ILAHI ITIE NURU, NDOWA YA WAKO MJA. TENA APATE SHUKURU,KWA KUANZA NA MMOJA. MBELENI TAKUWA HURU,KUONGEZA SI KIOJA. DINI YAKO INUSURU,KAMA KUONGEZA IPO HAJA. .KIJANA NAKUTANIA ,ISHI NA WAKO MPENZI.MUSIJE KUNIVAMIA MUKANIONA MSHENZI. MASIKHARA TWATUMIA KWA KILA ZAMA NA ENZI. GHASANI UWEKE NIA,DUWA KWA WANAO VIPENZI. WAANZISHE FAMILIA ,IWE MBALI NA SIMANZI. (Mzee ghasani utanisehe nami najaribu kuogelea japo hahari hii si saizi yangu)
@mohamedvuaa15792 жыл бұрын
Naam Marhaba Baba wakati tukiendelea kustaladhi na ladha azizi kama hizi tafadhali maaleym wangu wajina wangu saiy wangu tufute masizi kwa kumuhamasisha Maulana Shekh na Alim wetu Alhabib Mohamed Wa Suleimani {told) atoe kitabu chenye mkusanyo wa nasaha zake za dhahabu zilobeba ustaarabu na kutufunza adabu na mengineyo anuai yenye kujaza thawabu yakabainisha uswahili wa kweli toka enzi za mababu na kuvunja nadhari za walofeli uwongo waloshurabu wakanena mswahili tapeli anamengi ya ajabu wakadhihaki na kuzikejeli tena pasi na sababu atakuizi jaza nyingi kheri Raufu Mola Wahabu
@hakeemzero96774 жыл бұрын
Shukran MoG tv
@fatmahamdoun744 жыл бұрын
Maashallah Allah awajaalie ndoa ya Kheri na baraka wapendane siku zote kwa heshima na adabu wanisurike na yote yakuwatia aibu!
@fatmahamdoun744 жыл бұрын
*wanusurike (typing error)
@MuhammadMuhammad-ou4ug4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah,kila la kheir
@barakamohd1193 жыл бұрын
Hongera sana kake
@user-qm6si4kz8i3 жыл бұрын
Mashallah ❤️
@riphatmuhene96154 жыл бұрын
Wa kwanza kukoment
@fatmahamdoun744 жыл бұрын
Riphat Muhene kwani kuna zawadi anae comment mwanzo na mwisho🤣🤣🤣🤣
@riphatmuhene96154 жыл бұрын
@@fatmahamdoun74 Hahahahaha
@mbaroukelshirazy62654 жыл бұрын
Nice mashallah
@fatmahamdoun744 жыл бұрын
Mtu akitaka kutungiwa shairi inawezekana eee ? MG mpenzi wetu unatufurahisha sana !
@fatmahamdoun744 жыл бұрын
Maashallah mume kama huyo ndo mume akifata wasia Mwana afate wasia In shaa Allah ! Kila nikiwaza ndoa nasema watu wanafunzwa na nani?? Sipati jibu
@daaudndagoni15493 жыл бұрын
Fatma hamdoun
@fatmahamdoun743 жыл бұрын
@@daaudndagoni1549 naam
@daaudndagoni15493 жыл бұрын
Upo wap ww nakuona umpenzi mwenzangu wa hii chanal
@fatmahamdoun743 жыл бұрын
@@daaudndagoni1549 nipo hapahapa Eee nampenda MG Mungu amzidishie ujuzi na amhifadhi Amin
@daaudndagoni15493 жыл бұрын
@@fatmahamdoun74 Sawa karibu magomeni .kwani fecbook unatumia jina gani
@abdulhamidameirtajo98543 жыл бұрын
Ufundi na stadi ilipo katika shair hili na za kitaalam kuanzia kwenye maudhui mpk fani . Sauti ni ya zahabu sijapata sikia wala kuona .