MRISHO MPOTO NA MTOTO WAKE | VIONGOZI NA RAIS WALIA KWA UCHUNGU | CHOZI LITAKUTOKA

  Рет қаралды 241,442

MrishoMpoto

MrishoMpoto

Жыл бұрын

MAADHIMISHO YA KITAIFA YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI- ARUSHA

Пікірлер: 236
@goragora9204
@goragora9204 11 ай бұрын
Allah atuongeze wanawake wote ambao tumeachwaa na watoto allah atujaaliye ujasiri wakuwe katika maadili mema amiin
@lucylyale7169
@lucylyale7169 11 ай бұрын
Ee mwenyez Mungu tutie nguvu wamama na vijana wetu roho mtakatifu atembee nasi daima,,🙏🙏
@user-jm7ni3mt1y
@user-jm7ni3mt1y 11 ай бұрын
Nimejikuta nalia kwauchung Ee mw/mungu waongoze watoto wetu kwenye njia salama😭😭😭😭
@zenakioga6567
@zenakioga6567 11 ай бұрын
Asante sn mjomba kweli hali ni mbaya sn kwa watt wetu Taifa la kesho Mungu ibaliki Tanzania Mungu wabaliki watt wetu inshaallah
@clariszawadi2010
@clariszawadi2010 10 ай бұрын
😭😭😭😭 EE mwenyewe Mungu tusaidie,na utulindie watoto wetu na jamii zetu
@MagrethZuberi-fl7wl
@MagrethZuberi-fl7wl 11 ай бұрын
Eee Mwenyezi Mungu naomba nijalie hekma ndan ya mtoto wangu wa pekee Dav muepushe na vitendo vyote vibaya 😢😢😢
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Mwili unakuwa hapa akili ipo ulaya 😂😂😂 daaah
@amosagostinhocoque8785
@amosagostinhocoque8785 Жыл бұрын
Nimenda sana kwa kazi unae fanya. Natokeya Moçambique-marrupa. Naita Amós A. Coque.
@amosagostinhocoque8785
@amosagostinhocoque8785 Жыл бұрын
Nimependa*
@bonifasekitomari-ch7en
@bonifasekitomari-ch7en Жыл бұрын
Uje uone ukuu ulayaa
@AlfredAloyce-wh5nq
@AlfredAloyce-wh5nq 11 ай бұрын
Daaa Asante kwa ujumbe mzuri sana Mungu akuweke miaka mingi duniani
@SashaRasheed-mu6ru
@SashaRasheed-mu6ru 11 ай бұрын
As a single mama nimeskia uchungu mnoooo nimelia jinsi tunavyopata shida kulea watoto wetu tunatafuta kwa uchungu leo afu mtoto anakuwa teja😭😭😭
@salimomari150
@salimomari150 10 ай бұрын
Am single too.. Tujuane
@lovenessfrancis347
@lovenessfrancis347 10 ай бұрын
I'm not single Ila poleni saana wamama maana kulea mtt ukiwa peke yako kiukweli nikazi saana Mungu awatie nguvu
@justamakena9728
@justamakena9728 10 ай бұрын
Am single too its painful akh kulea mtoi pekee😢
@macaroeliya4609
@macaroeliya4609 8 ай бұрын
Mimi ni single mother. Nimelia sana. Mungu tusaidie wanawake tunaolea watoto wenyewe. Tulindie watoto wetu
@salimamasanja4659
@salimamasanja4659 8 ай бұрын
Hongera Sana
@ceciliakilian3809
@ceciliakilian3809 9 ай бұрын
😢 daaah Mungu tutetee sisi na vizazi vyetu
@makokhasammy
@makokhasammy Жыл бұрын
Your creativity is a rare talent
@user-hg4vt7sp1e
@user-hg4vt7sp1e 11 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri sana
@margrethjonesmshana8555
@margrethjonesmshana8555 Жыл бұрын
Nimeliaaà MWENYEZi MUNGU tusaidie na vizazi vyetu,, wananchi tuheshimu tuu mamlaka , ,tumuheshi na MWENYEZi MUNGU yeye ndio fundi wa klea watoto.
@josephngairo2342
@josephngairo2342 11 ай бұрын
Hongera sana brother mpoto kwa kazi nzuri elimu nzuri sana hii.
@makokhasammy
@makokhasammy Жыл бұрын
Its an honor to have lived during Mrishos time, we get to experience the oratory eloquenc and creativity of long gone athenian socratic literature
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 11 ай бұрын
Mama samia tunakupenda sana piga kazi. Mungu anakusimamia
@AtufigwegeMwakalibule-pv3nv
@AtufigwegeMwakalibule-pv3nv Жыл бұрын
Aisee mungu tusaidie sisi yatima
@benedictkaingu8598
@benedictkaingu8598 8 ай бұрын
Wow! Ushauri wa juu sana
@PreciousMremaro-xg6nk
@PreciousMremaro-xg6nk 11 ай бұрын
Mungu akujalie akupeni maisha marefu🙏🙏🙏🙏
@gracenakamba6053
@gracenakamba6053 5 ай бұрын
Asante kwautututetea mungu akubariki
@allymachusi1066
@allymachusi1066 11 ай бұрын
Hii Safi Sana mungu azidi kukupa uhai mrisho mpoto uzidi kutupa elimu
@shemela8769
@shemela8769 11 ай бұрын
Ahsante mzee wng mpoto kazi nzuri sana.
@SaidihusseinAthumani-dy9kw
@SaidihusseinAthumani-dy9kw Жыл бұрын
tanzania yangu rais wangu tunakupenda sana
@zawaditito5111
@zawaditito5111 Жыл бұрын
Tuwaombee vijana wetu majaribu yaliyoko mbele yao ni makubwa sana, ujumbe umefika kuteleza siyo kuanguka tusikate tamaa nafasi za kuwatoa huko bado zipo Mpoto umeeleweka baba 🔥🔥🔥
@nathanmwibela5917
@nathanmwibela5917 9 ай бұрын
Yesu saidia watt wetu wanakutana na mengi njian
@pamelambuya8796
@pamelambuya8796 11 ай бұрын
Nimeliaaa hakika tupo wengi tunayo pitia Mungu tusaidie
@user-di8xx2um2y
@user-di8xx2um2y Жыл бұрын
Mungu awasaidie watot wetu
@frenkmhule5853
@frenkmhule5853 11 ай бұрын
Hakika yaani nalia jamani huyu kaka anajua anachokifanya tanzania. Viongozi wanakula maisha watoto wanapotea
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 11 ай бұрын
Asante Kwa ujumbe mzuri mungu atusaodie na wabaya wa vijana wetu
@AbdallahYanga-yu2or
@AbdallahYanga-yu2or 11 ай бұрын
Mama Samia mashallah mungu akuweke
@johnbenjamin606
@johnbenjamin606 5 ай бұрын
A Big lesson much love mrisho mpoto
@user-ex6kk5jb4y
@user-ex6kk5jb4y 10 ай бұрын
Mungu ibaliki Africa 🌍 mungu ibaliki Tanzania tunakutegemea mama Samia Kwa watoto wetu asa sisi wakina mama
@carenhilary8067
@carenhilary8067 Жыл бұрын
Mmh Mpoto BARIKIWA unakitu kikubwa saana ,Wewe Jembe
@youngmaster4127
@youngmaster4127 Жыл бұрын
Hongera sana mjomba
@MsanangoMwalabu-rx1oo
@MsanangoMwalabu-rx1oo 8 ай бұрын
Wimbo mzuri unamaudhui .ilatumekwisha mrisho mtoto ameanza mafunzo kulidhi mikoba ya mpoto jamaa hajawahi kuikosoa serikali ikikosea yeyefani take ni kusifia tu
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho Жыл бұрын
Hongera Mjomba,ila vitaa hii ngumu hata hao walioelekea kiweza hata kwa aslimia kadhaa walipigwa vita na kuonekana hawafai. # vita hiyo ni ngumu zaidi ya Ugumu unaoujua. KIKUBWA MAOKOTO😂😂😂😂
@LumolaSteven
@LumolaSteven 11 ай бұрын
Mpoto ni Chawa Sana. Ubunifu mzuri sana ila Mpoto kaleta Uchawa kuanza kutoa sifa too much.
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣hata uarabuni alikuwepo
@macaroeliya4609
@macaroeliya4609 8 ай бұрын
Ulichoona ni hicho. Hujaangalia ujumbe.😢
@mazingedeetz6712
@mazingedeetz6712 10 ай бұрын
Kwann nimelia na kumuwaza Hussein wangu Allah nikuzie 🙏
@crillarlawcmo2366
@crillarlawcmo2366 11 ай бұрын
Asante sana Mrisho..Nageukia Jamii tusimame tupeane elimu ya malezi hali ni mbaya.Watoto wanatuhitaji sana katika kuhakikisha wanazifikia ndoto zao.Poleni.kwa changamoto lakini.kupitia hili tunakwenda kuwatia MOYO
@officialquochezdonshwari2336
@officialquochezdonshwari2336 11 ай бұрын
Toka kenya , nmekubali funzo hili 💯💯
@loyceumaz8728
@loyceumaz8728 11 ай бұрын
Pamoja bro...mi pia naikubal funzo hii
@irenenzuki551
@irenenzuki551 10 ай бұрын
Oh my God bless u mummy
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 3 ай бұрын
Amen God bless all 👏🏽🤲🏽🙏🏽 you are so much better 😁😊😊
@nahyahya7349
@nahyahya7349 11 ай бұрын
Kama ma mama nimeumia sana dah yote kwa yote ubunifu mzuri sana 😘
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 11 ай бұрын
Rais mama Samia tu akipenda sana
@user-vi4jr5fm9x
@user-vi4jr5fm9x 11 ай бұрын
Mwambukusi apinga mkataba wa bandari
@user-vi4jr5fm9x
@user-vi4jr5fm9x 11 ай бұрын
Mbambukusi apinga mkataba wa bandari
@jamilakimaro9993
@jamilakimaro9993 3 ай бұрын
Kwa kweli nimetazama maafali haya na hichi alichokionyesha mpoto kwa kweli nimelia sana . Mpoto asante kwa kuliwakilisha hili kwenye maafali haya. M/mungu tusimamie vijana wetu kwani hali ni mbaya mno.
@user-jr5pd4mx2x
@user-jr5pd4mx2x 22 күн бұрын
Hii. Ndioburudani zakuelimisha jamii
@user-lq8zo5wu1m
@user-lq8zo5wu1m 10 ай бұрын
Nimelia kama mzazi jaman mungu julindie wenetu 😢😢
@kirwaisa8772
@kirwaisa8772 11 ай бұрын
Am always proud of @Mrisho Mpoto
@hassankaduara436
@hassankaduara436 3 ай бұрын
Love Tanzania 🇹🇿 🎉
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 3 ай бұрын
Huyu jamaaa ni hatariii aseee... Ubunifu wa juu Sana
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
Ila mpoto daah 🔥🔥🔥 your the talented brooo
@veronicastephano8974
@veronicastephano8974 Жыл бұрын
😢😢 mungu atusaidie na atupenguvu
@salimabbas2133
@salimabbas2133 10 ай бұрын
Dakika ya kwanza tu, machozi yanitoka. Kazi nzuri sana
@EvaMwasembo
@EvaMwasembo 2 ай бұрын
Asante mlisho
@maryxavery4105
@maryxavery4105 Жыл бұрын
Nmelia jmn mpoto,ino na mama yake ujumbe mzur 🙏🙏
@bonabonala5559
@bonabonala5559 5 ай бұрын
kuna viongozi ni chawa zaidi ya mama levo au mwijaku ni wa ccm wezi kweli awajiamini kama kina bashe japo nae ni mwizi katika kujiamini yumo anavutia kwa misimamo ya kujitetea
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Жыл бұрын
Jikiteni kwenye hili la bandari kieleweke.
@zainabuyassini3095
@zainabuyassini3095 11 ай бұрын
Bandari nini wewe angaika na ukabila na ubinafsi umewajaa. Kuna mausiano Gani na Ili. Usutuchanganye. Mama lete wawekezaji
@HawaMohammed-te7ug
@HawaMohammed-te7ug 11 ай бұрын
Mwenyenzi,akufanyie, wps
@JosephPeter-fw1sw
@JosephPeter-fw1sw 9 ай бұрын
Hongera Sana unaelimisha Jamii vizuri
@user-ef6ii4yj6d
@user-ef6ii4yj6d 8 ай бұрын
Ea mwenyez mungu tupe nguvu wamama wote tunaopambana kulea wtt wetu Ameeen
@mohamedikilua1582
@mohamedikilua1582 11 ай бұрын
God help me I don't wanna let my mom down😢
@cynthiaomondi7294
@cynthiaomondi7294 8 ай бұрын
Creativity on another level
@zawadibahati5168
@zawadibahati5168 5 ай бұрын
Hongera sana mrisho kwa ujumbe mzuri
@EdinankelebiMkelebi-lp4bq
@EdinankelebiMkelebi-lp4bq 9 ай бұрын
Mwenyezi mungu waongoze watoto wetu NJia ilio yakweli
@mpanjumpanju8147
@mpanjumpanju8147 11 ай бұрын
Kuna vijana wengi wanaangania, kupitia ujumbe hui nasimama n'a wewe hâta Nife sais naomba mawsiliano. Mrisho umenipa ujasli
@abbyphilip4710
@abbyphilip4710 2 ай бұрын
Very touching
@mercynina6288
@mercynina6288 11 ай бұрын
MUNGU twaomba ilinde Tanzania
@cloudmchopa5665
@cloudmchopa5665 11 ай бұрын
hongera uncle mpoto uko vizuri saana
@SaidiHasani-wl8tr
@SaidiHasani-wl8tr 2 ай бұрын
Mrisho mpoto unaa faa sana kuwa rais
@user-jj3tq1rh4p
@user-jj3tq1rh4p 3 ай бұрын
hakika hii ni elim kubwa sana ubarikiwe mjombo
@sophianabintu6666
@sophianabintu6666 10 ай бұрын
Mungu atusaidia sana sisi huku Canada watoto wetu wa ki Africa wato wameigia kwa hio mabo ya ulivi na bangi hawa somi hata wazaki kufariki kwa Tation mutuobeye mungu
@ScardySangah
@ScardySangah 2 ай бұрын
Uyu mwamba wa inosent njoo kaupiga mwingi.
@IrfanVuai
@IrfanVuai 2 ай бұрын
Mm inanitoa machoz nilimuona mama akimlalikai mtoto wake
@johnkasuga3290
@johnkasuga3290 3 ай бұрын
Igizo hili kama una machozi ya karibu yatakutoka,linatia huruma sanaaa,,!!!
@ainekishagodwin1877
@ainekishagodwin1877 3 ай бұрын
Nimekuelewa mjomba siku nyingine fundisha ata ya ushoga
@hemedimohamedi2457
@hemedimohamedi2457 11 ай бұрын
Huyu mwanafunzi anajua sanaa ,na anauwezo wa kuliza watu wengi
@pendoshabani7169
@pendoshabani7169 11 ай бұрын
Good idea
@user-od1qv6ez6n
@user-od1qv6ez6n 25 күн бұрын
Yaani nimetoa machozi 😢😢😢😢😢
@tukuyufm
@tukuyufm Жыл бұрын
mlezi wa maghani, mungu akubariki sana una kitu kikubwa sana juu ya hili taifa kama mwelimishaji wa taifa Usirudi nyuma.
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js Жыл бұрын
Hakika
@tukuyufm
@tukuyufm Жыл бұрын
@@Octavinaelisa-fn6js 👏👏
@AngelaBeath
@AngelaBeath 10 ай бұрын
Nmelia sana kwa uchungu Ee mungu watie nguvu mama wote wanaopambana kwa ajili ya watoto wao
@RichardSenkondo-ny1mo
@RichardSenkondo-ny1mo 9 ай бұрын
Mpoto anaweza sanaa kwann mama usimpe hata ukuu wa wilaya
@Paplick9
@Paplick9 10 ай бұрын
Crietivity 💯💯
@ramadhankaniq7179
@ramadhankaniq7179 11 ай бұрын
Inapaswa kujifunza kuptia maneno ya Mjomba Na kwa wale walio kosea wazaz na family’s kwa ujumla wakaombe msamaha kuptia ujumbe huu haujaacha kitu ni Hotuba tosha✊🙏🏾
@yohanaluchapa1148
@yohanaluchapa1148 11 ай бұрын
Mjomba mpoto uko vizuri aujawai kukosea katika kutoa mafunzo Kwa jamii
@petrochundu9702
@petrochundu9702 11 ай бұрын
Hongera sana mjomba hakika kazi yako nimeipenda
@Mr.Queentz
@Mr.Queentz 11 ай бұрын
Aisee hata mm nilitelekezwa na mimba hadi sasa mtoto ana miaka 8😢😢 eti mtu ndo anakuja anataka mtoto nakutaka kumuiba jamani
@coclewitgar-sn8vn
@coclewitgar-sn8vn 10 ай бұрын
Acha tu ndugu yangu Yani unalea mtoto wako kwashida Sana alafu akifika miaka 8 ndo utasikia namtaka mtoto wangu nikamsomsomeshe aisee namchambaga mbaga anajuta
@stellamphanda3383
@stellamphanda3383 10 ай бұрын
Amaizing song
@barakamugeta5064
@barakamugeta5064 9 ай бұрын
Amaizing message
@felixkemei2053
@felixkemei2053 Жыл бұрын
Sauti ya Simba mrishompote💪
@edwardenock
@edwardenock 11 ай бұрын
Kweli kabisa Mrisho Elimu inahitajika
@samuelkajigili5890
@samuelkajigili5890 Жыл бұрын
😢🙏
@mbusamahilijacques9274
@mbusamahilijacques9274 8 ай бұрын
Eeee mungu wetu sahi diya watoto wetu asante sana municho
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 11 ай бұрын
Mwisho nampenda sana rais Samiah .
@faridamndeme2751
@faridamndeme2751 Жыл бұрын
Ni huzuni inaumaa eee YESU tusaidie
@AbdulqadirKibassa
@AbdulqadirKibassa 11 ай бұрын
POLE SANA KAKA MRISHO MUNGU ATAKUPONYA
@user-eq2nq6os7v
@user-eq2nq6os7v 10 ай бұрын
Congratulations ❤❤
@ErnestChrispin-ob2rn
@ErnestChrispin-ob2rn 9 ай бұрын
Inauma sana uyu mwamba mungu kamjalia kipaji
@EdisaLaurian-gh1op
@EdisaLaurian-gh1op 11 ай бұрын
Hongera Mjomba
CHOZI LAZIMA LIKUTOKE | ALICHOKIFANYA MWANDALE MBELE YA RAIS SAMIA
17:27
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 50 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
BALAA LA MRISHO MPOTO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
11:17
MrishoMpoto
Рет қаралды 47 М.
MRISHO MPOTO AMNYANYUA RAIS BILA UWOGA
10:44
MrishoMpoto
Рет қаралды 3 М.
Shughuli nzima ya maziko ya hayati Magufuli
50:37
Azam TV
Рет қаралды 584 М.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 58 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 684 М.
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,1 МЛН
Munisa Rizayeva - Aka makasi (Official Music Video)
6:18
Munisa Rizayeva
Рет қаралды 11 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Kuydurgi (Official Music Video)
4:49
NevoMusic
Рет қаралды 9 МЛН
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 132 МЛН