“Kiongozi ni kusikiliza watu, Serikali mnaficha nini?” - Bashe

  Рет қаралды 356,100

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ameingia tena kwenye headlines za Bunge Dodoma leo November 9, 2017 alipopata nafasi ya kuchangia mapendekezo yake katika mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo alihoji ni kwanini Serikali inaficha taarifa za kuporomoka kwa pato la taifa?

Пікірлер: 656
@lusekelomnange
@lusekelomnange 6 жыл бұрын
Huyu ni Mzalendo halali Mungu Mbariki Bashe
@alexdukes5547
@alexdukes5547 6 жыл бұрын
beshe we ni mbunge wa kitaifa big up sana
@mussashabani3345
@mussashabani3345 6 жыл бұрын
bashe mungu akuongezee umli mlefu
@jensennashon6147
@jensennashon6147 6 жыл бұрын
Brother Hussein Bashe wewe ni Dkt. you express a vivid and real vivid.
@barakaelmwanga3447
@barakaelmwanga3447 6 жыл бұрын
hongera sana Bashe unafaa kuigwa maana wengi wanaogopa kusema ukweli wanasubiria wapinzani waongee
@barakaelmwanga3447
@barakaelmwanga3447 6 жыл бұрын
pamoja sana
@fastfacts1967
@fastfacts1967 6 жыл бұрын
Huyu jamaa yuko vizuri. Wengine CCM waoga sana,wanasifia kila kitu.Time will tell,itakuwa aibu mno
@mwebraniaonline7001
@mwebraniaonline7001 6 жыл бұрын
daaa huyo ni mwanaumeeeee msomi
@rizwankiaze9264
@rizwankiaze9264 5 жыл бұрын
Yuko vizuri ila wasemaji wa Chama washaanza kumuwekea mizengwe 2020
@delebm543
@delebm543 6 жыл бұрын
Hongera sana bashe ww ni msomi u ayeelewa umhim wa kusoma kwako MUNGU akubariki sana
@paulthomas3448
@paulthomas3448 6 жыл бұрын
Kama we ni mpenzi wa siasa ya kisasa, siasa ya kushabikia hoja na wala si Chama au jina la mtu, basi utamwelewa mh Bashe.
@abeidhussein2699
@abeidhussein2699 6 жыл бұрын
Kwel kk
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 6 жыл бұрын
Paul Thomas true he's a very talented MP
@bahatiswago1027
@bahatiswago1027 5 жыл бұрын
Aisee huyu mheshimiwa siku zijazo tumuombee kwa mungu awe na nia ya kugombea urais sijawah kupiga kura lakini huyu nampigia
@bahatiswago1027
@bahatiswago1027 5 жыл бұрын
Kweli uongozi ni wito huyu jamaa ni kiongozi natamani angegombea urais 2020
@castorymwaipopo290
@castorymwaipopo290 4 жыл бұрын
Anatema mdini 2 uyu🤝
@stevehiraly9127
@stevehiraly9127 6 жыл бұрын
Nataman japo hat nusu ya bunge zima ingekuw kama @husseinbashe nampenda san san tena san mungu ambarik anaongea point
@DJYLBVEVO
@DJYLBVEVO 6 жыл бұрын
steve hiraly please subscribe to my chanell
@stevehiraly9127
@stevehiraly9127 6 жыл бұрын
DJ YLB VEVO Is there positive things?
@maryndosi2280
@maryndosi2280 6 жыл бұрын
Bashe uko vizuri sana na michango yako ni muhimu kwa taifa hili .nawaombeni nyiye watu msiyojulikana msinyooshe mkono mtoto huyo wa watu muuache atuongoze tunataka watu kama hawa.
@ufahamumelekizedeki2139
@ufahamumelekizedeki2139 6 жыл бұрын
Mary Ndosi
@benimagaya7966
@benimagaya7966 6 жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@samsonjoseph2494
@samsonjoseph2494 6 жыл бұрын
Daa nashindwa kumtafakali bashe ni kiongz aneyeniinspire sana
@joakimumshanga4379
@joakimumshanga4379 6 жыл бұрын
huyu ni mbunge huyu ni muwakilishi wawananchi sio wa chama
@hassanyusuf5122
@hassanyusuf5122 6 жыл бұрын
Ni miongoni kwa hazina nzuri ilibaki ndani ya CCM.Anapozungumza nakushawishi kumsikiliza kutoka na maandalizi mazuri anayofanya....All the best brother Bashe
@rahimmohammed9658
@rahimmohammed9658 6 жыл бұрын
Mbona ccm hawapig makofi😆😆😆if u 💚bashe Fanya ka LIKE kidg Basi.
@tungaraza7794
@tungaraza7794 6 жыл бұрын
Hakuna comment hata moja iliyomkosoa bwana bashe inaonekana jamaa yuko vizuri congratulation bashe you are the best naomba usiame ccm ila bbaki kuwa na msimamo wako naamini mungu atakusimamia
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 6 жыл бұрын
Safi Bashe Mungu akusimamie
@issamustafa4076
@issamustafa4076 6 жыл бұрын
Daa safi sana
@talazain1017
@talazain1017 6 жыл бұрын
Happiness Mwaipopo you
@apoloapolo2352
@apoloapolo2352 5 жыл бұрын
Akili nying jooh bg up
@SUPREMEDIGITAL
@SUPREMEDIGITAL 6 жыл бұрын
Laiti Kama Wabunge wote wa Ccm wangekua Direct speech na Ukweli kama Bashe basi Taifa lingepika hatua kuelekea Uchumi wa Kati hasa 7.0% .Lakini wengine wanapiga kelele tyu.Gonga like na Comment Kuhusu bashe
@patrickwami4960
@patrickwami4960 6 жыл бұрын
Wabunge wote wa CCM wangekuwa kama Bashe ukijumlisha na upinzani, Tanzania tungefika mbali. Lakini hapo cha ajabu watamuita msaliti. Na Bashe angekuwa mpinzani hapo ungesikia akina Lusinde wakiomba miongozo mbalimbali hata kutolewa nje na Ndugai kwa muda wa wiki nzima. Shule pamoja na uzalendo vinasaidia. Congratulations Mr Bashe you are really inspiring me to inter into real ground of politics.
@audaxkachubo8070
@audaxkachubo8070 6 жыл бұрын
good leader from ccm for the 1st time in Africa history
@sk-wj9or
@sk-wj9or 6 жыл бұрын
Agness Saad very true! Salute Bashe
@Msonjo
@Msonjo 6 жыл бұрын
bashe Allah akuhifadhi uje uwe raisi wetu huko mbeleni you are genius umesoma na unaelewa pia tamaa umeeka pembeni
@barakagodfrey622
@barakagodfrey622 4 жыл бұрын
Mbunge bashe mungu azid kukubaliki katika kulisaidia taifa letu uko vizuri sana
@christophersimon823
@christophersimon823 6 жыл бұрын
bashe hongera kwa kuwaambia ukweri ww ni mbunge namba moja katika wabunge wa fisim endelea na kasi hiyo hiyo
@margaretmkangala7774
@margaretmkangala7774 6 жыл бұрын
kusikilizwa kupo lakini sio kila jambo likubaliwe
@anordntungwely4810
@anordntungwely4810 6 жыл бұрын
√VERY INTELLIGENT & DOCUMENTARY MEMBER OF PARLIAMENT, Big UP Bashe.√
@computerscience5247
@computerscience5247 6 жыл бұрын
Safi mbunge hunaye jitambua.. Hafu wabunge wa ccm.. mbadilike fanyeni kazi kwajili ya taifa na sii chama.. good BASHE
@noelabsolom2571
@noelabsolom2571 6 жыл бұрын
Wish at least quarter of the MPs would be like u Hon. Bashe
@husseinsuleiman6240
@husseinsuleiman6240 6 жыл бұрын
Sina tabia ya ku comment but yanibid ni comment Kwasbb nafsi Yangu yanisuta, African history has never get true leader from the leading political party but Ccm has got it,(Bashe Bashee Basheee)Big up my brother from another Mother Hussen Bashe love forever for new Africa,new Tanzania 🇹🇿
@fredyfile623
@fredyfile623 6 жыл бұрын
Hongera sana bashe tungepata kama ww 70 hivi bunge lingekuwa live na tungepata elimu nzurisana mwenyezi Mungu akubariki ktk msimamo wako na usiwe mnafiki wa kusifia kila kitu tuuu kama mazuz wengine
@jamaljuma4075
@jamaljuma4075 6 жыл бұрын
This guy is very smart katika uchumi. He speaks with data and facts. He should be somewhere far katika ngazi za kiutendaji serikalini. very inspiring
@michaellukas3914
@michaellukas3914 6 жыл бұрын
Safi sana kaka ongera Mungu akulinde daima
@henerickovincent7734
@henerickovincent7734 6 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki sna kka yang H. Bashe kwa kusimamia iliyo kweli. Asante
@yarrelaisaita303
@yarrelaisaita303 6 жыл бұрын
Watanzania 👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼 tunakukubali bashe
@obadiahkisonga9193
@obadiahkisonga9193 6 жыл бұрын
Jamani Bashe Mungu amweke muda mrefu aisaidie nchi hii. Mungu wangu! Yuko wapi Filikunjombe? Yuko wapi Amina Chifupa? Yuko wapi Mama Anna Malecela wa wakati ule? Yuko wapi Kolimba? Eee Mungu iangalie Tanzania ya sasa. Ninalia machozi Mungu wangu. Tunainua macho yetu tuitazame milima, msaada wetu utatoka wapi?
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 6 жыл бұрын
CCM ina wabunge wawili tuuu ambao wako na guts to speak truth to power na ya admit, and Hn. Bashe is one of the two, bravo muheshimiwa Bashe
@mbogomagembe6318
@mbogomagembe6318 6 жыл бұрын
hili sasa ndo bunge siyo kila mbuge akisimama anampingeza waziri ,inatakiwa wawe wanashauri hongera wa raisi wa tabora
@justinmnyasa9657
@justinmnyasa9657 6 жыл бұрын
Conscious MP ..STAY BLESSED BASHE
@geofreywadeya9972
@geofreywadeya9972 6 жыл бұрын
Big up Mh Bashe. Nchi hujengwa kwa mawazo na mashauri kama hayo, sio kelele na vigelegele.
@Chitandaee
@Chitandaee 6 жыл бұрын
Upo vizuri mh.Bashe....hongera sana
@nickmdalingwa8074
@nickmdalingwa8074 6 жыл бұрын
Kwann usigombee urais..... You are really generous and patient... Unanlazimisha nikuelewe.
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Haya Sasa Zito alisema Hayaa Mkamwambia Sijui vitu Gani sijui Kisa Mpinzani... Je Na Huyu Wa Kwenu Nae Mtasemajee..? Tuache Siasa Tuongee ukwelii Hasa Kwa Maslahi ya Nchii..
@rosehillary8742
@rosehillary8742 6 жыл бұрын
African Happy Adventure umeelewa
@amosmajaliwa6356
@amosmajaliwa6356 6 жыл бұрын
da wasifiche bhana zito anajua bashe ginius n balaaa tundulis balaaa kuliko wore bungen tnahtaj háwa waisimamie serkal 2020 kataaa ccm
@zuberimayowa8915
@zuberimayowa8915 6 жыл бұрын
Asante sana Mhe. Bashe
@iviejustified8109
@iviejustified8109 6 жыл бұрын
Oh God... this kid is amazing... he has respect to elders & educated one, however the elites are living shameful life! go big son! God bless you!
@issabuyu7344
@issabuyu7344 2 жыл бұрын
0
@issabuyu7344
@issabuyu7344 2 жыл бұрын
0
@issabuyu7344
@issabuyu7344 2 жыл бұрын
000
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 6 жыл бұрын
Mr honorable u should be in opposition big up for standing with truth
@paulduta3016
@paulduta3016 5 жыл бұрын
unasema kweli mtupu Mungu akushike mko.
@subramashs2236
@subramashs2236 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mh Bashe, wewe ni jembe hasa , nchi hii inahitaji wazalendo km wewe. Tutaijenga kwa nguvu moja na utashi ktk utendaji Wa tuliowapa Madaraka kusimamia serikali na serikali yenyewe. Tanzania kwanza
@doyamushi7704
@doyamushi7704 6 жыл бұрын
bashe nakukubali sana my brother. wewe ni mfano wa kuigwa endelea hvyo hvyo kuwaelewesha.
@abdallahmmenga5652
@abdallahmmenga5652 6 жыл бұрын
Keep it up brother
@agnesjosephat7863
@agnesjosephat7863 6 жыл бұрын
safi sana bashe
@michaelambroce2860
@michaelambroce2860 6 жыл бұрын
Bashe we jembe la ukweli
@moshiwilfred5188
@moshiwilfred5188 6 жыл бұрын
haya maneno anheongea mbunge wa upinzani ungesikia hapa.oo hawa wanakosoa kila kitu. Bashe upo vizuri sana unaelewa jukumu lako.
@mussaramadhani5791
@mussaramadhani5791 6 жыл бұрын
Bashe,Bashe,Basheeee sitaacha kukuckilza kamwe nakukubal sana Bro.
@chazjerome9999
@chazjerome9999 6 жыл бұрын
Am a CCM BLOOD but 4 this am not to say,BIG UP BASHE FULL POINT.
@josifinmwita4260
@josifinmwita4260 6 жыл бұрын
Angekuwa wa chadema miongozo milion
@shariframadhan9033
@shariframadhan9033 6 жыл бұрын
Nakuaminia sana. Ukigombea Urais Nakuwa wa kwanza kukupigia kura
@joshuasamson4174
@joshuasamson4174 6 жыл бұрын
Bashe katika wa bunge ccm hakika wewe ni kichwa very good
@theresiasilayo1686
@theresiasilayo1686 6 жыл бұрын
kwa kwel
@maryndakidemi5392
@maryndakidemi5392 6 жыл бұрын
Joshua Samson
@abrahammbise834
@abrahammbise834 6 жыл бұрын
lulu
@ashrafmberwa8740
@ashrafmberwa8740 6 жыл бұрын
bashe muda mwingine uwa uko poa
@amourabdalla9789
@amourabdalla9789 6 жыл бұрын
Mbona bashe kila nikimuangalia hafanani na ccm but nice
@samwelnyankena9873
@samwelnyankena9873 6 жыл бұрын
huyu ndo mbunge mwenye akili ccm wengne kelele tu
@elibarikinkya7929
@elibarikinkya7929 6 жыл бұрын
KATIKA WABUNGE AMBAO NI VICHWA WASIOFATA MKUMBO NI HUYU MH... BASHE
@danielmgonja9906
@danielmgonja9906 5 жыл бұрын
Mh.Rais anajua kwnn hampoint kuwa wazr..kabla ya kumteua mtu lazma ufanye uchunguz wa kina
@mohammedsalim6398
@mohammedsalim6398 6 жыл бұрын
mtunzeni Huyu m ccm kijana Safi Sana ni hazina
@azizlupembe9320
@azizlupembe9320 6 жыл бұрын
big up My brother bashe nakupenda kupitiliza unaemuabudu ni mungu tu na si hao wanaoabudu binadamu wenzao kisa uongoz
@marcoisaack9811
@marcoisaack9811 6 жыл бұрын
l real appreciate your argument, god be with u.
@salvatoryseth2217
@salvatoryseth2217 5 жыл бұрын
nakukubali sana mr bashe ww ni my future president
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 6 жыл бұрын
Bashe so genius...nation needs fresh and positive brain like this, rather than hypocrisy spirit of ndio mzee while economy is stagnant.
@samsonnyambi7108
@samsonnyambi7108 6 жыл бұрын
Takwimu hizo angetoa zitto kabwe tungemkuta mahakamani au police jinga saaana asante bashe wamenyamaza kama wamewekwa kwenye mtungi mxiuuuuuu
@tatut3889
@tatut3889 6 жыл бұрын
samson nyambi 😂😂😂😂😂😂kama awapo
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Yaaanii Acha tuu
@samsonnyambi7108
@samsonnyambi7108 6 жыл бұрын
African Happy Adventure wajinga saaaana tena hawajiheshimu kabisa na sio maneno yake bashe
@davidkalinga5580
@davidkalinga5580 6 жыл бұрын
samson nyambi wengi hawaelew ndo mana kmya kingi
@samsonnyambi7108
@samsonnyambi7108 6 жыл бұрын
David kalinga wanajipuuza tu wanajitia wapuuzi ukweli huo wanatoka mbio uuuuumbwaaaaa hao
@samiraali5505
@samiraali5505 4 жыл бұрын
Big up brother,I know n will alwaz know that u will never let us down Viva Bashe viva Somali
@severineladislaus2922
@severineladislaus2922 5 жыл бұрын
Nakukubali sana tang nikujue,mungu akulinde na uzalendo wa ktz,pia una nature ya uongozi pigna mpaka mwisho na mungu atakulipa kwa uzalendo wako!
@loatalothi8784
@loatalothi8784 6 жыл бұрын
Uko vizuri Kaka Bashe,Mungu akutetee daima
@josephnestory7164
@josephnestory7164 6 жыл бұрын
Hongera sana nmekuelewa sana
@ramadhanianderson9883
@ramadhanianderson9883 6 жыл бұрын
mibunge ya ccm ata haimpigii mwenzao makofi ni minafki balaaa Bashe ni makini sana nakubali sana 💯 ILA KWENYE ICHO CHAMA CHA MASHETANI HAMA
@dionizkipanya2355
@dionizkipanya2355 5 жыл бұрын
Nakupenda Sana Brother Bashe Hussein, Wewe Ni Mbunge Aiseee.Piga Kaz Brother
@fredyjonaa4053
@fredyjonaa4053 6 жыл бұрын
Safi sana Bashe
@geofreymwaipopo7627
@geofreymwaipopo7627 6 жыл бұрын
Bashe God bless you
@benimagaya7966
@benimagaya7966 6 жыл бұрын
Hongera Bashe Wataelewa Wana Fisiemu Wenzio
@mathiashilonga9878
@mathiashilonga9878 6 жыл бұрын
asante Bashe kwa sapoti yako
@mbogomagembe6318
@mbogomagembe6318 6 жыл бұрын
wabunge kama hawa wawe wanaongezewa muda make sana ushauri mzuri kumbe ccm wamo
@verynicemoshi2472
@verynicemoshi2472 6 жыл бұрын
Yani siachagi kukusikiliza mungu akupandishe cheo utuokoe love you
@rasnchimbi
@rasnchimbi 6 жыл бұрын
Unaongea points,tatizo jahazi uliopo haliko Na Wewe.HAMA!!!
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 6 жыл бұрын
Ras Rick Ahame aende wapi ? Upinzani wa bongo wao ni kuokota wabovu wa ccm tuu. Bila kujali ameachwa kwa kosa gani ina maana wenye akili wote wako ccm .Mtu katemwa mchana ccm jioni mgombea urais wa Ukawa
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 6 жыл бұрын
Unastahili kua at least naibu waziri. Unaongea kwa facts Im very impressed
@hamismalimungu9959
@hamismalimungu9959 6 жыл бұрын
+Juma Jaffary ccm ww unalolote boya ww
@imanmsafil4436
@imanmsafil4436 6 жыл бұрын
yani mh bashe ajawahi kukosea hat Sik moja .
@robertmsigwa1448
@robertmsigwa1448 6 жыл бұрын
nimemkuli bashe kwa95%kuwa anajua kuwa kunawatu walomtuma kuwatetea toka jimboni kwake natanzania kwaujumla Asanter sana bashe
@theklaschulte7339
@theklaschulte7339 6 жыл бұрын
One n a million. Najivunia kusoma uchumi kwa ajil ya huyu
@kato_tz
@kato_tz 6 жыл бұрын
Kaka nimekuelewa, umetisha sana aisee
@didassikombe412
@didassikombe412 6 жыл бұрын
Bashe Mungu aendelee kukutunza kwa kuwa na huruma kwa wakulima
@suzanmaswatu3814
@suzanmaswatu3814 6 жыл бұрын
Hongera sana ,kijana uko vizuri saana
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 6 жыл бұрын
Bashe huwa nakupenda sana 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 we ni wa ukweli
@ramadhanihassani707
@ramadhanihassani707 6 жыл бұрын
hongera sana bashe
@heavenlightemanuel5434
@heavenlightemanuel5434 6 жыл бұрын
excellent Mr Bashe
@kingdesigner7991
@kingdesigner7991 6 жыл бұрын
mungu akubaliki bashe
@nicholouschaula5079
@nicholouschaula5079 3 жыл бұрын
Tunayaona sasa.... Presdar to be... I have a dream to you. Always stay in reality. It brings peace which brings Love which brings Development.
@erickatilyosylyavala5885
@erickatilyosylyavala5885 6 жыл бұрын
Shikamoo nyingi sana kwako Bashe.. Umenena kisomi km sio mwana ccm
@jisamjose2184
@jisamjose2184 6 жыл бұрын
Bashe anajua sna kumbana prof mpango
@subramashs2236
@subramashs2236 6 жыл бұрын
Nakupenda sana
@ibracaddabla4227
@ibracaddabla4227 6 жыл бұрын
Nmekusikiliza vyema sana Kiongozi umeongea Fact tu uko sahihi sana unatufunza vingi kiongozi sema tatizo jaazi ulilopo limetoboka linaenda kuzama Fanya kuwasahiiisha kama iv ukiona amna direction ama tu kiongozi maana amna namna Genius wa wabunge wa ccm wote
@daudikassimu4574
@daudikassimu4574 6 жыл бұрын
Mungu akusimamie# Mh Bashe kwa kusema kwako ukweli.
@annethdominic3403
@annethdominic3403 6 жыл бұрын
MUNGU Ibariki Tanzania, MUNGU mbariki mhe. Bashe
@hanifaharet3739
@hanifaharet3739 6 жыл бұрын
very good Bashe I like you
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 6 жыл бұрын
Jamani huyu mbunge angepewa nafasi ya juu tungefika mbali sana. ..HONGERA BASHE...MUNGU AKUPE NGUVU UMSAIDIE RAIS WETU KWN NAE KAFANY MAKUBWA MAZUR
@infohometv3896
@infohometv3896 6 жыл бұрын
Asingeongea bora hivyo
@danielhazzole1410
@danielhazzole1410 6 жыл бұрын
hongera bashe
@johnsonvicent2155
@johnsonvicent2155 6 жыл бұрын
hoja ya wakulima kupangiwa pakuuza mazao hii haija kaa vizuri kama serikali inahofu na njaa ijiwekee hakiba sio jasho LA mkulima bashe pongezi sana. uko juu
@neemajackson1832
@neemajackson1832 6 жыл бұрын
huyo manzi nyuma yake aje , mbona kama anakula kodi yangu tu big up bashe
@walesjephter6399
@walesjephter6399 6 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu Bashe
@jumaabrahamani4801
@jumaabrahamani4801 6 жыл бұрын
you are very systematic
@aggreymrema3145
@aggreymrema3145 6 жыл бұрын
huyu mbunge namkubali sana ni MWL mzuri sana anajua kusimamia ukweli nampongeza huwa namuelewa anapochangia
@ignuskalongola4800
@ignuskalongola4800 6 жыл бұрын
nice analysis' from Bashe
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 6 жыл бұрын
critical analyst! I love this game! KUDOS! Mp Bashe
@imuforbear3159
@imuforbear3159 6 жыл бұрын
Nakuelewa sanaa bro ur very bright mungu akuweke ndugu yangu
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 6 жыл бұрын
Zitto kasema serekali wakasema hana leta huchochezi...jee mheshimiwa Bashe naye hana ongopa ama hana leta na yeye huchochezi????
@lothalaizer1680
@lothalaizer1680 6 жыл бұрын
We we ni kielelezo bora mh
@hanceasagwile3424
@hanceasagwile3424 6 жыл бұрын
Asante Bashe
@tatucosta3709
@tatucosta3709 6 жыл бұрын
daaaah muheshimiwa bashe mungu akusimamie unaongea point na inaeleweka
@abbashamza5174
@abbashamza5174 6 жыл бұрын
Big up mh.bashe!! God bless you!!
@nasibually1627
@nasibually1627 6 жыл бұрын
Bashe nakuamini upo vizuri sana
@eliaselias726
@eliaselias726 6 жыл бұрын
Napenda sana hoja zako
@juliuskivuyo5384
@juliuskivuyo5384 6 жыл бұрын
very nice Bashe
@nicholauslohay2847
@nicholauslohay2847 6 жыл бұрын
Uko vzr sanaaa my brother, na unafaa kuwa mfano kwa mp wenginee..
"Mnachoma moto nyumba na watu bado mnawafunga? "- John Heche
10:36
Millard Ayo
Рет қаралды 191 М.
BASHE ALIPUKA TENA BUNGENI, ASEMA CCM KWANZA UBUNGE BAADAE
10:48
Mwananchi Digital
Рет қаралды 458 М.
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
Dakika 12 za Hussein Bashe bungeni kuhusu wizara ya fedha
12:48
Millard Ayo
Рет қаралды 256 М.
BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa
11:41
Millard Ayo
Рет қаралды 665 М.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 7 М.
SHAMBULIO LA LISSU LAMWIBUA BASHE, SPIKA ATOA MSIMAMO
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 129 М.
NO JOKES! LISTEN TO WHAT DP GACHAGUA SAID IN CHURCH TODAY!
16:36
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 1 М.
UTACHEKA vituko vya kiongozi  magufuli / Bashe Toa darasa Mbele ya JPM
5:16
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН