Mzee wa Upako Mch. Anthony Lusekelo Aungana na Kanisa la Wasabato katika kweli.

  Рет қаралды 12,933

ADVENTURE

ADVENTURE

Күн бұрын

Mungu anazidi kulifunua Neno lake kwa namna ya pekee kiasi kwamba unabii unatimia taratibu na kwa hakika.

Пікірлер: 132
@samuelinfuriater8512
@samuelinfuriater8512 8 күн бұрын
Hawezi kuuficha ukweri kwa wakati wote mchungaji Mungu akubariki kwa kukubali kuwa nuru amen
@SuleimanmumaniOmar
@SuleimanmumaniOmar 7 күн бұрын
Imani ya kisabato ni kuamini kwamba yesu ndiye mungu,imani hii mzee wa upako hakubaliani nayo kabisa
@RaphaelTimoth
@RaphaelTimoth 10 күн бұрын
Roho wa mungu ampe uchaguzi wakweli katika neno amina
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 10 күн бұрын
Amina
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 27 күн бұрын
Roho mtakatifu aangaze kwa wanadamu waelewe kweli.Barikiwa Lusekelo ametumiwa na Mungu kuufunua ukweli.
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 27 күн бұрын
Amina
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 12 күн бұрын
Soma bibilia uonee mzee lusekeloo ANASOMA KWA UTAJI.
@nyandanaftali8014
@nyandanaftali8014 12 күн бұрын
Amina
@EmmanuelLucas-of3pc
@EmmanuelLucas-of3pc 14 күн бұрын
MUNGU ABARIKI WOTE WALIO SIKILIZA HII MPAKA MWISHO NA NA WATAKAO AMUS KUFUATA UKWELI.piga like hapa kama tuko pamoja.
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 12 күн бұрын
Ukweli upi ndugu ukiujua ukweli UTAKATAA.
@EsterElkana-p1r
@EsterElkana-p1r 21 күн бұрын
Ukweli wa mungu utasimama hatakama ukweli ipindishweje mungu atufunulie macho natuone Asante kwakujua hukweli huu
@DotoS12
@DotoS12 18 күн бұрын
Ubarikiwe mzee wa upako kwa kusema ukweli
@OdastinaMabiti
@OdastinaMabiti 14 күн бұрын
huyu mzee MUNGU ambariki sana, aje tuungane kufanya kazi ya " ABA" yaani BABA
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 14 күн бұрын
Amina
@futezenganza
@futezenganza 12 күн бұрын
Mungu ana namna ya pekee kufikisha ujumbe kwa wanadamu
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 12 күн бұрын
Ni kweli
@evalistirazalo3534
@evalistirazalo3534 28 күн бұрын
kwa kwakwer mzee wa upako huo ndio ukweli.kama kuna mtu anabisha aje na andiko kusali siku ya jumapili sio siku ya kusali.
@gililwise
@gililwise 26 күн бұрын
@evalistirazalo3534 .pamoja na hayo mimi siabudu siku.namuabudu Mungu.aliye hai aliyenikomboa pale.msalabani.aliyesema imekwisha .yaani laana yatorati iliisha siku hiyo .cjaona kitu chochote cha kujifunza kwa wasabato maana matendo yao yanatisha kama ukoma
@ladislausmugane2140
@ladislausmugane2140 22 күн бұрын
Yuko sahihi ila alivyoanza kwenye clip yake pia alisema Mungu ni mmoja hakuna utatu
@JuliusMatiku-ux4ch
@JuliusMatiku-ux4ch 19 күн бұрын
Sio jumapili2 ata iyo jumamosi haijaandikwa, imeandikwa2 siku ya saba.
@JuliusMatiku-ux4ch
@JuliusMatiku-ux4ch 19 күн бұрын
Mi nataka hapo bibilia inaposema sabato ni jumamoc, maana mwanzo had ufunuo hakuna neno jumamoc wala jumapili, ila kunaneno sabato na siku ya saba. Sa wap pameandikwa siku ya saba ni jumamoc?
@ClementLushino
@ClementLushino 15 күн бұрын
Tafuta note book yny majina na jina ya siku zaidi ya moja unaona siku inaitwa sabato ni kiebrania hicho, na siku ya kifo cha Yesu Kristo ulikuwa maandalio ya Sabato maana siku inayofuata ni Sabato maana ni Jumamosi.​@@JuliusMatiku-ux4ch
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 21 күн бұрын
Mzee Lusekelo kashapiga hela zake za kutosha, sasa ana usemaukwli halisi
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 12 күн бұрын
Ikiwa anasema PASAKA sio SIKU NI MTU Yesu Kristo,iweje aseme sabato ni SIKU si kusoma kwa uataji huko kwanini asiseme Kristo ni SABATO Unasema ilikuwa desturi ndugu destruri sio KUISHIKA Yn 9:16 SUV [16] Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa matengano kati yao. Haya myahudi mwenye SABATO YAKE KASEMA "Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato"
@NasekileThomas
@NasekileThomas 2 ай бұрын
Ubalikiwe na mungu azidi kuwa somea kuwafunuliya vifungu fungu kwa sababu wataacha kutukana na wata Anza kusoma vitabu vya dini
@johnjoel5012
@johnjoel5012 29 күн бұрын
Yupo sahihi Mzee wa upako
@ellychacha2417
@ellychacha2417 14 күн бұрын
Ukweli ni huo sabato ndio ibada sahihi
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 14 күн бұрын
Amina
@yohanalaizer5706
@yohanalaizer5706 Ай бұрын
Tutateseka sana tusipoujua ukweli ushauri wangu tuutafute utakatifu ili siku moja tufike kwa baba maana taratibu zote zilihamia rohoni baada ya Kristo kuja na Kristo ndio Sabato enyewe kiroho na kiutaratibu au kimapokeo ni jumamosi hivyo tunatakiwa kusali muda wote maana siku zote ni za Mungu
@pathfinder144
@pathfinder144 Ай бұрын
Kuna siku ya kupumzika kwa sababu tunatambua amri yake na ya kuwa ndiye aliyetuumba. Kama hatuwezi kuishika aliyoiagiza Mungu na hata manabii, mitume na Yesu mwenyewe alithibitisha alafu unasema eti iliamia kokote. Ni upumbavu mkubwa kutomtii Mungu na kutii viongozi wa dini.
@user-hb1on3wv1x
@user-hb1on3wv1x Ай бұрын
Wewe acha porojo..Ibada ni jumamosi . lakini kusali ni siku zote au wakati wowote
@MarkoSilvester-tg6si
@MarkoSilvester-tg6si 28 күн бұрын
Kati ya mapokeo na biblia kipi kinanguvu kwako
@AnnaDaniel-z8j
@AnnaDaniel-z8j 25 күн бұрын
Wewe ndo wa kiroho kuliko Yesu mwenyewe Aliyesali siku ya Sabato?
@cuthbertchanangula2494
@cuthbertchanangula2494 23 күн бұрын
Sasa maji na mafuta yanaanza kujitenga ukweli ni kuwa kumpenda MUNGU ni kuishi maisha matakatifu na watu wakishindwa ndio huanza kutafuta vichaka wajifiche.utakatifu sio wa siku fulani.au wa nyumba fulani.
@JombaTUncleT
@JombaTUncleT 23 күн бұрын
Hoja za kimaandiko zitashinda. Hata Yesu Alimwambia shetani "IMEANDIKWA"🎉
@ZablonJonathan
@ZablonJonathan Ай бұрын
Aliesema kweli kabisa
@bamag-021
@bamag-021 14 күн бұрын
17 Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari. Ufunuo wa Yohana 12:17
@samsonpopat1474
@samsonpopat1474 Ай бұрын
Pr lusekelo ni mkweli kabisa Sasa ni juu yako unayefuata mapokeo ya jpili mathayo 7:21 inasema si Kila mtu aniambiaye Bwana Bwana atakayeingia ktk ufalme wa mbinguni bali yeye afanyae mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni Aya 22 inaongeza kwa wengi watasema tulifanya unabii kwa jina lako na kuponya kwa jina lako nami nitawambia ondokeni kwangu mtendao maovu Mungu wa mbinguni atusaidie kuenenda ktk ukweli wa neno lake vinginevyo tutakataliwa Fanya uchaguzi sahihi ahsante pr lusekelo kwa kuwaambia ukweli huu Mungu akubariki sana
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb Ай бұрын
Amina
@user-pg3eu5rt7v
@user-pg3eu5rt7v 23 күн бұрын
SABATO ni agizo la MUNGU kwa wanadamu wote duniani kisha mbinguni soma ISAYA.
@BoaziMashama
@BoaziMashama 13 күн бұрын
Ameongozwa naroho yeye amenawa mwenyekuokolewa aokolewe namwenyekupotea amuemwenyewe kupotea
@dottosweetbert8879
@dottosweetbert8879 24 күн бұрын
Lusekelo yupo sahihi kulingana na Biblia takatifu. Sabato ni moja ya amri kumi za Mungu. Kutoka 20:sura nzima
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 19 күн бұрын
😂😂😂😂 Mnakoseaa
@user-jf7rg1ux9l
@user-jf7rg1ux9l 29 күн бұрын
Siku za mwisho ukweli utainuliwa juu ..uwongo utadhihilishwa wazi...sabato sheria ya kifalme ni miongoni mwa amri kumi za Mungu..tena zinazo husu upendo kwa Mungu..
@ABEDINEGOMBELA
@ABEDINEGOMBELA 21 күн бұрын
Tatizo lasisi wanadamu tunataka MUNGU atusikilize sisi siyo sisi tumusikilize Mungu ukweli matengenezo yote kwa wakiristo yalipaswa kufanyika katika chanzo bola huwez kukamilisha nyumba kwa kuanza kujenga nyumba nyingine yesu anasema musizani nalikuja kutangua tolati Bali kuitimiliza
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 18 күн бұрын
yaan huyo (mzee wa upako) hata ukimtupa msitun, ngedele watamtimua kwa mikwaju, amemsapoti kiboko ya wachawi hadharan, na huyo kiboko ya wachawi kafungiwa kwa kutapel waumin wake
@eliariro5514
@eliariro5514 14 күн бұрын
Ukweli usemwe, na huo ndio ukweli
@pauloadamu9492
@pauloadamu9492 2 ай бұрын
kitu kingine nilichojifunza wachungaji wengi wanaongozwa na mawazo yao hawaongozwi na uvuvio wa roho mtakatifu huwezi kusema kusali ni juma moso harafu huna andiko la kudhibitisha kuwa juma mosi ndiyo siku ya kusali watu hawazi kukuelewa MUNGU niwakuabudiwa siku zote za maisha ya mwanadamu
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Ай бұрын
Hiyo ni rogosi sio rema rogosi ni andiko katika agano la kale Rema ni. Roho mtakatifu wa ufunuo Sabato Jumapili ijumaa na siku zingine zote ni siku za wanadamu ,Wala sio siku za kutunza sabato kwabudu ni siku zote, ukiazimisha siku niandiko sio roho andiko Kama andiko ni ibada ya sanamu ,katika agano jipya Agano la kale ilikuwa shelia
@magrethsindabaha1851
@magrethsindabaha1851 28 күн бұрын
Yuko sawa mno,
@davidkilajaga8842
@davidkilajaga8842 12 күн бұрын
Sasa nini hamu elewi apo, au ushabiki wa madhehebu ndo unaleta shida? Kwani Wanao Abudu Jumapili c ndo cku ya saba kwako kadhalika kwa wasabato, au?
@user-jf7rg1ux9l
@user-jf7rg1ux9l 29 күн бұрын
Mtu akiiba atawajibishwa kwa mjibu wa Sheria kwa sababu anae ibiwa ni mwanadamu.mtu akivunja sabato hawezi kuwajibishwa kwa sababu sabato ni ya Mungu..Mungu angekuwepo dunian huenda angeitetea basi waaminini manabii wake .j.pil ni mpango wa shetani ..muanzilishi costantino mfalme Wala hakuwa na uhusiano wowote na yesu au taifa la Israeli..yeye ni mroma..Jambo lisilo wezekana kabisa .
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 29 күн бұрын
Mungu akubariki ndugu
@LaurentJanuary-y8b
@LaurentJanuary-y8b 29 күн бұрын
Mungu amtie nguvu lusekero jamani mapokeo yatatuangamiza
@LameckShadrack
@LameckShadrack 3 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@davidshinje6379
@davidshinje6379 22 күн бұрын
❤❤❤❤
@EmmanuelSanga-ts8fk
@EmmanuelSanga-ts8fk 29 күн бұрын
Imani kama hizo ni wazi wapinga kristo
@LawiLeo
@LawiLeo 28 күн бұрын
Mzee wa upako yuko sahihi sana na iko hivyo kama alivyosema
@NasekileThomas
@NasekileThomas 2 ай бұрын
Ndugu mchambuzi au mfafanuzi uwelewa wanadam Kila mtu na ufahami wake hata ka ma kweli lazimatubishe kwa sababu. hatusomi bibiliya wengi
@charlessheks7166
@charlessheks7166 23 күн бұрын
Mzeewaupako mlevi...
@user-pg3eu5rt7v
@user-pg3eu5rt7v 23 күн бұрын
Mwanadamu atapinga SABATO Mdomoni moyoni ukweli unachoma.
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 17 күн бұрын
Hicho analoongea Lusekelo ndicho kinachoitwa "UKWELI MCHUNGU"mtafuta njia tu anaweza kumuelewa.
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 17 күн бұрын
Ni kweli
@amosmakoba5042
@amosmakoba5042 2 ай бұрын
Siku ukielewa Maagano yaliyopo katika Biblia na kujua tofauti zake na matumizi yake, hutahangaika na hiki kitu kidogo sana. Kuingia katika sinagogi jumamosi ndo kathibitisha kuwa hiyo ndo siku inapaswa kushikwa na kanisa?😂😂 Je, unajua Yesu alizaliwa katika Agano lipi? Haujui kuwa Yesu anaeleza wazi kuwa "alikuja kutimiliza Torati na Manabii?"... Je, torati na Manabii vilisema nini kuhusu Kristo? Unamwelewa Mtume Paulo katika nyaraka zake zilizoandikwa kwa mataifa? Je, kuna aliye zaidi yake katika ufahamu wa neno? (Habari za kushika siku zilikuwa ni kivuli cha pumziko la kweli yaani Kristo). Lusekelo hawezi kutumika kama mfano wa Kweli... Kuwa makini brother.
@yohanalaizer5706
@yohanalaizer5706 Ай бұрын
Good
@adronicoreveliano7151
@adronicoreveliano7151 29 күн бұрын
Asante Amos, kuna kitu umenifunijuza!
@obyigogo9920
@obyigogo9920 29 күн бұрын
Ukiona uma maelezo meeeeengi sana au jibu reeeeeeeefu sana swali fupi .....JUA HAKIKA KUNA TATIZO APO
@bamag-021
@bamag-021 14 күн бұрын
VITA YA SHETANI NA WATU WANAOMWABUDU MUNGU IKO KTK WALE WANAOSHIKA MAMBO MAWILI TU...Soma mwenyewe mambo hayo 12 Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu. Ufunuo wa Yohana 14:12 17 Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari. Ufunuo wa Yohana 12:17 SASA UKITAKA AMRI ZAKE , TAFUTA KTK BIBLIA NA SIO VITABU VILIVYOTUNGWA NA WANADAMU ZA KUTENGUA/KUCHAKACHUA(Kutoka 20)
@ZabronJonathan-b5s
@ZabronJonathan-b5s 16 күн бұрын
Ulisema ukweli kabisa na uko sahihi ubarukiwe kwa hilo na wewe mwenyewe uchukue hatua .
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 16 күн бұрын
Amina
@HalimaPeter-mb4ei
@HalimaPeter-mb4ei 14 күн бұрын
Huyu mzee! Mbona yeye anasali jumapili?
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 14 күн бұрын
Pesa
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 19 күн бұрын
MZEE WA UPAKO PAMOJA NA SDA HAWAJUI SABATO.
@privagervac960
@privagervac960 Ай бұрын
Ila kutoka 20 :8 inaposema ikumbuke inawakumbusha watu wakumbuke sio yeye amekumbuka siku ya saba wakumbuke kutoka sura 16 :16-23 Mungu aliwazoeza watu kuhusu sabato ndio maana kumbukumbu5 :15 inatowa wazo kuu sababu ya sabato
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb Ай бұрын
Mungu alituumba na akatuhakikishia ukombozi mfano ya Israel wakiwa misri
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 21 күн бұрын
Kuhangaika tu
@nicolasnzema08
@nicolasnzema08 19 күн бұрын
Sasa msomaji JIULIZE desturi ni NINI ?
@Enockbeckbrown-hf6xx
@Enockbeckbrown-hf6xx 19 күн бұрын
Kulingana na Biblia, kusali ni siku zote lakini KUPUMZIKA kwa ajili ya kumbukizi ya uumbaji wa Mungu was kweli YAHWEH ni siku ya Sabato (Jumamosi) peke yake.
@gabapentin8070
@gabapentin8070 29 күн бұрын
Nawashauri walokole chagueni kumjua na kumuamini Mungu na sio kumuamini mchungaji sababu Mungu anajidhihirisha kupitia mchungaji someni biblia nzima jifunzeni elimu ya dini mtakua salama hamtakua bendera kamwe
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 29 күн бұрын
Amina
@majmadramas5726
@majmadramas5726 19 күн бұрын
Wakristo wanasali jumapili, Wasabato wanasali jumamosi.... Waache Wakristo wasali siku yao, maana Wasabato nao wana siku yao... sababu naona ni makundi mawili 1. Wakristo 2. Wasabato hawawezi kufanana...wakisali wote jumapili basi wote watakuwa Wakristo, na wakisali jumomosi basi wote watakuwa wasabato.
@malemiym3942
@malemiym3942 19 күн бұрын
Msabato sio mkiristo? Au kigezo cha kua mkristo ni nini? Kwan msabato hamuamini Yesu Kristo? Mbona kila siku wanamwabudu Yeye pekee au na wewe umekaririshwa mapokeo. Usiongee jambo usilolijua
@Kosokoso8579
@Kosokoso8579 18 күн бұрын
Aty kuna wakristo na wasabato? Aahh kwa kweli hapo ndugu yangu umepotea kabisaa
@WHITEWHITE-fn5ey
@WHITEWHITE-fn5ey 12 күн бұрын
yeaaaaahp big up ndugu ni vizuri wote tukaitwa WA-KRISTO mambo ya walokole,wasabato yani tuachane nayo na inatakiwa wote tusali siku ya sabato lakini tuitwe wakristo yani MUNGU wetu sio wa Madhehebu bn basi tu yani shetani anatuandama.Na kusali jpili au siku tofauti na ya saba sio mpango wa MUNGU bali ni mpango wa shetani kuliangamiza kanisa,inapaswa wote tuyafuate mapenzi ya MUNGU na amri zote za MUNGU ndipo tutakapokua WAKRISTO na sio WA-sabato,WA-lokole,WA-roma n.k
@AnthonyKiwango
@AnthonyKiwango 21 күн бұрын
HUU NDO UKWELI USIOPINGIKA SIKU YA IBADA NI JUMAMOS
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 21 күн бұрын
Amina
@OmarOmar-vf9dv
@OmarOmar-vf9dv Ай бұрын
Ahahhaahhaha
@cosmassisa5256
@cosmassisa5256 29 күн бұрын
Waebrania 4:1_13 mbona imeweka wazi
@SirajiHussein
@SirajiHussein 28 күн бұрын
Kwani cku yakwanza nijuma ngapi?ili tujue siku ya sita nilini
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 28 күн бұрын
Jumapili
@LovelyPalette-kq9xt
@LovelyPalette-kq9xt 28 күн бұрын
Mathayo 28:1 utapata sku ya kwanza
@ColnelMinga
@ColnelMinga 28 күн бұрын
Siku zote ni za Mungu ndio, ndio maana huyo mwenye siku zote amichagua moja ya kupumzika na kumwabudu
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 28 күн бұрын
Amina
@kumalijaenos7612
@kumalijaenos7612 22 күн бұрын
Kwani wapi pametajwa jina la siku? Katika biblia wamesema tu siku ya saba lakini haikutajwa kama ni jumamosi au jumapili..... nyakati hizo hakukuwa na majina ya hizi siku
@JuliusHatari
@JuliusHatari 21 күн бұрын
Yesu alifufuka siku ya kwanza ya juma (jumapili)
@user-nt1lf8rr9g
@user-nt1lf8rr9g 23 күн бұрын
Kwani tukisali jumatano tunasali kwa siku au kwa bwana
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt 3 ай бұрын
Wasabato munaamini utatu.
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 3 ай бұрын
Utatu mtakatifu haswa.
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 3 ай бұрын
Utatu mtakatifu haswa.
@IzackMakole-ul5tt
@IzackMakole-ul5tt 28 күн бұрын
Utatu tunauamini ndugu faustine utatu wa MUNGU BABA,MUNGU MWANA NA MUNGU ROHO MTAKATIFU
@ayapoa
@ayapoa 27 күн бұрын
Mapokeo yananguvu kuliko biblia.
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 27 күн бұрын
Ni kweli
@pathfinder144
@pathfinder144 3 ай бұрын
Siku moja atakua msabato
@gililwise
@gililwise 27 күн бұрын
We hujui maandiko .hatupo chini ya sheria. Kila.aadhimishaye.siku aadhimisha kwa.Bwana kwa.maana hiyo.hakuna tofauti kati ya siku maana.siku zote.kwa Mungu ni.sawaWe rudimisri cc tunaelekea nga'mbo ya mto wa yordan
@ADVENTURE-vs1zb
@ADVENTURE-vs1zb 27 күн бұрын
Ezekieli 20:12 Tena naliwapa sabato zangu, ziwe ishara kati ya mimi na wao, wapate kujua ya kuwa mimi, Bwana, ndimi niwatakasaye. Ezekieli 20:20 zitakaseni sabato zangu; zitakuwa ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua ya kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. Isaya 66:22-23 22 Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema Bwana, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa. 23 Na itakuwa, mwezi mpya hata mwezi mpya, na sabato hata sabato, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asema Bwana. Luka 4:16 Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome. Mathayo 5:17-19 17 Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. 18 Kwa maana, amin, nawaambia ,Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka,yodi moja wala nukta moja ya torati haitaoondoka ,hata yote yatimie. 19 Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Yohana 14:15 Mkinipenda, mtazishika amri zangu. 1 Yohana 2:4, 6 4 Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake. 6 Yeye asemaye ya kuwa anakaa ndani yake, imempasa kuenenda mwenyewe vile vile kama yeye alivyoenenda.
@gililwise
@gililwise 27 күн бұрын
@@ADVENTURE-vs1zb endelea kubaki misri kwenye nchi ya watumwa.wagalatia anasema nani amewaloga.Mungu aangalii siku.anaangalia moyo wako na matendo Yako maana ndiyo utakayoambatana nayo.usijinadi kuwa sabato ndo itakufanya upate uzima wa milele.mpokee yesu kuwa Bwana na mokozi wa maisha Yako upone .
@ckmanga48
@ckmanga48 26 күн бұрын
Soma maandiko in context ndugu hivyo hata yesu alikuwa chini ya sheria au (luka 4:16) mathayo 12:8 somo la kutokuwa chini ya sheria haimaanishi kutokutii amri za mungu kama ndivyo basi ni rukia siyo (kuuwa,kuiba,kuzini kuwa na miungu mingine nakutamani mali mke wa jirani ) pia mtume Paul huyo unayemtumia vibaya kutwist 😢 mafundisho yapasayo wokovu aliitunza kama maandiko yasemavyo (Matendo 13:42,44 matendo 16:12,13 matendo 17:2 matendo 18:4 Mtume petro alitoa taadhari kwa watu wasomao maandiko ya Paul mtume na kuyapindisha watakavyo 2Petro 3:15 ,pia 2Timotheo 4:3-4 (Mungu akupe neema kuelewa maandiko ukiongozwa na roho wake😢😢.
@ckmanga48
@ckmanga48 26 күн бұрын
Amen mtumishi barikiwa
@ckmanga48
@ckmanga48 26 күн бұрын
​@@gililwiseKama Mungu mwenyewe alipumzika Siku ya Sabato, Yesu mwenyewe alikuwa na desturi ya kwenda hekaluni siku ya Sabato na Mitume pia, sasa imekuwaje leo sehemu kubwa ya Wakristo wana desturi ya kwenda kanisani Jumapili? “Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo, ila mioyo yao iko mbali nami; nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu. Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.” Marko 7:6-9.😮
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 18 күн бұрын
mzee wa upako si wa kumfuata kabisa, anayumba sana, mara kwa kiboko wa wachawi, mara kwa wasabato, haeleweki kabisa
@ChanceBariziraVital-cv5jx
@ChanceBariziraVital-cv5jx 26 күн бұрын
Amina
CASSIAN ALIONYA CANISA LA WASABATO LIMEPOTOKA KUJIUNGA NA MNYAMA 666 EV PASCHAL CASSIAN
1:02:18
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 51 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 82 МЛН
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
"UMASKINI NI DHAMBI! KATAA UMASKINI"-BISHOP ANTONY LUSEKELO
1:23
Mzee wa upako
Рет қаралды 3,8 М.
UKRISTO NA POMBE
4:25
Mzee wa upako
Рет қаралды 23 М.
MZEE WA UPAKO HAZUNGUMZIA NGUVU YA KUWA NA HELA
6:28
Mzee wa upako
Рет қаралды 2,4 М.
THE TRUTH ABOUT THE BOOK OF GENESIS | DR ABEL DAMINA
20:49
The Refined People's Assembly
Рет қаралды 89 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН