Mpina Afungiwa Vikao 15. Wabunge Wenzake Wamkaanga Vibaya. Aambiwa Atoke Bungeni

  Рет қаралды 5,822

The Chanzo

The Chanzo

12 күн бұрын

Bunge la kumi na mbili mkutano wa kumi na tano kikako cha hamsini na mbili, linaendelea leo tarehe 24, Juni 2024 kutoka jijini Dodoma ambapo wabunge wanachangia hoja mbalimbali kuhusu hali ya uchumi na bajeti ya Serikali 2024/25.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 54
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 10 күн бұрын
Masikini Mpina, umekosa wa kukushika mkono, pole sana lakini Mungu yupo na wewe siku zote
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 10 күн бұрын
Usimdanganye shetani ndiyo yupo naye.Mungu hawezi kuwa na MTU mwenye hila
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES 10 күн бұрын
Yote hayo ni majizi mpina anawajua na mungu atamsimamia na msijidanganye hamjamkomoa wote kama mnajikomba2
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 9 күн бұрын
Pole sana
@josephlorri431
@josephlorri431 9 күн бұрын
Ni tanzania tu...aliyeibua tuhuma za wizi na kusema ushahidi hadharani ndo ameonekana mhalifu.. hvi kwa nini Mungu ametuacha sisi watanzania..waombaji mko wp..
@user-cp8df8ik5h
@user-cp8df8ik5h 10 күн бұрын
Hivi wewe MSUKUMA NIWAKUMWAMBIA MPINA AKAPIMWE AKILI natokea GEITA TUNAKUSUBILIA SANA MSUKUMA WEWE HUNAGA POINT zaidi ya kuongea UONEKANE KWAMBA DARASA LA 7 anaongea. Kifupi HUNAGA POINT NA WEWE NI BENDERA Tulisha kujua
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 10 күн бұрын
sasa mbunge wetu huyu jmni 23:10-23:58 haoni kwa maelezo yake italeta hitilafu kwa wakulima wa miwa na kisha kuuwa viwanda vyetu vya sukari. nilimfatilia sana mh Mpina na maelezo yake kuhusu scarcity creation serikali inayofanya kwa leta uhaba kisha kupata mpenyo wakuingiza sukari kwa kisingizio kuwa tunataka kuziba hali ngumu wa ukosefu huo. Mpina allisema ni kitu Kenya walifanya sasa wanajutia maana inawagharimu sana kurudisha soko la ndani..Mpina wetu amenyamaza na anawashanga sana wabunge wenzake jmni
@abdalakombo1595
@abdalakombo1595 10 күн бұрын
Mlikuwa wapi wakati wa kumshauri .maji yesha mwagika.cha muhimu ni kufahamu mungu akikupa kakupa
@ponsianomwakisunga899
@ponsianomwakisunga899 10 күн бұрын
Yaan mmeahndwa kukamata watu wanao iba mabilion ya pesa mnaangaika na ujinga huu pumbuvu kwel
@joycmsokile9220
@joycmsokile9220 9 күн бұрын
Chama chetu hataki watu wasema kweli
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES 10 күн бұрын
Mabunge majinga yako kama yamedata anawachola mpina anaakili sana
@GebrinGebrin-o8u
@GebrinGebrin-o8u 6 күн бұрын
Ufisadi tu Ufisadi tu Ufisadi tu, dah hili linchi jamani 😢
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 10 күн бұрын
Ila Mh Bashie, sijui
@babanatalis8401
@babanatalis8401 10 күн бұрын
Mchango wa gwajima umekaa vizuri sana
@epafraditopajenga4650
@epafraditopajenga4650 10 күн бұрын
Kwa nini msiongelee matatizo ya wananchi kwani kosa la kudharau bunge kwa mpina kututangazia wanachii uongo wa bashe au sisi hatusitahili Ila Mungu Yupo atatuinulia watu sahihi kama mpina,na,tuna muombea ushindi Mungu alete pigo kwenu hasa kwa bashe na wachangia hoja ya uonevu dhidi yake.
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 10 күн бұрын
Hii ndiyo Afrika viongozi wetu ni wale wale bado tupo kwenye ukoloni mambo leo
@bundalaizina652
@bundalaizina652 10 күн бұрын
YESU ATAKUTETEA TU
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 10 күн бұрын
HAMNA mnalolisema ninyi WENYEWE NDIO wafanyabiashara tulijua TU mtalipindua hili LAKINI MPINA MMBUNGE HUYU atabaki KUWA ni mtetezi WA taifa ,msema KWELI NA MZALENDO WA KWELI katika taifa hili KULIKO wabunge wapiga makofi ,
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 9 күн бұрын
Mnakulana wenyewe alafu mnatafuta wengine unamchezea
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES 10 күн бұрын
Hii nchi dawa yetu sa iv mungu ameamua kutuchukua mapema ili tukashughulikiwe na makosa yetu kila mmoja atakula adhabu ya kutosha tena viongozi wa serikali nyie ni moto moja kwa moja
@markojames7855
@markojames7855 7 күн бұрын
Lakini hiyo miktaba Iko SAWA ya kununua sukari mbona ninyi vibaraka TU
@user-pf2qk8fz9o
@user-pf2qk8fz9o 10 күн бұрын
Hivi huyu mjinga anaitwa nani mbona kama ametumwa kumkanyagia mzalendo mpina 😂😂
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 10 күн бұрын
Sura zenu zinaobesha kuwa ni madikteta na nibunge la ajabu ukiwa mkweli lazima usurubiwe mpina uwe na amani tunajuwa huyoo spika aukuchaguliwa na hao wabunge ndiyo sababu tunataka katiba mpyaa ili kuyaondowa haya maovu ya bunge Sasa tuwe na mpina kuwapinga hawa wabunge
@barnabasshemelelwa5730
@barnabasshemelelwa5730 9 күн бұрын
Mpina anawaangalia
@ferdinandlutate8979
@ferdinandlutate8979 9 күн бұрын
Watanganyika mpooo!!!? Haya, huyo ni mjumbe wa Kamati iliyofuatilia madai ya Mpina. Sifa zake...(labda kujua kuongea, kuandika na kusoma Kiswahili ama/na kiarabu?? Achana na Kiingereza. Hakijui. Sijui kama wenzie wameelewa maana ya vifungu " alivyosoma." Je, anajua kusoma? Je, Kiingereza kimempita karibu? Na bila shaka ndiye ameaminiwa zaidi na Bunge/Kamati ya maadili kuwasilisha ripoti yao. Sasa ...wengine wana sifa zipi? Ni kioo cha Bunge huyu!!! Halafu uulize eti nani alipitisha mkataba wa kugawa bandari za Tanganyika kwa waarabu wa Dubai? Walikuwa wanaelewa walichopitisha?
@medardchenge
@medardchenge 10 күн бұрын
Mpina Mungu atakusimamia ,ukweli tunaujua nchi yetu inayoongozwa , hivyo tukutane 2025 ,
@masoudsalum
@masoudsalum 9 күн бұрын
Act hakiwezi kuwa chama cha upinzani
@Brama_A37
@Brama_A37 10 күн бұрын
Hadi Tabasamu anamukandia Mpina
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu 10 күн бұрын
Nisingemea chochote kutoka ccm ukweli unapindishwa kutetea majizi Kwa kuwa wote ndivyo walivyo
@mashakankagi2851
@mashakankagi2851 10 күн бұрын
Nyinyi pigeni kelele tu wengine hamutorudi
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 10 күн бұрын
Hata David Kafulila mlimwita tumbiri badae mkakir kweli ni mzalendo
@user-oq5oy8cl6u
@user-oq5oy8cl6u 10 күн бұрын
Tulia hapo hutaishi milele kumbuka enzi za ndugai je saizi yuko WAP nawewe hapo utaondoka tuu
@Theprincipalmboya
@Theprincipalmboya 10 күн бұрын
My poor country
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 10 күн бұрын
Kama in mungu huyu sawa siyo MUNGU huyu!
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 10 күн бұрын
Mtatukuta majibona tunaona eeti
@benswai8099
@benswai8099 10 күн бұрын
Kwani ushahidi aliotoa dhidi ya waziri Bashe ni wa kweli au si wa kweli?
@josephlorri431
@josephlorri431 9 күн бұрын
Hawakijadili ushahidi wa mpina kuhusu upungufu na uagiza wa sukari..
@ponsianomwakisunga899
@ponsianomwakisunga899 10 күн бұрын
😂😂😂 yaan wabunge wetu hawa wanapga kelel mpaka wanataka kulia kisa azabu wakat mabilion ya ela yanaibiwa wanakaa kimya pumbuvu kwel
@amanijampion3045
@amanijampion3045 10 күн бұрын
kamati yenyewe imeagizwa. tutamkumbuka sana mzee wa viwango Samwel Sitta
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 9 күн бұрын
Mpina mwamba sio nyie viraza tunawasubilia tuuu matajua amjui
@daudimchileg307
@daudimchileg307 10 күн бұрын
Mashetani tuuu, nyie ccm mtatukuta tuuu, saiz tumejifunza kitu mtaagiza mabomu 2025 lakin bado hayatatosha.
@josephlorri431
@josephlorri431 9 күн бұрын
Kenya polisi waliishiwa teargas wakaanza kurusha mawe
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES 10 күн бұрын
Anawizidi akili ndo maana mnamkomalia Bashe mwenyewe mkimbizi tukiamua tunamuweka kwenye kanyampasila anawaambia ukweli binge lenyewe sioni kazi mnayoifanya
@HASSANAHMED-ue9nz
@HASSANAHMED-ue9nz 10 күн бұрын
Acha ubaguzi wewe we mwenyewe usikute mkimbizi
@InyasiInyasi
@InyasiInyasi 9 күн бұрын
Utumbo mtupu.wa wajinga wasiojijua na wasio.namaana
@FabianJoel-bi5lw
@FabianJoel-bi5lw 10 күн бұрын
Maisha magumu xana tz Ni Bora yesu arudi mapema Nadhani watu tumekula gmo na kuacha vyakula vya Asilu Mungu tusaidie.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 10 күн бұрын
Na ni kiongozi kama bashe wanaotetea GMO
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 10 күн бұрын
Bunge Hilo la hivyo hivyo mungu atawahukumu kwa zambi zenu watanzania tupo na mpina sio nyiye wabunge ukweli wote tunaujuwa mpina mungu atakusaidia
@GebrinGebrin-o8u
@GebrinGebrin-o8u 6 күн бұрын
Ufisadi tu Ufisadi tu Ufisadi tu, dah hili linchi jamani 😢
@GebrinGebrin-o8u
@GebrinGebrin-o8u 6 күн бұрын
Ufisadi tu Ufisadi tu Ufisadi tu, dah hili linchi jamani 😢
@GebrinGebrin-o8u
@GebrinGebrin-o8u 6 күн бұрын
Ufisadi tu Ufisadi tu Ufisadi tu, dah hili linchi jamani 😢
@GebrinGebrin-o8u
@GebrinGebrin-o8u 6 күн бұрын
Ufisadi tu Ufisadi tu Ufisadi tu, dah hili linchi jamani 😢
@GebrinGebrin-o8u
@GebrinGebrin-o8u 6 күн бұрын
Ufisadi tu Ufisadi tu Ufisadi tu, dah hili linchi jamani 😢
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,5 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 129 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 23 МЛН
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 8 МЛН
Rajya Sabha Session: NDA Vs INDIA On NEET Row | Parliament
3:39:22
The Indian Express
Рет қаралды 15 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,5 МЛН