NABII MALISA NA SERIKALI:- KWELI HAWA NDIO WATUMISHI WA MUNGU WENYE HADHI YA KULINDWA NA POLISI??

  Рет қаралды 28,957

Helbeth Mlelwa 🎖️

Helbeth Mlelwa 🎖️

7 ай бұрын

Пікірлер: 193
@RobertOrovi
@RobertOrovi 2 күн бұрын
Mungu akubariki brother you speak truth na mungu akubariki brother
@reginaneema587
@reginaneema587 6 ай бұрын
Acheni kupinga Mambo ya Mungu, aliwakuta hivyo na kawapenda, upendo wa Mungu hauangalii Kama wanadamu Soma 1 sanweli 16:7. Acheni kuhukumu mtahukumiwa na maneno yenu. Hawa ni watumishi wa Mungu zaburi 105:15
@komandowainjiliyayesu
@komandowainjiliyayesu 7 ай бұрын
Yaani Tanzania tunamkufru MUNGU sana Kwa Hali hii tutaendelea kupata matukio makubwa sana
@paschalinahharis9604
@paschalinahharis9604 23 күн бұрын
Humjui Lovy elias! Lovely servant of God!
@andrewmagembe8862
@andrewmagembe8862 7 ай бұрын
Mnataka waje vipi kwenu na mnauhakika gani Yesu alikuwa na mionekano mnayo ijua Mungu yupo mahali wengi wanapo pazarau
@user-ju4mi1qx5b
@user-ju4mi1qx5b 7 ай бұрын
Haya watakatifu Changamkeni bwana yesu yuko Mlangoni mwenye masikio na macho macho ya roho anajua tuache Kulalamika songa mbele usiogope bwana atapata mawindo Shalom
@ufunuoministry
@ufunuoministry 7 ай бұрын
Mungu akubariki sana. You are speaking the truth of the Word
@gabrielkyando2632
@gabrielkyando2632 4 ай бұрын
Mbarikiwa anafanya kazi nzuri Sanaa ya Mungu namkubarii San ila shida yake anakosaa hekima ndo ndo maana kwake anamshambulia kila mtumishi yeyote, na kingine haowatumish waliokuja ni watumishi wa Mungu wanatumiwa na Mungu Wana Neema kubwa japo sisi tumeangalia Rasta na kutoa hitimishoo wenyewe,,, ukiwafuatilia ndo utajua anointing waliyoibebaa
@paschalinahharis9604
@paschalinahharis9604 23 күн бұрын
Umenena mpendwa
@innosentimugarula8625
@innosentimugarula8625 7 ай бұрын
Kijana unaongea ukweli kabisa Ila dunia ya Sasa inashabikia uongo na kuhunga mkono kuliko ukweli kwenye ili na mimi nimeshangaa Kama wewe Mungu awatie nguvu tunawaombea naamini Mungu wa mbarikiwa ni Mungu wa kweli ivyo tuwape muda tu na Mungu atatoa majibu yake juu ya mtumishi wake barikiwa
@zahakiosward1575
@zahakiosward1575 7 ай бұрын
Tofauti ni kuwa mbarikiwa hawezi kupendwa na dunia kwakua yeye sii wa ulimwengu huu,hawa ni wa ulimwengu huu.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 7 ай бұрын
WAMEKUJA KUSAMBAZA USHOGA BONGO HAWA PELEKA KWAKO TWENTY 24 hours ago back from USA
@BerylSeer1
@BerylSeer1 7 ай бұрын
Haaaaahaa
@damasmasyaga2115
@damasmasyaga2115 7 ай бұрын
Mtumishi usipate taabu sana Polisi kulinda wahuni, watu wa dunia hii lazima walindane. Mahali pao pa kufurahia maisha ni hapa duniani.
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 7 ай бұрын
Uhuni unaupima na Nini?
@JonhYusuph
@JonhYusuph 3 ай бұрын
Kwa matunda@nenolauzima5281
@derickcowly6681
@derickcowly6681 7 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana mtumishi wa Mungu wacha kujilaumu Yesu mwenyewe alikanwa cha msingi usipoteze muda wako ni sehemu ya chuma kupita kwenye moto ili kikamilike uwe na maarifa
@obedilizer3412
@obedilizer3412 6 ай бұрын
Marko 7:6-9 [6]Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami; He answered and said unto them, Well hath Esaias prophesied of you hypocrites, as it is written, This people honoureth me with their lips, but their heart is far from me. [7]Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu, Howbeit in vain do they worship me, teaching for doctrines the commandments of men. [8]Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. For laying aside the commandment of God, ye hold the tradition of men, as the washing of pots and cups: and many other such like things ye do. [9]Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu. And he said unto them, Full well ye reject the commandment of God, that ye may keep your own tradition.
@ufunuoeliya719
@ufunuoeliya719 7 ай бұрын
Nishauri tu kwa tulipo fika watu tunakiburi jeuri ujuaji mwingi kupenda uongo kuliko kwel sasa ataumfundishe mtu kwl anapindisha naawez tenda ile kwl tuzidi kufundisha ila kila mmoja aamue tu njia anayoona atapata mavuno mana sasa tunaenda kasi mno
@joycenyalembe7718
@joycenyalembe7718 7 ай бұрын
Unapowambia ukweli, sio rahisi kukukubali. Dunia inalewa lewa😢
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
HAO VIBAKA TUU, WAZAMBAZA MAJINI NA MASHETANI WAJITUMIA JINA LA MUNGU. WANESHAONA HAKUNCHI ILIYONYUMA NA ZAIFU KATIKA KUIDANGANYA , NI TANZANIA. NAWASHANGAA WATU WABAACHA SHUGULI ZAO BUREEE.
@eliudezekiel8615
@eliudezekiel8615 7 ай бұрын
Serikali yetu naichukia mno nandio maana tunakumbwa na majanga
@daudiasajilemwambata6150
@daudiasajilemwambata6150 7 ай бұрын
1 Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia. 2 Petro 2:1 2 Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao njia ya kweli itatukanwa. 2 Petro 2:2 3 Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; ambao hukumu yao tangu zamani haikawii, wala uvunjifu wao hausinzii. 2 Petro 2:3
@gospelguest694
@gospelguest694 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana na kuzidi
@emanuelmponihambamponihamb7107
@emanuelmponihambamponihamb7107 6 ай бұрын
Kaka mwombeni Mungu ,🙏🙏🙏 acheni kujitetea wenyewe . Mwaitege anasema usijitetee.USHAURI; WALA MSIWASHITAKI HAO, SHITAKINI KWA MUNGU WENU WA MBINGUNI.. Piga uwa hajawahi kushindwa....atawachelewechea tu majibu yenu lkn. Jibu atakalo wapeni dunia itathibitisha haki yenu mbele za Mungu wenu.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🦾.
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 6 ай бұрын
Mbona wahuni wote wanakuz uku Africa ushoga ushoga hovyo kenge kabs god bless Africa 🌍 God bless 🙏
@user-du2im9gg3m
@user-du2im9gg3m 7 ай бұрын
Mna kazi ya kusema bukta na alishuka nalo kwenye ndege kwan alipanda nalo madhabahuni kuhubir achen umaskini wabongo na zama za kale cjh mpojeeee vitu vingne hamvijui nyamazen tuuu
@msafiriomary893
@msafiriomary893 7 ай бұрын
Wanawasumbua polisi watumishi wenyewe wsenge tu
@sigfridchristian1890
@sigfridchristian1890 7 ай бұрын
Kweli watu vipofuuu sana ...daaah so sad
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 7 ай бұрын
Nimewahi kusema kuwa Sasa hivi baadhi ya nyumba nyingi za ibada ni mahandaki ya shetani na viongozi wake wanekubuu kwa dhambi na unafiki Kwa muonekano , matendo na mahubiri yao. Njaa , tamaa na uvivu vinawatumbukiza watanzania wengi katika majengo ya watu hao na kunikuta wamekubuu ktk. dhambi. Kamwe Hatutabaki salama.
@simonuriyo7968
@simonuriyo7968 7 ай бұрын
Maandiko lazima Yatimie Makristo wa uongo na Manabii wa uongo lakini hawataweza kuwapoteza Wateule
@abelmbata37
@abelmbata37 7 ай бұрын
Duniani ukitaka utendewe kama anavyotendewa mwingine utapata taaabu sana. Wapo watu wanafanya kazi saaana lakini sifa wanapata wengine. Kuhusu polisi kulinda, polisi wanalinda usalama wa mali na watu na kila mtu anaweza kuwatumia hata wewe unaweza lindwa nao ni uwezo wako tu wa uchumi. Si lazima uwe mtakatifu ndo ulindwe hapana polisi hawapo kwa ajili ya wacha Mungu pekee
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 7 ай бұрын
Kwanini sisi watuzuie kuabudu sasa??
@abelmbata37
@abelmbata37 7 ай бұрын
@@HelbethMlelwa kwanza kuabudu hamjazuiliwa na polisi. Polisi wametekeleza amri ya aliyewazuia na sababu za kuzuiliwa mbona ziko wazi kwani hamjui? Mmezuiliwa kwa kuwa ibada zenu mnazungumza habari za watawala na wanasiasa zaidi kuliko Mungu wenu yaani mtu akiwasikiliza Yesu anaweza tamkwa mara 1 lakini Tulia na viongozi wengine mara 100 hivyo mnaonekana kama vile mna ajenda zenu na si ibada. Mnafanya ibada ya kuangusha serikali huu ni uchochezi dhidi ya wananchi na serikali yao kumbuka waasi huanza hivi hivi. Kama mngefanya ibada kwa Mungu wenu pekee bila kuwazungumza viongozi iwe kwa wema au ubaya mngeendelea kwani hamjiulizi kwa nini nyie tu umeona kuna kanisa nchi hii wamezuiliwa kuabudu? Kingine kanisa lenu haliko organised yaani mpo holela kila mtu mjuaji na anaweza sema chochote kwa mtu yeyote hakuna taasisi inayoendeshwa hivi lazima kuwe na utaratibu wa nani ataongea nini wakati gani. Katika kanisa kuna mambo ataongea mchungaji, mengine msemaji wa kanisa na waumini wanamipaka ktk kuongea ndo maana unaweza uliza jambo kanisani ukaambiwa hili atalijibia mchungaji lakini nyie kila mtu anaongea chochote. Ingekuwa mko organised baada ya kufungwa mchungaji wenu nyie mngeendelea kuabudu.
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 7 ай бұрын
@@user-yb6ut9in5c Siwezi nikakupa namba yangu, namba yangu sio nyanya za sokoni. Ni kweli unaweza ukasema nakudharau, lakini naamini hata mimi ningeomba namba ya rais asingenipa ndio maana namshauri mtandaoni. Kwahiyo na wewe toa clip nitasikiliza ushauri wako.
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 7 ай бұрын
@@user-yb6ut9in5c Kaombe wewe namba ya waziri mkuu au Rais uone kama utapewa.
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 7 ай бұрын
@@user-yb6ut9in5c kama mimi sio mtumishi wa Mungu basi utumishi nimekuachia wewe ila siwezi kutoa namba yangu kwa kila mtu. Tena nitoe namba kwa mtu anayetaka kunitukana au kunishauri sawa na anavyotaka yeye. Mimi sikuja hapa mtandao kushauri nilikuja kuongea, si kwamba huwa sijifunzi, najifunza lakini usinilazimishe nijifunze kwako, mimi mwenyewe nikiona una jambo la kimungu ntajifunza mwenyewe.
@kibeyomuhongo8451
@kibeyomuhongo8451 7 ай бұрын
Mtumishi tukio Hilo ni baya Sana na kwasababu kweli inapingwa kuliko uongo ndo maana ko tuzidi kuomba MUNGU Sana mwesho wa Mambo yote umekaribia
@rachidesicopa6622
@rachidesicopa6622 6 ай бұрын
Alhamdu lillah to be Muslim, bado mtasema tu
@TALLUBOY
@TALLUBOY 6 ай бұрын
Mbona sket min umo Makanisan mwenu Munavaa bwana Acheni hawa jamaa Waje kutangaza din
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 6 ай бұрын
Jukumu kubwa na muhimu la jeshi la polisi linajulikana, hivyo, hapa jeshi lilikuwa linatimiza wajibu wake. Watu wakijaa na kukanyagana na kufa polisi wasiwepo; Si mtailaumu Serikali na jeshi lake la polisi? Mbarikiwa (Mchungaji?) alivunja sheria za Nchi, hivyo, adhabu aliyopewa anastahili. Sheria ni msumeno.
@obedilizer3412
@obedilizer3412 6 ай бұрын
Sasa sijui mnachekana Nini hapa tueneze injili ya Kweli ujanjaujanja tuachane nao tuihubiri injili ya Mungu wa Kweli tuache vya kutafuta Nani Ni Nani tuangalie Mungu anasemaje
@elizabethnzula6704
@elizabethnzula6704 7 ай бұрын
Hao sio manabii pipofu kuongozwa na pipofu jamani ndunia iko mwishoni shikeni sana neno la MUNGU wa mbinguni mbila hivyo vile aona hakuna atakae pona hawa mashonga huwezi kuwafanikisha na mmbarikiwa.. ata nikifikiria mmbarikiwa moyo waniuma saaana mmbarikiwa ni shujaa wa imani
@barakalawrence742
@barakalawrence742 7 ай бұрын
Miaka hii tutaona mengi sanaaaa na bado
@JenipherSylivery
@JenipherSylivery 6 ай бұрын
Mungu anatujua zaidi
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 7 ай бұрын
Gente la kuzimu Hilo likemewe.
@user-po1qk1jf7v
@user-po1qk1jf7v 7 ай бұрын
Hizi ni nyakati za mwisho huna haja yakumiza kichwa yesu arisema muonapo dariri hizi juwa yakuwa mwanawa Adam yupo mrangoni kuwachukuwa wario wake
@user-ep6nl9ph4f
@user-ep6nl9ph4f 7 ай бұрын
Hawa ni manabii wa uwongo, hawajakombolewa na Yesu Christo, hawana tofauti na marastafarians(run!!!, away from them pple of God!
@christophercostantine7497
@christophercostantine7497 7 ай бұрын
hayo yote yanatokea ili Unabii wa Mwenyezi Mungu utimie kwa Uhalisia wa kimwili ,Cha kufanya Ni kuendelea kuzichunguza roho na kutoyumbishwa yumbishwa kwa ishara na miujiza .
@melkiorykweka438
@melkiorykweka438 7 ай бұрын
Tanzania jamani tunaelekea wapi?? Mungu ataacha kutuadhibu kweli?🤔
@SURASHY24
@SURASHY24 7 ай бұрын
Ukristo nibiashara cyo dini kubali kataa huo ndo ukweli karibun katka dini ya kweli na yahaki uislam pekee
@frenkfarm1139
@frenkfarm1139 7 ай бұрын
kiufupi dunia inawingi wamishetani iliyo naasila naiko nanguvu yakiselekali nyuma chamsingi tu nimtu binafsi kua makini nakuomba msaada wa mungu 🙏
@elizabethmoh5049
@elizabethmoh5049 6 ай бұрын
Yesu alisema mtawaona kwa matendo yao na awa n wachawi wa bahalini
@kelvinNtani-cc5pb
@kelvinNtani-cc5pb 7 ай бұрын
mtumishi hakuna unabii hapa hawa.niwakuzimu
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 7 ай бұрын
HAKUNA CULTURE KWA WAKRISTO... MANABII WA UONGO WANAOTUMWA KUHARIBU MATAIFA YETU YA AFRIKA... WAPOTELEE MBALI NA UPUZI WAO KIDUNIA.
@RehemaMtono
@RehemaMtono 7 ай бұрын
Mapepo watu selikari inawataka watu kama hawa lakini sio kina mbarikiwa muachieni mbarikiwa
@heritier5119
@heritier5119 6 ай бұрын
Hao ndio boss wao
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 7 ай бұрын
YESU KRISTO ANARUDI TUJIANDAYE TUWE MACHO YA ROHONI NA MWILI YESU KRISTO ANARUDI YESU KRISTO ANARUDI KUMLIPA KILA MTU SAWA SAWA NA UJIRA WAKE SHALOOM SHALOOM
@leylasaid9641
@leylasaid9641 7 ай бұрын
SHIDA NI KWAMBA MNACHANGANYA DINI NA SIASA.
@eliudezekiel8615
@eliudezekiel8615 7 ай бұрын
Hawa ni mashoga
@nicholausrwezaura1971
@nicholausrwezaura1971 6 ай бұрын
Mtumishi Yesu alisema vitu kama hivi
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 6 ай бұрын
Malisa and lovy the same spirit ya Giza charlatan 😈
@LucasKaik-vl3yk
@LucasKaik-vl3yk 7 ай бұрын
Aiseee kweli hii hatari sanaa.
@SaadaKiyungi-uz6jn
@SaadaKiyungi-uz6jn 6 ай бұрын
Dalili za qiyama hizi. Watatokea manabii wa uongo ndio hawa sasa
@abigailmwanjela1083
@abigailmwanjela1083 6 ай бұрын
Police kazi yao kulinda raia haijalishi ni nabii wa uongo au wa ukweli serikali haina dini
@dnaofgodtv4873
@dnaofgodtv4873 7 ай бұрын
Ni uchafuzi wa mazingira ya injili, mtawatambua kwa matunda yao!
@valenakomba9218
@valenakomba9218 7 ай бұрын
We kijana ho wasikubabsishe Hao ni Cultist. Wanakuja kueneza uchawi.
@immadangote6001
@immadangote6001 7 ай бұрын
Nyie wehuuu Sana mliingilia mipaka ambayo sio yenu
@martinikalunga
@martinikalunga 7 ай бұрын
Duuuuh! Ijumaa itakuwa usiku wa kujionea maajabu yaliyomo kwenye kaptula kama mc wao anavyosema " njoni wote mjionee maajabu" hapo hakuna MUNGU zaidi ni kuchocheana kutenda uovu.
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 7 ай бұрын
Viacheni ngano na magugu vikue pamoja atakapokuja mwana wa Adam atachagua yapi magugu yapi mazao huo ndio ukweli atakuja mchungaji mkuu ataamua wacheni viendelee
@derickcowly6681
@derickcowly6681 7 ай бұрын
Matapeli kama Nabii Mkuuu
@musalumbi8490
@musalumbi8490 6 ай бұрын
Nailamu serikali kwa kuruhusu uhuru wa kupindukia mipaka
@erasmobenardsangu-1854
@erasmobenardsangu-1854 7 ай бұрын
kwanza ujuwe,mtumishi awasiyo wazare ndo wanichi niwaramchi
@DainesMwapela-mr4wc
@DainesMwapela-mr4wc 6 ай бұрын
Mmmh ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke mm na kizazi changu
@AdamuDamasi-qq9uv
@AdamuDamasi-qq9uv 7 ай бұрын
Hakuna uchungaji huu ni upuuzi mtupu ,,Na hawa ndio wanazidi kutangaza ushoga ujinga mtupu huu na wanaomfuata huyu ni motoni moja kwamoja,Msibahuu jamani
@deboraleonard3441
@deboraleonard3441 7 ай бұрын
Maandiko yanasema siku zawisho watatokea manabii wa uongo hivyo mshishangae .kaeni magotini endeleeni kujitakasa yesu Yu aja
@joelsitayo9384
@joelsitayo9384 6 ай бұрын
Ukiumwa usimeze dawa kwasababu una muamini Mungu
@leylasaid9641
@leylasaid9641 7 ай бұрын
😭😭😭DUNIA YA MWISHO KWA KWELI.HAO WADADA WAKO UCHI TUNAWAFUNZA NINI KIZAZI CHETU?
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 6 ай бұрын
Watanzania wanaona Uchi tu?
@GeraldAndrew-be9pg
@GeraldAndrew-be9pg 7 ай бұрын
⚙️MIND
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 7 ай бұрын
Mpendwa mtumishi wa Bwana ni vema ukajua kutofautisha kati ya madhabahu ya kanisa la Tanzania na madhabahu ya Taifa la Tanzania. Madhabahu ya Taifa la Tanzania ni za kipagani hazijui Mungu wa kweli Wala usilazimishe wamjue Mungu wa kweli maana tangu zamani serikali za duniani zilimkataa hivyo ukilazimisha utaingia kwa vita mbaya sana . Kwa habari ya manabii hao ni Unabii kutimia maana hizi ni nyakati za hatari sana kiimani .....
@user-du2im9gg3m
@user-du2im9gg3m 7 ай бұрын
Tafuta kazi kama wenzio walivyo kazin watanzania mtajaji mpk lini ni Maprofet na waliperfome vzr kwenye huduma yao wew una kazi ya kuwasema vby ukifa leo utamweleza nn Mungu...... Hauendelei wew jamaa cos hujui ulitendaloo..... Labda nikushaur kitu All Mens or Womens of God hawasemwi who are you umekuwa Mungu wew
@user-io8qb2ns7o
@user-io8qb2ns7o 6 ай бұрын
Hao sio watu wa Mungu alie hai ni mashetani
@miriamwangari7417
@miriamwangari7417 7 ай бұрын
Read Genesis 3 from verse 7 and see the origin of clothings. Before sin came through Adam, they were naked until the serpent drove them to sin...
@psgospel3490
@psgospel3490 7 ай бұрын
Ndugu hata usipate taabu kilakitu kinacho endelea hapo ni pesa tu. Baba yetu wa kiroho alikataa kutoa rushwa kusajili kanisa ndiomaana haikuwa. Kwahiyo ili kupata thamani ya dunia hii lazima pesa iongee. Nasisi tunahitaji thamani ya mbinguni nasio ya duniani.
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 7 ай бұрын
Viongozi watanzania watimueni hao niwahuni nasio watu wamungu
@DancanEsena
@DancanEsena 7 ай бұрын
Hwaaahhh makubwa nabii kavaa short
@ahmedbashash3672
@ahmedbashash3672 6 ай бұрын
Mijambazi tu hiyo eti nabii wasenge wakubwa pumbaaaaff zao matapeli
@loner_wolf
@loner_wolf 7 ай бұрын
Wakristo hawasomi biblia...wwngesoma vzuri hakika wqngesilimu na kufuata njia iliyonyooka...
@user-fu5eq7qb9r
@user-fu5eq7qb9r 4 ай бұрын
Nyinyi kinawawasha nn has
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 7 ай бұрын
Tupo mwisho wa dunia jamani yale yaliyonenwa na nabii daniel yanatimia tunaishi katika ufunuo manabii wengi wa uongo watatokea
@DAVIDMAGHANGA
@DAVIDMAGHANGA 7 ай бұрын
Kipofu akimuongoza kipofu wrote shimoni
@ufunuoeliya719
@ufunuoeliya719 7 ай бұрын
Maigizo jaman yanapendwa sana inauma sana
@GalatiaAstoni-iq1mh
@GalatiaAstoni-iq1mh 7 ай бұрын
Amakweli Mungu atasimama siku moja
@annaamadeo-ge2dd
@annaamadeo-ge2dd 7 ай бұрын
Hao Polisi wako hapo air port kwa kazi za kila siku. Na si kuwalinda hao Manabii. Hao Manabii wana Mabodigard wao.
@GgSaw-vi4mo
@GgSaw-vi4mo 7 ай бұрын
Jambo la muhimu kila mtu ajitathmini njia zake katika roho yake afanye mabadiliko na toba ya kina kwa kuwa ni siku chache kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake mwenyewe maana shoka limekwisha wekwa kwenye mpini na mwenye macho haambiwi tazama! "Kaaba mkuu yuko kazini"
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
@SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 7 ай бұрын
Kinacho endelea Dunia kote niushetani ndio unao pewa kipao mbele hari ya utawala washetani unabii wabibliya unatimia kwa watakatifu wote watapita kwenye dhiki kuu mbalikiwa wakikozi kazi yuko kwenye dhiki kuu nasisi wote wenye msimamo wakusema kweli tutapita njia yakweli nimsalaba MUNGU atusaidie
@NehemiahAllen-rk2es
@NehemiahAllen-rk2es 7 ай бұрын
Sasa unapotaja polis polis wana kosa gani hukupenda uwaone hilo eneo au
@DoneyMapesa
@DoneyMapesa 7 ай бұрын
Ivi tunaenda wapi kama ndoivi jamn nabii gani ivi daaah😭😭😭😭😭 mm simheshim mtu kama hiyo wala hakuna nguvu yy hapo
@vedastamalekela8711
@vedastamalekela8711 6 ай бұрын
Hakuna kitu hapo mashoga tu
@jeniferlyimo8260
@jeniferlyimo8260 6 ай бұрын
Jamani vitaumbwa upya na nchi zitageuka...hatarii
@user-ry9dh2qr1y
@user-ry9dh2qr1y 6 ай бұрын
Wakristo agaria hawa watu nimashetani
@SilaMapesa-do2rd
@SilaMapesa-do2rd 5 ай бұрын
Jamani tumwogope mungu
@abelyphilimon8415
@abelyphilimon8415 7 ай бұрын
Hicho kipin cha puani kwa mtumishi ndo kimenishangaza yaan duh,,
@user-od8tg1yt3g
@user-od8tg1yt3g 7 ай бұрын
wamarekan ndio wenye dunia na ukiristo ni biashara
@user-tj5ox4ir7t
@user-tj5ox4ir7t 6 ай бұрын
Hakuna kitu
@mkongomantv
@mkongomantv 6 ай бұрын
Hakika Dunia imetyuacha
@user-xg9bu2lg4y
@user-xg9bu2lg4y 6 ай бұрын
Hii Dunia imekwisha
@josiacharles2778
@josiacharles2778 7 ай бұрын
Awa ni manabii au waganga wa kienyeji? Tz ujinga pia inachangia tukishasikia tu mtu katoka marekani tunaanza kumpamba ata kama ni kibaka.
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 6 ай бұрын
Wewe mtangazaji hujielewi kabisaaaa shida iko wapi think positive unaumia nini? Acha uzamani wewe mtangazaji
@mohamedmbalazi748
@mohamedmbalazi748 7 ай бұрын
Shida nyingine serikali ikiingilia haya mambo inaonekana kuna udini
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
PROPHET CLEAR MALISA: SIRI ITAKAYO BADILISHA MAISHA YAKO
24:33
Chomoza Tv
Рет қаралды 22 М.
KUNA SIRI GANI? HILI NI FUMBO
6:11
Haleluya Tv
Рет қаралды 180 М.
PROPHET IPM : HAKUNA UTAJIRI WA MAJI YA UPAKO | NILITOKEWA NA YESU
23:38
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН