Mziki wa dansi zilipendwa- Kasheba na OSS- Uliniomba tucheze

  Рет қаралды 48,707

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 9 ай бұрын
Uliza kwanza daah music ni maisha saa chache kabla ya neema ya mungu 2024
@hildaeliya5582
@hildaeliya5582 8 жыл бұрын
Nakumbuka 1986, tukiwa tunakwenda kusaka Kenge mitaa ya kigogo, mda huo tunatoka mburahati, tukiwa tumefika mitaa ya Mburahati Santos au barafu wimbo huu ukapigwa RTD, ikabidi nirudi nyuma niwaache wenzangu'' Eddie upo juu' unarudisha kumbukumbu mbali Mwana
@eddienassor480
@eddienassor480 8 жыл бұрын
Hahahaaa,ahsante ndugu:burudika
@tonyliwa3803
@tonyliwa3803 7 жыл бұрын
Dada Hilda hao Kenge walikuwa kwa ajili ya nini?
@obillaezra6205
@obillaezra6205 4 жыл бұрын
Tony kwa kipindi kile Mburahati, ilikuwa ni fahari kwenda na Mbwa kusaka kenge” Mara nyingine Mnarudi Nyumbani huku mbwa wenu akiwa amejeruhiwa vibaya na kenge au hata kupoteza Maisha” Mbwa wetu mmoja alifariki kwenye mapambano na Kenge Wawili wakubwa, alipigwa mkia wa Mdomo na mguu, tulimbeba akiwa kafa na kurudi naye Nyumbani Kumzika kishujaa na tulimpa Heshima zote kama apeavyo mwanajeshi vitani” Mwenye Mbwa alishindwa kujizuia na kulia sana”
@tonyliwa3803
@tonyliwa3803 4 жыл бұрын
@@obillaezra6205 Inafurahisha sana, mimi niliwinda Ndege na Sungura
@christophermpanji1536
@christophermpanji1536 2 жыл бұрын
Wimbo umenikumbusha mwaka 1986 nikiwa s/m chitekete kule Newala baba yangu skyward mwalimu, RIP mwl mpanji
@anjeomdawali7298
@anjeomdawali7298 3 жыл бұрын
Raha za kila aina umepata Rey wangu, gari za kila aina umepanda Rey wangu eeeeh iliyobaki Rey wg eeh tuyajenge maisha yetu
@noelaraymond6510
@noelaraymond6510 7 жыл бұрын
Ninawaza sana! yaani hizi nyimbo basi tu.
@nabothyeswa1630
@nabothyeswa1630 10 жыл бұрын
Yes this is binangai na respect by tpok jazz
@mayasaomary7973
@mayasaomary7973 2 жыл бұрын
Bina.na.ngai na respect ni.noma.sana.hapa wameiga ila.yenyewe.ni.nzur.zaid
@barakadeusdedit8273
@barakadeusdedit8273 Жыл бұрын
@@mayasaomary7973 hasa sauti ya Ntesa Danielist
@stepsstudio187
@stepsstudio187 7 жыл бұрын
Wimbo huu unaitwa muziki wa kwetu.
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 10 жыл бұрын
SAFI sana kwa wa imbaji! NDUGU KALALA MBWEMBWE; KABABA NKOMBA GABY! KABEYA BADU; MOLAY TUNGWA; MOBALI:hiyo DUKU DUKU! na KASHEBA SUPREME na OSS!!!!!!!!!!.
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
Nkomba Kababa Ile ndio enzi Gaby! mmetuachia vitu vizito
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 9 жыл бұрын
Eddie Nassor AKSANTI SANA! NA FURAHI SANA KWAKO KWA KU WEZA KU CHEZA MZIKI WETU HONGERA NA UENDELEYE KU TU LETEA MAPIA: GABY! NA SUEDE;
@raskenneth1981
@raskenneth1981 5 жыл бұрын
Mara ya kwanza uliniomba tucheze,muziki ya nyumbani siwezi kukataa,mara ya pili umerudia tena si kucheza bali kunipiga jicho,uliza kwanza nimekuja kucheza nimekuja kufurahisha mwili wangu.Inanikumbusha miaka ya 1989 RTD Enzi hizo
@gervascharlesmwatebela1421
@gervascharlesmwatebela1421 7 жыл бұрын
Upigaji wa gitaa la huo wimbo unawiana kidogo na wimbo wa Pesa Position wa TP OK Jazz pale unapoanza lakini yote kwa yote wanamuziki kuna baadhi ya mambo huwa wanaelekeana katika utunzi,uimbaji na upigaji kinachobadilika ni tone
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 3 жыл бұрын
Bina mange respect ya to ok jazz
@gervascharlesmwatebela1421
@gervascharlesmwatebela1421 7 жыл бұрын
Haijalishi kama alikopi maneno na kuyatafsiri lakini katika muziki wa Bina nangai na Respect TP OK Jazz melody ziko tofauti na huu hapa ingawaje mara nyingine maudhui(content) huwa yanajirudia kutokana na baadhi ya visa au mikasa kushabihiana. Heko kwa watunzi na waimbaji wa OSS wana dukuduku ilikuwa hatari sana vijana wa kileo wanasema weka mbali na watoto.
@zinhlesangweni7595
@zinhlesangweni7595 2 жыл бұрын
Albam ya kwanza kwenye mtindo wa dukuduku. OSS chini ya ndala kasheba 1982
@Jumamabela
@Jumamabela Ай бұрын
Kasheba dah nakumbuka pale karume kwenye mataa iliwekwa picha yake akiwa na gataa
@josiahmuthemba115
@josiahmuthemba115 3 жыл бұрын
Ndala Kasheba aliimba huu wimbo toka kwa franco wimboo "bina na ngai na respect " mtuzi akiwa ni Ntensa Ntsitani Dalliesnt
@bakarinchimbi2436
@bakarinchimbi2436 2 жыл бұрын
Kitambo sana mzee hiyo
@obillaezra7617
@obillaezra7617 7 жыл бұрын
Huu wimbo Ndala kasheba alichukua tune ya Franco wa T.P.O.K JAZZ wa mwaka 1981
@mayasaomary7973
@mayasaomary7973 2 жыл бұрын
Hata maana.ya.wimbo ametafsiri.wimbo wa TPOK JAZZ Bina.na ngai na respect.
@sibongilemasina8779
@sibongilemasina8779 4 жыл бұрын
Mr. Isaac Mhone - Daaa mziki huu unanikumbusha nikiwa shule ya msingi kigamboni - Dar es salaam
@francisluanda8672
@francisluanda8672 3 жыл бұрын
Shule ya msingi kigamboni Mwalimu ndowo nini
@edwinmoses1897
@edwinmoses1897 3 жыл бұрын
Nakimbuka 1983 tupo muheza Tanga tulikuwa tunaangusha mafenesi s/m majengo
@mathewokwirri3299
@mathewokwirri3299 3 жыл бұрын
Very sentimental
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 8 жыл бұрын
lakini imetulia sana hii kazi
@nowelaraymond5986
@nowelaraymond5986 2 жыл бұрын
Weeweee🤭
@abbassalum1864
@abbassalum1864 3 жыл бұрын
👏👏👏👏
@AnthonyKisondella
@AnthonyKisondella 10 жыл бұрын
Eddie, Inasemekana huu wimbo mzee mzima Supreme Maestro Ndala Kasheba - RIP alichukua tune na baadhi ya mashairi ya wimbo uliotungwa na kuimbwa na Dalienst ya Ntesa Zitani - RIP akiwa na kundi la TP OK Jazz la mzee Luambo Lwanzo Makiadi "Franco". Jina la wimbo huo ni "Bina na Ngai na Respect - ikiwa na maana "cheza na mimi kwa nidhamu" kulikuwa na tabia ya bendi za hapa Tanzania kuiga baadhi ya nyimbo kutoka Zaire enzi zile na kutia mashairi ya kiswahili halafu ikaonekana ni wimbo wa Kitanzania - sielewi maana yake ilikuwa ni nini hasa!!
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Hizi habari ni mpaya kwangu.Ila kuhusu kuiga,wa tanzania tunapenda sana!! sasa Kasheba atakuwa alikuwa akijaribu ku blend in!!!
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Kaka burudika na Telegram
@AnthonyKisondella
@AnthonyKisondella 10 жыл бұрын
Eddie Nassor Nashukuru Bro - nitarukia kule niutie nyama kidogo - thanks for posting
@ismailfundikira6357
@ismailfundikira6357 9 жыл бұрын
Bwana Anthony bila shaka yeyote nimesikiliza zote mbili ni dhahiri kuwa Supreme Ndala kachukua melody ya Bina na Ngai na Respect na kwa mujibu wa Sulutani Skassy Kasambula amethibitisha nyimbo nyingi za mabendi yawa kongo waliokuwa Tanzania wamekuwa na mtindo huu wakuchukua melodies na kuzitwist kidogo kwa kuongeza au kupunguza vionjo ambapo zilipelekea kupendwa zaidi ya tungo zao halisi matokeo yake ukawa ndio mtindo
@PaulLiyailukoewisayi
@PaulLiyailukoewisayi 9 жыл бұрын
+Anthony Kisondella Hyo ni kweli kabisa
Mziki wa dansi zilipendwa- Kasheba na OSS- Garba
6:16
Eddie Nassor
Рет қаралды 44 М.
DDC Mlimani Park - Tufurahi Na Wana Sikinde
6:56
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 54 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Mziki wa dansi zilipendwa- OSS -Fifty fifty
7:18
Eddie Nassor
Рет қаралды 49 М.
Molema
9:37
Mose Se 'Fan Fan' - Topic
Рет қаралды 14 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- NDEKULE- Christina Moshi
7:22
Eddie Nassor
Рет қаралды 92 М.
Karubandika
7:13
Kasalo Kyanga - Topic
Рет қаралды 11 М.
DDC Mlimani Park - Uzuri wa Mtu Sio Sura
6:35
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 442 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Marquiz -Safari yetu Mbeya
7:12
Eddie Nassor
Рет қаралды 20 М.
Mziki wa dansi zilipendwa-  Mk Group- Kibela
6:35
Eddie Nassor
Рет қаралды 40 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Marquiz- Wanasema mrudie- Kamanyola
8:32
Dunia Msongamano by Ndala Kasheba
7:01
George Billa
Рет қаралды 23 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20