No video

NINI MAANA YA KUOTA NA MTU WA FAMILIA ALIYE KUFA?

  Рет қаралды 52,967

REV PETER NJIHIA

REV PETER NJIHIA

Күн бұрын

USIPUZE NDOTO YAKO

Пікірлер: 206
@epiphanymoses1762
@epiphanymoses1762 2 жыл бұрын
Naomba kujua ukiota unalishwa nyamamoja kubwa inamaanagan?
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Karibu Sana nitapost Leo. Uko wapi?
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Naomba subscribe !
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Epiphany Moses unaweza kutaza SASA ndoto yako, #ndoto ya nyama
@centrinewanjala1408
@centrinewanjala1408 Жыл бұрын
Hi nliona mpenzi wangu kwa ndoto akisuma mbao mingi kwa baisikeli na mtu mwingne naomba uniambie inamaana gani dafadhali
@lucyhabashi1144
@lucyhabashi1144 Жыл бұрын
Nimeota nipo na baba yangu tunaonge mahana kutwa kufika jioni tukaagana akaniambia anaondoka akaondoka
@user-ds3oe2cf1o
@user-ds3oe2cf1o 8 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu amen
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 2 жыл бұрын
Asante mtumishi , Mwenyezi MUNGU akubariki uendelee kupata kibari mbele zake ili uendelee kutusaidia.
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 5 ай бұрын
Asante mungu na pastor nimekuelewa sana na mm nimeota mzee wangu kaja kunisalimia ...
@margaretwanjiru9096
@margaretwanjiru9096 3 ай бұрын
Barikiwa sana Pastor
@rehmahamishamismkande4348
@rehmahamishamismkande4348 Жыл бұрын
Nimecheka Sana maana nimesikiliza Shekh kama 3bwameongelea ndoto hizo hizo nikatafuta padri Ili nipate uhakika jibu ninalo moyoni
@naomongwenyi2865
@naomongwenyi2865 Жыл бұрын
Hatujakuelewa
@MireyaNimah-bh5ds
@MireyaNimah-bh5ds 7 ай бұрын
Amen 🙌 Amen 🙏 same Same dream babangu alikufa kila siku,,, thanks be blessed for helping us
@glorykenedy8119
@glorykenedy8119 Ай бұрын
Daah namuotaga sana bibi angu mara kwa mara kweli kila kitu changu kimekufa ,mahusian yamekufa,kazi nimeachishwa kila nachojrib kufanya hakiend 😢😢 naomb msaada
@OmanOman-yn2zj
@OmanOman-yn2zj 2 жыл бұрын
Ubarikiwe na MUNGU pastory
@happykapinga
@happykapinga Жыл бұрын
Amina mtumishi Mungu akubariki sana kwa huduma Mungu azidi kukuinua, Amen
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Amina
@finnastive165
@finnastive165 7 ай бұрын
I understand you God bless you
@evamarua4998
@evamarua4998 Жыл бұрын
Bwana asiwe nashukuru tangu nimeanza kuku fwatilia nimepata kujua mengi Mungu Akubarik sana
@fatmag8983
@fatmag8983 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumishi mm nilioata nimekutan na bibi yangu lkn alishakufa muda san lkn nilipo muwon nililia san hd nikamshika miguu yy alinishik nakunifut machozi lkn nikimuwangalia amesimama lkn naon mifup mitup
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Fatma G Karibu Sana Kwa hii Channel, Leo usiku Saa tatu nitakupa maana yake.
@stellakondo391
@stellakondo391 Жыл бұрын
Kweli asante sana maana nzuri nimeelewa sasa. Amina
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 Жыл бұрын
Educative lesson
@jacklinemethord6542
@jacklinemethord6542 2 жыл бұрын
Jamani nisaidie na ndoto hii imenisumbua Sana,mama yangu alifariki tangu mwaka 2016 ila nimemaliza mwezi Mzima namuota anakuja mara anatandikia watoto wangu kitanda,mara ananiletea maharage au navuna maharage anachukua na mara nyingine amelala na watoto wangu, Kwakweli ninashutuka Sana na nimeshachoka nimemuomba lakini wapi!
@KarimoboA12
@KarimoboA12 27 күн бұрын
Mungu anasema atajifunua kwetu kupitia ndoto,n akasema ametupa uwezo n mamlka y kukanyamga inje n nyoka n hawatatudhuru,so I trust in God..mm hata km mara 10 kwa usiku mzima so mungu akiwa upande wng nimuogopee nani?
@WitnessNchimbi
@WitnessNchimbi 3 ай бұрын
Shalom MTUMISHI WA MUNGU Mm nmeota mdogo wangu sliefariki anafungua ndoa kapendeza sana watu wanapika vyakula nikawa natumwa nifate vitu mm nikawajibu Leo ni harus ya mdogo wangu nataka niende salun nikapendeze nikiwa na furaha sana Hii ndoto inamana gan
@GryesiaKidunu-gt8ql
@GryesiaKidunu-gt8ql Жыл бұрын
Pole na kazi mtumishi,nmeota bibi yuko hai lakini nimepata amekufa maombolezo sana maana yake nini?
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Gryesia Kidunu muombe kuna jambo adui anataka kumaliza ndani apitie magumu, ama inaweza pia unaweza kuwa ni mauti inamwinda. Lakufanya ni kukataa mabaya kupitia maombi
@kabwefrancine99
@kabwefrancine99 2 жыл бұрын
Shalome pasta mimi nime hota nahongea na mtu ana nihuliza mtu moja wa familia ila nika mwambia huyo mtu unaye 'muhongelea tayari amesha kufa, na nikweli amesha kufa ,ila sikujuwa maana yake
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 2 жыл бұрын
Jambo baba mimi niliota nimeona jirani yangu alikufa apa nyumbani kwatu ana kuja pamoja na wezake na kuniambiya kuwa unijuwi mimi nika mwambiya kuwa na kujuwa na ninapicha yako kwenye simu yangu na akaniambiya kuwa kule walipo kuna jaa sana nika wa na mpa chakula ila atukula pamoja iyo inamana ngani?
@pendojeremiah1023
@pendojeremiah1023 Жыл бұрын
Huyo hajafa ALICHUKUliwa msukule
@YusraSalum-ye1nb
@YusraSalum-ye1nb Ай бұрын
Naomba kujuwa naota dd Angu ario fariki rakini pembeni Kuna mwanaume Yuko ushi
@AmisiarunaAruna
@AmisiarunaAruna 10 күн бұрын
Ndugu mimi siyelewi na mulota saana mwigizadji kutokeya Tanzania ame Shaka kufaka Steven kanumuba na mimi na tokeya Congo sasa itanza maanisha nini
@miriamnekesa3173
@miriamnekesa3173 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 2 жыл бұрын
Mm Huwa namuota mwaume tuliachana Mda mrefu. ,mara tupo darasani ananifundisha,mara tupo makabulini yeye amebeba sahanu ,mara tupo kwenye sherehe,mara nyingi namuota wakati tuliachana miaka mingi Wala simkumbuki lkn namuotaga
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 2 жыл бұрын
Naomba maana ya ndoto
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Glory Augustino nimesha tafsiri nikiwa live ,wewe haukuwa live. Basi fuatilia video hii had mwisho utapata nafasiri yake na nimekutaja.kzbin.info/www/bejne/e53Ldq2Il5p9nck
@serenakimigho8449
@serenakimigho8449 Жыл бұрын
Me mmngu alikufa nikiwa 7yrs from that day nilikuwa naota mummy anifuta kunivuta kwa shimo sometimes anakuja kunishuka then aniletea nguo viatu za shule juu nilikuwa napitia shida but maombi ilinisaidia tena cjai muotaa so mmngu mkubwa nae alikufa juzi so nilimuota akija kuniambia ivi at yy ameketi akiangalia road na ananituma nivuke iyo high way road nikaangalie maindi kaa iliota nikafukue niangalie kaa iliota nikasema na roho uyu mama anataka nivuke barabara nigongwe na gari nikakataa nikamuacha nika stuka so nikalala nikamuota tena akaniambia et nimuimbie ile song ya kwake Yesu nasimama ndie mwamba ni salama sijui ilimaanisha nn
@user-qw3mu4go2x
@user-qw3mu4go2x Жыл бұрын
Asante sanaa
@azuujr8260
@azuujr8260 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@elizabethkimaro6571
@elizabethkimaro6571 Жыл бұрын
Mama yangu aliuawa usiku ndani kwake nikaumia sana nikaomba Mungu anionyeshe aliyefanya hicho kitu na sbbu ni nini baada ya miezi kadhaa nikiwa bado naomba na maumivu moyoni nilimuota mjomba wangu aliyekufa pia kbl ya mama akiwa amejificha nyuma ya mgomba anachungulia kaburi la mama sijui maana yk nini naomba ufafanuzi
@ZASTAMWE
@ZASTAMWE 7 ай бұрын
pastor mimi mama yetu ametuzaa binti 3 na dada yetu amefariki kwa ajali mwaka 2014 ila nimeota tumekaa mimi mama mdogo wangu na marehemu dada yangu tunaanda chakula tule....... naomba nitafsirie😢
@1Lincoln0
@1Lincoln0 Ай бұрын
Niliota ndugu yangu aliye kufa akinipa pesa ambazo ni coins ya mia Tena kaniongeza coins ya 50 eti Nile lunch. Naomba tafsiri tafathali
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 2 жыл бұрын
Miezi mitatu iliyo pita niliota kuwa nemekubwa na upepo na mlendani ule upepo mulikuwa mtu mrefu sana na alikuwa mweusi sana ila akunifanya chocho wala kuniongelesha chechete nami pia siku muongelesha chochote ila nilikuwa naona watu wana pita iyo ina mana ngani?
@zaifatynyangarika8287
@zaifatynyangarika8287 Жыл бұрын
Naomba unijibu mchugaji nimeota nimepewa taarifa ya mama yangu kufariki wakati aisha fariki mda mrefu na kumzika
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.infomS387K8O5Wo?feature=share
@mariahkahura4622
@mariahkahura4622 2 жыл бұрын
Naota kuwa mamangu aliye kufa amekufa tena,inamaana ngani
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Ina Manisha Kuna Kitu Kwa Maisha Yako Imekufa, labda maisha ya ndoa haitakuwa Sawa etc. Napia matatizo aliyo pitia utayapitia pia.
@mariahkahura4622
@mariahkahura4622 2 жыл бұрын
@@revpeternjihia nafaa kifanya nini??ju karibu kila siku naota naye ndoto tofauti tofauti
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Mariahkahura maombi ya kufunga na kuomba ukijitenganisha na mashambulizi kupitia ndoto, na pia kutafuda maombi kwa yuke ana ufahamu ya ndoto na ukombozi.
@tinnahenry3539
@tinnahenry3539 Жыл бұрын
Kuna kitu unatak kupewa lakini hao watu wanasita
@EsterBernardoVumo
@EsterBernardoVumo Жыл бұрын
Mungu AkubarikiMtumishi
@miriambashiri2009
@miriambashiri2009 11 ай бұрын
Amen
@jacklinbusena5210
@jacklinbusena5210 Жыл бұрын
Hey my mum sister amekufa juzi but nimeota amekuja kwetu,akaosha nyumba na viombo,,, na ilikuwa duty yangu ya kuosha but mm nlikuwa nimechoka
@PendoMunuo-gi1xo
@PendoMunuo-gi1xo 5 ай бұрын
Pastor mpenzi wangu aliniota kuwa nimekufa Na ikawa safari ndefu hadi kunipeleka, kijijini kunizika
@AgnessAlly-tx2yx
@AgnessAlly-tx2yx 4 ай бұрын
Pasta nimeota baba angu na kafa
@gracevulimu5460
@gracevulimu5460 2 жыл бұрын
Hi kuota uko kwa sherehe na kuna watu wanakula wenye huwajui then ukutane na mamako mzazi amaye aliaga na akakupa chakula ina maana gani
@gracevulimu5460
@gracevulimu5460 2 жыл бұрын
Waiting for the answer
@missttruth1334
@missttruth1334 2 жыл бұрын
Barikiweni nyote
@elijah-lx8tj
@elijah-lx8tj 2 жыл бұрын
Mm naota xana makabuli na Bibi yangu alie kufa
@margretmuasya6762
@margretmuasya6762 10 ай бұрын
Pastor naomba uniombee coz shosh Wa Mathe aliuliwa na cancer na mm nafikiriaga cancer xana😢😢😢😢😢
@azizahassan5919
@azizahassan5919 2 жыл бұрын
Mimi huwa ninaota sana nipo na dada yangu na alishafariki miaka 3 iliyopita ila nikimuota huwa aongei chochote huwa ananiangalia tu na hata nikimsemesha hanijibu zaidi atafanya Vitendo tu basi yaani kama nitamuambia dada njaa inauma basi atanipikia tu na kunipa chakula ila hazungumzi chochote hii ina maanisha nn mchungaji
@stellahmnema9279
@stellahmnema9279 Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana baba. Hakika MUNGU anakutumia ili utusaidie... Ubarikiwe sanaa
@angelmasunga1638
@angelmasunga1638 Жыл бұрын
Nimeota kaka angu aliyekufa niko naye shamba la jiran inamaan gan
@ashuranzagamba6328
@ashuranzagamba6328 8 ай бұрын
Ameen
@EuniceMokandu
@EuniceMokandu 10 ай бұрын
Naomba kujua niliota my late sis alikufa tuko na yeye Kwa part of my big sister akibatasamu na alikua anakula mandizi Tena nikaonyeswa makaburi matatu yake na mwngine mwili sikuonyeshwa ni za nani pliz nisaidie na uniombee
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 2 жыл бұрын
Naomba kujuwa mimi niliota kuwa nimeibiwa nguo yangu ila mwizi sikumwona na pia ile rangi ya ile nguoyangu ni kawa na ikumbuka ndotoni nikawa naongeya kuwa nitavala nini sasa na apo sikujuwa ilikuje naomba jibu baba🙏
@dianabosibori8476
@dianabosibori8476 2 жыл бұрын
kama uliona uchi wako baada ya huyo kukuibia nguo huenda ukapata aibu mbeleni
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 2 жыл бұрын
@@dianabosibori8476 apana sikuona uchi wangu mbali niliambiwa kuwa nimeibiwa kutoka chumbani kwangu
@iteritekaalinou1845
@iteritekaalinou1845 Жыл бұрын
Mchungaji naota natoka mjini naenda kijijini nilipofika uko nikaanza kutokwa na meno tena yote bila maumivu na nikawa nayatema mengine najikuta nayameza ila nikashindwa kumwambia binamu yangu ila nikaenda kumwambia bibi yangu ila na yeye aliniangalia tu hakusema kitu chochote pia huyo bibi yangu alishaga kufa myaka mi 3 sasa inapita naomba unisaidie kujuwa nini maana ya hii ndoto🙏🙏🙏
@user-qy7zk8ti8s
@user-qy7zk8ti8s Ай бұрын
Saham ukiota uko kwenye nej manayake fadi yaubalid tafusili nn?
@user-wd3ou5di3c
@user-wd3ou5di3c 5 ай бұрын
Na ukiwa unaota unamlilia mtu ambaye amesha fariki kitambo kidogo eiza miaka 4 inakua nini hasa??
@agneslimo8750
@agneslimo8750 2 жыл бұрын
Mm naitwa salome nipo mwanza nini maana ya ndoto hii nimeota ndoto mtoto mchanga ananingata viganja vya mikono yangu inatoa damu sana
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Agnes Limo karibu Sana, jiunge Nami Leo SAA Tatu usiku live nitakujibu.
@user-st3qg4qb5c
@user-st3qg4qb5c 7 ай бұрын
Kuna kaka yangu kaota msiba wa baba yake wakati baba yake kafariki tena maan yake nn
@judithfred2366
@judithfred2366 Жыл бұрын
naomba nisaidie ndoto hii mwanao amekataa panga lakin sijaona kama amekataa.nami nikawa nalia sana lakin kuna watu wakinifat wameshika malinga lakin nikabila kinyumba cha udongo.afu naona wadogo zangu 2 na watu wengine kama wamekusanyika wakiwa wamevaa nguo rangi ua njano na weup
@mundumbabright9889
@mundumbabright9889 5 ай бұрын
Samahani sana poster mimi nili ota mama a ngu Siku moja Ila haku ongeyaka nilipo mtazama nika mu ona ame konda sana nika mwabiya! Mama mbona ule konda Bado hasemi nika mwabiya haya kesho ukuje ku chukuwa maziwa. Tafsiri yake ninini?
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 жыл бұрын
Naomba kutafsiriwa ndoto ukiota unaota mtu mmoja mfano ulikua namahusiano namtu akakusaliti kwakutembea na rafikiyako mpka wakazaapamoja nawanaishi pamoja sasa maranyingi naota tunagombana nahuyu mwanamke tuu amasaazingine kutaka hatakupigana maranyingi naota ivo
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Priscilla karibu Sana Kwa hii channel, jionge Nami SAA Tatu usiku nitakutafsiria live
@SamuelKarani-li1jz
@SamuelKarani-li1jz 8 ай бұрын
Hey pastor
@hdhjdh775
@hdhjdh775 6 ай бұрын
Mbona Mimi jamn naota huyu mtu niko nae amekuja kunichukua na ananiambia twende natunaogea kabisa afu njia tunayo pita nijia mbaya Au maji mengi kila hatua maji yanazindi kuwa mengi afu Mimi nagoma kwenda yeye anaenda tu namuacha nazaa kulia ety rundi hujachelewa nakwambia hivo 😢
@irenengowi
@irenengowi 2 жыл бұрын
Naomba tafsiri ya ndogo unakimbizwa lakini ukipiga kelele sauti haitoki, alafu ukijaribu kumove it's like miguu inakuwa kama imevalishwa viatu vizito,so you can't move anywhere lkn wanaokukimbiza hawakukamati coz unastrugle kukimbia japo Kwa shida....mara Kuota upo msituni unakimbizwa na nyani wakubwa🥺🥺.... tafadhali naomba tafsiri yake
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Irene Ngowi nimepata ndoto yako subiri tafsiri na ukumbuke to subscribe to this channel
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Tafasi ya ndoto yako ndiyo hii hapa @ Irene Ngowi.kzbin.info/www/bejne/pWOWhmevgraAoLs
@ndungumburu6463
@ndungumburu6463 Жыл бұрын
@@revpeternjihia
@marthabelinda3499
@marthabelinda3499 Жыл бұрын
Mm naota my uncle 😢 tukifanya mazishi yake na alifariki kitambo
@user-vr7tb8ej6x
@user-vr7tb8ej6x Ай бұрын
Mtumishi nijibu hapa nimeota mtu WA familia alikufa ajali Leo ndio amezikwa lakini ndoto ilikuja asubui kama amefufuka na before afufuke kuna upepo ilikuja kidogo then akaamuka Kwa jeneza
@sheilanyokabi4372
@sheilanyokabi4372 6 ай бұрын
Niliota na mamangu na alikufa alikuwa anahama kwaiyo nyumba alikuwa anarudi mahali tulikuwa tukiishi kitambo na hapo alikuwa na furaha sana alikuwa na mama mwingine ambae alikuwa anasema ni rafiki yake😭sikuelewa maana ya hiyo ndoto
@DaudiIdrisa-ei3sz
@DaudiIdrisa-ei3sz Жыл бұрын
Napenda sana kuota bibi yangu aliyekufa zamani
@zainabumakalanga221
@zainabumakalanga221 Жыл бұрын
Naitwa Eliza nimeota kuwa nimemuona Kaka yangu aliyefariki yupo stend nikakimbia kwenda kumkumbatia lakin kabla sijamshika akabadilika na kuwa mwanamke ina maana gani
@yusuphmsigwa6317
@yusuphmsigwa6317 11 ай бұрын
Ndugu ulichoongea mi naushuhuda nacho nilikua namuota mama yangu mdogo ambaye ni marehem mala kwa mala hatimye ndoa yangu iliyokua naupendo iliingiwa na magonjwa ya hatar na hatimaye ikavunjika
@catherineKabeya-oe6fv
@catherineKabeya-oe6fv 5 ай бұрын
Shalom pasta ukiota mutu anikufa tena aseme uyo mutu anikufa unagunduwa mudoto nimushawi mana yake nini ?
@MatildaRaphael-wf5be
@MatildaRaphael-wf5be 9 ай бұрын
Mtumishi naomba unisaidie mimna ota na kata roho nikishtuka na gundua sy ndoto ni kweli mapengine naota mdogo angu wakiume amekufa wamemzika huko kijijini nikiwa na lia mama ananmby unalia nin mdogo ako hajafa wakat tunasikia watu wana zika huko me naumia mama ananiambia usilie lakin najikuta nalia kimy kimy ili mama asisikie hii ina maana gani mtumishi
@margretokuku8220
@margretokuku8220 Жыл бұрын
Niliota. Dada. Ya. Mamangu. Na. Alikufa. Nilikuwa. Nikimwambia. Viatu zangu. Zimepotea. Mara. Mbili mtu. Mwenye. Alichukua. Nikiamka. Nikasahau
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
kzbin.infopQc-BsQaGfA?feature=share
@melisamenza9604
@melisamenza9604 Жыл бұрын
Habari pastor..naomba unisaidie kutafsiri ndoto zang...niliota watu wananikimbiza ili waniuwe..nikajarbu kuwasihi waniache maana mm ndo tegemeo la familia..alafu wakanidunga na kitu kwa utosi..kisha wakanipa ndizi wakinilazimisha nile...katikati ya Ile ndizi nilipata matone matatu ya damu
@ZASTAMWE
@ZASTAMWE 7 ай бұрын
samahani nimeota NATAMBEA UKU NAJIKOJOLEA NA KUJINYEA😢 NA KINYESI KINATOKA NASHINDWA KUJIZUIA KISITOKE KINATOKA PASTOR NISAIDIE😢
@revpeternjihia
@revpeternjihia 7 ай бұрын
Utakuja kujiabisha mwenyewe ,angalia sana mambo una fanya na pia stress us8je kujiaibisha
@ZASTAMWE
@ZASTAMWE 6 ай бұрын
@@revpeternjihia 😢😢
@shamzeochiva1542
@shamzeochiva1542 2 жыл бұрын
Kuota ndoto ya kuwa unapewa uwa leupe na mtu aliye na vazi leupe ya kungaa sana na kuisi kuwa na nguvu ya upeo
@SukeynaabdallahomarCutesakuu
@SukeynaabdallahomarCutesakuu 11 ай бұрын
Mm hua nmuotaa sana mume wnguu ambae nimeachana nae n sah nin mtto wkee tumboni mwanguu huya ymanishaa nn
@abdulimako9888
@abdulimako9888 Жыл бұрын
Naomba nitafasilie ndoto hii nimeota mtoto wakike kafa wakati wanaenda kumuifazi basi yule mtoto basi kajinyosha nakutazama
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
@Abdul Mtoto Ni Baraka na kuona Amejinyosha na kutazama , Inakuonyesha kuwa kuna jambo maisha mwako uende ilionekana kama hakina uhai sasa inaenda kuamka tena. Kabda ni uchumi wako, maisha ya ndoa ama mausiano etc mwenyezi mungu anakupa uhai tena
@mozafmohammad8130
@mozafmohammad8130 2 жыл бұрын
Ukiota umezaa vipande viwili vya samaki na wala haona mimba na watu wakawa wanasema kuwa mimba imeharibika nini maana yake
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
Inaonyesha kuna ushirikina inafanyika kinyume nawe,, mwanadamu hawezi kuzaa Samaki, hiyo ni roho chafu inataka kupoteza mambo mazuri maishani,kisha watu wakudhihaki. Fanya maombi Sana na mambo ya takuwa sawa
@kahadijachiriswa
@kahadijachiriswa Жыл бұрын
Mimi niliota kwamba nyanya mzaa mama amekuja kazini kwangu Saudi lakin lakiwa mwenye hana furaha kama mungonjwa 😢kisha nilivyo muendea chai nikapata ameenda then kuangalia nje nikapata ni jirani amerukwa kichwa😢 hina maana gani nieleze please
@violetmoraa2112
@violetmoraa2112 Жыл бұрын
Aky nisaidie hii ndoto inanisumbua sana na ktk ndoto nilikuwa ninauliza baba yangu mbona alidanganya mama yangu alikufa kitambo na ninaona mazishi yake ndo inafanyika
@tabithakariuki6210
@tabithakariuki6210 2 жыл бұрын
Me naweza taka unisaidie have been dreaming with my late dad , from 2014 yani he always come to me ananiambia nimsalimie nakata ,second time aliniambia amenijengea hou smart sana but amekosa doo za kulipa fundi sio ningie na amekopa w2 amekataa kumkopesha so akaniuliza or niko na do nimpe alipe dio ningie hou nikamshow sina akaniambia sawa ukipata doo utakuja akaeda , sasa to this point I dream with him tukikula na yeye sahani moja yani siwezi kaa more than a month bila Kuona babangu kwa dream, I wonder how I can overcome this coz vyenye umexplain in exactly what am going through hard time in my life hkn k2 huwa na fanya nafaulu i am living a sorrowful life like sasa I have going through alot in Saudia nkijaribu means za kuhome inakuwa in vanity...
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Tabitha Kariuki Mungu akubari Kwa kufwatilia channel hii , sabscribe na utabarikiwa. Fungua hii link ya mafundisho kuhusu Kuota na mtu wa familia aliye kufa ,nilipost . But nitakusaidia kuelewa Kwa ndani on Monday SAA tano mchana nitakuwa live kzbin.info/www/bejne/f5PKcnmNgZ52pJY
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oV6topmJq9d2jpY
@bahatiguyana7060
@bahatiguyana7060 Жыл бұрын
Mimi naota mara kwa mara naongea na watu waliokufa na pia naota nakula sana ndotoni pia baba mtoto wangu alishakufa mara nyingi hunijia ananiambia mimi sijafa nipo hai😢😢 mpaka naogopa
@zuenashindano36
@zuenashindano36 2 жыл бұрын
Nami ninaomba musaada wa maomhi sababu mara mingi ninawaota wazazi wangu waliokufa. Siyo mimi tu ile jamii yetu kila mmoja anaota kwa namna yake. Ningepata tagsiri
@christinewanyonyi6721
@christinewanyonyi6721 Жыл бұрын
Ukiota uko kwa matanga ya mtu mwenye alikufa kitambo na nilikua nachonga viazi pamoja na dadazangu na mwenye alikua amekufa ni jirani
@dorisilukinja4507
@dorisilukinja4507 2 жыл бұрын
Kwer nimeota ndoto na mtu alie kufa.tena ilikuwa ikijiludia rudia rudia.lakin tupo wengi maelewano akuna katik family
@wardasalim2801
@wardasalim2801 2 жыл бұрын
Kuota unjiagalia kwenye simu umeka na mwanaume humujuwi
@stellakondo391
@stellakondo391 Жыл бұрын
Mimi nilimuota mjomba wangu aliyekufa akiongea na mama yake mzazi ambae pia nae amekufa yaani hapo Nina maana nimeota watu wawili bibi na mjomba water tayali wamekufa
@evakabete2944
@evakabete2944 2 жыл бұрын
Mimi huwa naota nyingi sana hata sijui nianzie na ipi ya kukuuliza maana yake
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@eva kabete karibu sana na mungu akubariki
@mwekezajimsangi1196
@mwekezajimsangi1196 2 жыл бұрын
Naomba kujua mama amefariki lakin namwona live tunaongea Ila akiondoka hatuagan nn maana yake
@revpeternjihia
@revpeternjihia 2 жыл бұрын
@Mwekezaji Msangi nitakuwa live usiku Saa tatu nitakupa maana yake.
@user-sp8iz3td3h
@user-sp8iz3td3h 4 ай бұрын
Kama unaota mtoto wangu amekufa nini
@PendoMunuo-gi1xo
@PendoMunuo-gi1xo 5 ай бұрын
Naomba kujua poster mimi nikiota nipo kwenye sherehe Jua itatokea msiba Nikiota mtoto ni kiume huwa najifungua wakike hizi ndoto huwa nimeshazoea nikiota harusi huwa nararajia kupata msiba
@anitajosephine4651
@anitajosephine4651 8 ай бұрын
Nimeota kuwa mama yangu alie fariki ananikimbiza akitaka kuniuma anaitisha ule uji nakunywa
@kavirachantal2374
@kavirachantal2374 2 жыл бұрын
Amina asante sana 🙏 Mimi nimeota kaka yangu alikufa na miaka16 kwandoto nilimuona amekuwa mtoto wa miaka 6 tena sura yake ime chuyuka ,niambiye mchugaji inama ana gani Asante sana
@lukaspatrick476
@lukaspatrick476 Жыл бұрын
Mtumishi Mimi mke. Wangu aliota amekula boga na alichukuwa kwa mama ake mkubwa boga tam likini mengine alio wachia wao yalikuwa mabaya na wakati naenda nilivuka kwenye kimto kuludi nilikuwa naludi na mtoto tukazama tukajiokoa na baadae nikaona pa kuvuka vizuri
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 ай бұрын
Woi nawaotaga mno Tena ukiwaota umewaona wanakuwa wamepenza mno ila gafla anapotea
@abelubamba7409
@abelubamba7409 Жыл бұрын
Mtumishi nisaidie nimeota katika mkutano mkubwa waziri wangu Mkuu akiita jina langu mara 3,kwa sauti hii ina maana gani?
@ireneelishaalphayo6748
@ireneelishaalphayo6748 Жыл бұрын
Jana nimeota mume wangu amenichoma kisu cha tumbo nikapata maumivu makali sana nani mara ya pili ikijirudia naomba nisaidie mchungaji
@laneyManu-vq9yi
@laneyManu-vq9yi 7 ай бұрын
Be careful ni lazuma uchunguze mnavyo ishi yawezekana akakuchoma kisu inawezekana unapewa onyo
@damalove8139
@damalove8139 2 ай бұрын
Samahani naomba kujua maan ya kuota mtu aliye faliki nani babu akinipa pesa alfu tunapanda miti ahina ya mikashorina nashindwa kuelewa please naomba unijuze nini maanake
@user-sn8rn9hn5d
@user-sn8rn9hn5d 6 ай бұрын
Pastar samahani nimeota nimemfufua mtu kaburini lkin simjui ninani
@amosogutu4979
@amosogutu4979 Жыл бұрын
Nataka kujua ukiota unatafuna miwa na ndoto hii inajirudia mara kwa mara.
@catherinejabeya4455
@catherinejabeya4455 4 ай бұрын
Naomba kujua ukiota babako mzazi anakukimbiza kwa ndoto inamanisha nini
@mumukinga8327
@mumukinga8327 2 жыл бұрын
mchungaj nisaidie mara nyingi naota nipo na rafiki zangu WA zaman lakin pia Kila mara naota maisha ya kijijin kwe2 hali ya kua nmeshatoka uko
@severaminja7406
@severaminja7406 Жыл бұрын
Nisaidie mchungaji naota nipo Kijiji kwetu naongea na wazee naenda dukani kununua unga kuchota maji chemchem nimetoka huko siku nyingi
@fatumahassan636
@fatumahassan636 5 ай бұрын
Muombe mungu akusaide ndoto za vijijini siyo nzuri
@FatmaMsuya-ex4lk
@FatmaMsuya-ex4lk 3 ай бұрын
Mtumish mm nilikua naot not nzur san lakin kwa ss nikiot not yyot nikiamk sizikumbuk te hat Moja
@michelinekavira7539
@michelinekavira7539 Жыл бұрын
Nisaidie ku tafsiri kuota mdogo wako ana pewa kamba ajinyonge na aka jinyonga aka kufa
@revpeternjihia
@revpeternjihia Жыл бұрын
Ombea ndugu yako unafunuliwa atakuja kujinyonga ,kuna mauti ina muwinda.
@doreen432
@doreen432 Жыл бұрын
Mimi niliota baba mdogo wangu aliekufa ananiangalia jicho mbaya
@yvonnechepkemoi5021
@yvonnechepkemoi5021 Жыл бұрын
Na ukiota ukiwa morgue
ISHARA 8 RAFIKI YAKO NI MCHAWI
16:45
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,8 М.
ISHARA 6 UNA CHUNGUZWA KWENYE KIOO CHA KICHAWI.
15:37
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,8 М.
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4,1 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 59 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 28 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 22 МЛН
EX WAKO-Ukiota Na Mpenzi Wa Zamani, Je Ina Maana Gani  [] +254706945821
42:36
KUOTA MTU ALIEFARIKI//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
5:05
Fauz Production
Рет қаралды 226 М.
KUOTA NA MTU ALIYE KUFA AKIWA ANAUMWA
46:13
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,4 М.
KUOTA UNAKULA MAHINDI AMA KUONA MAHINDI KWA NDOTO INA MANISHA NINI?
1:27:25
KUOTA NA MPENZI MLIACHANA INA MANISHA NINI?
42:36
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 28 М.
NDOTO 15 UTAPATA PESA .
15:45
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 1,1 М.
dalili za mtu anaye karibia kufa muda mfupi ujao
10:22
FAFANUO MEDIA
Рет қаралды 38 М.
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 4,1 МЛН