Nafasi Ya Mwanamke Na Mwaume Katika Mahusiano (Part 1)

  Рет қаралды 49,099

Chomoza Tv

Chomoza Tv

Күн бұрын

Tatizo katika linatokea kwenye ndoa nyingi za sasa ni ndoa za utapeli,watu wengi sana wanatapeliana na yaani sio ndoa halisi ni ndoa feki.
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
KZbin : www.youtube.com...
#ChomozaTv#2021

Пікірлер: 45
@pachamalota4455
@pachamalota4455 3 жыл бұрын
I like it, so very beautiful ❤️❤️
@jasperjackson8871
@jasperjackson8871 3 жыл бұрын
Huwaga najiuliza Dr.Elie ana elimu ya juu kiwango gan!!? Maana hata ongea yake tu elimu tosha. Amekulia bongo tu hapa kwetu au amesoma nje. Nabarikiwa sana nawe mtumishi wa Mungu Dr.Elie. Sometimes najiuliza imekuchukua gharama ya kuinvest na muda kiasi gan kua vile ulivyo.
@patrickmwamakula1261
@patrickmwamakula1261 3 жыл бұрын
Shukrani kwa somo
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 8 ай бұрын
Nakuelewa sana Drct nakupenda kwa ajili yamafundisho yako Ahsante🎉
@zuhuramike1399
@zuhuramike1399 3 жыл бұрын
Amen
@stevensamwel4854
@stevensamwel4854 3 жыл бұрын
Asante
@JoyceItogoro
@JoyceItogoro 6 ай бұрын
Nisaidie doctor eli sehem,za siri zinatoa harufu nitumie nn
@reginanampala729
@reginanampala729 3 жыл бұрын
Amina daah Dr ubalikiwe na chomoz kwa kutafut kichwa cha Dr kutupa madini adimu m-balikiwe chomoz
@atupakyselwesya5853
@atupakyselwesya5853 3 жыл бұрын
Sijaingiya kwenye ndowa ila najifunza mengi sana toka kwako Dr naumenibadilisha sana Ahsantee
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 2 жыл бұрын
Ombea mtarajiwa wako nae ajifunze asipojifunza utajuta kuzaliwa 😂😂
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
@@kiazikitamu3985 wewe umejuta kuzaliwa
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Kama unamkubali huyu mwamba sema neno hapo👇
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 2 жыл бұрын
Namkubali kupita maelezo yaani huyu kwangu ndo role modal wangu wa kwanza akifuatiwa na mwakasege
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 2 жыл бұрын
Nataka niwe kama ww dokta Elie 😕😕😕😕😕
@Laizer3
@Laizer3 8 ай бұрын
Dkt anaongea ukweliii
@muharamiesther5908
@muharamiesther5908 6 ай бұрын
😂😅😅😅
@JoyceItogoro
@JoyceItogoro 6 ай бұрын
Nisaidie doctor sehem,za siri zinatoa harufu
@hamiswililo9060
@hamiswililo9060 3 жыл бұрын
Sisi wa KZbin mnatusaidiaje maana hatupati content zote.
@aminakupila3079
@aminakupila3079 3 жыл бұрын
Inakubidi umsikilize kupitia chomoza Kaka jimmy alitoa email na number ya maoni❤️🙏
@worldofscience6745
@worldofscience6745 3 жыл бұрын
Unaweza nitumia iyo email sister angu Amins
@aminakupila3079
@aminakupila3079 3 жыл бұрын
@@worldofscience6745 ngoja niangalie nikipata tu nakutumia
@brysonkaaya1059
@brysonkaaya1059 2 жыл бұрын
mungu awabariki sana kwa mafundisho mazuri ya mahusiano
@ibraahtz1185
@ibraahtz1185 3 жыл бұрын
Dr ellie one of the great geniuses in this Nation 🇹🇿
@aminakupila3079
@aminakupila3079 3 жыл бұрын
Kabsa❤️🙏
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Not only nation world wide.....
@tawalazephuline4950
@tawalazephuline4950 3 жыл бұрын
Jamani mbona hizi zinaisha haraka
@pearl3696
@pearl3696 3 жыл бұрын
Kwanini hauzungumzii wababa ambao wanakimbia na kukataa watoto? Tatizo sio mama tu siku hizi wakina baba wengi wanakimbia watotot
@emmanuelyohana8787
@emmanuelyohana8787 3 жыл бұрын
Umesema kweli kbsa
@shamilaariri5557
@shamilaariri5557 3 жыл бұрын
Fuatilia masomo yake kwenye malezi utapata majibu
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 2 жыл бұрын
Fuatilia mafunzo yake yote utajua hiki kichwa ni balaa
@husnakh5136
@husnakh5136 3 жыл бұрын
Najifunza mie 👂👂
@teacherd
@teacherd 3 жыл бұрын
Part 2 please
@stevensamwel4854
@stevensamwel4854 Жыл бұрын
Mwamba alinitoa pabaya abarikiwe.
@venturebown6983
@venturebown6983 3 жыл бұрын
Fact
@godfreysylvester4862
@godfreysylvester4862 3 жыл бұрын
Thanks for this
@atupakyselwesya5853
@atupakyselwesya5853 3 жыл бұрын
I need part 2 please!!!
@aselina5862
@aselina5862 3 жыл бұрын
Dr Ellie ❤❤❤❤
@damasjanuary6043
@damasjanuary6043 3 жыл бұрын
Thank you brother 🇹🇿🙏🙏
@queenmacha921
@queenmacha921 2 жыл бұрын
👏
@ludovickmwamsaku5548
@ludovickmwamsaku5548 3 жыл бұрын
Thank you
@prospershayo8618
@prospershayo8618 3 жыл бұрын
My mentor
@nancykimaro3845
@nancykimaro3845 3 жыл бұрын
Amaizing
@aminakupila3079
@aminakupila3079 3 жыл бұрын
We love you doctor 👨‍⚕️ Elli ❤️❤️❤️❤️🙏
@mangobase
@mangobase 2 жыл бұрын
Kama tumezaliwa na mwanamke kumbuka huyo baba wa mtoto si alikuwepo hapo kabla ya mke
@fabiansemba4572
@fabiansemba4572 3 жыл бұрын
PhD & proffesor
Nafasi Ya Mwanamke Na Mwaume Katika Mahusiano Part 2
11:12
Chomoza Tv
Рет қаралды 29 М.
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 53 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 9 МЛН
Chaguo (The Choice) Dr Ellie Wa Minian No 1
30:41
Chomoza Tv
Рет қаралды 41 М.
NAFASI YA MWANAMKE KIUCHUMI KATIKA NDOA  - JOEL NANAUKA
10:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 3,7 М.
Aina 5 za Wanaume kwenye Ndoa | Uponyaji wa Familia | Deo Sukambi
1:00:36
"Mawazo" Sehemu Ya 48 (Thoughts) Dr Elie VD.Waminia.
45:57
Chomoza Tv
Рет қаралды 11 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 201 М.