Daaah kiukweli kunawatu wengi wanatatizo la akili, jamani ukishaona tu mwenzio anachangamoto ya akili wee achana nae tu
@Mina.153 ай бұрын
My Solo mote 😂😂
@magrethdaniel65093 ай бұрын
😄
@LizzyMbegga3 ай бұрын
Mnanikumbusha miaka miwili imepita tangu mdogo wangu alipokufa kifo Cha kutatanisha kwa kuuwawa na mume wake,huko huko tabata,tabata Kuna nini jamaniiiii
@omanoman20443 ай бұрын
Kumbe mme anashida alikuw anaishi nae wanin duuh
@omanoman20443 ай бұрын
Ukipata mme mlevi kimnia mapem mie siwez kuoleka kwa mlev hata siku moja
@abm41833 ай бұрын
Mungu wangu😢😢
@khadijahamisi55613 ай бұрын
Akili atazipata jela namm nauliza mtu km uyo mnamuachaje ndugu yenu aishi namtu km uyo jaman imeniuma
@Sage-o4q3 ай бұрын
Kiukweli nimemsamehe... Hajakusudia jaman....😥😥😥
@zaytunhijja67713 ай бұрын
Kakusudia
@ruqaiamohammed3453 ай бұрын
Labda alikuwa akinywa pombe anavuta na bangi au aliapizwa na wazazi wake kuto kunywa pombe yy akawa anakunywa tuuu ndo mana akawa zaita zauya 😢😢
@AniaSawaki3 ай бұрын
Shida anacheti hapa pashakuwa pagumu
@OmanBarka-f4d3 ай бұрын
Sasa anajua pombe kwake sio mzuri iweje anaendelea kunywa
@ritapiusnicolaus70683 ай бұрын
Poleni sana 💔😭😭
@twiseghekisilu88453 ай бұрын
Jamani😢😢😢😢
@Ajijji123 ай бұрын
Km ana cheti kufungwa ni kazi
@MarthaMgaya-zo4bi3 ай бұрын
Cheti cha nini yani
@fatmaabdallah77093 ай бұрын
@@MarthaMgaya-zo4biCha mirembe
@dorisfabian47763 ай бұрын
Hii dunia ina mambo mengi ya kuumiza sana Mungu atusaidie tuuu hali mbaya..
@SanjerSaimon3 ай бұрын
So sad jmn
@mariamhamissi44283 ай бұрын
Afungwe tu,akiachwa atakuja kuuwa mwingine,
@gambigambi72543 ай бұрын
Mtu akilewa hadi anafungwa kamba anakua mgovi hio ni dalili ya ugonjwa wa afya ya akili wanake tuna hulka yakuficha mapunguf au shida ktk ndoa marehem ali ignore red flag mme alikua na ugonjwa wa ulevi alipaswa kusepa mapema