Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako

  Рет қаралды 154,696

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 285
@jichofoundationtv6893
@jichofoundationtv6893 3 жыл бұрын
Hii ni speech ya kimataifa kaka Joel Nanauka. Hii ni speech inayoamsha akili zote zilizolala. Hii ni speech ambayo ni ya kusikiliza kila siku ya maisha inaamsha hisia na shauku. Hakika umekuwa bora sana kati ya WATU ambao ni bora hapa nchini kuamsha watu na kuhamaska kuchukua hatua. Mungu akubariki sana sana. Ahsante. by JULIUS Michael
@salhaoman5002
@salhaoman5002 3 жыл бұрын
Niliwahi kufeli mitihani ya secondary, nikawa narudia kuna baadhi ya ndugu waliniita kilaza😭💔, at the end nimepamba na nitapambana mpk sehemu iliyopiyiliza, na mpk sasa waliojiona wanaakili na waliojiona wanafaa ndio hao hao wanaonitumia text na kuniambia, wananiamini zaidi, hakika Mungu km alikuchagua uwe mkuu utakuwa tuu no matter what 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SwaibaZamgina-qs1sc
@SwaibaZamgina-qs1sc 10 ай бұрын
Naomba unicheki
@SwaibaZamgina-qs1sc
@SwaibaZamgina-qs1sc 10 ай бұрын
Kuna kitu umeongea kimenigusa
@stamiliantony6815
@stamiliantony6815 9 ай бұрын
A111
@febroniabernado9043
@febroniabernado9043 9 ай бұрын
Hongera Sana!!!
@estamichoromichoro5634
@estamichoromichoro5634 8 ай бұрын
Hii comment imenitoa machozi , maana nimekumbuka mbali sana
@highzacknnko4002
@highzacknnko4002 3 жыл бұрын
"Unainua imani yangu kila wakati brooh!!!! Come on brooh Joel!!! Lini utakuja arusha kwa ajili ya kongamano!!!!tunakungoja pia huku
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Ай бұрын
Ahsante sana brother Joel Nanauka mungu akubariki sana
@anastaziagerad1646
@anastaziagerad1646 3 жыл бұрын
Wawoo nilikuwepo iyo siku ,,,sikuwahi kuenda kwenye mkesha na nisinsinzie lkn kwa mara ya kwanza hii siku nilikesha na nilikuelewa kaka angu,,ubarikiwe sana
@denissanga454
@denissanga454 3 жыл бұрын
ajionavo mtu nafsini mwake ndivo alivo,uwezi kushindwa kabla ujakubali kushindwa, nimeelewa vizuli shuklan kwa somo zuli Mr nanauka.
@franknachimbinya7688
@franknachimbinya7688 3 жыл бұрын
Ingawa tunapita katika magumu, lakini mungu ametupa mlango Wa kutokea means NANAUKA
@official_rayob.8351
@official_rayob.8351 Жыл бұрын
nimeiskiliza kwa hisia sana hii
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 3 жыл бұрын
Kina kitu kimechoma moyoni kwa kusikiliza maneno yako bro nakupenda sana na unaniongezea ujasiri wa kusonga mbele
@merryjohn9520
@merryjohn9520 2 жыл бұрын
Barikiwaa mnoo, hakika na imani Mimi ni mtu mkubwa sio mda mrefuu🔥🔥🔥kwa jina la YESU kristo 👏👏👏👏
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 Жыл бұрын
Dah!!! Hii Speech imenijenga tena na kunitoa machozi!!! Brother Joel Nanauka ninakufuatilia sana miaka mingi now!!! Speech zako zimenibadilishia maisha!!😢💪💪💪 Nilipata nguvu ya kuacha ajira 2019!!! bila kujua nini nitakwenda kufanya, Bt nilijifunza kutoka kwako na niliiamini nafsi yangu kile iliniambia kufanya, Now nimefikia hatua nzuri tu kibiashara💪💪💪 Mungu akutunze sana, na kukubarikia Kila uchao🙏🙏🙏
@fettymdoe2100
@fettymdoe2100 3 жыл бұрын
hpna hii inataka kuntoa machozi kabisa daaaahhhh mwenyeazi MUNGU akuweke Mr joel
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Amen,Songa mbele
@VictorKamwera
@VictorKamwera 3 ай бұрын
Amina
@abdulrahmanis-hakka3347
@abdulrahmanis-hakka3347 3 жыл бұрын
Kaka Mungu amekufungulia kutuonesha njia tulio wengi sana. Kilichobàki ni kujisalimisha tu.
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 2 ай бұрын
Nakataa kuwa mtu wa chini ❤
@myahudichrisostom
@myahudichrisostom Жыл бұрын
Najikuta sasa nataka kusikiliza kila unachozungumzia🙏🙏🙏, You are inspiring me into this field, hope you'll see me at the top where you are 💪
@marymgore6714
@marymgore6714 3 жыл бұрын
Aiseee, nimekupenda bure toka vilindi vya moyo wangu,I wish ungekuwa Kaka yangu,umenifurahisha,umenipa ujasiri,umeniondoa ujinga,zaidi umenipa tumaini jipya,nachoweza kusema Mungu azidi kukutunza
@baloziwawalemavu1146
@baloziwawalemavu1146 Жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏
@dazboy-sl7cm
@dazboy-sl7cm 19 күн бұрын
Nataka kuwa mtu mkubwa katika hii dunia hii nanauka mungu akubariki sana
@makandaigarobi4765
@makandaigarobi4765 Жыл бұрын
Asante
@user-os9nb8ub6k
@user-os9nb8ub6k Жыл бұрын
Nimefulahi sana kwa maneno hayo na yameniingia kisawasawa lazima nibadilike sana kimaisha na namini sana ❤
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 8 ай бұрын
Mchungaji Mungu amekubadilisha kiasi kwamba namshangaa Mungu sana
@visionelectricals
@visionelectricals 2 жыл бұрын
Thanks so much
@BilalHassan-jj8yo
@BilalHassan-jj8yo 2 ай бұрын
Amiin ishalaa nakutakia mema molaa akuzidishie barika maisan mwako ishalaa
@floraritha1454
@floraritha1454 3 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel akika naona kuvuka kwa viwango vya juu sana kupitia mafundisho haya.
@franksamson1718
@franksamson1718 2 жыл бұрын
Stand room
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn 11 ай бұрын
Mungu akuweke miaka 1000 kaka hakika umekuwa baraka sana kila ninavyo kusikiliza kuna kitu nachukua barikiw sana 🙏🙏🙏
@polomondeniss5511
@polomondeniss5511 3 жыл бұрын
Ahsante Sana kwa elimu yako kiongozi, bwana akupe nguvu
@fiyzolee8503
@fiyzolee8503 3 жыл бұрын
Kaka joel
@manmaster536
@manmaster536 2 жыл бұрын
Sawaaaaaa pastor
@davidkengambi491
@davidkengambi491 3 жыл бұрын
Hii ni video ambayo imenijengea Kitu Kikubwa sana...na ninapenda Sana Kuisikiliza , Napenda Imani za hivi
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Nashukuru Sana🙏
@bonifacebeatrice8077
@bonifacebeatrice8077 3 жыл бұрын
Amina, kweli kuna nguvu kubwa ya kukiri kwa kinywa na matendo,by Mithali 18:20-22.
@DoctorEvarist
@DoctorEvarist 9 ай бұрын
Asante San kwa elimu yako father 🙏
@uwimananadia6066
@uwimananadia6066 3 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa ujumbe mzuri kupitia mtumishi wako nahisi iyi video ni jibu tosha ya yalio ni sibu mda huu hakika Mungu husema nasi kwa njia nyingi hata huyu, ujumbe ni moja wapo barikia sana kaka Joel.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen,Utukufu kwa Mungu
@wazirikosianga4120
@wazirikosianga4120 Жыл бұрын
Nanauka uko bize Sana kuihidumua jamii mungu akubariki
@DiazPilipili
@DiazPilipili 3 ай бұрын
Mungu awabariki saaana na kukuzidishiya siku za kwishi
@lauradeogratias3055
@lauradeogratias3055 Жыл бұрын
I am glad for you man of God
@dainesimkombo9218
@dainesimkombo9218 3 жыл бұрын
Nakupenda sana maneno yako Kaka mungu ataniongoza siku zote za maisha yangu
@bonifacebeatrice8077
@bonifacebeatrice8077 3 жыл бұрын
Mungu akuongezee maarifa, nitabadilisha mawazo mabaya, nakataaa kufeli
@winfridaadam7951
@winfridaadam7951 Жыл бұрын
Ameeeen barikiwaa sanaa Mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@andrewkszinza7047
@andrewkszinza7047 3 жыл бұрын
Wow am changing my mind to more postive....groly be to GOD
@neemakweli461
@neemakweli461 2 жыл бұрын
Asante sana ,ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.
@mathiasjohn9979
@mathiasjohn9979 2 жыл бұрын
Kweli wewe ni kifaa cha Mungu,, najivunia Sana
@neemaprisca7126
@neemaprisca7126 3 жыл бұрын
Asante sana presenter,unanitia moyo sana,hakika aonavyo MTU nafsini mwake ndivyo alivyo
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka Joel... kwa kweli leo nimepata amani hata nafsi yangu imeinuka na nimejiona mimi na ninajiweka ndani yako kaka Joel na kwa uweza wake Mungu nami nitakuwa.
@aminaothman2136
@aminaothman2136 8 ай бұрын
Shukran najikuta mie kabisa
@eliezermtokoma4134
@eliezermtokoma4134 3 жыл бұрын
MUNGU akutunze saana
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen
@daudidaniel230
@daudidaniel230 2 жыл бұрын
Ahsante sana kwa fundisho hili. Limenitia nguvu sana na nitajibadilisha ninavyojiona. Akili yangu na maisha yangu vitakuwa na nilivyondani yangu.
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Nakupenda sana brother your the best 🇹🇿🙏.
@festoelias7884
@festoelias7884 3 жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe na Mungu
@RoseMandai
@RoseMandai 3 ай бұрын
Mungu aliyeumba mbingu na nchi aendelee kukutunza
@deogratiasmakali5099
@deogratiasmakali5099 2 жыл бұрын
Mafindisho Yako yanamibariki sana uwepo wako kwangu ni wamhim sana ahsante
@lilymatoli7117
@lilymatoli7117 3 жыл бұрын
Joel your among best motive speakers I have seen
@fredimwa5321
@fredimwa5321 2 жыл бұрын
Help me your nomber plz..
@irenekweka7905
@irenekweka7905 Жыл бұрын
So blessed today to here ths..I needed ths
@hellyfridy
@hellyfridy 8 ай бұрын
Be blessed. Amen🙏🙏
@ireneinnocent4128
@ireneinnocent4128 Жыл бұрын
Hakika mimi ninmshindi na malengo yangu yatatimia. Asante sana na Mungu anisaidie. Hakika dunia ni watu na ukiwaangalia watu watakichanganya. Nabadilisha fikra sasa nasonga mbele
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Жыл бұрын
Na ww umefatilia hiki kipind leo km mm hakika tutafanikiwa
@allyshabani7791
@allyshabani7791 3 жыл бұрын
Asante sana brother
@denismtui7833
@denismtui7833 3 жыл бұрын
Blessed Nanauka 🙏
@jkyamba3200
@jkyamba3200 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa na hili neno kwa kweli.. ubarikiwe na MUNGU
@ednaednamillanzinia2826
@ednaednamillanzinia2826 Жыл бұрын
Inspiration, aleluyah
@charlesoputi7101
@charlesoputi7101 Жыл бұрын
Still learning be blessed brother @kenya
@johansenjackson960
@johansenjackson960 3 жыл бұрын
Amen ubalikiwe sana
@emmanuelziro4205
@emmanuelziro4205 11 ай бұрын
Blessed are the wise speakers,I love you brother,let my goal accomplished through your motivational speaking to me
@rozimwasi6137
@rozimwasi6137 3 жыл бұрын
Asante sana kaka joeli na mungu azidi kukubarik na ulioyasema yaendelee kukaa ndani ya moyo ili niendele kuwa na miutisha katika kutimiza ndoto zangu
@luluproches5107
@luluproches5107 3 жыл бұрын
Mungu kakupa kipawa Cha pekee Kaka umenitoa chin sana katika mafundisho yako mpaka hapa nilipo ni kwa kufwatilia KZbin tu Kaka naomba uandae semina ya kuja Arusha ili nasi tupate kubarikiwa zid🙏🙏🙏🙏
@michaeltimoth366
@michaeltimoth366 2 жыл бұрын
Word....nabadilisha nnavyojiona
@work24onme
@work24onme 7 ай бұрын
Holy Spirit Amen 🙏🏼 Asante sana mwalimu Joel, God Bless YOU, Amen 🙏🏼
@thelesiapaulo7790
@thelesiapaulo7790 3 жыл бұрын
Bwana akuongezee maarifa zaidii,Asnte sana wanoa vichwa vya wengi broo
@winifridaleo4443
@winifridaleo4443 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua zaidi kaka nimebarikiwa sana
@sangasadick3350
@sangasadick3350 3 жыл бұрын
nmejifunza kumtanguliza #Mungu na kubadili nnavojiona
@breshnyanjwa3102
@breshnyanjwa3102 3 жыл бұрын
Oooh God I'm denying all the delays in my life I'm nt a failure
@richardmisogalya9499
@richardmisogalya9499 3 жыл бұрын
Barikiwa uwe na maisha marefu
@zainabozainaty6188
@zainabozainaty6188 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa asanteni endelea kutupa elimu ili tufikie malengo yetu mungu akubariki sana🙏🙏🙏
@tinawangwe2332
@tinawangwe2332 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen,🙏
@WaridawaridaWarida
@WaridawaridaWarida 3 жыл бұрын
Amen
@mwajumayunus2041
@mwajumayunus2041 3 жыл бұрын
You make my day kaka Joel yaaaaaan umenipa ukomavu wa akili leo pamoja na ubongo wangu MUNGU azidi kukuweka kaka yangu ✍️✍️✍️✍️✍️✍️ kuanzia Leo kitu naenda kujinenea aiseeeee nitakataa roho ya uoga
@elijahanthony7667
@elijahanthony7667 2 жыл бұрын
Wow the God of mercy is working
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w 19 күн бұрын
Thanks Mr Joel
@hawamusumba431
@hawamusumba431 2 жыл бұрын
Am the Head nt atail in Jesus name na jitangazia ngambo ya pili
@getrudeelibariki1002
@getrudeelibariki1002 3 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel...MUNGU akubariki🙌
@anishiemgala8203
@anishiemgala8203 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana,Nimejifunza kitu🙏
@lucymathias9045
@lucymathias9045 Жыл бұрын
Powerful speech🙏joelnanauka
@joelparmwat6029
@joelparmwat6029 5 ай бұрын
Amen god bless you 🙏🙏
@rizikisengo9297
@rizikisengo9297 3 жыл бұрын
Asante sana kaka mungu akubariki kwa elimu hii.
@chotark1881
@chotark1881 Жыл бұрын
huyu jamaa alistahili kuwa mchungaji mwema kabisa , hongera kaka nakukubali sana
@paschalinasulle6233
@paschalinasulle6233 3 жыл бұрын
Hakika kaka mungu akuinue zaidi ya unavyofikiri hapa nilipo speech yako inaniliza nalia kwa sababu nimependa mnoo hivyo tutaonana juu form to day am the best in this world
@priscajoseph261
@priscajoseph261 Жыл бұрын
Nitafaulu,sitaaibika,mi ni mshindi na mwenye nguvu
@deboraclass9282
@deboraclass9282 Жыл бұрын
Shukrani sana kaka Joel Nanauka! Umeniinua hatua nyingine.
@amakamraqterry5920
@amakamraqterry5920 2 жыл бұрын
Amen mtumishi thanks
@johariphilemon8630
@johariphilemon8630 3 жыл бұрын
j mungu akuinue zaidi namimi niko nyuma yako
@barikikimaro9165
@barikikimaro9165 3 жыл бұрын
Kaka joel kwakweli MUNGU akubariki sana kwa mafundisho mazuri unayotupa
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen Bariki
@imanndambo2918
@imanndambo2918 3 жыл бұрын
Unanibariki sana kaka Joel.Mungu aendelee Kuku bariki
@hiland255fundi5
@hiland255fundi5 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka yetu,uko na akili za rohoni kuliko kawaida
@user-sn2in5oi9c
@user-sn2in5oi9c 11 ай бұрын
Asante postor
@margrethmalangalila3069
@margrethmalangalila3069 3 жыл бұрын
Thanks kaka Mungu akubariki
@bobog9732
@bobog9732 3 жыл бұрын
💋❤👏👏 Mungu akupe maisha marefu
@evahealthservice7390
@evahealthservice7390 3 жыл бұрын
Asante, asante sana Nanauka Mungu akuinue zaidi. Mimi ni mwenye mafanikio makubwa sana.
@lucyjuma8478
@lucyjuma8478 2 жыл бұрын
Ninasababu Ya Kusema Ahsanteeee Sana Broo Ubarikiwe Sanaaaa. Mwenyezi Mungu Akuinue
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Ubarikiwe xana Mkuu
@zabibusephania2415
@zabibusephania2415 3 жыл бұрын
Asant sana Kaka mungu akubariki umenivusha Mahalia.
@sharonerick7729
@sharonerick7729 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu Kaka Joel
@official_rayob.8351
@official_rayob.8351 Жыл бұрын
upo makin sana kaka🎉
@frankaloyce6438
@frankaloyce6438 9 ай бұрын
Greatest speech never seen before 🤝🤲🔥🔥🇹🇿
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 3 жыл бұрын
Mafundisho yako yananisaidia sana Asante.
Vitu 7 Lazima Uvijue Kuhusiana Na Kusudi Lako
27:20
Joel Nanauka
Рет қаралды 81 М.
CHANGAMOTO YA ENEO LA FEDHA KWENYE NDOA/MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
49:41
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 62 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 38 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Je,Wewe Una Maono Gani Kwenye Maisha Yako?
46:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 177 М.
Jinsi ya kujiandaa kuwa mjasiriamali kabla ya kuacha kuajiriwa.
59:26
Personal Finance Hub
Рет қаралды 19 М.
JINSI YA KUGUNDUA KUSUDI LA MAISHA YAKO   JOEL NANAUKA EPISODE 04
10:00
Family of Praying Women
Рет қаралды 6 М.
Aina 5 Za Watu Muhimu - Joel Nanauka
1:02:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 159 М.
NDOTO KATIKA UHALISIA (MAAMUZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
39:57
Reality of Christ Church
Рет қаралды 2,7 М.
LIFE WISDOM: VITU VINAVYOFANYA UNG'AE - JOEL NANAUKA
17:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 22 М.
UNAPOHITAJI MCHUMBA ZINGATIA!!!!
24:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 95 М.
DR IPYANA ft JOEL NANAUKA // DAMU YA YESU NA UTAJIRI
18:43
Dr Ipyana
Рет қаралды 46 М.
MITIMINGI # 1141 AMBATANA NA WATU SAHIHI UKITAKA KUFANIKIWA - JOEL NANAUKA
13:35
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 62 МЛН