado kamchoma kimoja tu kikamtoa roho,alidhamiria hakika na alitenda kwa ujasiri na nguvu zote. Hii ni dhahiri kuwa hata huko ndani hakua mtu mzuri, alipenda kumtawala mume, Na si ajabu mume kavumilia mengi kashindwa ndipo akajiongeza. Hebu imagen mke ana drive prado mume rav4, Kweli alikua ampendi? Mke mwema ni yule anaeona changamoto kwenye ndoa yake zinazidi anaamua kukimbilia kwa Mungu na Mungu huwa hamuachi mke wa namna hii. Nimewaona wengi na Mungu huwatetea. Sijawahi olewa lakn mmmmmh...hii.
@jeangodelo53497 ай бұрын
Duuuh😢😢😢 shetani shindwa kabisa mjumba wote huo unaumiliki,biashara gari vyote hivyo unavyo ungemuacha hata ahamie hukox2 duuu..😢 pole sana
@upendombise81137 ай бұрын
Unajua sisi wanawake tuko hivi tukiwa atuna haya maisha tunasema tunaona ni raisi lakini kweli ni kwamba tukipata nyumba nzuri gari nzuri watoto wakasoma shule nzuri hela ipo tunaitaji upendo Sasa unatamani mume awe wako tu muwe sawa ndo matokeo yake hayo
@ZubedaAbdallah-s5p7 ай бұрын
Alhamdulilah kwa kuniruzuku kuwa mwislam haki sisi wanawake wa ki.islam hatuna mbaya mume anaoa na maisha yanaendelea binafsi mimi nipo kwenye ndoa ya wake wa 3 na bado nafasi 1 jimbo lipo wazi na tuna Amani hakuna kuchoma visu
@svt37 ай бұрын
Ila hapo hampendani, unafiki, wivu, kuangaliana kijicho, kusemana vibaya🤔🤔🤫🤫 maisha gani hayo ni umadkini na akili za kimaskini ndio zina wafanya muvumilie hata waislam matajiri kama Dangoote, Mo de...... wanawake mmoja mmoja ila hawa waislam makapuku ndio wanakimbilia kuweka wanawake zaidi ya mmoja
@asteriashios18528 ай бұрын
Kwa wakristo hakuna mke mdogo ni hawara au mchepuko na Kuna Siri kubwa hapo hiyo ndo shida ya kutotulia na mke wa ndoa inauma mume unamzalia watoto 6 na Bado anachepuka u Malaya siyo mnzuri
@ikulunimahalipatakatifu76427 ай бұрын
nazani si vizuri kuukumu kwa sababu maisha ya ndoa wanajua waliomo, wanawake mna mambo mengi tena ya mauzi sana wanaume uwa wanaamua kuwa kimya na kuendelea na maisha mengine..,
@EmmettOnike7 ай бұрын
Mmh watu mnapenda kuhukumu Sasa akichepuka unamuua.una watoto wako sita unaua mtu Sasa unaenda jela wanao wanalelewa na nan?kabla ya kutenda fikiria kwanza
@NuruJara7 ай бұрын
Jamani mm leo michepuko wa mume wangu amenipigia akanieleza kila kitu hata audio zipo amemkodishia sijui nifanyeje naumwa na moyo nko na miaka kumi sija wai kumcheat natetemeka sijui nifanyeje nk Kenya naomba msaada wenu yy hataki kukubali makosa
@Allybinamour7 ай бұрын
mume kakuzalia watoto 6 anachepuka hio ndo inauma lakini mwanamke kumuua mumewe hio haiumi sio?
@anunalamin64727 ай бұрын
@@NuruJarakimya usimuulize la heri wala shari ukimya ni jibu Tosha
@happinesstesha70618 ай бұрын
Kaacha nyumba nzuri anaenda jela dah na watoto😢 hiv watakua na maumivu kiasi gani
@SaumuSaidi-z2v8 ай бұрын
We acha hizo huyo atatoka tu mbona ngoja msiba wishes.kwn yule kijana aliemuuwa mm ake mfanya biashala wa madini na kumtumbukiza kwny Chamba ya choo hapo kwny mjengo wake mbona katoka na kesi imeisha!
@SaumuSaidi-z2v8 ай бұрын
Na yule bilinear msuya naye mke si alimmaliza tena na wifi akauwa mbona katoka kainekana hana hatia,kwa huyu atatoka mn ukichunguza zaidi huyo mume ana makosa sn,
@jovanafidelis28027 ай бұрын
Unahisi ana makosa kustahili hii hukumu?@@SaumuSaidi-z2v
@Zaynab-ny6gr7 ай бұрын
@@SaumuSaidi-z2vana makosa gani mume asihudumie mtt wake?? Yy mbona ana maisha mazuri wanaume kuchepuka kawaida km tukisema tuwauwe tutabaki wanawake watupu ni upungufu wa fikra tuu
@sharonyasin75218 ай бұрын
This what we call power of love
@RubenMtuwaMungu-bz8ee7 ай бұрын
Wakristo hatujidanganyi ni agizo mme mmoja mke mmoja. Mungu amempa mwanadamu free will aamue atakavyo ingawa Mungu keshatoa mwongozo. Hata wenye wake wengi nao wanachangamoto zao.
@mwasitigervas26248 ай бұрын
Nyumba nzuri hivyo nahangaika na mke mwenzangu natulia nakula tu hata maua ,,maamuzi magumu ,,pumzika kwa amani marehemu🙏
@marthadaniel49048 ай бұрын
😂😂😂😂😂unakula mpak maua jmn mm nasom comment na kuangalia mazingira ya nyumba😂😂 kila mtu atakuf na kifo chak
@Mbarukuhawa7 ай бұрын
Mke anaolewa na mtu sio nyumba.
@mrsdeborahurio7 ай бұрын
Una akili km yangu!
@EddahBure-te7ft8 ай бұрын
Mtuhumiwa Ali mpenda sana mumewe jmn, ukiona mwanamke kakuzalia watoto wote hao ni kweli alikupenda kwa dhati na ndio mana ilimuuma sana kuona mwanaume kama ni watoto nimekupa lkn bado hawakutoshi unaenda kuongeza wengine unahamisha mapenzi kwa wanao wakubwa unapeleka kwa mchepuko hii inaumiza sana kwa ambae hajawah penda na akatendewa hivi anaweza ona ni mwanamke mkatili lkn hii ipo na inatokea sana tu mungu atuepushe kwa kweli
@mustafamsati95998 ай бұрын
Hapana mtuhumiwa anaipendasana pesa hataki mtu mwengine hao ndio wanaoamini kuongeza mke ni kuzini wakati hilojambo lilianza tangia enzi za manabii
@mustafamsati95998 ай бұрын
Hapana mtuhumiwa anaipendasana pesa hataki mtu mwengine hao ndio wanaoamini kuongeza mke ni kuzini wakati hilojambo lilianza tangia enzi za manabii
@EddahBure-te7ft8 ай бұрын
Nakupinga asilimia zote kwa mana manabii hakufanya sifa kama mnavyofanya nyie kwa sasa, kwanza mke hadi kufika kupatwa hasira kiasi hiko ni wazi mume hakukushirikisha kama anaoa imagine amemjengea hata familia yake haijui afu umfwatilie ukute mambo kama hayo jazba lazima ikukute tuu,, kama unge mwambia mkeo ukweli sizan kama angefanya hayo mwanamke anapenda kubembelezwa tu japo ukweli unauma lkn ingefika mda akazoea wangap tunawaona wapo mitara na wala hawajal mnakerekwa nyinyi majiran lkn wao wala hawastuki ni swala la mwanaume kua na busara tu lkn nyinyi mnafanya sifa sifa na kumkomoa mwanamke hapo ndo mnakosea, ww ukitaka kujua huyo alifanya hasira tu utaona ni kwann kakamatwa kama alipanga kumuua tu kwaajili ya mali si angeanza kupanga mipango yake mapema angehamisha watoto hata nje ya nchi na yeye akafanya tukio then akatoweka nani angempata ? Lkn ye kabak hapo hapo ni hasira tu na huwezi elewa hadi yakukute ko tuliopitia tunaelewa 👍@@mustafamsati9599
@nasramohamedi40958 ай бұрын
Kwa ujinga huu czai tenaaa! Unamzalia mwanaume watoto lukuki then fadhila zake kwako ni usaliti😢😢😢 nimesema czai Tena akichepuka na achepuke tu😏😏
@EddahBure-te7ft8 ай бұрын
@@nasramohamedi4095 😂 na mm hivyo hivyo nimesema sizai tena namuangalia tuu wala sjamwambia 😏
Hata mkificha lakini kidini Yule sio bi mdogo mchepuko tu mke mmoja tu
@SALIMMpimbi-e6o8 ай бұрын
Kidini kuua ni sawa? Mbona kama una Judge upande mmoja
@g_forcemusician42428 ай бұрын
Kwahiyo amefaidi nini
@aminakasim11988 ай бұрын
Mmmmmmh😊
@SALIMMpimbi-e6o8 ай бұрын
@@g_forcemusician4242 Swali zuri sana. Mume kafa, yeye anaenda jela kifungo cha maisha. Watoto wanakosa vyote.
@ElizabethMkini8 ай бұрын
Hajafaidi chochote...kaka zetu muache umalaya...chanzo hapo ni mume angetulia na mke wake yangetoka wapi yote haya?!inasikitisha watoto wanakuwa kwa wakati mgumu.kila mtu anauwezo tofauti wa ku control hasira...so mtulia period.@@g_forcemusician4242
@Tanganyika-w5p7 ай бұрын
Hilo li Mwanamke litakuwa liMACHAME. Hakuna Mwanamke wa Kichaga anayeua zaidi ya MMACHAME. Wanaume tukae mbalii na Wamachame..
@CarolineMsuya-j2d2 ай бұрын
Omba MUNGU yasikukute, tusilaumu sana, hasira zina .mambo mengi. MUNGU naomba unisaidie
@Mimi-wf7mb7 ай бұрын
True. BBL is rampant in Nigeria. Here in TZ it is not heard frequently. And those who do it must be very rich coz she has to travel abroad for the surgery. I also think most Tanzanian girls are well shaped so no need of bbl.
@neemajerome79817 ай бұрын
Wanawake sisi tunapitia Mengi sanaa wanaume huwa hawaridhiki hata ufanye nin
@ubongosahihi7 ай бұрын
Siyo lazima mtu ajue kama alimjengea au la Wanawake wengi tu wanajengewa hata pasipo kumzalia mradi alimpenda. Na pia inategemea mwanaume anapitia changamoto zipi huko kwa mke wa ndoa au huwa tu ni tabia za wanaume Fulani tuwaombee Wanaume wote Pumzika kwa Amani Baba wa Familia 👏🏾
@ShomaryShomary-j9d7 ай бұрын
hiyo mama nayey ajiuwe tyuu mana sioni sababu ya kuishi
@victorsolomon-ze8uw7 ай бұрын
Moyo wa mtu ni kichaka, unaweza kufikiri amemuua mumewe kwa wivu kumbe mtu alishapiga mahesabu ya kumiliki hiyo mijengo na biashara na kimada ametumika kama kigezo tu cha kumuangamiza mwenzake,siamini kama kweli hakumjua huyo kimada siku zote hizo.Anajua atafungwa lkn atatoka mapema tu.Na wanawake wa kaskazini ndio zao hizo,mapovu ruksa.
@SimonMwita-k8s7 ай бұрын
Ukweli kabisa kaka.mimi ninavyo jua serikali ya Tanzania Sheria ni ya munyonge.kwanza hiyo kesi itatupiliwa mbali.huyo mwanamke muwaji atawachiliwa pesa itatumika.hakuna Shahid atandikisha report kwa police ya Tanzania kua aliona tukio likifanyika.watakao muzaidia huyo muwaji mwanamke ni mashemeji lakini inauma kweli poleni
@sylvestercameo62638 ай бұрын
Huyu mwanamkehajamuua mme wake kwa bahati mbaya, bali alikusudia na kudhamiria kutenda uovu. Umbali na muda aliyotumia kumfuata huku akiwa na silaha ungemtosha kutafakari upya uovu aliyodhamiria kuutenda na kughairi kwa kuishinda hasira. Kwa vyovyote haya ni mauaji ya kudhamiria (murder case) na si mauaji bila kukusudia yaani (man slaughter).
@luluzegema57827 ай бұрын
Yan mimi atembee ata na chizi atajua mwenyewe simfanyi chochote Kwanza nimemkuta ukubwan tu anayemjua ni mama yake Mimi nitawapenda wanangu yatosha🙏😭😭
@neemajerome79817 ай бұрын
Labda uwe huna mapenzi nae unajua moyo ni kitu cha ajabu sanaa and utaruhusu hayo yatokee mwisho wa siku unakuletea maradhi wewe umekaa zako tu nyumban umetulia
@victoriadenis16948 ай бұрын
Mume anauma hapa huwez judge mwanamke peke yake huwez jua huyo mwanaume tofauti na hyo kumcheat labda alkua anampa manyanyaso mengine yakuathiri psychology yake jaman manyanyaso sio lazima upgwe watu wana mahela ila wanaishi maisha ya taabu sana.
@kelvinmmassy3488 ай бұрын
Mume anauma lakini ndo ifikie hatua ya kutoa uhai wake
@valeriamtenga33848 ай бұрын
Mbona wetu wamechukuliwa mazima na michepuko hata hatujui wako wapi tena, bora huyo alikua anarudi home kwake! So tukiua inatupa suluhu kweli? Andiko linasema: mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote.....sasa tunapoupa moyo kazi ya kumpenda mwanadamu kuliko Mungu, ni tatizo! Lazima utaumia sana, swala la kumove on ni ligumu lkn ni la muda tuuu, Hatujazaliwa na kitu, tukubali kupoteza vitu/ watu ikiwa ni gharama ya kuanza upya
@ElizabethKiria7 ай бұрын
Nasikia hawara alikuwa anamtusi mke mkubwa ,
@summanelson55237 ай бұрын
Tatio kubwa hapa ni kuua! Tumeambiwa " usiue". Hakuna sababu yeyote inayohalallisha kutoa roho ya mwenzio! Sasa atafungwa pengine maisha. Amepata nini? Dhambi ya mtu inakufanya na wewe utende dhambi!!! Llah hasha!
@fetyalmas6987 ай бұрын
Kweli kbs
@privasara39718 ай бұрын
Naona wanawake wengi wanacomment eti wangewekwa kwenye nyumba kama hiyo wangetulia,hayo ni mawazo ya kimasikini sana,mnajuake kama mwanamke ndo alkuwa na kipato kikubwa zaidi ya mume?na sio rahis kuaacha vitu kirahisi hvyo esply kama kuna pesa tayari,watu hawalali kuzitafuta hizo pesa so akikumbuka hekaheka alizopitia ndo matokeo yake yanakuwa hayo,sisuport kuua mtu ila mnahukumu sana
@nixonjohnson49087 ай бұрын
Na mdogo naye kajengewa na mkubwa... huyu anajiweza bhana
@japhetpeter40957 ай бұрын
usihukumu ucje ukahukumiwa aliekudanganya Kuna mwanaume mwenye make Mmoja ni nani
@JacklineMnganya7 ай бұрын
Kama unaona kero mumeo kawa na nyumba ndogo Cha kumuuwa mtoto wawatu Nini? Chepuka na wewe au kama unajiina mpambanaji huwezi kupokea kaa pemben. Mimi kama tunapata mahitaji nikumwombea afya njema apambane wote tupate haki sawa. Wanawake tupendane tuaeche wivu usio na maslai ona Sasa anakosa vyote
@SuleimanKhdija8 ай бұрын
Hasira hasara tujaribu kudhibiti hasira zetu maana huu ni mtihani
@angelchuwa36688 ай бұрын
Hasira hasara kwakweli.. na utajiri wote huo bado unahangaika hivyo mpk kuua jmn
@edinakyaruzi92268 ай бұрын
Pole mke maumivu ni makubwa pole sana kusalitiwa kusikie tu
@AsteriaValerian7 ай бұрын
Kisu haki yake 2mechoka kusalitiwa
@cosmaskulaya52978 ай бұрын
Hawa wake za matajiri hapa moshi hawajafundwa wala kufuzwa, wana mavikoba yao wanachaguana eti wake za mabosi kwenye mavikao yao wanakunywa mapombe na kufundishana upuuzi usiofaa mbele ya jamii yeyote. Vitambi vyao huwezi kuvibeba
@salhawaziri16688 ай бұрын
Hahahah tuacheeee watoto wa moshi
@roynessmanji62928 ай бұрын
Km hapewi Pesa zinaishia kwa michepuko kwann asijiongeze na vikoba
@aminakasim11988 ай бұрын
Mmmmmmmmmmmmmmh
@MkindiJujan7 ай бұрын
Hili ndio jibu wamempambisha mwenzao kwa kumjaza roho ya wivu na ushetani Asimame mke mmoja tu atoe ushuhuda mumewake Ana mwanamke mmoja tu Ujinga roho mbaya maana marehemu amezaa naye pia huo mpango wa kando ndo maana pia amejengea kwa ajili ya mtoto wake Lkn maneno ya mashosti yakumjaza shoga yao haya kikowapi sasa
@veronicajohn76458 ай бұрын
Dah Adui yupo kazini.
@mymuhnabdallahshaban77638 ай бұрын
Ten mwanamme kajeng nyumb nzur t mke mkubw alikuwa na Maisha mazur jumba la kifahari na gari juu umenunuliwa na kutembelea bs angefikiria watoto wake kwanza kabla ya kufany tukio saiv watoto wataish mazingira magumu San sababu baba kafa mama ndo atahukumiwa jela maisha ina maan mali za marehem watashikilia ndug watoto hawatapata kufaid mali za baba yao maan ndug pia Hapo hizo mali na biashara wanazitolea macho 😢😢😢😢😢😢😢😢
@ElizabethMkini8 ай бұрын
Jamani hajafata nyumba...kikubwa usi mjudge hujui alikuwa anapitia nini...
@estherkimario79408 ай бұрын
@@ElizabethMkinisasa apata faida gan kaendeshwa na hasira za kijinga hajafikiria kuna njia nyingi za kufanya mume atulie kusalitiwa kawaida kwa mahusiano ya sasa sasa hao wtt watateseka kwa ujinga
@ElizabethMkini8 ай бұрын
@@estherkimario7940 Faida hapati kaa ukijua kila mtu anapokea jambo tofauti...ni kumuombea tu hata huko alipo analia na kuomboleza...yote ni kazi ya shetani na mume angetulia yasingetokea haya yote...
@teddygabriel56628 ай бұрын
Mjengo upo vzr
@Njeriii5368 ай бұрын
Sana alafu kusafi sana
@ubongosahihi7 ай бұрын
Mke mwingine, Wakristu ni Mke ni mmoja Tuuuuuuuuuuuu hakuna cha mke mdogo Wenzetu Waislamu wana Nafuu mapema waliwekewa Misingi ya Ndoa huku waliuweza Ulimwengu huu wenye Kuyumbishwa na Usaliti wa Mapenzi Bubu ndiyo ni Mapenzi Bubu kabisa PUMZIKA KWA AMANI KAKA 😢😢
@fadhilajamal2178 ай бұрын
😢😢😢mjengo wa maana kabisa maisha mazuri sasa unamuuwa nn
@summanelson55237 ай бұрын
Loh masikini! Sasa mke kafanya nini? Na yeye kajiua kabisa. Hana Maisha tena!
@rebbywealth98697 ай бұрын
Ndo ya kikristo haina mke mdogo.... huyo mwingine ni hawara, tumieni kiswahili vizuri
@ShukranMwakyambo8 ай бұрын
Mashemeji nyinyi.unasema humfahamu alafu unasema uliongea na shemeji.alafu Malehemu ana watoto saba na kwa b mdogo mmoja.ndugu wa mume pepo mtalisikia tu.
@nasramohamedi40958 ай бұрын
Yaan ndugu wa mume ni nyokoo
@unknownbutterfly63108 ай бұрын
Kuna yule aliimba wimbo kua mashemeji wote wapigwe mawe.... Yaani, ni wanafiki kinoma😂😂
@ahz69078 ай бұрын
Nadhani Alisema hakuwa akimfahamu.itakuwa baada ya tukio ndio kamfahamu.
@eve7627 ай бұрын
Wanamjua wanazimuga tu,maneno yake kwa mtu aliesoma Cuba anamuelewa vzr tu
@ShukranMwakyambo7 ай бұрын
@@eve762 kweri kabisa
@katarinawilliam99607 ай бұрын
Wake wadogo/michepuko,Wanakuwaga na wivu mnooooo,kwa waume ambao wamewakuta tayari wana miji yao na ni roho mbaya komeshaaaaa.Wanaume wajifunze kutulia na mke mmoja hata kama ni kisirani badirisha chumba.
@BobLuck-fv5ef7 ай бұрын
Mimi nimwachwa na mume akaoa mke mwingine ,na aliondoka na kila kitu nikaachiwa watoto,nimelaani sana huyu mama muuaji kujichanganya
@GetrudarCelestineAmede7 ай бұрын
Una watoto6, una gari na nyumba nzuri t haf unajipeleka jera kipuuz hivyo!!!! Mwehu kwel
@faithlutainulwa38327 ай бұрын
Looh! Mungu wape watu roho ya uvumilivu. R.I.P Baba.
@nuruabraham37697 ай бұрын
hasira hasara ona sasa umepata faida gani, hata kama inaumiza lakini umepata nini kutoa uhai wa mwenzako? yaani uliangalia wivu wako tuu hata hukuwaangalia watoto kumkosa baba yao kweli na vipi kuhusu ndugu zake ambao walikuwa wakimtegemea. MUNGU AKUSAMEHE.
@AminaLibisa7 ай бұрын
Afadhali kamuua mumewe ingependeza na yeye anyongwe wakapendane ukouko milele
@ilakozasembumende19758 ай бұрын
Kwa shemeji .kwa mke mdogo😢😢😢😢 ndugu wamume jamani😢😢😢😢 pole kaka kwa kuawawa pole mama kwakumuua mpenzi wako wa ujanani na kuacha watoto peke yao😢😢😢😢
@leokamil62848 ай бұрын
Ndugu wa huyo Marehemu wabaya sana watamuitaje hawana wa ndugu yao ati mke mdogo?.Marehemu kaoa Kanisa Kidini ndoa ya mke mmoja, hajamuacha iweje waseme mke mdogo hawajitambui. Inaonyesha wazi pamoja na mke mkubwa kuwazalia watoto 6 lakini hawapendi .wanabariki mchepuko mfuata mali za ndugu yao .
@aminakasim11988 ай бұрын
She is really wife because she's have a baby with husband, in this world not have a man who can stay with one wife, I am sorry ladies,😂😂😂😂😂😂, man can take a for ladies, ladies,
@leokamil62848 ай бұрын
@@aminakasim1198 Kuwa na mtoto sio kusema ndio mke wake. Huyo ni hawara tu mchepuko kwa jina lingine. Angetaka kuhalalisha awe mke angevunja ndoa ya kanisani ya mke mmoja, kisha akaoa mke huyo anaemtaka .Lakini kwa uoga wa kujua akivunja ndoa watagawana mali akaona aendelee kuchepuka huku akimuudhi labda na kumnyanyasa mke wake kisaikolojia. Mungu ampumzishe kwa Amani poleni wafiwa na watoto.
@ElizabethMkini8 ай бұрын
@@aminakasim1198 A big fat nooooo!I disagree with you...out there they are plenty of good hubbies...so don't generalized...Don't give these cheaters "air time" ...They have to respect matrimonial vows and the notion of the sanctity of the marriage at the first place...that concubine is not a wife😮
@ilakozasembumende19758 ай бұрын
@@ElizabethMkini kabisaa kua ni dhambi kubwa .lakini uzinzi pia ni dhambi kubwa sana. So kwa kilichofanyika wote wa talipia ubaya walio fanyiana . Japo kumtoa mtu uhai ni hukumu mbaya sana na ni jambo baya sana. Ila kusikia mume wako ulie zaanae anakimada na amekijengea na amezaa nae kabisaa ni jambo ambalo bila nguvu ya mungu kuvumilia ni ngumu sana jambo lakwanza linalo kuja nikuua katika usariti masikini. So huyo dada mimi namuonea huruma sana sana natamani atoke gerezani aweze kulea watato wake nikama ameua bila kukusudia jamani . Tuliona kesi ya lulu na kanumba lulu aliua ila aliua bila kukusudia so ata dhamana huyu dada anaweza kupata tuu na kesi aka hukumiwa miaka miwili akarudi kulea watoto wake
@EmsonSambo8 ай бұрын
Dada anaacha mji mzuri ivo anaenda kukaa jela shetani ananguvu sana😭😭
@sophiakimaro51748 ай бұрын
Kama alikuwa na uwezo wa kumiliki wake wawili kulikuwa na shida gani?mbona wenzetu wanaoa wake 4 na heshima inakuwepo tu?
@MWANAIDIRULIMBIYE8 ай бұрын
Yaan acha tu maana mwanaume hata uwe pekee yako lazima tu awe na mwanamke wa nje wanaume huwa hawaridhiki jamani wanawake wenzangu afu mkumbuke ki ukweli wanawake tupo wengi wanaume wachache afu kwani akienda huko kwa mwanamke wake wakitombana anaiacha huko c anarudi nayo na wewe unaitumiaa wee haikondi haipungui haiishi ladha ya nini kuacha watoto mahatima lakini mweee😢😢😢😢
@aminakasim11988 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ Sofia congretchulation mama total them,
@aminakasim11988 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ Sofia congretchulation mama total them,
@salcle97028 ай бұрын
Mama prado baba R4 kweli kina mama wa kichaga kiboko😢
@palokuthereza25558 ай бұрын
Sasa Prado lazima adrive mume 😅
@estherkimario79408 ай бұрын
Halafu bdo u naua hivi kwel huyu mama mbona katil na huo mjumba na mazingira sasa me hata nisingejali nazingatia maokoto mahusiano ya sasa kusalitiwa kawaida huyu bdo mshamba watt watateseka hao maana hawajui shida sasa cjui apata faida gan
@israelkisaila84018 ай бұрын
Haya mwenyewe niliwaza hivyo,yani watoto TU jamani😢
@NellyFrancis-nn3qb7 ай бұрын
Mmh jamani mungu akupe mioyo mikunjufu
@idinado-wk3lx7 ай бұрын
Wanawake wa Moshi Mimi nawaogopa sana maana matukiyo kwenu yamekuwa mengi sana mala kuuwa wazazi Kisa Mali mala muuwe wame zenu namengineyo mengi njiee TU duuuu
@mgesizablon7908 ай бұрын
Nikweli inauma sana kusalitiwa lakini vyema tujitahidi kuzuia hasira zetu ona sasa watoto wanakosa malezi ya baba kwa sababu ya hasira ya mama.
@AnethWambura7 ай бұрын
Wanaume wote waone ujumbe huuu.....mwingne kosa la kuchepuka mwingne la mauaji kwann lakn
@VumiDavid-lo1cl8 ай бұрын
Kuzaa na mwanamke mwingine ndo kuamua kumuua mkaka wa watu baba wa watoto wako jamani samehe saba mala sabini.
@RittaBryson-co4vp7 ай бұрын
Unajuaje kama ni kuzaa TU...hakuna na heshima huyo
@HuseniMsumba7 ай бұрын
DU!WANAWAKE WAMEPEWA VICHWA TUTA MALIZWA NA WANAWAKE WAMEKUA WABABE!😂,
@GetrudeRashid-be8bs7 ай бұрын
Jmn dini ya kikristo haina mke mdg,,,,hivi nyie mnajua kusalitiwa kunavyo Uma,,,hlf kutwa mke mdg,kafumaniwa huku mnasema knsn knsn,,, ubatil mtup,,ndoa naiheshime na watu wote😂😂😂
@heriethsamwel71907 ай бұрын
Hata kam alikuwa anamfahamu awezi sema 😮
@PiusMaira7 ай бұрын
Ni madhara mabaya ya kusoma Bible na kutoielewa, maandiko yanasema ni Askofu peke yake aliyezuiliwa kuoa mke zaidi ya 1.wengine ni ruksa kuoa mke zaidi ya Mmoja. Achaneni na mapokeo ya wazungu. Wakristo wanaume amkeni ,
@rizikisam64818 ай бұрын
Baba amekufa mama yupo jela watoto wamekosa wazazi wote na hao watoto sijui kama kuna kitu utawambia wamsamehe mama yao
@joycemkeka37698 ай бұрын
Ukiolewa kwajili ya mali utaona sawa tu mume kufanya chochote mradi anakupa pesa ila kama umeolewa kwa mapenzi ya dhati lazima utatikisika sana ndomana wapo wanaume pia wanauwa wake zao kwa uchungu wa mapenzi kwanini wasiamue kuoa mwingine? Yani hapo mungu tu akuvushe ukiweza mshukuru mungu usijisifu
@neemahezron4867 ай бұрын
Watoto wanapitia mengi baba amekufa mama jera
@leokamil62848 ай бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa. Sasa mmeachia watoto mateso na ndugu ndio watajinufaisha na mlivyoviacha hasira hasara. Msiseme Mke wa pili nyinyi ndugu maana Mkristo ataoje Mke ndani ya ndoa. Semeni hawara yake huyo. Pia inaonyesha nyinyi ndugu hamumpendi Mke wa kwanza kwa matamshi yenu
@marthalucas-p8h7 ай бұрын
Ukiona mume wako anachepuka jua mwanamke. Unakero ndani ya nyumba
@HidayaMwakilema8 ай бұрын
Mwanamke umejengewa nyumba nzuri bado unamuua mwanaume du
@givenessdavid37438 ай бұрын
Mapenzi ni mapenzi na nyumba ni nyumba
@SaumuSaidi-z2v8 ай бұрын
Unajuaje km mwanaume amejenga mwanamme peke ake?huenda mwanamke alitoka mbali mpka hapo walipofikia leo hii mtu anazaa nje ya ndoa ht familia haijui km ana mchepuko ht mimi nauwa
@SuzanRowland8 ай бұрын
Kwao hawana nyumba?watoto sita alfu pimbi analeta stress ndani
@DM.22008 ай бұрын
@@SaumuSaidi-z2v Haswaaa asilimia kubwa hapo wametoka mbali em fikiria watoto sita na pia sio kwamba mama alikua hafanyi kaz walikua wanatafta wote af mwingin anakuja kula kirais tu aweeee patachimbika labda ka una moyo wa chuma
@judyngowi3918 ай бұрын
Hata kama angezaa watoto 10 hakutakiwa kuua mwezie
@RachelLaizer-n2p8 ай бұрын
Yani ningemuacha aende tu kwa mazingira ya nyumba hii halooo atajiju mm napambana na watoto na kuremba nyumba na biashara
@RittaBryson-co4vp7 ай бұрын
Hivi wewe....umetafuta nae from zero saivi mna vingi Ivo uache TU akagawe jasho lako kwa mchepuko!! Hufikirii sawa na wala sijasema kuua ni sawa.
@DudddyWhyCant7 ай бұрын
Wanawake wa Kichaga .... hata bure sitaki.
@MaryamAlli-is1jg8 ай бұрын
Ilivyotangazwa mwanzo ni hawara na sio mke wa ndoa wanaficha ukweli tu
@SALIMMpimbi-e6o8 ай бұрын
Nikwambie ukweli? Mama anaenda jela kifungo cha maisha. Mume amekufa Watoto wanakosa baba na Mama. Biashara zao zipo hatiani kufa pia, maisha yanaweza kuwa magumu sana kwa watoto. Huo ndio UKWELI. Hilo la mke ama hawara ni IMANI tu.
@AnnaAnthony-is9wj8 ай бұрын
P
@Giftypmushi8 ай бұрын
@@SALIMMpimbi-e6okabisa lazima life ibadilikeee
@ahz69078 ай бұрын
Kiserikali huyo ni mke kabisa na ana haki zake hata kurithi mali za marehemu.😂
@mtanzaniahalisimungunimwem6737 ай бұрын
Kwa kuwa ni tajiri wanasema mke mdogo,angekuwa maskini wangesema Awara.acheni hizo hizo,marehemu alikuwa mzinzi.mke atajutia hasira imekuwa hasara kwake
@Graceyusuphh8 ай бұрын
Mungu tunaomba mwisho mwema
@anunalamin64727 ай бұрын
Bora uislam walieka sheria wanne hakuna mambo na kujificha kuliko mambo ya ndoa moja michepuko kibao wanaume ni wale wale tu
@roseMkonyi-bz1rk7 ай бұрын
Hizi ni hasira
@nimuhimusana7 ай бұрын
Hivi anakuzalia au mnazaa.....??????
@emmajud12377 ай бұрын
Mke mdogo au mchepuko wake mana wakristo hawana ndoa mbili huyo ni mchepuko hakuna kukwepesha maneno eti mke mdogo
@emanuelmaraki97588 ай бұрын
Wanawake wengine wapuziii sana unaua Cha moto atakiona hapa Dunia alikuwa halali njaa ni kiherehere chake mwanamke Moja hudumaza akili watoto wanajuwa wanasikia uliuwa baba yaoo laana kajitengezeaa
@mpambanajitz70268 ай бұрын
Mapenzi shikamoo 🙄🙄🙄 R.I.P MWAMBA 5:54
@SophiaKamgunda7 ай бұрын
Huyu mama mbona alikuwa nabahati makazi mazur nagar juu bado unamuua mwenzio kids bimdogo
@azizamvungi18717 ай бұрын
Ila jamani siwezi kumuuwa mme wangu siande tu kwani utafanya nini sasa kama mwanaume kaamuwa?ifikie hatuwa wanawke tusijipe presha wanaume hatukuzaliwa nao
@vanessastafford64268 ай бұрын
Haya matukio ni mengi, sina tena cha kushauri. Huyu mwanamke ni shetani kweli
@veronicankhwazi79547 ай бұрын
Hatujui alikuwa anamtreat vp mke wake mkubwa hadi kapata hasira hiyo
@fetyalmas6987 ай бұрын
Mmmh adui yupo kazini😢
@victorcephas36188 ай бұрын
Unapata wapi nguvu za kumuua mwanaume?
@MaximillianNgoiya8 ай бұрын
Haya ndio madhara ya kupata mpaka kuvimbiwa kuna watu hawatakiwi kuwa matajiri kabisa. Yaanu mtu hela inampelekesha mpaka mke anamuua. Hapo mke anaenda jela na yeye kashaondoka mali wanachukua ndugu kiulaini.
@sarahgaula22208 ай бұрын
Yaani mabibi wadogo wanapenda penye hela
@reginaogutu21297 ай бұрын
Hasira ni hasara, usifanye maamuzi ukiwa na hasira.
@SafiaSeif-gw4ut8 ай бұрын
Umemuwa kwa wivu wa kipuzi.jee watt wko watalelewa nanani?ww pia utakuwa jela maishaa?😢😢😢
@consomatogaudence1368 ай бұрын
Kuna siri kubwa nyuma ya pazia huenda huyu mama amtumika kama chanzo ila huenda cy yeye maana kwa harakaharaka cy akili zake
@naomicharles54447 ай бұрын
Mwanamke akifikia hapo jua kwanza ajutiii uamuzi wake, pili hana cha kupotez
@marcosnjau16307 ай бұрын
Innah lilah wainnah ,illah RAAIJUN🤲🕯
@ChristaMazara8 ай бұрын
Yaan me kwa nyumba hiyo nicngemfatilia mume wangu kama anajal familia naish nyumba nzur nishindwe kujiifurahisha na wanangu
@MonicaBenitomwalongo8 ай бұрын
Yani apo ndugu mnaficha uyo sio mke mdogo ni kimada cha uyo baba
@MaryamAlli-is1jg8 ай бұрын
Ilivyotangazwa mwanzo ni hawara na sio mke wa ndoa
@beatricepallangyo28218 ай бұрын
Kwani Wakristo tuna wake wawili? Zaidi ya mmoja ni kimada siyo mke Kikristo
@leokamil62848 ай бұрын
Wanaonyesha hawampendi mke wa ndugu yao ndio maana wanabariki uzinzi
@tanzaniaafrica70198 ай бұрын
Sasa apo ata kama ungekua wew ndugu yako amesha uwawa na uyo mwanamke uraonyesha upendo vimada walikuwepo toka enzi za mababu na wataendelea kuwepo sasa kapata faida gani unaacha watoto wako wateseke kwa sababu ya hasira zosizo na faida @@leokamil6284
@aminakasim11988 ай бұрын
Ladies ladies let me tell you, in this world aman can't sit, with one wife, forgot about Christian, religion,,
@fatumaissa26248 ай бұрын
Mwenyezi mungu amulaze mahari pema pepono
@AgnessMsacky8 ай бұрын
Wacheni kumlaumu. Huyu mwanamke. Huenda. Mchepuko alishajibizana na mke. Mkubwa. Na mume wao hamkanyi huyo bi mdogo na mme pengine anamjeuria mkewe. Mkubwa. Unge kua nyie mngefanyeje
@AbiaWilliam-s1s8 ай бұрын
Poleni wanafamilia
@ROZITHOMAS-y4q8 ай бұрын
Huyu mwanamke mpumbavu sana. Sasa amepata nini. Atazeekea gerezani kwa mauaji. Ataacha watoto wake kwenye shida. Wanawake tubadilike wanaume wakiafrica kukaa na mwanamke mmoja hawawezi kabisa
@michaelsamson96638 ай бұрын
Unaweza kumpa kila kitu na anakuwa inaumizasana uyo mwanamke amekosa Nini kwenye utajili uo jumba zuli kanunuliwa Prado pesa ipo uyo mwanamke anyongwe nishetani afai kabisa
@michaelkamunyu5678 ай бұрын
Wanawake wakichaga ndo walivo ni masingle maza weng wanasbria tu mzee andae kila kitu baada ya hapo wanamkwida shenz kabsa
@SaumuSaidi-z2v8 ай бұрын
Kwn hao wanaume wote wanaowauwa wanawake na kuwanjicha ni wachaga?kila siku mauwaji saizi wanawake tuna asila sn
@DM.22008 ай бұрын
Una uhakika uyo mam ni mchaga au unaongea tu ujinga pia wanawake wamechoshwa saiv mpaka mt anakuzalia watoto sit bado thaman huioni we si utakua balaa😢😢
@NEEMANdembwe8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@judyngowi3918 ай бұрын
Koma kabisa nyau wewe
@ElizabethSanu7 ай бұрын
Mh hivi tunaishi na wanaume kwa savabu ya pesa au mali hapana tusidanganyane
@joycefrances45167 ай бұрын
wanaume tulieni na wake zen u,mnaleta shida kwenye familia,utakuta wameanza kwa kulala chini,analeta uhuni,dah, aisee,mhhhh inauma,
@KhadijaMwenda8 ай бұрын
Sasa hii nyumb ndugu wataanza kugombania watoto wajipangee asee
@israelkisaila84018 ай бұрын
Na hivi na wachaga uwiiiiii, saivi kila mtu anaangalia hiyo nyumba,aiseee,wachaga kwa mali na pesa mmmm,hapo wanaenda kuuwana tena,Mungu tu AWASAIDIE
@KhadijaMwenda8 ай бұрын
@@israelkisaila8401 yetu macho tu
@agustinoapolinar16238 ай бұрын
Wachaga hawagombaniagi nyumba . Hiyo nyumba ni ya mtoto wa mwisho wa kiume
@israelkisaila84018 ай бұрын
@@agustinoapolinar1623 weeee wachaga na Mali ,pesa hovyo kabisa,weeee
@KhadijaMwenda8 ай бұрын
@@agustinoapolinar1623 uliza uambiwe hiyo Mila Iko Kwa kabila la Masai...
@khadjamhozya8 ай бұрын
Huo mwanamke nampongeza, wanaume wamezidi munatafuta mukishafanikiwa anakusariti
@laylayl51667 ай бұрын
Mmmhh dunia simama nishuke kapata faida gani kumuua mumewe na kuacha watoto