No video

MWANASHERIA WA FIFA ATAJA SABABU ZA YANGA KUSHINDA KESI NA NAMNA WATAKAVYOSHINDWA KESI!!

  Рет қаралды 5,243

LIKE MEDIA

LIKE MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Wakili Gani hajui hata kujieleza
@KasukuluMwenbungu
@KasukuluMwenbungu Ай бұрын
Wwe inaonekana kama wakili wao
@JamesMakweta-sj1dy
@JamesMakweta-sj1dy Ай бұрын
Huyu Lugano si ndo alisema Azizi Ki habaki Yanga. Huyu ni snitch tu
@yonazimpombe1160
@yonazimpombe1160 Ай бұрын
Mshikirwa sassa TIMU ikabidhiwe NANI?
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
HUYU YUKO NYUMA YA MAGOMA NA MWAIPOPO
@YusuphKatagala-y9v
@YusuphKatagala-y9v Ай бұрын
Yanga tutashinda kwasababu katiba hii yasasa tulitoa maoni sisi wanachama na tukakubali madiriko sisi wenyewe wanachama wa yanga kwa shida haipo .ktiba hii ya sasa magoma hana .na anaturudisha nyuma na lengo la magoma ni kuivuruga yanga yet.
@YusuphMdaki
@YusuphMdaki Ай бұрын
Ya kwani kama katiba ilikuwa na matatizo Wana hama wasingeipitisha na hata but na tff na Rita wangeikataa magma ni mbumbumbu au njaa au anatumiwa
@HassibuMvungi
@HassibuMvungi Ай бұрын
Kwani yanga wametulia tu wanafatilia hili swala msije mkatukana tu baadae ikawa lawama
@yonazimpombe1160
@yonazimpombe1160 Ай бұрын
KAMA KILA KITU NI BATILI INA MAANA 1 ushindi WA YANGA ni BATILI 2. viongozi ni BATILI. 3. wachezaji ni BATILI 4.wanachama ni BATILI KILA KITU ni BATILI hivyo MAANA yake YANGA haipo itabidi ianze upya.... . .
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Ай бұрын
Tatizo siyo kumpeleka huyo mtu mahakamani umwambie kiweledi kama kuna kosa KWANINI SIYO kutumia vikao vya chama.je hiyo staili iliyotumika katika kipindi timu inafà nya vizuri sana nyinyi mnaona ni sawa asingeweza kusubiri mkutano Mkuu hoja zisikilizwe???😂😂😂😂
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
WAKILI WA KINA MAGOMA ANAONEKANA NI HUYU
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Kwahiyo wewe mwandishi unafikiri Yanga itatolewa kwenye mashindano? Uandishi wako unalenga uchochozi.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 61 МЛН
MZEE SAID: WACHEZAJI WALINDWE | MSIMU UJAO VIKOMBE | AZIZ KI KABAKI?
24:46
MWANASHERIA wa YANGA AFAFANUA UKWELI RAIS HERSI KUNG'OLEWA YANGA
13:35
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН