Madam Mimi Sina mke ila leo nimeota ndoto nimefungwa gerezan nashindwa kuelewa hii inamaana gani
@jeremybr76743 жыл бұрын
Nikiota ndoto mbaa yakuofisha nifanye nini ili niepukane na ndoto hio please
@jeremybr76743 жыл бұрын
Unaweze gufanya njia gani ilikuongeza nguvu za vito nyabahati Rock stone please
@user-gd9yc2tx7v2 ай бұрын
Ukiota ume chuma uyoga ume uweka kwenye mufuko ukaokota na kitabu juu ya uyoga kisha ukaweka kwenye mufuko na kwenda nyumbani mana yake nini
@RichardKabasa-iu4gp Жыл бұрын
Madam Mimi Sina mke ila leo nimeota ndoto nimefungwa gerezan nashindwa kuelewa hiii inamaana gan
@jeremybr76743 жыл бұрын
Mimi niriota ndugu yangu ambae anaishi inchi nyingine yambali tuko pamoja tunakula pamoja kisha nikamusindikiza sehemu arikua amefikia na irikua usiku wagiza nene sana nini maana yake please
@jeremybr76743 жыл бұрын
Nikiota ndoto zuri arfu nikaipenda nifanye nini ili ndoto hii itimie kweli please
@rotundajane34263 жыл бұрын
Niliota ota nime uwa mtu alafu nili kwa na subiri polisi ani kujue na sikuona polisi iyo ina manisha
@imaniphilipo58652 жыл бұрын
Mpenzi kaniota Niko gerezani nin maana yake
@jeremybr76743 жыл бұрын
Ukiota unafanya mapenzi na msichana au mwanamke unae mjuwa nini maana yake please
@rashidmustapha58163 жыл бұрын
Bibi unajua
@jeremybr76743 жыл бұрын
Ukiota uko pamoja na ex girl mumerudiana nini maana yake please