MUSUKUMA ACHACHAMAA TENA ''MMEWAFIRISI WENYEWE, MNASIMAMA KUPIGA MAJUNGU''

  Рет қаралды 51,234

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@ndiiyolazarolemoloo2164
@ndiiyolazarolemoloo2164 2 жыл бұрын
Nakubali sana una mawazo ya kimataifa mungu azidi kukulinda MH msukuma
@Fabulousmom509
@Fabulousmom509 2 жыл бұрын
Well said msukuma.. Unaakili sana
@far_hard1301
@far_hard1301 2 жыл бұрын
NAKUPENDA MSUKUMAAAAAAA ALLAH AKULINDEEE UNAYOSEMA NI UKWELI NA KWA UCHUNGU
@makokoaizack2531
@makokoaizack2531 2 жыл бұрын
Well spoken hon.
@pulltheskymusicgroup4475
@pulltheskymusicgroup4475 2 жыл бұрын
Kuna tofauti kubwa kati ya akili na uelewa , MSUKUMA ANA VYOTE ,ila wabunge wengi wanakimoja tu! MSUKUMA ANAJUA
@ezekielmwakalindile1922
@ezekielmwakalindile1922 2 жыл бұрын
Hakika uyu mwamba anajua kwa kweli ni mtu ambae anaongea pointi ni zaidi ya maprofesa bungeni
@onesphoryo407
@onesphoryo407 2 жыл бұрын
marehemu alisemaa,,,umasikini wa taifa letu ni viongozi wenyewe ..ila mungu atawalipa tu
@ramadhanihassani1617
@ramadhanihassani1617 2 жыл бұрын
Nakukubali sana mbunge wa geita 🙏
@abelchacha5977
@abelchacha5977 2 жыл бұрын
Upo sawa. Mtandao ukitumika, kila siku waziri anaweza kufanya mikutana na kutoa maagizo kabla kaz hazijaanza
@stevemedard
@stevemedard 11 ай бұрын
Upo Vzri Mh. King hakika unamaono mbili Sana
@fredialfredi202
@fredialfredi202 2 жыл бұрын
Nacho mpendea msukuma sio mnafiki, kongole kwako kipenz cha wengi.
@lukasolemoson9253
@lukasolemoson9253 2 жыл бұрын
Hawa ndio wabunge wa watu wanajua wanachokiongea na wanafahamu wametumwa nn na wananchi wake
@devidedward3644
@devidedward3644 2 жыл бұрын
Kila mwaka kitambulisho kitambulisho hiyo noma kabisa tujipange kwailo
@johnsonkazana2900
@johnsonkazana2900 2 жыл бұрын
Jembe la kanda ya ziwa
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 2 жыл бұрын
Sikuzote mtu ambaye alichaguliwa kwakura za halali nahisi niwewe maana ukisimama kuongea nakutetea unatetea wananchi wako kwauchungu kulingana nanjinsi wananchi wako walivokuchagua maana kunabaadhi yatu wakobungen kwaajili ya. Kupiga makofi 2 nasiyokutetea wananchi wao Allah bless you my king msukuma
@josephvenus3259
@josephvenus3259 2 жыл бұрын
👏👏👏 R.I.P our lovely President JPM. Tunakukumbuka. Tumesha bebeshwa zigo la makodi na watatuua hawa majangili.
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 2 жыл бұрын
nakubali sana msukuma respect
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Tanzania ni tajiri. Wanaotupa umasikini ni viongozi wetu. Wana uongozi mbovu unatufanya kuwa masikini na wanatuongoza kama ng’ombe. Serikali hii ya Samia ni ya wawekezaji feki, waarabu, mafisadi na wahuni. Lala salama baba MAGUFULI. Ulisema tutakukumbuka na kweli.
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
🙏🙏
@emmanueleliya6225
@emmanueleliya6225 2 жыл бұрын
Waziri wa fedha na mpango hanaga wazo mbadala zaidi ya kuwafanya watanzania kuwa mtaji kwa kuwabambikizia mitozo tu. Kati mawaziri zero huyu hakosekani...
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 2 жыл бұрын
Yaaani sisi tusingekuwa na njaa kabisa ila viongozi ndio wabinafsi
@emmanuelmihayo1663
@emmanuelmihayo1663 2 жыл бұрын
Hapo sawa nida hewa
@lukasolemoson9253
@lukasolemoson9253 2 жыл бұрын
Majembe hao hongera msukuma
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Hili jamaa nalikubaligi Sana
@allyjuma8088
@allyjuma8088 2 жыл бұрын
Sipika muache msukuma awaambie.wananchi kinachoendelea acha kumkatisha
@lilykarim8968
@lilykarim8968 2 жыл бұрын
Eti Mililani hamsini tunazilipaje huko ndapo msukuma ohoyeeeee
@emmanueleliya6225
@emmanueleliya6225 2 жыл бұрын
Umaskini wa Tanzania unatokana na umaskini wa akili ya viongozi wetu. Badala ya kuweka kipaumbele maslahi ya nchi wengi huwa wanajiangalia wao wenyewe
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 2 жыл бұрын
Msukuma nayemjua
@josephjila957
@josephjila957 2 жыл бұрын
Mh msukuma huwa unanifuraisha!
@chandleissa3969
@chandleissa3969 2 жыл бұрын
Msukuma
@lukasolemoson9253
@lukasolemoson9253 2 жыл бұрын
Yaani Kuna wabunge wengine wanatetea serikali kunyanyasa wananji
@ChaSam-fr3pg
@ChaSam-fr3pg 2 жыл бұрын
Huwez kuwa doctor wa darasan halaf ukaenda kweny siasa.. chaguen wabunge km msukuma anayeelewa adha ya mwananchi wa kawaida
@meditationvibes9530
@meditationvibes9530 2 жыл бұрын
Unatakiwa uwe Rais waJMT
@nyerere1259
@nyerere1259 2 жыл бұрын
🤣
@meditationvibes9530
@meditationvibes9530 2 жыл бұрын
@@nyerere1259 nataka tuone mengii😂😂
@elishangomele9937
@elishangomele9937 2 жыл бұрын
Hakika ni mbunge huyu
@valentinoyusuph5080
@valentinoyusuph5080 2 жыл бұрын
Msukuma ww nizaid yakiongoz yan una muuono wambari
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 жыл бұрын
Kuusu mradi nikweli ni mkubwa kazi inaendelea vizuri sana hata mimi naakikisha hilo kwa sababu ni SEHEMU ya walioko huku
@nyerere1259
@nyerere1259 2 жыл бұрын
Bwawa la mwalimu Nyerere??
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 жыл бұрын
Msukuma ana sifa ya kuwa raisi anajua hali halisi ya maisha ya kitanzania, aandaliwe kuwa raisi naomba watu wahv n wachache
@emmanuelzao
@emmanuelzao 2 жыл бұрын
Hawezi kuwa hata waziri sababu ya kiwango cha elimu yake.🫥
@juliusdonard933
@juliusdonard933 2 жыл бұрын
Daaa ila elimu si kitu inatosha aliyonayo
@devidedward3644
@devidedward3644 2 жыл бұрын
Pia msukuma anakipaji
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 жыл бұрын
Watoa taarifa jitahidini kuwa mnasimama kutoa taarifa zenyemchango kisawasawa siyo ilimladi tu uonekane nawewe umo kwenyemada yamwenzako
@victormushi6641
@victormushi6641 2 жыл бұрын
diamond pia aitwe dr.
@jumaally2469
@jumaally2469 2 жыл бұрын
Tuache kuchagua chama tuchague viongoz awa jamaa wameshindwa kuongoza hii nchi
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 2 жыл бұрын
Umelambishwa pesa
@abelchacha5977
@abelchacha5977 2 жыл бұрын
Hakuna mmachinga atalamba hata mia. Wapigaji wamerudi
@daudinyanda2499
@daudinyanda2499 2 жыл бұрын
phd pekee iliyobaki bungeni
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 2 жыл бұрын
Anayemuona msukuma hana akil na ni mtumish wa selikali basi ujue hana huruma na wananchi wa tz so hafai
@far_hard1301
@far_hard1301 2 жыл бұрын
Tuna mawaziri useless kabisaaa
@opijohnjohnbosco2710
@opijohnjohnbosco2710 2 жыл бұрын
Kwer
@zenassylvester125
@zenassylvester125 2 жыл бұрын
Msukuma kunywa bia bili kwangu
@allyjuma8088
@allyjuma8088 2 жыл бұрын
Naona mnapiga. Tu makofi hapo
@far_hard1301
@far_hard1301 2 жыл бұрын
Kuna vibunge vingine havina hata mvuto wa kuwepo bungeni kama hicho hadija taya sijui kinasimama kinavuruga mbunge mwenzake anaongelea vitu muhimu kwaajili ya nchi kinatoa taarifa useless kabisa
@praygodarmstrong7670
@praygodarmstrong7670 2 жыл бұрын
Kuna taarifa za kipuuzi kabisa unawezamkata kofi mbunge wako
@fredmbossa
@fredmbossa 2 жыл бұрын
Tatizo lipo Kwa mipango miji,,,kikawaida soko linatakiwa likae pembeni kabisa mwa barabara kuu ili wateja wasione uvivu kulifata lkn wewe soko unaweka uswekeni ndanindani je nani ataenda huko kununua vitu alafu kumbukeni kuwa kwenye biashara mteja ni mfalme ndoomana mteja mazingira ya sehemu anayofata bidhaa kama yanampa ugumu basi hapo hutomuona kwenda,,,Kwa upande wa hospitali hata ukiweka ndanindani lazima watu waende tu maana ni wagonjwa ,,,naishauri serikali wajenge masoko pembeni mwa barabara kuu ( main road ),,
@emanuelndaki1703
@emanuelndaki1703 2 жыл бұрын
Elimu bure kidato Cha tano niviini macho.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@alphonceephulaim1274
@alphonceephulaim1274 2 жыл бұрын
Huyo laihisi wako kama anaikataa demokorsià anadai katiba mbovu yeye ariwezaje kuwa rahis was nchihii ulitakiwa ufanyike uchaguzi achaguliwe rais kwamba katiba mbovu etlinasema lilimefanya hakizabinadamu wapi aukwenda mbowe gerezani ndiohakiza binadam
@adam-saffi211
@adam-saffi211 2 жыл бұрын
Asipomegewa anaenda bungeni kupiga kelele. Kula nao wewe Dr
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 2 жыл бұрын
Akili huna wewe siku hizi sijui unakula maharage ya wapi?,miez 36 imeisha kwanin halijakamilika?
@djtiffa9664
@djtiffa9664 2 жыл бұрын
MAMBO 5 MUHIMU YA KUZINGATIA UPONE KANSA ; DAWA YA KANSA YA AINA YOYOTEkzbin.info/www/bejne/kJjJc6p9dq-fqLM
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 2 жыл бұрын
Kuma wewe
@halimonimwaiteleke5291
@halimonimwaiteleke5291 Жыл бұрын
Msukuma
MUSUKUMA -  "TUKIWAITA VILAZA MNATUZOMEA, HECHE UNAKIMBIA UNAENDA WAPI"
12:11
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН