Рет қаралды 279
Gumzo la Ghassani
Ekuwapo Firauni, katili na muuwaji, na kubwa mno nguvuyeHekuwapo duniani, kwenye miji na vijiji, alokuwa mfanoweNa Hamana na Karuni, mabingwa wa mauaji, walikuwa upandewe,Ila mwisho hadithiye, yeishiya mkondoni, ikamalizwa na maji