Asante sn mjomba kweli hali ni mbaya sn kwa watt wetu Taifa la kesho Mungu ibaliki Tanzania Mungu wabaliki watt wetu inshaallah
@goragora9204 Жыл бұрын
Allah atuongeze wanawake wote ambao tumeachwaa na watoto allah atujaaliye ujasiri wakuwe katika maadili mema amiin
@lucylyale7169 Жыл бұрын
Ee mwenyez Mungu tutie nguvu wamama na vijana wetu roho mtakatifu atembee nasi daima,,🙏🙏
@clariszawadi2010 Жыл бұрын
😭😭😭😭 EE mwenyewe Mungu tusaidie,na utulindie watoto wetu na jamii zetu
@LilianWaziri Жыл бұрын
Nimejikuta nalia kwauchung Ee mw/mungu waongoze watoto wetu kwenye njia salama😭😭😭😭
@AlfredAloyce-wh5nq Жыл бұрын
Daaa Asante kwa ujumbe mzuri sana Mungu akuweke miaka mingi duniani
@amosagostinhocoque8785 Жыл бұрын
Nimenda sana kwa kazi unae fanya. Natokeya Moçambique-marrupa. Naita Amós A. Coque.
@amosagostinhocoque8785 Жыл бұрын
Nimependa*
@bonifasekitomari-ch7en Жыл бұрын
Uje uone ukuu ulayaa
@salimamasanja4659 Жыл бұрын
Hongera Sana
@cresensiankwera17765 ай бұрын
Hongera,safi inatupa funzo sana ❤😂🎉
@AngeciaClementАй бұрын
Nimeona umihm wa kufnga na kuwaombea watt wetu jamn. Mitihn ni mingi
@josephngairo2342 Жыл бұрын
Hongera sana brother mpoto kwa kazi nzuri elimu nzuri sana hii.
@MagrethZuberi-fl7wl Жыл бұрын
Eee Mwenyezi Mungu naomba nijalie hekma ndan ya mtoto wangu wa pekee Dav muepushe na vitendo vyote vibaya 😢😢😢
@NYAMBISHANI3 ай бұрын
😢😢😢😢😢mimelia mim jamani mung tulind watot wetu
@makokhasammy Жыл бұрын
Your creativity is a rare talent
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Mwili unakuwa hapa akili ipo ulaya 😂😂😂 daaah
@ceciliakilian3809 Жыл бұрын
😢 daaah Mungu tutetee sisi na vizazi vyetu
@AndreaOsborn-p3o Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri sana
@benedictkaingu8598 Жыл бұрын
Wow! Ushauri wa juu sana
@eddykingkaka5 ай бұрын
Good 👍 unaelimusha vema Nas 🙏 tunafata nyayo zako
@nathanmwibela5917 Жыл бұрын
Yesu saidia watt wetu wanakutana na mengi njian
@allymachusi1066 Жыл бұрын
Hii Safi Sana mungu azidi kukupa uhai mrisho mpoto uzidi kutupa elimu
@SashaRasheed-mu6ru Жыл бұрын
As a single mama nimeskia uchungu mnoooo nimelia jinsi tunavyopata shida kulea watoto wetu tunatafuta kwa uchungu leo afu mtoto anakuwa teja😭😭😭
@salimomari150 Жыл бұрын
Am single too.. Tujuane
@lovenessfrancis347 Жыл бұрын
I'm not single Ila poleni saana wamama maana kulea mtt ukiwa peke yako kiukweli nikazi saana Mungu awatie nguvu
@Queenwolper9728 Жыл бұрын
Am single too its painful akh kulea mtoi pekee😢
@macaroeliya4609 Жыл бұрын
Mimi ni single mother. Nimelia sana. Mungu tusaidie wanawake tunaolea watoto wenyewe. Tulindie watoto wetu
@zainabuyassini3095 Жыл бұрын
Mama samia tunakupenda sana piga kazi. Mungu anakusimamia
@gracenakamba605311 ай бұрын
Asante kwautututetea mungu akubariki
@shemela8769 Жыл бұрын
Ahsante mzee wng mpoto kazi nzuri sana.
@saidbarawa90965 ай бұрын
Mrisho I love ❤u,keep up with the wonderful gift that God has gifted you
@makokhasammy Жыл бұрын
Its an honor to have lived during Mrishos time, we get to experience the oratory eloquenc and creativity of long gone athenian socratic literature
@PreciousMremaro-xg6nk Жыл бұрын
Mungu akujalie akupeni maisha marefu🙏🙏🙏🙏
@zainabuyassini3095 Жыл бұрын
Rais mama Samia tu akipenda sana
@ANNADANIEL-f7y Жыл бұрын
Mwambukusi apinga mkataba wa bandari
@ANNADANIEL-f7y Жыл бұрын
Mbambukusi apinga mkataba wa bandari
@SaidihusseinAthumani-dy9kw Жыл бұрын
tanzania yangu rais wangu tunakupenda sana
@mazingedeetz6712 Жыл бұрын
Kwann nimelia na kumuwaza Hussein wangu Allah nikuzie 🙏
@zainabuyassini3095 Жыл бұрын
Asante Kwa ujumbe mzuri mungu atusaodie na wabaya wa vijana wetu
@johnbenjamin60611 ай бұрын
A Big lesson much love mrisho mpoto
@AtufigwegeMwakalibule-pv3nv Жыл бұрын
Aisee mungu tusaidie sisi yatima
@AbdallahYanga-yu2or Жыл бұрын
Mama Samia mashallah mungu akuweke
@DianaEliah Жыл бұрын
Mungu awasaidie watot wetu
@officialquochezdonshwari2336 Жыл бұрын
Toka kenya , nmekubali funzo hili 💯💯
@loyceumaz8728 Жыл бұрын
Pamoja bro...mi pia naikubal funzo hii
@irenenzuki551 Жыл бұрын
Oh my God bless u mummy
@youngmaster4127 Жыл бұрын
Hongera sana mjomba
@MsanangoMwalabu-rx1oo Жыл бұрын
Wimbo mzuri unamaudhui .ilatumekwisha mrisho mtoto ameanza mafunzo kulidhi mikoba ya mpoto jamaa hajawahi kuikosoa serikali ikikosea yeyefani take ni kusifia tu
@pamelambuya8796 Жыл бұрын
Nimeliaaa hakika tupo wengi tunayo pitia Mungu tusaidie
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Ila mpoto daah 🔥🔥🔥 your the talented brooo
@kirwaisa8772 Жыл бұрын
Am always proud of @Mrisho Mpoto
@Wami-Sababisho Жыл бұрын
Hongera Mjomba,ila vitaa hii ngumu hata hao walioelekea kiweza hata kwa aslimia kadhaa walipigwa vita na kuonekana hawafai. # vita hiyo ni ngumu zaidi ya Ugumu unaoujua. KIKUBWA MAOKOTO😂😂😂😂
@margrethjonesmshana8555 Жыл бұрын
Nimeliaaà MWENYEZi MUNGU tusaidie na vizazi vyetu,, wananchi tuheshimu tuu mamlaka , ,tumuheshi na MWENYEZi MUNGU yeye ndio fundi wa klea watoto.
@crillarlawcmo2366 Жыл бұрын
Asante sana Mrisho..Nageukia Jamii tusimame tupeane elimu ya malezi hali ni mbaya.Watoto wanatuhitaji sana katika kuhakikisha wanazifikia ndoto zao.Poleni.kwa changamoto lakini.kupitia hili tunakwenda kuwatia MOYO
@JamilhaaSelemani Жыл бұрын
Mungu ibaliki Africa 🌍 mungu ibaliki Tanzania tunakutegemea mama Samia Kwa watoto wetu asa sisi wakina mama
@zawaditito5111 Жыл бұрын
Tuwaombee vijana wetu majaribu yaliyoko mbele yao ni makubwa sana, ujumbe umefika kuteleza siyo kuanguka tusikate tamaa nafasi za kuwatoa huko bado zipo Mpoto umeeleweka baba 🔥🔥🔥
@bitishoriziki11139 ай бұрын
Amen God bless all 👏🏽🤲🏽🙏🏽 you are so much better 😁😊😊
@LumolaSteven Жыл бұрын
Mpoto ni Chawa Sana. Ubunifu mzuri sana ila Mpoto kaleta Uchawa kuanza kutoa sifa too much.
Ingekua mnapnga na mambo ya ushoga kama hvii hakik ningewapongeza zaidi!hp napata swali kwamba!!mnachagua vita vya kupgana!!?
@ustadhisimbula8622 Жыл бұрын
Mrisho mpoto mwamba wa miamba Tanzania thank u very much my brother
@salimabbas2133 Жыл бұрын
Dakika ya kwanza tu, machozi yanitoka. Kazi nzuri sana
@HawaMohammed-te7ug Жыл бұрын
Mwenyenzi,akufanyie, wps
@frenkmhule5853 Жыл бұрын
Hakika yaani nalia jamani huyu kaka anajua anachokifanya tanzania. Viongozi wanakula maisha watoto wanapotea
@miriamakiza Жыл бұрын
Nimelia kama mzazi jaman mungu julindie wenetu 😢😢
@cynthiaomondi7294 Жыл бұрын
Creativity on another level
@JazaDevice-cg7bq4 ай бұрын
Hongera sana mdg wangu
@nahyahya7349 Жыл бұрын
Kama ma mama nimeumia sana dah yote kwa yote ubunifu mzuri sana 😘
@hassankaduara4369 ай бұрын
Love Tanzania 🇹🇿 🎉
@JosephPeter-fw1sw Жыл бұрын
Hongera Sana unaelimisha Jamii vizuri
@zawadibahati516811 ай бұрын
Hongera sana mrisho kwa ujumbe mzuri
@bonabonala555911 ай бұрын
kuna viongozi ni chawa zaidi ya mama levo au mwijaku ni wa ccm wezi kweli awajiamini kama kina bashe japo nae ni mwizi katika kujiamini yumo anavutia kwa misimamo ya kujitetea
@veronicastephano8974 Жыл бұрын
😢😢 mungu atusaidie na atupenguvu
@SaidiHasani-wl8tr7 ай бұрын
Mrisho mpoto unaa faa sana kuwa rais
@Paplick9 Жыл бұрын
Crietivity 💯💯
@EdinankelebiMkelebi-lp4bq Жыл бұрын
Mwenyezi mungu waongoze watoto wetu NJia ilio yakweli
@pendoshabani7169 Жыл бұрын
Good idea
@noellahmakorongo5473 Жыл бұрын
Ooh waòoooh ❤❤❤😢
@DanahJuliasy Жыл бұрын
Ea mwenyez mungu tupe nguvu wamama wote tunaopambana kulea wtt wetu Ameeen
@petrochundu9702 Жыл бұрын
Hongera sana mjomba hakika kazi yako nimeipenda
@jamilakimaro99938 ай бұрын
Kwa kweli nimetazama maafali haya na hichi alichokionyesha mpoto kwa kweli nimelia sana . Mpoto asante kwa kuliwakilisha hili kwenye maafali haya. M/mungu tusimamie vijana wetu kwani hali ni mbaya mno.
@maryxavery4105 Жыл бұрын
Nmelia jmn mpoto,ino na mama yake ujumbe mzur 🙏🙏
@SaidSaid-o3s3 ай бұрын
So amazing
@cloudmchopa5665 Жыл бұрын
hongera uncle mpoto uko vizuri saana
@mohamedikilua1582 Жыл бұрын
God help me I don't wanna let my mom down😢
@elizabethmlay5015 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ mh ino kaimba kwahisia sanaaa
@EvaMwasembo8 ай бұрын
Asante mlisho
@RozinaHamisi Жыл бұрын
Daah ujumbe mzito sana huu😢😢😢
@barakamugeta5064 Жыл бұрын
Amaizing message
@samuelkajigili5890 Жыл бұрын
😢🙏
@helinasubila9872 ай бұрын
Hapa kuna kazi kweli
@Mariasmith-c9q6 ай бұрын
Yaani nimetoa machozi 😢😢😢😢😢
@IddyNchama9 ай бұрын
hakika hii ni elim kubwa sana ubarikiwe mjombo
@ericklibaba11989 ай бұрын
Huyu jamaaa ni hatariii aseee... Ubunifu wa juu Sana
@OmaryBakari-g8h Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@SAMWELCLEMENTtz4 Жыл бұрын
Duh!! 🎉❤😢
@honoratamafala6968 Жыл бұрын
Jikiteni kwenye hili la bandari kieleweke.
@zainabuyassini3095 Жыл бұрын
Bandari nini wewe angaika na ukabila na ubinafsi umewajaa. Kuna mausiano Gani na Ili. Usutuchanganye. Mama lete wawekezaji
@SalmaKhalifa-u1s Жыл бұрын
Mashaallah ❤❤❤
@eshahashimu8927 Жыл бұрын
Mpaka nimelia 😭😭😭
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Vijana wengi wanapotea Kwa kukosa maarifa tuwaombee Kwa mungu
@abbyphilip47108 ай бұрын
Very touching
@AnaniaAnania-lk3ek Жыл бұрын
Nimejikutaa naliaaa😢😭😭"acn
@felixkemei2053 Жыл бұрын
Sauti ya Simba mrishompote💪
@mbusamahilijacques9274 Жыл бұрын
Eeee mungu wetu sahi diya watoto wetu asante sana municho