asante sana kaka yetu olesendeka pole sana unatutetea sana lakini serekali ya Samia na CCM yake atumpendi kabisa
@JAMESLAPUT-ye6kk7 ай бұрын
Olesendeka fanya kazi nzuri mheshimiwa,be blessed
@jeremiahngoka49807 ай бұрын
Ameanza kulamba miguu tena.Hii nchi iko na shida aisee
@sylvestercameo62637 ай бұрын
Hongera sana Mh. Sendeka kwa kuwajingashia wamasai wenzako. Endelea kujimegea ardhi na kuwavuruisha wamasai wenzio kwa visingizio vya mapendekezo ya "game reserves". Lakini mwenye macho haambiwi ona!
@JoshuaKamusiara7 ай бұрын
Mweshimiwa mbunge wa simanjiro baba wetu mpendwa kweli siungi mkono rais samia amechoka sana kwa kazi ya inchi yetu tuachiee lisu kazi achana wizi wa CCM
@PartySekemi7 ай бұрын
Sendeka anajua vita ya kila aina na hana historia ya kushindwa na tupo nae na sio kila vita ni lazima utumie bunduki kuna vita vinahitaji akili ya kuzaliwa wala sio phd na tunamuamini hatutamuangusha
@artsonkimath29177 ай бұрын
Yule wa Ngorongoro ndoo mbunge hii ni takataka kabisa
@mossesmepukori18267 ай бұрын
Olesendeka muigizaji tu mmasai yupi anamependa samia aliyetuacha bila ardhi?
@PhilipoMwita-wc1ku7 ай бұрын
Hongera mzee wangu pigania haki ya wananchi
@jumakilinja63417 ай бұрын
Mzee wewe huna tofauti na chokoraa mlala jalalani, yaani wewe bado unatuona sisi wote ni mag'ombe tunafuata mapalio,hatuna barabara enzi za ukoloni hadi leo na bado unajisifu na chama chako cha ufisadi
@olekitamwasmokotio98557 ай бұрын
Mm kama Masai sijawai kukupenda ww mudomo tu akuna kitu
@PartySekemi7 ай бұрын
Hujielewi na hakuna na nina shaka sio na ukabila yako na akili yako
@georgekimasaofficial16297 ай бұрын
We shauri lako 😂😂 utajuwa hujui.
@johakhimu.mgembe.32977 ай бұрын
Sema Ukweri Watu Wawe Huru.Acha kujificha ktk Ukweri.Unaoeleweka.Wana Akili ya kufahamu Unaowaongoza.
@BarakaMollel-f3y7 ай бұрын
Mungu akupiganie baba kwa bidii ya yetu ya wamasai
@KiriaKipara7 ай бұрын
Safi sana mkuu
@ElishaOisso7 ай бұрын
Barabara zetu ni mbovu hasifai na huyu mzee ameshindwa kututetea bungeni ,,,tawala muluki orkito
@ShalomNissitv7 ай бұрын
Si dhani kama huo ni ukweli.
@karolikisaka89917 ай бұрын
Wamasai msidanganywe mnadhalilika. Njia ya pekee ya wamasai kusalia kwenye maeneo Yao ni kuiondoa ccm
@johnmalembo64647 ай бұрын
Siasa bhana unakanyagwa unalia halafu unamshukuru aliye kukanyaga kwa vile eti kisima cha maji kiko kwake
@InnocentCharles-hm3ff7 ай бұрын
Mmh! Yote tunayosikia toka Kanda iyo but mwamba bado anasifia na kucheza Ngoma....akiyanan wallah!
@ZakariaMnzava7 ай бұрын
Mzee kama vile ananjaa ya madaraka
@konemelau90686 ай бұрын
MUNGU azidi kukupa Afya njema hakika binafsi nimekuelewa, wewe ni kiongozi mkubwa sana na mwenye uchungu katka maa society
@GilbertMollel-j6n7 ай бұрын
Viongozi wa sahivi wa Tz HAWAJITAMBUI hata mmoja,kila kitu mama,.mama...mama...mama je serikali iko wapi sahivi!!?
@uraiatv84557 ай бұрын
Shida ya Sendeka ni kujipendekeza
@lusajomwaipopo50427 ай бұрын
Kiatu kimembana analaImisha
@jeremiahblazio47817 ай бұрын
Acha kujipendekeza mzee shughulika na wananchi wako
@JamesSichimata-w1u7 ай бұрын
Kumbe mberigiji hafui dafu huyu ndiye Mmasai
@edsonnelson44647 ай бұрын
Hivi si huyu ndo alikoswakoswa na risasi
@clarencehilary55887 ай бұрын
Msimtaje samia unatudhi Sana
@GeofreyMwandanji-ot2lf7 ай бұрын
Akipita masai wote nima nyumbu
@MaikoSiria6 ай бұрын
bas wewe ambae sio nyumbu ingia madarakani utengeneze
@MRHURUMAHuruma7 ай бұрын
Unafiki ni kiwango kikubwa sana cha uchawi
@LaizerSangau7 ай бұрын
Mzee olesendaka anashida nikwamba mamake abdo Ako madarakani na mtoto wa nyoka niwanyoka tu awesi badilika kwaiyo sendeka ww nimtoto WA Samia Samia akisema wamasaai waondolewe ww unangufu WA kumusuiya Samia sisi tunaitaji katiba mpya ili awokomeshe Hawa walagai WA ccm
@margarethsolomon98237 ай бұрын
Hivi wewe ole sendeka bado UNATAKA ubunge? Watu wako wanakosa maeneo lkn unatetea ATI umejengewa shule na Hosp hivi unawaza vizuri KWELI 😂😂 Tamaa za pesa mnatesa Ndugu zenu
@kibbysaidi78137 ай бұрын
Nikikumbuka lile shambulio la risasi zaidi ya 10 lakini 4 tu ndio zikaipiga gari yako....mmh! Vipi mheshimiwa si ungeacha hata moja ipasue kioo!!
@FredrickOlentimama-tj4ps6 ай бұрын
Tutetee baba yangu
@JamesKanyenda-y9y7 ай бұрын
Ukikalibia uchaguzi ndo unaleta maneno laini mwaka huu kazi ipo
@AbuodSeleman7 ай бұрын
mnafki huy mzee😂😂😂😂
@PhilipoMwita-wc1ku7 ай бұрын
Hakuna mwana ccm anaeweza kumkosoa Samia hadharani Haya yote nitatizo la Samia lkn sendeka hawezi subutu
@nkwazigatsha7 ай бұрын
Kwani huyo Samia wenu anatoa hiyo pesa toka mfukoni mwake? Unawauza nduguzo. Anawafukuza wamasai kupisha upigaji nawe unawahadaa. Kuna siku utaujua ukweli.
@elishadodi87877 ай бұрын
Kalambishwa asali tayari huyo naye
@ImaniLaizar7 ай бұрын
Sawa mwamba tetea wananchi wako
@mxfsedtirz4 ай бұрын
Huo ni ujuha unaotia kichefuchefu.Uchawa wenye maradhi ya kufisha. Historia itaangamiza kizazi chako. Eti rais hajaidhinisha kuhamishwa Wamasai? Kama hajui ana sababu gani ya kuwepo? Wewe Ole sendeka upo wa kazi gani? Eti Wamasai watamchagua samia ili afanye nini? Kama hajui, basi nyote sio vyura viziwi tu,bali vipofu pia.
@andrewkissava91847 ай бұрын
Ole sendeka acha kuwahadaa na kuwalaghai wananchi unaona uchaguzi una karbia unaanza kugeuka tena kuonekana kama mtetezi wawananchi ,kwanza tukuulize ole sendeka kwani anayeuza hiyo aridhi ninani? Ma anayehamisha masai loliondo ninani? Ana ye uza misitu ninani aliyeuza bandari ninani? Siunamjua sasa kwanini unawalaghai na kuwahadaa wananchi ?
@ElishaOisso7 ай бұрын
Yani tumpe kura mtu anaeuza maeneo yetu,,alafu anatuambia raisi ajasaini ,,,tumechoka na hii ccm,,,,ormaasailang mee onyo na kito
@saidiathuman-og6bc7 ай бұрын
Sendeka Acha Ayo Mambo kabisa
@lucasparmet32017 ай бұрын
Hakuna kitu hapo ni njaa tu hiyo
@lucasparmet32017 ай бұрын
Kutaja maeneo kwa kuyajua kwa majina sio tija Mzee acha kuwadanganya wananchi Samia hapati kira simanjiro
@YassinRajabu7 ай бұрын
wewe sendeka mchochezi bola mfukuzwe tu mutoke kwenye hifadhi
@elishapalaletlaizer37147 ай бұрын
Pimbii we hauna.Maana kabisa
@adamwoiso21807 ай бұрын
Nani atampa kura huyo mama Samia labda utampa wewe na machawa wako
@patellaisangai60137 ай бұрын
Kwani kata lokisale nimbona monduli unahusika na nini uko