No video

KISHIMBA AMWAMBIA NAIBU WAZIRI ''MSITUFANYE SISI AMBAO HATUJASOMA HATUNA UWEZO WA KUFIKIRI''

  Рет қаралды 33,395

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 жыл бұрын
I love kishimba hakika mungu akuweke uendelee kutupigania wanyonge, maana adi mahiti inadaiwa muhimbili bila ya pesa uwezi mzika ndugu yako.
@zainabumbondei8635
@zainabumbondei8635 2 жыл бұрын
Heeeeh Mashallah Yaani yangekua yanafanyiwa kazi maneno ya muheshimiwa kishimba ugumu wa maisha Kidogo ungepungua
@beatricemdoe2850
@beatricemdoe2850 Жыл бұрын
BARIKIWA SANAAA baba yetu MUNGU akuweke MUNGU ayabariki maneno yako
@andersonmutta3807
@andersonmutta3807 2 жыл бұрын
Ukitaka kujua tofauti ya akili na elimu msikilize prof. Kishimba intelligent person,,, kama kipindi Cha mwalimu Nyerere Hali ya uchumi ilikuwa chini sana baada ya kuwa huru, lakini historia inaonyesha enzi za mwalimu watu walisoma Bure from primary level to university......na wapo viongozi wakubwa wakitaifa wa Sasa walisomeshwa for free. Kwa Sasa Pato la taifa linaongezeka tulipotoka sipo tulipo Kwa Sasa japo kuwa watu wanaongezeka,, lakini serikali inajambo la kuwasaidia wananchi wake, hasa la huduma ya afya Bure Ili kunusuru wanaokufa Kwa kukosa pesa ya kupata huduma.
@bettykageza1964
@bettykageza1964 2 жыл бұрын
Uko sawa ndugu
@ericksagara1719
@ericksagara1719 2 жыл бұрын
Wachangiaji kama wewe, ndio mnapoashwa kuchangia hoja.
@achiliadinan430
@achiliadinan430 Жыл бұрын
Utulivu wa mwili na akili nyingi big up sana mheshimiwa Kishimba
@rumonajarufu1346
@rumonajarufu1346 3 ай бұрын
Mungu ambariki sna Mh Kishimba
@fredrickdaudy4798
@fredrickdaudy4798 2 жыл бұрын
kwann kila siku watu wakanda ya ziwa ndo uwa wanaongea ukwel
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
Fredrick Daudy...kwa sababu sio wanafiki
@wazirie4070
@wazirie4070 2 жыл бұрын
@@mamboshepea8888 umemjibu vizuri sana
@alexkimaro2886
@alexkimaro2886 2 жыл бұрын
Mzee kishimba uko vzr sn tena hata wazee na watoto hawatibiwi bure tena nimepeleka babu yangu hospitali nikambiwa nitoe hela hichi unachochangia kinahitaji kuangaliwa kwa jicho la tatu
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 жыл бұрын
Yani serikali yetu ikimzikiliza kweli makini anasema ukweli uyu mubunge mungu akubariki sana
@handnewstv156
@handnewstv156 2 жыл бұрын
Wewe ni genius kishimba
@GwekuMaheku-uo6qx
@GwekuMaheku-uo6qx Жыл бұрын
Namkubali sana mzee wetu kishimba. Anasema ukweli uliopo kwenye jamii,
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 жыл бұрын
Huyu mzee mungu amjalie aishi maisha malefu kunawabunge wengine wapo tu wanaangalia matumbo yao tu
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mbunge kishimba😘😘 maneno kuntu
@wazirie4070
@wazirie4070 2 жыл бұрын
Wow! Huyu jamaa anaakili nyingi sana! Ivi uyo naibu waziri, hovyo sana. Akili ya mtumwa ndo anayo.Ajibu kama kuchimba madini na kuotesha miti, kipi kigumu
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Baba... Uko sawa hoja zako zinatafakurisha.... Tunahitaji viongozi wenye maono hats Kama hawakupata elimu ya juu...
@davidjohn8908
@davidjohn8908 Жыл бұрын
Hakika hyu ni mwakilishi wa wananchi
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Daah baba 🙌 🙏 sina budi kusema nakupenda ni ukweli usio pingika umeongea pont sana
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Kwa kweli watu wengi wanapoteza maisha sababu kukosa matibabu na dawa masikini unaenda hospital unaambiwa milion 1 hadi zinafika canser moyo figo ini haya maradhi wengi wanakosa matibabu Yarabby stara 😭
@maribaisack2097
@maribaisack2097 2 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa
@crackermusic9717
@crackermusic9717 Жыл бұрын
Point sana mkaa ni ajira
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 жыл бұрын
Uyo Mzee kishimba utazani chadema kipindi cha Lema msigwa Lisu maana ana akili kubwa sana anaongea ukweli mtupu
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ni profesa kabsa
@benedictdeogratius4653
@benedictdeogratius4653 Жыл бұрын
Kishimba mbunge was Taifa dhahabu inayo pumua kutoka Kahama Kagongwa Tanzania, Mbunge wangu hongera kwa kutuwakirisha vema.
@sautiyangu1
@sautiyangu1 Жыл бұрын
Allha akbar... mashaallha
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 2 жыл бұрын
Uyo mbunge ajengewe sanamu lake maana ameongea mambo ya msingi na yanayo tuzunguka wote maskin
@paulofesto7812
@paulofesto7812 2 жыл бұрын
Hahahah ishi milelel mbunge wetu! Wa kham kahama oyeeeeee kishimba oyeeeee
@iddyngaiwa
@iddyngaiwa 2 жыл бұрын
Mzee kishimba huwa wanakudhalau sana ila unaongea pointi sana nakuunga mkono mzeee
@elishangomele9937
@elishangomele9937 2 жыл бұрын
Akili kubwa sana huyu mzee
@shemelsyi6081
@shemelsyi6081 2 жыл бұрын
Lake zone
@husseinhassani2347
@husseinhassani2347 2 жыл бұрын
Mtu kama uyu sio wa kudharau hajasomq lkn anaongea vitu vya msingi kuliko hao wenye madigrii yao safi sana mzee wa imalaseko super market.
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
uprofesa ameupataje?
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 2 жыл бұрын
Mbunge bora anayejenga hoja za maana..!!
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Жыл бұрын
Mwigulu chemba siomutuuu huyo simupendi huyo jamaa
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Mgonjwa yupo kitandani anaumwa au anadaiwa pesa ya madawa na hawezi kuruhusiwa mpk alipe pesa ile huku mbunge anataka apigiwe kula mtujari sisi wapiga kula wenu hapo mlipo mmebqdirisha muoneka wa nyumbani mpk afya zenu lakini bado mnatudharau sisi
@mbogasaid4621
@mbogasaid4621 2 жыл бұрын
Huyu mbunge namkubali sana wananchi wa kahama wamefanya cahaguo sahihi
@vpangani1036
@vpangani1036 Жыл бұрын
Ila kwa maneno yako mepesi na yakueleweka serikali ingeyachukua kwa kweli tungefika mbali sana
@vpangani1036
@vpangani1036 Жыл бұрын
Uko sahihi mh
@ericksagara1719
@ericksagara1719 2 жыл бұрын
Wabunge wengi wa ccm ni mburula, isipokuwa Mh kishimba pekee. Ivi kweli mda wote CCM Mmeshindwa kujfunza lolote kutoka kwake?
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Kichwa.
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Жыл бұрын
mzeee anaongea vitu vinavyofanywa na wananchi wa chini ww unaongea mambo ya mitambo
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Жыл бұрын
Aisee kishimba wewe unamadini yaukweli
@mrematvbabakoku8336
@mrematvbabakoku8336 2 жыл бұрын
Hii nisawa nakuruhusu rizila ukakataza bangi
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 2 жыл бұрын
Hii serikali ya c.c.m na mama yake samia
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 2 жыл бұрын
Vichwa vyetu wa Tz tupimwe akili
@venseslausmtanila1766
@venseslausmtanila1766 2 жыл бұрын
Jamani mimi kwakweli huyu mzee nampenda sana
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 207 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,8 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.