robby issack . Ndio Maana yake, ushambiwa Usiibe hata katika amri 10 za Muumba.
@lilianmoshi22454 жыл бұрын
Naomba namba ya CM ya babu
@pamelamakolo79993 жыл бұрын
Umepata no Dr unitumie
@diti48995 жыл бұрын
huyu mzee si wamkabidhi benki kuu alinde
@christercheru83282 жыл бұрын
😁😁😁
@mohameda.i.baranyikwa65513 жыл бұрын
Millard Ahsante kwa kuwatembelea walemavu. Mimi nilisikitishwa na mchango wake kwa nchi lakini nchji kamsahau. Tafadhali nitumie number ya simu ya mze huu kwenye mzalendo3@gmail.com. Ahsante.
@jenipherwilomo54523 жыл бұрын
0743596501
@saramabena33922 жыл бұрын
naomba unisaidie namba zahuyu mzee kama umepewa
@samwelmadaraka15215 жыл бұрын
Mzee nipe number zako
@siwemamichael6905 жыл бұрын
Babu kumbe unagari kabisa tafadhari naomba unioe tu nitakupenda sana
@khadijambaruku24915 жыл бұрын
0716599768 piga hyo
@suleymansaid93015 жыл бұрын
Siwema Michael ntumie namba yako basi rafik we unaish mkoa gan?
@agathakogo45693 жыл бұрын
@@khadijambaruku2491 hii number ya huyu mzee?
@agathakogo45693 жыл бұрын
@@khadijambaruku2491 hii number ya huyu mzee
@twahaabdalla23045 жыл бұрын
Kama umeona chupa ya plastic inawekewa kiza gonga like
@innocenttemu029 ай бұрын
Namba yake mbona huja mwambia
@ezekielbuluba39405 жыл бұрын
kuna kitu nimejifunza kwa huyu mzee kua huwezi kuwachanganya mbuzi na kondoo wote wakawa kitu kimoja hata siku moja manaake ni kuna mpiga kazi na mvivu unapolazimisha vikuindi manaake unalazimisha mbuzi kua kondoo kitu ambacho hakiwezekan watoa mikopo wangalie tu huyu mtu yukoje basi na kila mtu afe na chake bidii ya mtu binafsi ndio itakayotoa matunda na si kikundi cha watu.... japo umoja ni nguvu
@khamistano48484 жыл бұрын
Hiyo kiboko
@lulumalima78144 жыл бұрын
Du Milan naomba nmb za huyo baba nimependa staili yake
Hahaha mzee mtalikidongo.. Duh Mzee anadhibiti wezi wakati yeye mwenyewe alikuwa ni bonge la wakaba ngeta. 😃😃😃 dingi ni balaa. Watu wa njombe wanamjua vizuri sana huyu dingirai,eti sjawah kubeba kitu cha mtu bila idhini.. Mungu anakuona mzee.. Sema Uzee tu sasa umeamua kutulia.
@davidpaschal7782 жыл бұрын
Acha bs
@tazamatankfarm97595 жыл бұрын
Mitaa ya huko Njombe hilo la Mkalihindonga halijulikani sana sema MTALII unampata ni mpambanaji hatari nilimwambia aje aweke Kariakoo birika yake aone alicheka anajua wabongo hahahahaaaaa
@agathakogo45693 жыл бұрын
naomba number yake please
@saramabena33922 жыл бұрын
@@agathakogo4569 naomba unisaidie namba zahuyu mzee my kama ulipata
@homeboybeyondtheborders49355 жыл бұрын
Eti tangu afungue hilo genge hajawahi kufunga hatari sana
@mariamfaki11665 жыл бұрын
Millard mbona unarudia story matangazo?
@richardedwin1185 жыл бұрын
Ayo umeona uvue kofia ucje ukazruka
@priscadaniel73 жыл бұрын
Mambo
@leonardmdegela42585 жыл бұрын
poa
@elizabethleonard6568 Жыл бұрын
Nina mpataje
@petersume27805 жыл бұрын
mbona habari ya zamani , milard ayo vipi
@flowinkilangira15455 жыл бұрын
Ni kipande kilichobaki nadhan. Coz yale mahojiano mengne niliyaoskiliza. Ila mzee mpiga ngeta huyu hatari.