"Msije kufikiri sipendi matajiri, waliopata utajiri wao kihalali" JPM

  Рет қаралды 24,516

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Rais Magufuli amefurahishwa na uwekezaji wa Lakairo Wilaya ya Magu Mwanza.

Пікірлер: 16
@annamlay6088
@annamlay6088 6 жыл бұрын
Ahsante sana baba Magufuli, umenipa nguvu kwa kauli yako, Mungu akubariki na akupe umri mrefu.
@lisagoodluck3609
@lisagoodluck3609 6 жыл бұрын
Anna Mlay
@paulofesto4948
@paulofesto4948 6 жыл бұрын
Lakairo ahsante kwa kufanikisha ajira kwa ndugu zetu
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 6 ай бұрын
Asikini Magu wetu tulikupendaga sana.na daima tutakuhenzi
@mawazoselemani614
@mawazoselemani614 6 жыл бұрын
Mali halali ikitumika kihalali.Tanzania iko juu sana!
@deusmauka9626
@deusmauka9626 6 жыл бұрын
TISS big up, mpo faster, maseke 100%.
@habilicharles4410
@habilicharles4410 6 жыл бұрын
Hongera Rais tunakupenda sana wapenda maendeleo
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
JPM Umetuonyesha mambo mema hii nchi ilikua haina matajili Ilikua na wapiga dili miaka mitatu tu ali kwao mbaya alafu nashangaa mbunge analalama alafu ni mbunge uyo wakati auja enda kumpola mtu kwake unafata sheria za nchi mbunge anatete waliokua wanavunja izo shelia kwa kunyonya wanyonge dunia hii
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
Wewe ndo raisi wanyonyaji waende nchi zingine so tz mana awana faida na nchi yetu awatufai kwa rorote nchini kwetu fukuza tu waame
@mwajumangimba5064
@mwajumangimba5064 6 жыл бұрын
penda rais wangu hadi naumwa
@chrismbut5277
@chrismbut5277 6 жыл бұрын
Huwa napenda sana kuwaangalia hao walinzi wa rais a.k.a mazuria.Hakika wako makini sana bigup ikulu.
@eliarichard9218
@eliarichard9218 6 жыл бұрын
iko sawa
@majormsema9192
@majormsema9192 6 жыл бұрын
💚u Magufuli.
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
MWANAAAAAA
@georgeasalla8542
@georgeasalla8542 6 жыл бұрын
LakAiro hao wengine wa kule chini hawajakujuwa,kelele zao mingi ,piga kazi
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
Watu mnafotoa mipicha kama yote
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 112 М.
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 43 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 51 МЛН
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 48 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 206 МЛН
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
1:23:49
Magufuli akiwafungukia watanzania kuhusu uzazi wa mpango
8:58
JPM: Mimi sitaki nipendwe, hata sura yangu ni mbaya
1:05
Azam TV
Рет қаралды 28 М.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
59:24
Azam TV
Рет қаралды 805 М.
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 43 МЛН