waoo! hogera sana mama yangu Mch wangu, kwa kazi ya Mungu najivunia wewe kwa malezi yako kiroho. tumemuona Mungu kupitia wewe. Mungu akupe miaka mingi zaidi.
@michaelpyuza684210 ай бұрын
Hongera mtumishi wa Bwana 🎉🎉🎉🎉
@noelmbosa273610 ай бұрын
Hongera mama Mungu akubariki kipenzi
@blancashayo799010 ай бұрын
Hongera sana mama yetu❤
@user-hn3rk1wv8r10 ай бұрын
Wanawake tunaweza kumtumikia Mungu katika viwango 🙏
@ericaerasto219210 ай бұрын
Mama Mungu akubariki umetutangulia sasa tumekua wengi.
@UkweliMinistries9 ай бұрын
1 Tim 2:12 SUV Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
@injiliyakuponyaroho13829 ай бұрын
naam kweli kabisa
@benjamenshepa100010 ай бұрын
Amen
@rehemafabian291310 ай бұрын
Mama nimekupenda na Mungu azidi kukuinua,nimejifunza kitu kikubwa sana kwako.
@deograthiusalphonce697710 ай бұрын
Mchungaji Wangu❤
@shanelsilayo420110 ай бұрын
Hongera kwa Mtumishi wa Mungu mchungaji Ruth Temu
@jaspertheonest10 ай бұрын
aaaah nimefurahi 75
@DaimonMwapelele2 ай бұрын
Tubu kuwa mchungaj wewe mwanamke ni dhambi ni kumtukuza shetan