Рет қаралды 301
“…Yoga ni kitu muhimu cha kujenga mwili vizuri” - Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa awasihi Watanzania kufanya mazoezi kila siku, aeleza faida zake akijitolea mfano yeye mwenyewe akisema “…mimi mazoezi ni sehemu ya maisha yangu….tuepuke vidonge”
Haya yalikuwa ni maadhimisho ya Siku ya Yoga Duniani.