MUNGU WANGU! BIBI AMPA RADHI MWANAYE AKILIA MBELE ya MAKONDA - APIGA MAGOTI na KUJIAPIZA KWA MUNGU

  Рет қаралды 15,136

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

MUNGU WANGU! BIBI AMPA RADHI MWANAYE AKILIA MBELE ya MAKONDA - APIGA MAGOTI na KUJIAPIZA KWA MUNGU
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 69
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@tato8979
@tato8979 Ай бұрын
Vijana tutafute vyakwetu tuache kutesa wazazi wetu jamani 😢😢😢😢
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 Ай бұрын
Pole mama yangu Mwenyezi Mungu aiweke roho ya mama yangu mpenzi mahali pema peponi Amina Amina
@alodiadiocless3546
@alodiadiocless3546 Ай бұрын
Nimelia jamani heee Mwenyezi Mungu mlinde makonda wetu nimetokea kumpenda mnooo Moyo wake ni mwema mnooo
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 Ай бұрын
Pole mama yangu Mungu anakuona 😭 nothing is impossible to God 😢😢
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Ай бұрын
Mmm! Watoto hao jamani unamsumbua mzazi kiasi hicho jamani mama wawatu alikosea kukuzaa ha! Mwisho wake ataupa tu ha!
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Asante Makonda Bibi kakutakia baraka tele
@StellaMwasha
@StellaMwasha 29 күн бұрын
Makonda kabeba baraka za huyo mtoto
@SuzyMuhando-yf8do
@SuzyMuhando-yf8do Ай бұрын
Wenye mama zao wanawatesa wengine hatuja bahatika haya Mungu wajua mlinde makonda Mungu wetu sote
@lubungaetienealmasi1059
@lubungaetienealmasi1059 Ай бұрын
Vijana tafuteni pesa sio kusubiria mirazi ya baba kisheria uwezi risi mali ya baba yako kama mama yako yupo hai. 😢
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 27 күн бұрын
Hakika 🤝🤝
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 21 күн бұрын
Mungu atakulipa makonda na jerry
@joycemwango943
@joycemwango943 Ай бұрын
Bibi pole mungu akupe tamanio la moyo wako
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 25 күн бұрын
Mungu akubariki Mh. Makonda Mungu amekuleta kwa kusudi lake duniani.Mungu akulinde wewe na familia yako na awatunze
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 21 күн бұрын
Makimu majaji mungu yupo wazili wa katiba na shiliya laisi samiya chochonde wafukuzwe kazi mahakimu majaji na mawakili wao watafute kazi nyingine
@user-od5si7ld6b
@user-od5si7ld6b 27 күн бұрын
Aise nimeumia sana kusikia mama anilizwa na mtoto wa kuzaaa aise pole sana mama Mungu akulinde kwa yote hayo
@user-ih9ou6bx2n
@user-ih9ou6bx2n Ай бұрын
Wengine wanatafuta wakina mama wanawachezea
@MagrethEvaresth-dd1lb
@MagrethEvaresth-dd1lb 21 күн бұрын
Mungu umrehemu uyokijana laana zisimpate maana ajuiatendalo
@user-lz1qj6ck3m
@user-lz1qj6ck3m 25 күн бұрын
Mkuu mpatie ulinzi huyo Bibi asiende kumuua huyo shetani
@mahirmohd1931
@mahirmohd1931 Ай бұрын
Yaani kwa anavyo saidia watu namna hii utasikia ana zalilisha 😢 MUNGU mlinde makonda🙏
@ackenkubetta9541
@ackenkubetta9541 28 күн бұрын
Pole bibi
@user-qd2bz1ik8g
@user-qd2bz1ik8g 26 күн бұрын
Emungu kwann ulimchukuwa mama angu mapema wengine wanamama zao wanawafanyiwa hivi daah
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 17 күн бұрын
Mama agekuwe nigempa ata marizagu zote kunizaa tu ndo maripo yangu sasa ametanguria mbere za haki sina neno nime mwachia mungu
@NgarasaaJunior
@NgarasaaJunior 29 күн бұрын
Daaaaah inaumizaaa sanaaaaa😢😢😢😢😢
@aishakimaro2795
@aishakimaro2795 29 күн бұрын
Mungu tujaalie vizaz vilivyo vyema ili tuwe na mwisho mwema
@samkoka3
@samkoka3 Ай бұрын
Toto limeachiwa laana mbele za watu litajua mwenywe mama ameumia sana
@umbaliche9175
@umbaliche9175 Ай бұрын
Tukipata nafasi ya kumsikiliza mtoto tunaweza kuelewa. Haya mambo ya familia magumu sana.
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Hata kama wazee wakisha kuwa umri umeenda sisi watt ndio tunapaswa kuwatafutia wazazi wetu ni aibu hii mzee wa miak 85 aliekuzaa unamsumbua kama hivo
@user-wb9gy2xx3p
@user-wb9gy2xx3p Ай бұрын
Kuna watu tunalaana hii dunia hadi shetani anatushangaaa
@Zubaiba
@Zubaiba 22 күн бұрын
Jamani wtt hawa 😭
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg Ай бұрын
😢
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 Ай бұрын
Bibi kaongea kwa hisia kali sana na hii ni laana ya milele kwa mtoto
@user-dp3xl1by6x
@user-dp3xl1by6x 27 күн бұрын
Usipopenda wazazi wako ,utampenda nani ktk Dunia hii!?? nimeumia sanaa😢😢😢😢
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 27 күн бұрын
Kwanza hata akiwq na hizo mali hazita dumu maana ni mali ya laana 😢😢
@solangesoso3100
@solangesoso3100 Ай бұрын
Inasikitisha sana mzazi kuliwa na mwanae😭😭
@ReginaPaul-nz1ez
@ReginaPaul-nz1ez 27 күн бұрын
😢😢😢😢
@MfaumeIbrahim
@MfaumeIbrahim 28 күн бұрын
Hatakama mama anshuda vip huwezi mpeleka mama Yako mzazi mahakaman ni ushenzi kabisa na laana
@user-ss3fq7vy7v
@user-ss3fq7vy7v Ай бұрын
😮hiv yule Mwenyekiti anaona kweli haya
@anoldmtatiro8114
@anoldmtatiro8114 Ай бұрын
Hakka makonda n mtu mwema tanzania hii anafata njia za magufuri
@user-tk4ej5hx2q
@user-tk4ej5hx2q Ай бұрын
Jamani😭😭😭😭watoto jamn
@StellaMwasha
@StellaMwasha 29 күн бұрын
Makonda kabeba baraka za huyo mtoto haki
@user-uk3iw1su4i
@user-uk3iw1su4i Ай бұрын
hoi
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Yan baba jitu zima lenye miv????Lina take Mali za mama yake Yan toto Kama hili ikinusa likiwa tumbon unalifyatulia mbali
@leonardobedi4779
@leonardobedi4779 Ай бұрын
unaimezea p2 😂😂
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Umenichekesha wewe kunywa soda naja lipa Huyu mtt ana laana mimi mama angu mtumzima mimi napambana kumtafutia ili asihangaike yy anamsumbua mtu mzima huyu
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 21 күн бұрын
Huyo hakimu aliye pokea kesi hiyo anyongwe
@paulinakiria7918
@paulinakiria7918 28 күн бұрын
Sisi wazazi wetu hawatupendi sababu hatuna kitu bibi amewapa mpaka Mali
@deochami6421
@deochami6421 25 күн бұрын
We mtoto una laana ya Mama yako katubu haraka we mtoto.
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 24 күн бұрын
Jamani namfahamu uyu bibi'
@MagrethEvaresth-dd1lb
@MagrethEvaresth-dd1lb 21 күн бұрын
Daaa
@MagrethEvaresth-dd1lb
@MagrethEvaresth-dd1lb 21 күн бұрын
Niyakweli ayo
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 21 күн бұрын
@@MagrethEvaresth-dd1lb ni kweli ni mwanae wakike na anauwezo' ila ndio kabila huenda linachangia mana ni waMachame haswaaa
@sifamugwaneza8774
@sifamugwaneza8774 Ай бұрын
Kiukweli huyo mwanamke atakua nalana kumliza mama huyu atakua na mwisho mbaya😢
@joycemwango943
@joycemwango943 Ай бұрын
Mimi ni m Kenya hata nadondoka na machozi 😭
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila Ай бұрын
Huyu mama mungu amepe nguvu maana hiyo mtoto hakuna mjara atafutwe naakaa ndani kwanza
@joycemwango943
@joycemwango943 Ай бұрын
Pole MAMA,,ila watoto mbona mnatesa wazazi jameni ? si mtapata laaana nyieee.
@faridbinjumaonlinetv9258
@faridbinjumaonlinetv9258 27 күн бұрын
Nauliza atakae mnyima kura makonda akigombania urais nimjue apa wanaoumia wjue km tupo wengi
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh Ай бұрын
Katika family lazima atokee mmoja gengemea asumbue wenziwe
@valenakomba7686
@valenakomba7686 29 күн бұрын
HUYO NI SHETANI TUU. MTU MAMA YAKO MZAZI, unampeleka mahakamani?
@saidyabdalla7410
@saidyabdalla7410 Ай бұрын
Kuweni na huruma na wazeee😢
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 17 күн бұрын
Sasa kama mtoto una mnyanya mama ako baraka utapata wapi sasa ata mari itakufikisha wap
@barakarobert1029
@barakarobert1029 Ай бұрын
Nchi hii ngumu sna
@msungumwilapwa4234
@msungumwilapwa4234 Ай бұрын
kwani watoto wake wengine wako wapi, wamsaidie mama kupambana na ndugu yao, hata hapo nilitegemea mtoto angalau mmoja agejitokeza kumsaidia mama kuongea kwa sbb kwa ilipofikia wote watakuwa wanajua hiyo kesi.
@charlessomi2506
@charlessomi2506 Ай бұрын
Yana mama tu anasumbuliwa ivo hao watoto wenzie undhan watamuweza au unataka awamalize na wanafamilia zao zinawategemea.
@matatamatatatours3237
@matatamatatatours3237 Ай бұрын
BIBI KAMA HUYU ANALALAMIKA NI MAMA ZAIDI YA HUYO OFISA WAMETAFUTA NGOS ZA KUWASAIDIA UDHAIFU WAO ETI KIDOGO TUNA NYANYASWA WAKATI MAKOSA NI YAKE MAKONDA ALIMSIFU MKE WAKE NI MZURI HUYO OFISA HAKUWA SERIOUSLY NA MASWALA YA WANANCHI BRO MAKONDA KAZA KAMBA
@ndinzeissa4778
@ndinzeissa4778 Ай бұрын
Viongozi mnakazi aaaaaaaaaaaa
@user-kd7ey2mu7p
@user-kd7ey2mu7p Ай бұрын
Mjinga atafute zake chozi la mama fimbo kubwa
@NgarasaaJunior
@NgarasaaJunior 29 күн бұрын
Daaaaah inaumizaaa sanaaaaa😢😢😢😢😢
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 33 М.