NONDO ZA WAFANYABIASHARA WA NGUO KWA WAZIRI JAFO "LEO NCHI INA VIWANDA HAVIFIKI 10"...

  Рет қаралды 4,931

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 38
@jeremiahmsemwa8323
@jeremiahmsemwa8323 2 ай бұрын
Watu wana business skills nzuri sana... sema wanawapigia mbuzi gitaaa.... so sad kwa natives investors
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 ай бұрын
Mkisimama kwenye majukwaa yakisiasa tanzania ya viwanda mama oyee ana upiga mwingi hapo unaambiwa viwanda viko kumi kmyaa mana hao wanajua endeleen kudanganya watanznia lakn
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 ай бұрын
Siku zao zinakaribia. Gen Z ya tanazania itakuja kivingine
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 ай бұрын
Hv kumbe tunavyoambiwa tanzania ya viwanda tunadanganywa mh kila kitu ni uongo yan daa
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 2 ай бұрын
Hii wizara ikua inamtaka mwanaume kamili mwenye kujua dunia ipo wapi..kama kina mh bashe au huyo jafo ...naimani anaweza kubadili kitu kuhusu viwanda...alikua kipindi cha magufuli mzee baba sera yake ilikua ni Tanzania ya viwanda
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
RIP BABA WA TAIFA 😢😢
@michaelmatonange630
@michaelmatonange630 2 ай бұрын
😢 aiseee basi tu kwa kweli najisikia vibaya sana, ivi viongozi amuoni aya na basi jitahidini kua mnafanya forums kama izi ili msikie matatizo yetu wananchi
@GerardMdui
@GerardMdui 2 ай бұрын
Mm nilijua mnajadili kuwa viwanda vimekuwa Vingi sana tanzania, vtaharibu mazingra, kumbe vmekufa
@justinekigomboa
@justinekigomboa 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
Viwanda vyote vya Mwalimu vimekufa. Kwa nini wawekezaji wasipewe hivyo viwanda wakavifufua??
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 2 ай бұрын
ccm imechoka sana
@justinekigomboa
@justinekigomboa 2 ай бұрын
Haijitambui😂
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
A change is inevitable even if its for the worst😢😢😢
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 2 ай бұрын
tatizo ni sera mbovu za ccm ccm sijui inaongozwa na nani au ina laaana maana viwanda vingi sana vya serikali vimekufa
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 ай бұрын
Yaani mnang'ang'ania madaraka kumbe hamjui kuongoza
@innocentmushi3036
@innocentmushi3036 2 ай бұрын
Sema hii nchi bila Katiba mpya tutapiga jaramba sanaa
@KashumbaMshanzi
@KashumbaMshanzi 2 ай бұрын
Tz atuwezi ms
@mawazomdemu5169
@mawazomdemu5169 2 ай бұрын
Ukitaka ujue ss Tanzania hatuwezi kukua kwenye mazao ya kimkakati,hadi uende uone mchakato unavyofanyika na mabodi ya hayo mazao,mfano pamba ,nenda kamchungulie mkulima nn anachopata kwenye pamba
@KashumbaMshanzi
@KashumbaMshanzi 2 ай бұрын
Tz nikitwi Cha weda wazim
@tisamokebulemasubugu6222
@tisamokebulemasubugu6222 2 ай бұрын
Chakushangaza Serikali viwanda vinakufa na Bado Maamuzi ya baadhi ya viongozi yanakuwa ni Maamuzi ya kuuwa mitaji ya wafanya Biashara hasa wadogo Badala ya kuwawekea Mazingira mazuli ili wakuwe hata Wawekezaji Mnano waita waje kuwekeza walikuwa na mitaji kidogo Serikali zap ziliwawekea Mazingira mazuli Hadi wakakuwa je kama Nchi tunaelekea wapi hii Nchi haina wachumi?
@MikidadiKimilike
@MikidadiKimilike 2 ай бұрын
Kazi ya serikali ni kukusanya kodi mnaiambia kuhusu kujenga viwanda! Mnapoteza muda wenu bure .wanawategemea nyinyi ndo mjenge wao wakusanye kodi wajilipe mishahara na kiasi kidogo kinachobaki waweke kwenye maendeleo
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 2 ай бұрын
Hapo kwa waziri jafo mambo yataenda...mama alichelewa sana kuhusu hii wizara ..nakuhakikishia kwa uwezo wake muumba mpe nafasi jafo kisha mshirikishe na bashe utaona jinsi mambo yatakavyokua supa
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 2 ай бұрын
Mmmmh Bashe anaaguza mbolea nje wakat tz kiwanda kipo ndo Nini sasa
@Ushauri235
@Ushauri235 2 ай бұрын
Duuuuuuh tanzania hiihii itabadilikaga kweli
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
MABADILIKO NI LAZIMA. LET'S KEEP FAITH IN THE ALMIGHTY GOD. YEYE NDIYE ATATUSAIDIA
@punchlinetz
@punchlinetz 2 ай бұрын
Jambo TV mna content nzuri ila picha zenu mnamix ovyo sana mnarudia matukio sana. Mmerudia sana Waziri Jafo akifungua hicho kijitabu chake, kitu kingine waongeaji hamuwatambulishi mfano muongeaji wa kwanza kabla ya muhindi sijajua ni nani ila kaongea vitu vzuri sana. Muhindi kaongea hamuandiki ni nani anatoka kiwanda gani. Kuweni professional
@victorwilliam1111
@victorwilliam1111 2 ай бұрын
Aaaa wapi!!! Hayo maoni ,labda !!! Nimekaa pale. Sijawahi elewa basis ya kodi nyingi na formula anazitengeneza nini? Je wanaotemgemeza kod wanaijua biashara ?
@Leo-kg2lt
@Leo-kg2lt 2 ай бұрын
Chadema wakiwa wanaongea point ccm inakuja kupinga na kusema inataka madaraka sijui wao wanafanya nn madarakani na waoo yaan
@TwahaShehe
@TwahaShehe 2 ай бұрын
Ama kweli tutajionea meng msilalamike nyie ndio mnailea ccm kuwepo madarakan
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 2 ай бұрын
Ni mambo ya aibu sana ,Ni Kwa nini pamba inayozalishwa TZ isitumike nyumbani ? Kufunguliwe viwanda Kila wilaya na pamba iwe nyingi tu.
@emmanuelkyandochali990
@emmanuelkyandochali990 2 ай бұрын
Shida ni kwamba anaeongoza wizara hakuna analojua kuhusu biashara hozo wizara wapeni wafanyabiashara
@oscarwasenga1333
@oscarwasenga1333 2 ай бұрын
Bora nyie wafanya biashara wakubwa wanawaskiliza kuliko sisi waviduka na vigest huku chini wala hawatujali
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 ай бұрын
Wameua viwanda vyetu vya nguo ni kilichokuwa kimebaki japo kwa mdororo ni Urafiki nacho waliyemkabidhi Mchina akafanya partitioning na kufungua fremu za maduka na kufaidi kodi wakati serikali ipo inaangalia na kuimba "wachina rafiki zetu!?? Wapi mchina wa zama hii akawa rafiki yako wewe uliyekufa, hujui dunia inaendaje? Tuamke tusisubiri Gen Z itujie kwa staili ya migomo ya Kariakoo!
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
Kiwanda cha urafiki ilibidi wapewe hao hao wachina wakifufue. Sasa wanajenga fremu tena. We are doomed
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 2 ай бұрын
Hiyo % huwa ni ajali tu?.
@NicIbrahim
@NicIbrahim 2 ай бұрын
CCM must Go home we are tired
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 2 ай бұрын
CCM oyeeeee😂😂😂😂
@petersilas4234
@petersilas4234 2 ай бұрын
Hili la nguo ni aibu, tunaagiza hata dela ,boxer kutoka nje. Vijana hawana kazi wakati nguo zote wanazovaa hata nyie zinatoka nje. Kushona nguo sio rocket science. Pale Kibaha education center Mwalimu alitenga eneo kwa ajili ya polytechnic college kufundisha wasomi wetu ufundi Ili waweza kufungua viwanda vidogo vya kutengeneza vitu kama hivyo. Graduates wetu wajengeeni chuo kama kile Ili waweze kuingia kwenye uchumi wa viwanda na biashara. Tunashindwa hata kutengeneza tooth pick, aibu!!
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 109 МЛН
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 4,1 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 7 МЛН
Tabale Fasso djô kènè
18:12
Nova TV
Рет қаралды 7
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 109 МЛН