Hawa ndio viongozi wanaofaa kupambana na marekani allah akulipe kheir mzee wetu
@sarahmuhammed687218 күн бұрын
AMEEN
@abdulsalum969818 күн бұрын
Wajinga nyie mkasome dini alipwe kher gan Shia huyo
@Rukaiya-lt3hm17 күн бұрын
@@abdulsalum9698 huyu mtu kwanza sio kibaraka wa marekani pia amekataa ndoa za jinsia moja
@SaidiMiraji-lk3vm23 күн бұрын
Mungu akuhifadhi kamanda dunia hii wote tunapita hakuna atakae bakia
@AndreaHango22 күн бұрын
Shida sio wote tutapita shida ni kwamba baada ya kupita hayo matrilioni na mazilioni ya miaka tutakaa wapi?
@NanaBaby-qc9uf23 күн бұрын
Innalilah wainnalilah raniuni.Aliyekufa ni mwanadamu MUNGU yupo atamwinua mwingine Amin
@HamisMghuna-fj3vz23 күн бұрын
Jembe Mzee,Rais, Iranian Allah akuhifadhi,
@kelvinpeter566622 күн бұрын
Kwasasa ndipo anaend kukutana na adhabu kutoka kwa Yesu Kristo
@muhammadmbaraka451522 күн бұрын
@@kelvinpeter5666Fala wewe
@user-bw6cd7ml1i22 күн бұрын
Yesu anadhabu gani sio Mungu mwenye mamlaka ya hii dunia Udini unakusumbua hii dunia hakuna ataye pona kila mtu anakosa mbele za mungu
@HassanJaphari-rx7jy22 күн бұрын
@@kelvinpeter5666 we kafiri embu Kaa kimya
@mussakarata665022 күн бұрын
@@kelvinpeter5666wew aliyekuambia yesu anatoa adhabu ni nani?
@EmmanuelIbrahim-wo8gm23 күн бұрын
mwamba imara utakao kumbukwa milele
@personpeter222122 күн бұрын
Akumbukwe kwa maovu yake daima
@user-hd7vt8fk5t22 күн бұрын
K wewe
@Worldunite21 күн бұрын
Maovu yako jee?@@personpeter2221
@masweto20 күн бұрын
kinyago
@Worldunite20 күн бұрын
@@masweto kama wewe?
@user-st1zs1ng2x23 күн бұрын
INALILLAH WAINAILAIH RAJIUN 🇮🇷💔🤲😭😭😭😭
@samrysamry981223 күн бұрын
Wallah nimeumia 💔💔💔💔💔 Allah akupe kauli thabiti kila nafsi itaonja umauti
@abdulsalum969818 күн бұрын
Kauli yake thabiti kafa akimlilia Ali bin khatwab amuokoe kafa mushirik kaafir.kwa mujibu wa quraan na sunna
@suleimanmuhammad-bu7pe23 күн бұрын
Allah mlaze mahali pema peponi
@mustardseedlivepunjeyahara529223 күн бұрын
Ashapata vibusa vyake tayari Ako sawa,jannah Firdaus
@mohamedaley563223 күн бұрын
Jembe... utaishi kwny kumbukumbu zetu nzur 😢😢❤
@user-qb4cv7hs1o23 күн бұрын
Milele Allah ampe pepo Insha Allah
@martinisadru989923 күн бұрын
@@user-qb4cv7hs1ohiyo pepo kama ni yako, sawa.
@ruqaiamohammed34523 күн бұрын
Amiin 🤲🤲😥😥@@user-qb4cv7hs1o
@mohamedaley563223 күн бұрын
@@user-qb4cv7hs1o Allahumma amin
@abdillahiharuna002923 күн бұрын
@@martinisadru9899 hapo pote2 Kisa hawaungi mkono mashoga ndomn unamakasiliko
@jumamussantuiche22 күн бұрын
Kafanya vizur kupinga ushoga tena angekata vichwa vya beiden.
@fatmakhalid663723 күн бұрын
Innalilah wainnalilah rajiun
@BabaFah-lx6lx23 күн бұрын
Vp
@papaamularfins59923 күн бұрын
Kwake tulitoka na kwa hakika kwake Mola tutarejea.
@J4UPro23 күн бұрын
R. I. P Mr president
@hamidashakhbot255722 күн бұрын
Allah akupe pepo ya frdausi
@user-lq4cm4rq6z22 күн бұрын
Allah akupumzishe mahali pema peponi Amiin
@kitaaofficial411923 күн бұрын
RIP Master❤ Allah ampe wepec ktk safar yke😢😢
@nassibkhamis365022 күн бұрын
Mungu ampe kauli thabit amlaze mahali pema peponi amin
@suleimanmuhammad-bu7pe23 күн бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiuna
@user-xk7vy4gb6g23 күн бұрын
Mashoga wamefurahi iliwaendelee na ndoa za jinsia moja.
@annasolomon985522 күн бұрын
Kwani yeye alizuia Nini kwenye ushoga?? Ushoga unatokana na taratibu za nchi yenyewe na misimamo katika nchi ikiwa nchi imeruhusu😢 basi itawapa watu uhuru na ikiwa inamisimamo kama Magufuli na Ibrahim Rais ( Hayati) hapatatokea labda kwa kujificha Sana.. Magufuli& Ibrahim Raisi hawakuyumbishwa na wazungu kabisa na ninaamini hii miamba imeuliwa😢😢 Mungu anisamehe..
@michaelmisana65022 күн бұрын
Mbona yeye aliuwa name afe tu
@MzeeMkuu-qs9wp21 күн бұрын
lanatitulayi Mungu anusulu
@yusramwinjuma472123 күн бұрын
Innalilah waina illah rajiun 😢😢😢
@saidmtenda162823 күн бұрын
Nawakubali sn Iran kwa kupigania maslahi ya nchi dhidi ya Manyang'au wa Magharibi
Nasitupo nyuma Yako shujaa wetu mwanamapinduzi wa kweli daima tutakukumbuka
@youssefsanje874323 күн бұрын
May Allah bless their souls
@superhemed759023 күн бұрын
Daaah bonge la makala mzee! Hongera kwa timu zima iliyoandaa❤
@habibnjowele775122 күн бұрын
MASTER! INNALLILLAH
@LuqmanKawela-qf8ny23 күн бұрын
Millad ayo apo katika uchinjaji mtoe huyu rais,wachinjaji wanajulikana biden,na nyetanyahu au satannyahu, au milad ayo unjitoa ufahamu
@Siasia20921 күн бұрын
Anajitoa ufaham uyo kijana
@Worldunite19 күн бұрын
@@Siasia209 na sio kujitoa ufahamu tu, bali ataharibu sifa aliyojijengea
@sarahmuhammed687218 күн бұрын
Ndo hapo asa wachinjaji hawaataji
@user-bl7ji7dk6x22 күн бұрын
INNALILLAH WAINNA ILAYH RAJIUN 😭😭😭😭😭😭😭
@SalumJuma-iz2gj23 күн бұрын
Jembe limeondoka alla akubarik
@ErickMgaya-kv2wl23 күн бұрын
Rest in peace 😢🎉😢
@waleedbinali321122 күн бұрын
Inna lillahi wainna illahi raj'uun
@BabaFah-lx6lx23 күн бұрын
Innalilah waina ilah rajiun
@Abdulrahmaniluhumba-kf6sd22 күн бұрын
INNALILLAHI WA INNA ILAYHI RAJIUUN
@Luganoamos-jv5in22 күн бұрын
Rais imara kama mangufuli,mwenye msimamo wa kutetea nchi yake,lala salaama baba mungu akupokee ,tutakukuta huko
@MAILAGUN22 күн бұрын
Innalillah wainnailaih raajiun
@AminaaJoseph21 күн бұрын
Innalilah wainailah rajuun
@SaidJangoli-hr7ww23 күн бұрын
Allah awape Kila kheri ktk safari yao
@HalimaSalym-jl2ui22 күн бұрын
Allah, haondoi ikiwa hajaweka. Wa Iran mtapat kiongozi aliyekua Bora zaidi ya Ibrahim Raisi
@isayashayo477722 күн бұрын
Tanzania alikufa magu tukitegemea kupta jembe lakini tulipigwa na kitu kizito 😂😂
@HassanJaphari-rx7jy22 күн бұрын
@@isayashayo4777 atari sana 😅😅😅
@kutailass667122 күн бұрын
Tanzania ccm mbele kwa mbele
@hatibumohamedi347122 күн бұрын
@@kutailass6671Namzee akua ccm alikua na misimamo yake
@athumanimvula371823 күн бұрын
Innaa lillahi wa innaa ilayhi raajiuun
@Likes_comment_share21 күн бұрын
Kwaio hakukua na Parachute 🎉
@user-yf4qu5ob3f23 күн бұрын
Mungu akuweke mahala pema peponi inshaallah
@FridayMwassa22 күн бұрын
Atamuweka panapostahili sawsawa na Matendo yake
@HassanJaphari-rx7jy22 күн бұрын
Ameen
@AllyAbdallh-mx2zv22 күн бұрын
Innalilah wainna ilaih raajiuun
@thetruth897922 күн бұрын
innalilahii wainnaa ilayhi rajiuun
@user-qe8xp6ii1u20 күн бұрын
Huu ni msiba wa Mashia. Sisi wengine Hautuhusu.
@haidomussa784722 күн бұрын
Innalilah wainalilah rajiun
@kashiririrkaasongwisye948723 күн бұрын
Kumbe alikuwa muuwaji basi Mungu amelipa kwa stahili ya kifo chake
@yohana124222 күн бұрын
Mashoga munafurahia
@rukiaiddyyahaya950622 күн бұрын
Unawapenda mashoga
@Worldunite19 күн бұрын
Km atakavyokulipa na wewe kwa stahili yako
@jumabuckary769822 күн бұрын
Viongozi wema na watu wema awaishi miaka mingi mungu msamehe makosa yake na umtetee mazuri yake baba yetu mzee wetu ameen Rip Mr president Raisi Ibrahim we love you 🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷💪💪💪💪💪💪
@IbrahimKussaga21 күн бұрын
Huyo ni muuwaji naye MUNGU kammaliza.
@Worldunite19 күн бұрын
@@IbrahimKussaga km atakvyokumaliza wewe,si ndiyo??
@BushiraAbubakari23 күн бұрын
Innalilah waina ilaih lajiuun
@maryamsuleiman634017 күн бұрын
Kila roho itatoka tu kwakila kilichoumbwa na Allah ,kazi yakujua dhambi zamja nikazi ya Mungu pekeake ,tusihukumiane kupelekana Peponi au motoni ,tuombeane Maghfira hakuna ajijuaye 😢
@othumanomari158922 күн бұрын
Innalillah wainna illaihi Raajiun 😭😭🤲🤲
@kibulajumakibulajuma344821 күн бұрын
ALLAAHUMMA GHFIRLAHU WA-RhAMHU WA-SKINHU FIL JANNAH (Seyyid Shaheed Ibrahim Rais El- Saddat, 1961- 2024)🇵🇸🤝🇮🇷.
@omanmct13521 күн бұрын
Kweli kabisa
@AJSPAREPARTS-dq4jp23 күн бұрын
Rip The president
@MajutoElliasi23 күн бұрын
Daa inauma sana 😢😢😢
@KassimAlly-xp4dz23 күн бұрын
Aise inaumiza
@Jumaamsagaty22 күн бұрын
Huyu jamaa imeniuma Sana
@barrynzeyimana627023 күн бұрын
Wazee wetu walijua wanakwenda kufa. Mambo ya Mungu ndo anajua sio kweli. Wagonjwa wengi wanaweza kukwambia na kukuaga kua wanakwenda kufa sasahivi na kweli wanakufa.
@fardoshnassor784723 күн бұрын
Innan lillahi waina ilehi rajiun 😢😢
@user-je1rq2wi9s21 күн бұрын
Siku ya kufa haina maarifa safari yetu ni moja
@mwikalijosephine517823 күн бұрын
Glory be to God for fighting for Israel
@criminalminds772323 күн бұрын
Ni Kua hutambui kinachoendelea, Israel ni inchi ambayo haina dini
@azizaj77623 күн бұрын
Israel is the country of gays so what glory
@cholowao23 күн бұрын
Hivi God amesema hadi muuwe watoto elfu ngapi ndio Mpango wake utakamilika 😥😥😭😭😭😭😭😭 watoto wanaangamia. Taifa la Palestine linaangamia. Tunaomba huo mpango wa Mungu utimie watoto, wanawake na vikongwe wanusurike... Tuombe Huo Mpango uishie huko usije huku Africa hatuna Hasam wala nani wa kututetea, tutauliwa mpaka tumalizwe. Ehh Mungu tunaomba tanzania isiwe nchi waliyoahidiwa wauaji ambao watakuja kutuchinja kama kuku
@mwikalijosephine517823 күн бұрын
@@cholowao stop reasoning like a fool use common sense .
@user-hp6gz6ln4k22 күн бұрын
@@cholowao:nyamaza Mungu ataendelea kufanya vyote apendavyo.. Point ni msichokozane
@mohammedgulamali884922 күн бұрын
Hii Duneia wako waislaam wengi lakini Raisi wa Iran ali kwa moja tu ambayo alikwa hapendi Marekani. Sababu marekani ni wauwaji ku uwa watu waseio na hateya. Hapo ndeio marekani alikwa hataki Iran. Marekani wanataka wanacho sema wawo ndeio ukubali. Na Iran walikwa hawataki hilo. Hawo ndeio waislaam kamili. Hawa pendi ku uwa watu waseio na hateya jinsi israel na nchi za magaribi wanavyo fanya.
@godwinkileo770223 күн бұрын
Bwana ametwaa
@SaleIddi22 күн бұрын
Inna Lillah waina ilaih rajiun
@eliasmaika262023 күн бұрын
R.I.P Raisi
@kelvinmboya584621 күн бұрын
Mchinjaji 😢 mnazingua sana
@shakila398222 күн бұрын
Inna Lillahi wa Inna ilayhi Raji'un
@goldmansun585921 күн бұрын
nilijua hatoboi huu mwaka
@AllyAbdallh-mx2zv22 күн бұрын
Mungu ampe kauli thabit
@AMIDURAJABU23 күн бұрын
😭😭😭😭🤲
@user-tf3vf8rj8n21 күн бұрын
Allah amfnyie wepec😭 hakik hatuwez kumsamh jembe km yy Hakik kwake tumetok na kwake tutarejea
@user-br1cd1tf6y22 күн бұрын
Tumueshimu mungu
@abdoumadiousseni483522 күн бұрын
Nishule yamashiaa
@user-hv4px1dh4l23 күн бұрын
Bora amekufa huyo mbwa😮😮😮😮😮😮
@BabaFah-lx6lx23 күн бұрын
Kumbuka ukimuita mtu kwa tusi bs ww utatukanwa zaidi yake
@SaidiMiraji-lk3vm23 күн бұрын
Wanna ww utaishi milele
@OmanOman-vb4uj22 күн бұрын
Inallillah wainailaih rajiuniii 😢
@PatrickMwamba28922 күн бұрын
Harmonize is abusing Diamond Platnumz na uchawi...na viongozi pamoja na Basata KIMYA ?????⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@aproniamasatu581023 күн бұрын
R.I.P hericopter
@user-kq8dg5sd2n21 күн бұрын
Mwanadiplomasia Nguli Kabisa Huyu. Amefanikisha Iran kujiunga BRICS na STO, amerejesha mahusiano mazuri baina ya Iran na Saudia na vilevile Pakistan. Amesapoti pia Harakati za Ukombozi Palestine na Kwingineko
@sayeedmsct425523 күн бұрын
😭😭😭😭
@elvisoscar991222 күн бұрын
Israel juu daima ukienda vibaya na taifa la mungu auwezi baki salama
@sandejacob62322 күн бұрын
Pumbafu wewe, taifa gani la Mungu linaua watu hovyo na kuruhusu ushoga ?
@omarylukindo530621 күн бұрын
Taifa gan linategemea msaada wa mabwana zao marekan.
@mohammedkhimji750522 күн бұрын
Jembe! Dunia itakumiss 😢
@mwanaidally292423 күн бұрын
Ww milard ayo nishakutoa kwenye list ya watu Bora ni mbaguzi sana
@jacksonngusi412223 күн бұрын
Mathayo 26:52-53 Hapo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga, atakufa kwa upanga
@superhemed759023 күн бұрын
Pole sana km bado mpaka leo unajua waisrael ni wakristo wenzako
@IbniAbbas-yz3kt23 күн бұрын
Wapenda kufilana lazima wafurahie kifo chake
@azizaj77623 күн бұрын
Hivyo NATANYAU NAYE ANATUMIA UPANGA TENA KWA WATOTO NAYE ATAUWAWA KWA UPANGA SHOGA HUYO
@jacksonngusi412223 күн бұрын
@@superhemed7590 ukweli ubaki hivyo amshikiae kisu na kuuwa naye atakufa Bwana wetu mwenye upendo na Rehema nyingi hapendi mtu auwe wenzie
@@saidimwanyiro5147cwez shangaa dunian kitu akifany mmagharib hiko ni chema na kinaridhiw na hata Kam ni kiovu na akipingaye anakuwa yeye mkosaji na hubadilishiwa majina mara gaidi mara muuaji na mengineyo.
@user-yj5on8cz3e22 күн бұрын
Hata ww utakufa utaishi milele au ww ni jabali hufii??
@user-io8hn1jb4d22 күн бұрын
Sasa hapo kakosea nini, hao alioamuru wanyongwe familia zao zilifurahi ata mtoto wao alikua shoga unafikiri familia zilishangilia pindi ananyongwa
@michaelmisana65022 күн бұрын
Tena kifo chake ni flaaa sanaa
@user-hv4px1dh4l23 күн бұрын
Wayahud wako dunia nzima /Mungu amejibu
@azizaj77623 күн бұрын
Alichojibu nini ???! KIFO NI LAZIMA , Israel nchi ya MASHOGA nini ibarikiwe ?????? Labda imarikiwe kwa ushoga na usahaji
@user-hp6gz6ln4k22 күн бұрын
@@azizaj776:chokoza Israel uone allah wako kaishindwa wewe ndio utaweza.. Daudi pia kapiga nakuchukuwa sehemu Mungu amempa, allah wako ndiye ataweza
@user-hp6gz6ln4k22 күн бұрын
MUNGU Ni muweza always hapo mpaka miisho ya Dunia Israel hitobanduka Mkono Wa Mungu upo juu yake
@magogomagogo954422 күн бұрын
Wanauwa sana wacha nae afe kifo kibaya
@SaleIddi22 күн бұрын
Uyu Raisi alikua akijiamini
@user-mp3fb9gu8g21 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@odoieriasmonga659123 күн бұрын
nimeona aibu kubwa kwa Raisi wa Nchi ya Iran eti helkopta iliyochukua uhai wake ilitengenezwa miaka 40 iliyopita yaani mwaka 1971??!!
@sylvestercameo626323 күн бұрын
Sasa umeona aibu gani? Wewe ndiye uliyepewa kazi ya kununulia usafiri? Au hujui maana ya kuona aibu!
@fatmakhanii167622 күн бұрын
@@sylvestercameo6263😂😂😂😂😂
@MrA24G22 күн бұрын
Halafu Leo eti wakabishane na wamarekani waanze kurekebisha vyombo vyao vya kusafiria viongozi helicopter yenyewe ni Aina ya bell 212 imetengenezwa marekani.Na marekani walitumia aina hyooo ya helicopter mwaka 1968.Miaka 45 imetumika Iran.Lini umemuona raisi wa marekani na ndege zilizochoka marine one Cadillac one na airforce one mtu aniambie zimewahi kuchoka za zamani.Wale wanajitengenezea ndege zao.Tukubali mzungu atabaki kuwa mzungu tuu.
@damkaliclassic794421 күн бұрын
Ni kweli ni aibu kwa mtu asie na ufaham kama wew,ila ungekuw na ufaham ungetambua chanzo cha yote ni nini
@AMIDURAJABU23 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿😭😭😭🤲🤲🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-td3ss6nk2d22 күн бұрын
Magufuli wa IRAN!😥😥😥😥
@Hussein-gx4qu23 күн бұрын
Kwa hiyo we ulitaka awache mashoga jinga kweli
@mwikalijosephine517823 күн бұрын
There is away out than killing way out is deliverance killing does not the anything
@mwikalijosephine517823 күн бұрын
Use ur holy understand stop using satanic thoughts to solve issues
@user-hp6gz6ln4k22 күн бұрын
Ongea kama mtu, kwa nini auwe unaweza kukataza siyo kuuwa, ushoga ni mapepo na ni Wana wa mtu.. Pia ni jaribu kwa wazazi, hata wewe unaweza ukazaa mtoto wako mmoja akawa shoga iyo ni jaribu apana kuwa kama mjinga, cha kufanya ni kuwaombea na sio kuuwa,
@Hussein-gx4qu21 күн бұрын
@@user-hp6gz6ln4k kuwaombea vip hao wataambukiza wengine waharibu nchi unawaletea watu umagharibi Huko huko
@Hussein-gx4qu21 күн бұрын
@@mwikalijosephine5178 hao dawa Yao ni kuwakata vichwa ili wakotombaniane matakoni makaburini mwao bila hivo Kuna wajinga wajinga TU wanaiharibu Dunia huku tukishuhudia.