BALAA LA MRISHO MPOTO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

  Рет қаралды 46,084

MrishoMpoto

MrishoMpoto

3 ай бұрын

kupitia wizara ya nishati iliotuamini na kutukabidhi Elimu burudan kwenye siku ya wan awake duniani

Пікірлер: 50
@lilianpuka218
@lilianpuka218 3 ай бұрын
Mjomba chukua maua yako🎉🎉🎉🎉❤❤
@adventinaanthony8497
@adventinaanthony8497 3 ай бұрын
Inanikumbusha mbali dadaangu wakati yupo kwake ameenda kutafuta kuni aliuwawa kikatili na watu wasiojulikana😢😢,mshukuru Mungu mkeo hata kurudi salama
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 3 ай бұрын
Pole sana dada😢😢😢
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 3 ай бұрын
Mambo siaya yenye mafunzo yenyeusika maisha yetu ilakunawasani nyimbo zamatusi tuuu
@BoniphaceMathias-ek5gl
@BoniphaceMathias-ek5gl 3 ай бұрын
Safi sana mjomba kwa kuelimisha watanzania
@user-qb3nr6gl1z
@user-qb3nr6gl1z 3 ай бұрын
Mmmmmmh mim nimepitia hii ewe Allah 😭 mjomb shukurn
@jamilakimaro9993
@jamilakimaro9993 2 ай бұрын
Innalillah wainnaillaihi rajiun. Wamama tunashida.....mmh. Inshaallah M/mungu yupo atatulipa mbele ya safari.
@user-qt3sw3iw3y
@user-qt3sw3iw3y 3 ай бұрын
Nimekumbuka enzi za uhai wa mamangu ss wakati wadogo alipitia mambo mengi nimelia sna😢😢😢
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 3 ай бұрын
Pole😢😢❤❤❤❤
@Hamisi-nn1qw
@Hamisi-nn1qw 3 ай бұрын
Fundi sana Mjomba mpoto
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 ай бұрын
Wanaume wanahuruma sana😂 etihuyo mama kapigwa kikofi wameenda kumpa els jmn
@issashekh4726
@issashekh4726 3 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri 🎉
@modesterchristophermodchri4233
@modesterchristophermodchri4233 3 ай бұрын
Yani wa mama tuna itwa mbwa mavi takataka kila aina yama tusi
@salummussa1139
@salummussa1139 3 ай бұрын
Poleni
@justineonkeo3326
@justineonkeo3326 3 ай бұрын
Mjomba🎉
@amanafi1288
@amanafi1288 3 ай бұрын
Good idea Gwiji Mrisho... Umefunikaa Kongolee kwako... Duuuu... Mlio na Mamlaka tumieni vipaji mlivonavyo kutuletea mapinduzi ya Kweli ktk Nishati.
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 3 ай бұрын
Mh. Mpango ameshindwa kumuangalia mama muigizaji.
@gladyssembojas5308
@gladyssembojas5308 3 ай бұрын
Duh! Mrisho 🎉🎉
@jamilakimaro9993
@jamilakimaro9993 2 ай бұрын
Malaya ni neno jepesi sana kwa waume zetu innalillah wainnaillaihi rajiun
@jamilakimaro9993
@jamilakimaro9993 2 ай бұрын
Mjomba🎉🎉
@user-oj1dv7ci1v
@user-oj1dv7ci1v 3 ай бұрын
Wanawekentunapitia magumu megisana 😢😢
@saidichitopela
@saidichitopela 3 ай бұрын
Mjomba upewe mauwa yako🎉🎉🎉.ila mbona GS ikojuu sana.uku kwetu ukiwa na mtungi wako tunanunua kg.14 Kwa 25000
@MichaelMyumbo
@MichaelMyumbo 3 ай бұрын
Aisee hii imeniumiza imenigusa usimumuumize wa kumtesa mwanamke yeyote
@sisifaty9183
@sisifaty9183 3 ай бұрын
Umenikumbusha mengi
@idrissaabubakari859
@idrissaabubakari859 3 ай бұрын
Camera 🔥
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 3 ай бұрын
Umenikumbusha mbali sana siwezi kusahau mimi
@user-no8ow4my3l
@user-no8ow4my3l 3 ай бұрын
Mjomba umeweza
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 3 ай бұрын
Maisha ya tz hatufanani mjin wanaishi vingine vijijin tunaishi kivingine nchi moja maish tofaunti,,,ingekuwa kama nchi ya oman vijijin kote kunaumeme maji gesi hospital mzuri supermarket zimejaha viongozi wanatakiwa wajifuze kubadrisha maisha maji vijijin tabu mbaka leo watu wanakunywa kwenye mito
@davidndaha9607
@davidndaha9607 3 ай бұрын
Mrisho mbona siku ya wanaume hauigizi wala haina nguvu hizo!!
@MkomboziSailowa
@MkomboziSailowa 3 ай бұрын
hii hatar sana japo nam nilihusika lakn naisikiliza hapa naona hisia nikal sana 😢😢
@AffectionateBurger-vk9tt
@AffectionateBurger-vk9tt 3 ай бұрын
❤❤❤❤😅
@eliyapeter8679
@eliyapeter8679 3 ай бұрын
😭
@user-rz2qw3ub8z
@user-rz2qw3ub8z 3 ай бұрын
Kwanini nimecherewa kuona ujumbe wa mana
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 3 ай бұрын
Nimeshindwa kuzuia machozi.Nimekumbuka mengi.Mjomba umejua kuniliza
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 ай бұрын
Niuchungu sana😢😢
@user-nt8pp4qy1i
@user-nt8pp4qy1i 3 ай бұрын
Sasa wafanyeje vijijini wakati ndio maisha Yetu haya hata gasi hawaijui ikoje wazazi wetu😢😢
@chriskay006kenya5
@chriskay006kenya5 3 ай бұрын
We mkali
@mhifadhi797
@mhifadhi797 3 ай бұрын
Ipo siku wanaume tutachapwa viboko na wanawake ngoja muda ufike
@marymanoni5536
@marymanoni5536 3 ай бұрын
Ulitaka unyanyasaji uwendelee
@victaboy7273
@victaboy7273 3 ай бұрын
Hata naliona hilo
@zainabuali9915
@zainabuali9915 3 ай бұрын
Mhhh umefik mbali
@zainabuali9915
@zainabuali9915 3 ай бұрын
Mhhhh umefik mbali
@user-ge4rd9hu6u
@user-ge4rd9hu6u 13 күн бұрын
Mpoto uracari uwambere 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮na Burundi tunakupenda sana
@elimishanyamoga6797
@elimishanyamoga6797 3 ай бұрын
Hawa wanawake mnawapa viburi Sana huko mijini mnatumia gasi huku kwetu hata umeme hakuna mnataka mwanamke wa huku asifate kuni shambani kwamba tunamtesa??? Any way nisije nikaonekana naongea Kama Sina uchungu wa MAISHA ya wanawake lkn uhalisia cyo huo
@mercymichael476
@mercymichael476 3 ай бұрын
Umeangalia lakini hukuelewa.Ni kwamba ameleta kuni,hujui ni umbali gani amepata hizo kuni,ni mjamzito bado unamlaumu bila kuona alivyojitahidi.
@zainabuali9915
@zainabuali9915 3 ай бұрын
Faham vxur ujumbe uliokusudiwa, shida sio kukat kuni shida ni kwamb lich ya juhudi anazozifanya mama kutafuta kuni ilhali anaujauzito lkn bado anaonekan mzembe na kutupiwa matus pmoj na kupigwa hiyo sio Sawa. Nadhan utkuw umeelewa
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 3 ай бұрын
Huji nini anaongea sikiliza na uelewe
@jacobotieno3220
@jacobotieno3220 3 ай бұрын
Not impressive
@justineonkeo3326
@justineonkeo3326 3 ай бұрын
Mjomba🎉
MRISHO MPOTO AMNYANYUA RAIS BILA UWOGA
10:44
MrishoMpoto
Рет қаралды 2,7 М.
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 26 М.
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 21 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 52 МЛН
NILIJARIBU KUIBA MTOTO MUHIMBILI KUNUSURU NDOA YANGU
14:05
Wasafi Media
Рет қаралды 25 М.
Nilijua HARMONIZE ni Mtoto Laini Laini Tu - Mrisho Mpoto
18:22
TimesFMTZ
Рет қаралды 336 М.
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Hamasika Tv
Рет қаралды 18 М.
Kicheko cha Mama Magufuli Igizo la Vijana Kumbukizi ya Hayati John Joseph Pombe Magufuli Kawekamo.
16:44
Archdiocese of Mwanza - Jimbo Kuu la Mwanza
Рет қаралды 189 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 65 М.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 189 М.
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 97 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
2:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 15 МЛН
Kendrick Lamar - Not Like Us
5:55
KendrickLamarVEVO
Рет қаралды 43 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 164 М.