MSTAAFU KIKWETE Asimulia KIKOMBE cha BABU KILIVYOMTESA - "HATA WAZIRI WANGU LUKUVI NAE ALIKUNYWA"

  Рет қаралды 73,123

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@abdallahabdallah8750
@abdallahabdallah8750 2 жыл бұрын
Allah akupe umri na afya nzuri una hekma na busara kubwa Safi sana mkuu
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 2 жыл бұрын
MH KIKWETE ULIKUWA NA UMAKINI SANA KUTOKUWA KUWA MWEPESI WA KUTOA MATAMKO...RIP KIKOMBE CHA BABU
@Chr196
@Chr196 24 күн бұрын
Barikiwa Raisi mpendwa Kikwete
@WILIAMSONMOSHI
@WILIAMSONMOSHI 5 ай бұрын
Raisi wangu nakukubali sana Mungu akupe maisha marefu
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@prosperjuma905
@prosperjuma905 2 жыл бұрын
Huyu mzee namkubali sana aise
@albertadalabert5702
@albertadalabert5702 9 ай бұрын
Mungu akupe Nguvu Mzee
@eatlawe
@eatlawe 2 жыл бұрын
Mzee Kikwete ni kiongozi na ana hekima kama Mzee Ruksa! Mungu awape miaka kama bonus ya utumishi wetu kwa taifa letu!
@ramadhanimtambo6755
@ramadhanimtambo6755 Жыл бұрын
Huyu ndie baba mlezi wa taifa Allah atakulinda na masaibu yote kaka yetu Mzee wetu mstaafu uishi maisha marefu kabisa
@godfreydavid6267
@godfreydavid6267 2 жыл бұрын
JK for Presidency again...
@husseinkalamba8606
@husseinkalamba8606 2 жыл бұрын
Jk namkubali Sana mzee wahekima Yani ukisikiliza utuba za mzee jk una enjoy
@mtumishimathias7762
@mtumishimathias7762 2 жыл бұрын
Kwakweli kilitusaidia kusahau Escrow na Richomondi scandal ,la sivyo ingekua atari Sanaa
@drmussa1220
@drmussa1220 2 жыл бұрын
Mashaallah
@fadhilnsajigwa9498
@fadhilnsajigwa9498 2 жыл бұрын
Mzee nyie ndio mlikuwa kipao mbele kutengeneza miundombinu Leo umegruza kibao daah bongo bahati mbaya Kama unaamini Hilo gonga like
@sonically113
@sonically113 2 жыл бұрын
Tunakuombea maisha marefu
@hamzamwilaphy2902
@hamzamwilaphy2902 2 жыл бұрын
Mzee kikwete unajua sana kuongea, I mis u sometimes
@rinaldaoman7892
@rinaldaoman7892 2 жыл бұрын
Tuletee na ya DESI MH. KIKWETE😄😄😄
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 2 жыл бұрын
Mzee tunakukubali sana
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Kikombe cha Babu lilisaidia Loliondo pia kujulikana duniani. Kilizidi wataalamu wa nyota.
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 жыл бұрын
Nimesikia Janabi nikakumbuka mautaalam yake ya kushughulikia uhai wa watu!
@assayusuph3295
@assayusuph3295 Жыл бұрын
Mkuuuuu
@petersilas4234
@petersilas4234 2 жыл бұрын
Nilichojifunza hapa pia ni kwamba huyu Bwana anafuata Sana sayansi. Labda angetuweka lockdown kwa kiasi kikubwa. Hii ingeleta athari za uchumi Bila kuleta manufaa makubwa kitaifa. Kwani Loliondo sio kweli kwamba haikujulikana. Mitizamo yote inatufaa kwa wakati wake.
@Pharadge
@Pharadge Жыл бұрын
mbona labda nyingi na kama ni hivyo angeifunga loliondo lakin hakufanya hivyo. usiwe mwepesi wa kumdhania mtu vibaya
@frankkataraiha607
@frankkataraiha607 2 жыл бұрын
busara kubwa shikamoo Mh rais
@wilsonmollel3168
@wilsonmollel3168 2 жыл бұрын
Mh Skamooo.! Unamaana mafuta ya upako ,frito,chumvi,talasin namengineo yatajakuwa saturi iliyopitwa wakati
@emmaboka959
@emmaboka959 2 жыл бұрын
Pro janabi
@saeedally268
@saeedally268 2 жыл бұрын
Janabi ndo yule dkt ambaye hafai
@deusrobart8181
@deusrobart8181 2 жыл бұрын
Ndio yeye
@halifawarioba464
@halifawarioba464 2 жыл бұрын
Janabi hafai ki vip sijaelewa?!
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Janabi weweeee 🙆🙆🙆🙆
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 жыл бұрын
Huo ni WIVU mjomba, na humjui Janabi.
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 жыл бұрын
@@minskbelarus7255 wewe ndo humjui endelea kusinzia!
@msafirimatingo4447
@msafirimatingo4447 2 жыл бұрын
Ulikuwa ni mwendo wa kupiga vikombe tu du huyu babu,aliwaweza kweli jmn
@salhaali9284
@salhaali9284 2 жыл бұрын
Kuabudu mizimu ni wazimu
@eliaskemiti7785
@eliaskemiti7785 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣nguvu zileeeeee……
@luciansanga5195
@luciansanga5195 2 жыл бұрын
Mimi Nili shangaa Mtu Tuna ona Ana kunywa kikombe Cha Babu halafu tuna Mpeleka Ikulu Huko sikupeleka ushirikina Ikulu Halafu tupone Hasira ya MUNGU
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 2 жыл бұрын
Acha unafiki wewe na chuki zako hata huyo kikwete kafanya mangapi yasiyo mpendeza MUNGU hakuna mkamilifu hata mmoja hapa duniani. Mnafiki mkjbwa wewe. Siajabu ni moja ya mafisadi na kuwadi tu wewe. Wewe mkamilifu hapo ulipo? Ondoa kwanza boriti katika jicho lako ndiyo uondoe kibanzi katika jicho la mwenzako. Shetani mkubwa weee komaaaaa
@bjzee1981
@bjzee1981 2 жыл бұрын
Waziri wa ujenzi alikua nani
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Magu,,,
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Kikombe wengi walikunywa😄😄😄
@josephjosephgeorge3195
@josephjosephgeorge3195 2 жыл бұрын
Hakukukatalia
@julianandoweka7165
@julianandoweka7165 2 жыл бұрын
Akiwemo
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 жыл бұрын
Kwani huyu wakatai huu amekuwa mbele mbona kama muda wake ushapita vile au nini?
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 2 жыл бұрын
Muda wa mtu unakwisha pale anapotiwa kaburini.
@beberurafiki1273
@beberurafiki1273 2 жыл бұрын
huna kipya cia kucomment?
@josephjosephgeorge3195
@josephjosephgeorge3195 2 жыл бұрын
Destuli siku hizi mkristu anamuombea Dua mwislamu pia Mwislamu anamuombea Mkristo mbona hujauliza
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
@@abdifaraji2883 KUMBE BADO YUPO HUYU ATAISHI HATA AKITIWA KABURINI MAANA HUJAPATA KU SOMA WAZAIDIZI WA I BILIKISI BADO WANA ISHI ILI WAONE UOVU WAO VIZULI TENA HUJAPATA KUSOMA DAJALI NI KAINI ALIYE MUUA ABERI NA ANAISHI ILA JOSAHAUNI TU KIAMA KIMELARIBIA MNASUBILI BALA GUMU SIJUI MKIWA NA VITI GANI
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 nani kamuua wewe wakati alikua na matatizo ya moyo na madatari wake walisema
@omaryregga5315
@omaryregga5315 2 жыл бұрын
Simba SC wawakilish wa nchi kimataifa
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 2 жыл бұрын
Hata wasomi wanapigwa tu kwa mtu asiesoma ni hatari kwa uongo??
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 2 жыл бұрын
Hahahahaha uwiiii nacheka jamani
@susanbomani4120
@susanbomani4120 2 жыл бұрын
Watu wengi hata huku Kenya waliamini.That is in the past. People were desperate ndio maana ni muhimu tujenge hospitals tusiende nje kama India kutibiwa. Tuwalipe madaktari vizuri.
@rasmgz2367
@rasmgz2367 2 жыл бұрын
Susan uko vizuri, I agree with you 💯 Jah 🙌 bless.
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Lile zee lilikuwa pepo kutoka kuzimu.
@bonabonaza5066
@bonabonaza5066 Жыл бұрын
Jk minakupenda Sana nawakati wako democracies irikua juuu nirikupenda kwa Hilo naanza kukuchukiaa kumpotosha Samia mshauri katiba ipatikane usifinyange Kama urivyo ifinyanga wewe
@luciansanga5195
@luciansanga5195 2 жыл бұрын
Tukupenda una Hekima nyingi sana
@hassansadiki217
@hassansadiki217 Жыл бұрын
na mkubwa mwingine, alieenda. Loliondo kwa Babu kwa GIA ya kusema anaenda kuangalia unyayo wa mtu wa kale, kumbe nae alieenda kunywa kikombe Cha Babu wa Loliondo,
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 2 жыл бұрын
Mzee kikombe hukunywa kweli wewe 😂😂😂😂
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Kipindi hicho bwana mia tano yako tu alafu iwe ya noti 🤔🤔 hapo kikombe unapata sema sasa usafiri ndo ulikuwa wakulenga na manati🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
Namkubali sana babangu huyu hasa katika utawala wake
@abdultandala6576
@abdultandala6576 2 жыл бұрын
😅😅😅😅 nguvu zinaludi
@deohank5995
@deohank5995 2 жыл бұрын
Mh. Kikwete wewe ni jabali la Diplomasia
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@kazadymwamba938
@kazadymwamba938 2 жыл бұрын
Hii santuri ingekutana na mwendazake babu angetia akili
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Mlikunywa mavitu ya kuzimu
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
Kuna mtu aliniambia huyu alienda kunywa kikombe mimi sikuamini kumbe ni kweli alikunywa kikombe mimi ni msomi na sikumuamini kabisa yule babu wa kikombe ni hivi mtu ukiwa na ugonjwa usiotibika utaamini kila kitu sababu unataka upone na ndiyo maana yule babu akatumia ujanja ule kuwatapeli watu nilikuwa naona mitandaoni watu wako kwenye foleni kwenda kwa babu nikawaonea huruma mimi naishi nje lakini huwa nafuatilia habari za bongo
@mansixwilliamofficial5496
@mansixwilliamofficial5496 2 жыл бұрын
Kwahyo wewe unaona una Elimu sana kuzidi walio enda,?UJINGA USIO NA HASARA NI BORA KULIKO ELIMU ISIYO NA FAIDA
@lucaslabowa5054
@lucaslabowa5054 2 жыл бұрын
KIKWETE chaguo la MUNGU ...HOFU YA MUNGU ALIKUWA nayo
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Babu aliwadanganya watu
@ridhiwanakida3074
@ridhiwanakida3074 Жыл бұрын
hii ni Moja ya matukio ya kijinga yaliowahii kutoka tz
@rashidmohamed1903
@rashidmohamed1903 2 жыл бұрын
Wewe uliingia kwa babu kisiri siri ukapiga kikombe
@fadhilarashidi5184
@fadhilarashidi5184 2 жыл бұрын
Hapo msibani ongea ya msimbani kumbushia mauti na uzito wake
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Msikilize vizuri utamuelewa,,,,,usipayuke!!!
@mc-shaulinsingeristmsomi3903
@mc-shaulinsingeristmsomi3903 2 жыл бұрын
Mnataka aaminiwe mzungu tuh au sio ,,Yan niwasomi lakindi kwa head mmhn
@herculesthepower1544
@herculesthepower1544 2 жыл бұрын
Wewe umemsikiliza vizuri alichoongea mstaafu kabla kutoa comment yako.
@ridhiwanakida3074
@ridhiwanakida3074 Жыл бұрын
hapo ndio niliona hata wanaojiita wasomi ni wajinga ku professor aliacha dawa alaenda kufia kwa babu
@danielsanga8459
@danielsanga8459 2 жыл бұрын
Kikwete wewe sio ulinunua na matulubai Leo hii unasema huamini 😂😂
@ivankakooza1765
@ivankakooza1765 2 жыл бұрын
Hata Barbara alitengeneza ila mm nimemwelewa kiongozi Kama yeye alifanya poa
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Roho Mtakatifu huwezi kupimwa maabara. Pentecoste ndio maabara sahihi ya Roho Mtakatifu.
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 2 жыл бұрын
Roho mtakatifu sio wehu
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 2 жыл бұрын
Hata wasomi wasomi wanapigwa tu !!
@dicksonkapera4999
@dicksonkapera4999 2 жыл бұрын
Hiyo ilikuwa mission ya shetani na mawakala zake
@josephandrew3444
@josephandrew3444 2 жыл бұрын
Mzee gombea uraisi 2025 bado ukopoa!?
@fadhilarashidi5184
@fadhilarashidi5184 2 жыл бұрын
Kwanini hukuyaongea hapo nyuma acha unafiki wako
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 2 жыл бұрын
Kumbe na wewe umo kwenye kudanganywaa??
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Niubinadamu pia
@issiahtweve
@issiahtweve 2 жыл бұрын
😂😂😂
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 2 жыл бұрын
Na wewe kumbe shule ni ndogo??
@msafirimatingo4447
@msafirimatingo4447 2 жыл бұрын
Hahahahaaaa
Nondo anazungumzia kutekwa kwake
15:36
DW Kiswahili
Рет қаралды 15 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 19 МЛН
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 4,9 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН
| HEKAYA ZA LOLIONDO | Tiba ya Babu wa Loliondo [Part 1]
11:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 59 М.
JOHN MALECELA ALIVYOPONEA CHUPUCHUPU MBELE YA IDDI AMIN | TUJIKUMBUSHE..
9:05
Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2
29:35
YahStoneTown
Рет қаралды 295 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, DESEMBA 03, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 182
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 19 МЛН