MKRISTO ISHI KATIKA KUSOMA NENO LA MUNGU USIMEZWE NA MITANDAO ADUI AMEKUSUDIA MABAYA|MCH KATEKELA

  Рет қаралды 7,321

PROMOVER TV

PROMOVER TV

4 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 22
@HalenBahati
@HalenBahati 3 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu ni kweli kabisa kuhusu TikTok,kuna kijana hapa Kenya amekua sana TikTok anaitwa Brain Chira, alikufa kifo cha kutatanisha alizikwa juzi Mungu awasidie watoto wetu haki
@MghambaNasemba
@MghambaNasemba 3 ай бұрын
Munguakukubarki mtumishi wa Mungu nimejifunza mengikupitia mahubìri yako na shuhuda napenda niulizeswali katika maelezokuhusu chanjo yakorona nakikombe cha babu sikukupata vizuri
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 3 ай бұрын
AMEM MTUMISHI KATEKELA MUNGU AKUBARIKI UNA MAFUNDISHO MAZURI SANA
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 3 ай бұрын
Jamani mimi nampenda Yesu
@angelpascal3579
@angelpascal3579 3 ай бұрын
Amen mtumishii
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atusaidie sana
@DIGNAJASTIN-dl8yj
@DIGNAJASTIN-dl8yj 3 ай бұрын
Amen mtumish
@asnatkwamboka6306
@asnatkwamboka6306 3 ай бұрын
Kweli mtu was mungu, kuna kijana mmoja alikua anasaidia viwete alikufa ,mwingine baba Mona naye kaenda ivyo , Brian shira kaenda evyo whah, tiktok
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 3 ай бұрын
AMEN MTUMISHI WA MUNGU
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 3 ай бұрын
Amen mtumishi
@alfredkuria7673
@alfredkuria7673 3 ай бұрын
Amina
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 3 ай бұрын
Mtumishi naomba uelezee kuhusu pasaka
@ainekishagodwin1877
@ainekishagodwin1877 3 ай бұрын
Amina mtumishi
@nallymwamba1330
@nallymwamba1330 3 ай бұрын
Amen Amen
@angelamugoywa4917
@angelamugoywa4917 3 ай бұрын
Ameen Bwana yesu abewasifa
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 3 ай бұрын
Amen
@user-iw1yq3op8f
@user-iw1yq3op8f 3 ай бұрын
Amina mtumishi mungu akuweke viwango vya juu
@user-sk4zx4nt1q
@user-sk4zx4nt1q 3 ай бұрын
nakufuatilia sn mtumishi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 ай бұрын
Hawafi Ndugu Kama Hivyo Diamond angeshakufa
@carendeborah5687
@carendeborah5687 3 ай бұрын
Wewe wajua diamond Yuko kikao Cha hao wengine?It's either ukuwe na Mungu ama ukuwe hiyo side nyingine ,kama upo tu huna kikao basi wewe utaangamia bila kujua.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 ай бұрын
Mbona Nabii mkuu hafi ??na Musa Kuhani
@carendeborah5687
@carendeborah5687 3 ай бұрын
Umesema vizuri ni Nabii na Kuhani meaning wanatumikia Mungu,,,yuamanisha kama utatrend na huko Kwa Mungu Wala ushetani basi utaliwa juu huna kikao
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 27 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
MWL TENGWA AFUKUZA WATU WANAO MTEGEMEZA
13:48
TENGWA TV
Рет қаралды 3,4 М.
Mchungaji Amieli Katekela         MASWALI YA UFAHAMU
34:34
KATEKELLA TV
Рет қаралды 10 М.
THAMANI YA WOKOVU KATIKA DAMU YA KRISTO   02 - Rabbi Abshalom Longan
55:35
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 1,5 М.