Рет қаралды 31,573
Tumfisu Yesu Kristo
Nawakaribisha kutazama wimbo huu unaoitwa JMIMI KWANGU KUISHI NI KRISTO utunzi wake BONAVENTURE MARO ambao umeimbwa na Kwaya ya Watakatifu Wote iliyopo Jimbo kuu la Dar es Salaam katika Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (Tanzania Movement of Catholic Students (TMCS) DIT).
Nyimbo hii inapatikana katika album inayokwenda kwa jina la BWANA NIFANYE CHOMBO CHA AMANI yenye nyimbo mbalimbali ambazo ni
1. Tunakusalimu mama mwema - Godfrey Maro
2.Usiyahesabu Mema - V. Murishiwa
3. Jesus Christ - M. Frisina
4. Kwangu kuishi ni Kristo - B. Maro
5. Amsheni karama zenu - V. Murishiwa
6. Bwana nifanye chombo cha amani - B. Maro
7. Waufumbua mkono wako - J. Sarwat
8. Furaha katika Kristo - F. Bukene
9. Upendo umetoweka - G. Maro
10. Malitimua Vumbi - V. Murishiwa
11. Familia Takatifu - B. Idama
Kwa mahitaji ya DVD hii wasiliana nasi kwa simu namba 0757560764/0657790405
MANENO YA WIMBO