MUSUKUMA amraru MPINA kwenye hukumu yake, MPINA ashindwa kujizuia asimama kuongea

  Рет қаралды 44,169

Habari Digital

Habari Digital

Күн бұрын

..................
Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
Instagram, Twitter na Facebook

Пікірлер: 414
@henericolinda
@henericolinda 3 ай бұрын
Viva mpina mungu akulinge na aku bless
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Mmmh unajua alicho fanya ila, au mfata mkumbo
@HashimuAbubakar-ej8gc
@HashimuAbubakar-ej8gc 3 ай бұрын
Mpina akiwa waziri wanyonge tulikula samaki Leo samaki inaliwa na tajili mpina uko sw
@gabrielgwawu4026
@gabrielgwawu4026 3 ай бұрын
Mpina oyeeeee
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Unajua alicho fanya
@OscarRabison
@OscarRabison 3 ай бұрын
Kasheku Kwa sasa Hana jipya,
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Dawa zimeisha nguvu
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 3 ай бұрын
Msukuma kumbe ni jitu la hovyo,vile mnamtetea huyo msomali wenu,ndiyo tuliyowatuma?Tuna ina imaani na MPINA.
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 3 ай бұрын
Huyu msukuma ni Fala sana Hata sijui anafanya nini bungeni hiyo nafasi wangekaa mtu mwenye taaluma
@gabrieltheodory4090
@gabrieltheodory4090 3 ай бұрын
Huyu Msukuma kwa Sasa Hana hoja.
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 3 ай бұрын
Sisi watanzania na Mungu tuko pamoja na Mpina. Wengi wenu wabunde ni madwanzi tu
@johnmwakajila9569
@johnmwakajila9569 3 ай бұрын
Msukuma ni moja ya wale viongozi Nyerere aliwahi kusema wananunulika..Msukuma amenunulika sasa yupo team kikwete
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 3 ай бұрын
Mimi niseme ingekuwa kumchagua mtu bila kadi ya ccm , chadema ,ACT ama chama chochote basi jimbo la kisesa MPINA anashinda. Kama hujui watanzania wanataka nink basi tujaribu siku moja hiyo.
@ufundi_tz
@ufundi_tz 3 ай бұрын
Legend Luhaga Mpina ... 🎉🎉🎉🎉
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Mmmmh! Unajua alicho fanya ila
@ZakariaMnzava
@ZakariaMnzava 3 ай бұрын
Mpina usiogope unajeshi kubwa la watu nyuma yako
@optatusduqangw1071
@optatusduqangw1071 3 ай бұрын
Bunge LA ajabu kuwahi kutokea duniani ,,mnaoenda tofauti na mpina wote hamjielewi kabisa Muda wenu unakuja mimi niko na MPINA
@karyori69
@karyori69 3 ай бұрын
Wewe na wasukuma wenzio!
@kicmbermaestro3459
@kicmbermaestro3459 3 ай бұрын
Legend mheshimiwa mpina
@barakakevela245
@barakakevela245 3 ай бұрын
HATA MNGESEMAJE MPINA NI MWAMBA NYIE WENGINE MNATUPIGIA KELELE TUU
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Unajua alicho kifanya mpina
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 3 ай бұрын
Napenda kukumbusha Msukuma, maneno unayozungunza yanakaa zaidi ya miaka 400, siku moja yatakuhukumu
@mussathomasdossa4687
@mussathomasdossa4687 3 ай бұрын
Mpina mwambaaa
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Unajua alicho fanya
@allykwaya
@allykwaya 3 ай бұрын
​@@birianination7097Tuambie wewe
@MichaelEvarist-c2m
@MichaelEvarist-c2m 3 ай бұрын
Kweli mukuma mnafiki alichoma mitengo ya samaki kwa mjibu wa sheria au kwa mawazo yake
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 ай бұрын
Hata kinachoendelea ni kwa mujibu wa utaratibu. Hoja ya Mhe. Mpina ilikuwa nzuri na inafikirika lakini utaratibu hakuuheshimu. Kwa siasa za Tanzania Wapinzani wote watambeba Mpina hivyo na CCM au Serikali italinda na kujitetea kwa nguvu zote hivyo tumekosa uhalisia wa issue. Alichofanya Mhe. MPINA sio sawa.
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 ай бұрын
MR Mpina Ni Akilikubwa sana
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 3 ай бұрын
Hana lolote huyo kakosa uwaziri sasa anatapatapa
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Kwa hiyo ni sawa kuendelea kununua sukari 10000 maana ndio wazo la mpina
@mwanagwakyala3213
@mwanagwakyala3213 3 ай бұрын
Hongera Mpina umetekeleza wajibu wako kama mbunge
@paulmadundo8084
@paulmadundo8084 3 ай бұрын
wachangiaji mbona hawatoi hoja kama mpina alivyotoa yeye, ametoa ushahidi wa namba...ila ccm nzima majungu tupu yaani.
@FadhiliNyassi
@FadhiliNyassi 3 ай бұрын
Shida ndio hiyo hawaendi kwenye point wanakwepesha hoja inaonekana hawa wote wezi
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 ай бұрын
Msukuma ni mfanya biashara hawezi kupinga ufisadi maana hatujui kama hii ni mbinu ya kulinda mitaji ya biashara zake
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 3 ай бұрын
Kwahiyo hapo nani fisadi mpina au bashe
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 ай бұрын
@@ramsojimmykelly3379 Bashe anatumiwa na wakubwa kuwakusanyia pesa za kampeni
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 3 ай бұрын
@@samsonhamery3809 mwana akili huna!! samahani lakini
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 3 ай бұрын
mpina yeye anamtetea nani hapo kwenye suala la sukari
@mandelasamson8401
@mandelasamson8401 3 ай бұрын
Wewe Kasheku darasa la saba hujui lolote hata wanao nyumbani maana ninahakika umewapeleka shule watakuwa wanasema kweli tuna baba kilaza mama alimkubalije huyu nyumbu?🤣🤣🤣🤣
@HamzaHeri
@HamzaHeri 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤NIKWELI MSUKUMA HUYO MPINA ANAVUTA BANGI
@JeyJeydoctar-gq1bw
@JeyJeydoctar-gq1bw 3 ай бұрын
MPINA sisi wenye Akili tunakuelewa sana tena sana wananchi wote tunaumia sana kupewa ww adhabu kisa kuwasema kwenye ukweli aloo...Tz muelekeo sahh imepoteza😢😢
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 3 ай бұрын
Mpina kaupiga mwingi alitambua kabisa kuwa hoja zake zisingewafikia wananchi.
@FadhiliNyassi
@FadhiliNyassi 3 ай бұрын
Kumbe msukuma fala sana
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 3 ай бұрын
Mh Mpina Mungu ubarikiwe kwa kuwa mzalendo kwa nchi yako ndio maana wanakupiga vita wewe ni tunu kwa taifa letu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 ай бұрын
Msukuma MNAFIKI SAAANA HOVYOOOO
@ROBERTMGOGOSI
@ROBERTMGOGOSI 3 ай бұрын
Yaani Msukuma ni mpumbavu vibaya msenge kweli
@ROBERTMGOGOSI
@ROBERTMGOGOSI 3 ай бұрын
Hivi leo kuna mgomo wa wafanya biashara kariakoo Bunge mnakaa kumpiga vijembe vya kipumbavu mpina baada ya bunge kushughulikia mambo ya muhimu kama haya Any way nchi hii haijawahi kuwa na bunge la kipumbavu kama hili kila kitu kujipendekeza kwa serikali
@KilingohJuma
@KilingohJuma 3 ай бұрын
Hongera mpina, upo sahh sana ,ngoja hao wakuzodoe Kwa kukuondoka bungen lakn ss wananch tutakulpa kura mwakan 2025
@peterdeus6093
@peterdeus6093 3 ай бұрын
Hizo nguvu mnezitumia kwenye mswaada wa bandari lakini mlikiwa kimya af mambo yasiyo na maan ndo mnakaza misuri machawa watupu, MPINA for life
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 3 ай бұрын
Tz ukiongea pumba na kuvunja sheria ndio unakuwa mwamba na kuonekana anafaaa😂
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 3 ай бұрын
Mimi nashangaa wanao mkubali mpina kivipi
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 3 ай бұрын
​@@chusseboywcb2808kakosea nini ndugu kuanika uovu ni heshima mbele za Mungu na duniani
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 3 ай бұрын
@@chusseboywcb2808 mpina mkweli
@MtaniRobert
@MtaniRobert 2 ай бұрын
Anakutendea haki wewe siyo sisi mungu akusamehe.
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 3 ай бұрын
Mh tuliwaona kwenye mswada wa bandari hamna msimamo ...ogopeni Mungu hela ina mwisho
@peterantony5890
@peterantony5890 3 ай бұрын
Hongera Mpina.
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 3 ай бұрын
Huu mfumo jike utanyanyasa sana wanaume na kuidharirisha nchi hii vibaya wanaume kuweni makini mnapiga makofitu bila kutafakari kwahiyo ukibishana na mwanamke tayari niuonevu kwa mwanamke.Aloo mbona Pana kazi kubwa sana .
@Pendo-xd4es
@Pendo-xd4es Ай бұрын
Msukuma umeshaharibika tayari unatetea ujinga kisa ccm wenzako
@HaulSidney
@HaulSidney 3 ай бұрын
Huyu msukuma ni mnafiki Sana, wabunge wengine mko kutetea ufisadi tu
@faisalahmed7757
@faisalahmed7757 3 ай бұрын
Umeongea kweli Msukuma waziri kama bashe ni kiongozi bora sana
@LazaroELucas
@LazaroELucas 3 ай бұрын
Once you stand on the truth you will always stand alone
@allanmtuwa7471
@allanmtuwa7471 3 ай бұрын
Visasi vhavitamuacha mtu salama
@stewardlwimbo3944
@stewardlwimbo3944 3 ай бұрын
Tuko na mpina mwanzo mwisho msema kweli
@gabrielgwawu4026
@gabrielgwawu4026 3 ай бұрын
Mpina oyeeeeeeeeeeeeee
@KatendwaWilliam
@KatendwaWilliam 3 ай бұрын
Katika Wachangiaji wote Msukuma amezingua sana hasa aliposema Luhaga Mpina apimwe afya ya akili huo ni udharirishaji Tena kwa haki za binadamu Msukuma anatakiwa kufunguliwa kesi na athibitishe tatizo LA akili la mpina lipo wapi!?
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 2 ай бұрын
Msukuma wapi unaenda sasa😂😂katika wabunge niliokuwa nawahesabu wasema kweli na wewe ulikuwa kwenye hesabu zangu lakini kwahili 😂😂
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 3 ай бұрын
Mh. Msukuma unayumba wananchi tz tumekumark. Huna point sasa unatukana msukuma usitaje Mungu ww... ccm tunaipenda ila wabunge mmmh
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 3 ай бұрын
Msukuma nae kabadilika?! me nilitegemea msukuma angepinga hukumu dhidi yaMpina dah!
@SelemanMohamedi-l8l
@SelemanMohamedi-l8l 3 ай бұрын
Jamani i feel to cry.yaan kweli wabunge wamekua machawa ivi.
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 3 ай бұрын
Viva Mpina ❤❤
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 3 ай бұрын
Yaliyowakuta wenzao wa kenya kwa sababu ya kulindana yako jirani hawana hata aibu😢
@marryfelician1426
@marryfelician1426 2 ай бұрын
CCM ni kukumbatia uwongo na kumnyanyasa mnyonge Okk
@chemli23
@chemli23 29 күн бұрын
Msukuma nilikua na kukubali sana lakini kwa hili.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 3 ай бұрын
Hivi kweli nchi hii ni ya kukosa sukari? Hatuna ajira! Mnanyoongea kwa ukakamavu mngeongea hivi kwa mafisadi tungekuwa na maendeleo.
@bahatimwanguho627
@bahatimwanguho627 2 ай бұрын
ccm ndio laana tuliyolaaniwa Tanzania ,tujitahid kuitubu laana hiii.hivi wamepewa mgao au n uzezeta hawajielewiiii
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 3 ай бұрын
Msukuma bang zinamsumbua naona alichanganya na gongo taifa linaangamia mpina anapiga kelele taifa lipone mnampa hukumu tuone hiyo hukumu kama nyie mtabak salama
@Simon_joe
@Simon_joe 3 ай бұрын
Msukuma nae alisha left group😂😂
@PeterNicholaus-f2u
@PeterNicholaus-f2u 3 ай бұрын
Watu kwa kweli mnapotea njia msukuma sio sahihi unavyoogea huna jipya mikakti tu,
@KulwaNtuzu-bp9oz
@KulwaNtuzu-bp9oz 3 ай бұрын
Msukuma unachuki ya kukamatiwa samak kweenye basi lako
@Pendo-xd4es
@Pendo-xd4es Ай бұрын
Mpina hoyeee Mungu yupo upande wako
@EmmanuelBawili
@EmmanuelBawili 3 ай бұрын
Mpina mwamba Mungu akupe roho ya ujasiri
@RichardMgweno
@RichardMgweno 2 ай бұрын
Huyu anatakiwa awe waziri wa kwanza asiyesoma
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 3 ай бұрын
Oyaaa we mama kaa chini unakelaaaaa
@faustinejeremia8520
@faustinejeremia8520 3 ай бұрын
siasa ya msukuma ni ya kipumbavu sana hakuna akili hapo ni uchawi tu unatumika
@shabanpongwe9905
@shabanpongwe9905 3 ай бұрын
Daaah viongozi mnayakumjibu mwenyezi Mungu siku ya mwisho?😢
@MtaniRobert
@MtaniRobert 2 ай бұрын
Enyi wataratibu.
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 3 ай бұрын
Wabunge wasiojali wananchi wao ni maadui wa watu .
@SanziNzige
@SanziNzige 3 ай бұрын
Hivi msiluma ndo huyu tulokuwa Tina mjuaaa? au msiluma aliendaha nae wapi.maana mi sikuelewi kabiss huyu au NDO usemi bandali ilienda na wengi njaaa.msukumayule waenzi za magufuli tulijua tunae mteteziwa wanyonge msiluma .no.2.leo mskuma huyu ndo anashiriko kuropoka TU bungenikuungakono ujinga hivi no YEYE kweli.nimeona na leo anashBikia kufukuzwa mpina.aaaaaaaa.siyo msiluma alikuwa Enzi jembe letu magu.hapana
@PartySekemi
@PartySekemi 3 ай бұрын
Fanyeni mnavyo taka kwa sababu mpina tunaona ni mzalendo
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 3 ай бұрын
Kule bungeni kwako mhhhhhh ni shida tu sukari elfu kumi kilo,halafu mtetezi mpina munamponda du
@kikongajoel2693
@kikongajoel2693 3 ай бұрын
Mungu akulinde mpina
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 ай бұрын
MPINA TUNAKUKUBALI ILA KWA HILI ULIKULUPUKA JITAHID KUTULIZA AKILI UNAPO FANYA MAMBO LA SIVYO WATAKUPOTEZA KUMBUKA UNAGUSANMASLAH YA WATU KO AKIL KUBWA INAHITANIKA ONE MISTAKE ONE GOL
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 3 ай бұрын
Wewe akili ya Mpina ni kubwa aliamua kulijulisha taifa liamue kuliko bunge ambalo lingefunika Watanganyika wenye akili wa sasa wanamwelewa wewe wa miaka ya sitini hutakaa umeelewe hukumu ya wananchi ni kubwa kuliko ya bunge
@oam14l
@oam14l 3 ай бұрын
Mpina hana tatizo la afya ya akili. It is the other way around.
@SanziNzige
@SanziNzige 3 ай бұрын
Huyo ameachana mme wake.anakzungu zungu mpineni
@zubedadaudi205
@zubedadaudi205 3 ай бұрын
Sisi wananchi ndio tunajuwa nyinyi lopekeni tu... Ila mpina ni jembe sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Msukuma Kasheku tumeshakuponda sasa hivi umekuwa chawa Mpina anapendwa sana na watanzania tena tuko pamoja nae
@dicksonlusinde2830
@dicksonlusinde2830 3 ай бұрын
Watanzania tunamuelewa na tunaelewa kinachoendelea
@DanielKipindo
@DanielKipindo 3 ай бұрын
Msukuma hoja zako hazina mashiko,rudi ukasome upya hakuna unachokielewa.
@francohaule-ci7ii
@francohaule-ci7ii 2 ай бұрын
Msukuma ni kiuongozi mwenye kisasi na roho isiyo na kisasi
@ibrahimudamas326
@ibrahimudamas326 3 ай бұрын
Kidogo nitie neno...mdomo koma😂😂
@BettyMboya-b2y
@BettyMboya-b2y 3 ай бұрын
Hapo wabunge hamjamtendea haki Mpina kabisa, ahaaa Bora chadema tujitayarishe kuichukua nchi 2025
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 3 ай бұрын
Wote hovyo hovyo hovyo Tena hovyo kubwa mnamjadil mtu aliejitoa kuwatetea watanzania Bashe hovyo spika hivyo
@magnusnkomola5950
@magnusnkomola5950 3 ай бұрын
Mbona hamyasemi aliyoyasema Mpina kuhusu sukari,Yakanusheni hayo siyo kuleta porojoooooooooo.
@Hfmmngoyafamily
@Hfmmngoyafamily 3 ай бұрын
Asilimia kubwa hapo ndani hamtarudi bungeni
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 3 ай бұрын
Mkimaliza hapoo mtuambie taarifa ya Mpina ina ukweli au ni uongo msituletee siasa na DP WoRD mlipiga kelele hivihivi kumbe kuna madudu ya ajabu.
@dominickemmanuel-yw3dn
@dominickemmanuel-yw3dn 3 ай бұрын
Mpina Yuko sahihi, wengine wanafiki wanatuumiza watamzania
@LidiaMsigwa
@LidiaMsigwa 3 ай бұрын
Spika unasikiliza ujinga wa wabunge wako utawapigia kura mwenyewe?.
@davidndilanha4940
@davidndilanha4940 3 ай бұрын
Hakuna aliye mzarau speaker, ila naona uwelewa aujakaa sawa
@TuntufyeBrayson
@TuntufyeBrayson 3 ай бұрын
Tusisumbuke na haya mambo ya wachovu kina msukuma tukutane nae 2025 kina wanawa
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 3 ай бұрын
Musukuma nawewe usiwe chawa spika Gani mpaka anailinda COVID-19 mpina ni mwanaume siyo chawa wavuvi halamu halamu ni sawa na covd
@NescharlesMalando-xm6lg
@NescharlesMalando-xm6lg 3 ай бұрын
Viva mpina hyu kuku anaongea nn?
@ErnestNtungi
@ErnestNtungi 3 ай бұрын
Mpina anaonewaaa sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Anapendwa na watu acheni Uchawa kafanya kweli subirini kama wengine watarudi
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 3 ай бұрын
Msukuma hana jipya kwa sasa nayeye ni chawa, ndiyo wale madalali waliyouza Bandari zote za Tanganyika kwa waarabu! Mpina yuko sahihi na Wananchi tuko pamoja na Mpina.
@patisondidas6720
@patisondidas6720 3 ай бұрын
Kumbe msukuma nae ni kiazi ivi du🤔🤔🤔🤔🤔
@abushiridachie6865
@abushiridachie6865 3 ай бұрын
Hakuna mbunge anayewasaidia watanzania, hatuhitaji msaada while mnalipwa mapesa lukuki
@edwardshartiel1088
@edwardshartiel1088 3 ай бұрын
Huyo mama mwenye Juba, anatoa pongezi nyingi kwa Bashe kwamba bashe ni mwamba 😢🚮
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Sasa kupima samaki si aliapa kuitumikia nchi
@Mussa-id9jb
@Mussa-id9jb 3 ай бұрын
We ni kishoka ambaye hue😅
@irenekalinga323
@irenekalinga323 3 ай бұрын
Hapa watanzania tujiongeze hatuna bunge
@JuhudyMachete
@JuhudyMachete 3 ай бұрын
Mpina uko ni bora usipate posho lakini ukweli umetufikia kiukweli watanzania tuna hali mbaya ukitokea mtu unayetetea wanaoteseka waovu wanakuinukia sasa ivia wanasema tulipie mazao kwa ifd mungu aliye juu sana atakulipa
@ImmanuelGurty
@ImmanuelGurty 3 ай бұрын
Ukweli ukisemwa ni kulizalilisha bunge
WARNING to ADANI
16:32
Herman Manyora
Рет қаралды 4,7 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 53 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
MBUNGE MUSUKUMA ALIVYO MTOLEA UVIVU WAZIRI MPINA
5:40
Mwananchi Digital
Рет қаралды 303 М.
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 53 МЛН