ONYO KWA WAKRSTO WANAO KULA NA KUNYWA VINYWAJI HIVI 666 EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 21,903

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

8 ай бұрын

#0766998994 #call0688199370 #0788871769 #

Пікірлер: 184
@user-gw4wj7ow7r
@user-gw4wj7ow7r 7 ай бұрын
Yeyote anae tusi mtumishi wa mungu amelaaniwa
@johnWekesa-pp7ps
@johnWekesa-pp7ps 7 ай бұрын
Injili kama hii kwa sasa haiko tena,mapaster wanawupiri pesa to wambie ukweli,mutumishi wa mungu,
@PFD123
@PFD123 8 ай бұрын
Injili kama hizi zimebaki chache sana Mungu aendelee kukupa Uhai Paschal Bado unaitajika sana kutufungua Macho
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 7 ай бұрын
Mungu atupenguvu kwemaisa haya😴😴😴🙇
@furahag3098
@furahag3098 7 ай бұрын
Ni kweli hya mafunzo unayo fundisha haiko makanisani barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏
@obedimtafya4022
@obedimtafya4022 7 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Baba komaa Bwana amekuchagua kusema yote bila kuogopa ndio maana ushoga ni jambo lakawaida tu kwa kile tunachoweka mdomoni
@HariytAsd
@HariytAsd 7 ай бұрын
Amen 🙏 jina la bwana ilbarkiwe
@user-fv7kn1bb4l
@user-fv7kn1bb4l 7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Atupe uwelewa
@joycehaule9717
@joycehaule9717 6 күн бұрын
Hallelujah Neno la Bwana ndio msingi wangu hakika napata kiu ya kusoma NENO napata furaha na amani....
@DanielMichael-fq6br
@DanielMichael-fq6br 6 ай бұрын
Nabalikiwa Sana na injili yako passical
@Spark8Technoo
@Spark8Technoo 8 күн бұрын
Mungu nisamehe kwa kula vyakula visivyo ruhusiwa mwanadamu kula nisamehe sana Mungu wangu
@user-cu5pr5ri9z
@user-cu5pr5ri9z 4 ай бұрын
Mtumishi Uko vizuri ushauli wangu kwako ili uwe Bora zaidi nendo ukasome vyuo vya kiroho vya uinjirist ili uduma yako iwe active,sio injiri za kimiamko.Utabarikiwa zaidi.Kupata Elimu ni agizo la Mungu,"kwamba usiache Elimu aende zake".mithali 4:13
@FlorenceAyeta-xm9bx
@FlorenceAyeta-xm9bx 6 ай бұрын
Hakika Mungu na azidi kukuinua maana watumishi wa Mungu wanao sema ukweli niwachache sana umenifungua macho na ufahamu.
@TuaircachimoNantola-po7oo
@TuaircachimoNantola-po7oo 7 ай бұрын
Ee mungu nisaidie na mimi nienende kwenye njia zako mimi ni mmoja wapo nilikua nakitumia kinywaji cha energy lakini leo nakiacha.
@JamesJamesmayanga
@JamesJamesmayanga 6 ай бұрын
Mungu akubaliki
@floramongi1410
@floramongi1410 7 ай бұрын
Hiki kinywaji cha Enegy huwa nashuhudiwa sio kizuri na huwa nawakataza sana vijana wasikitumie
@SaraMartin-po2we
@SaraMartin-po2we 3 сағат бұрын
Yesu ametakasa vyakula jamani tusiache maagizo ya neno
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 7 ай бұрын
Mungu aturehemu kwa kuchafua hekalu lake.
@hadijamlokakuzenza2146
@hadijamlokakuzenza2146 8 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulinde mtumishi wa mungu,uendeleee kutufingua masikio,na macho ya rohoni
@ObadiaSimkoko
@ObadiaSimkoko 7 ай бұрын
Mtumishi chakula kilicho barikiwa na mungu iskiite najisi ikiwa mwenzako anakitumia na hakimletei madhara
@marymdika439
@marymdika439 7 ай бұрын
Iko siku utakapofunguliwa macho utaacha, endelea kumkaribia Mungu na kusoma maandiko
@daudimdete8671
@daudimdete8671 Ай бұрын
Kutocho mtu ndo najsiiii hapo kwa ktmoto mtumshiiiii hapan
@lillianwakesho258
@lillianwakesho258 8 ай бұрын
Asante mtumishi,kwa kuzidi kuambia watu ukweli,
@floramongi1410
@floramongi1410 7 ай бұрын
Sabato sio siku sabato ni Mungu mwenyewe maana yesu aliwajibu wale wayahudi kuwa mwana wa adamu ndiye bwana wa sabato
@kisituclassicwear5246
@kisituclassicwear5246 7 ай бұрын
Siku ya Saba ya juma kwenye biblia ndio huitwa Sabato. Sisi tunaiita Jumamosi
@geofleyfreeniellukaorgen2js5h
@geofleyfreeniellukaorgen2js5h 7 ай бұрын
Da mungu nisaidie kwakweli
@ObedyBazirake
@ObedyBazirake 10 күн бұрын
Mungu à endeleyekukutia nguvu tulaishishe Wa mungu
@noonelike6382
@noonelike6382 7 ай бұрын
Anointed man of God 🙌🔥😊
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 7 ай бұрын
Cassian, Nuhu wa kisasa. Kwanza huu msimu wa siku kuu, watakunywa na kunywa vile husema ni sherehe. Mungu nisamehe kwa kula chakula kisichostahili mbele zako. Na kwa mapenzi yako Mungu, naomba nile na ninywe kulingana na mwili wangu ambao ni hekalu lako. Swali, ni kitabu kipi katika bibilia ambacho kinasema Yesu alizaliwa huu mwezi wa kumi na mbili? Ukioa au kuolewa kwa utaratibu wa Bwana, alafu ndoa yenu iingiliwe na doa, ufanyeje baada ya kuvumilia kwa sana? Nguruwe huhadriri mtu kwa namna gani?
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana paschal🎉
@ObedyBazirake
@ObedyBazirake 10 күн бұрын
Bwana yesu kristo asifiwe Mitsubishi wamungu
@yusuphPetro-mi8cf
@yusuphPetro-mi8cf 7 ай бұрын
Mungu akubaliki sana mtumishi wa Mungu kwakazi inayo mpendeza Mungu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 8 ай бұрын
PASTOR CASSIAN, THX FOR YOUR TEACHINGS, THEY'VE COMPLETELY TOUCHED MY LIFE IN SO MANY WAYS, I'M PROUD OF YOU! PRAY FOR MY HEALTH THAT I MAY COMPLETELY CHANGE MY LIFE. MERRY CHRISTMAS 2023 AND NEW YEAR 2024!
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 7 ай бұрын
Aminaaa baba❤
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 7 ай бұрын
Ubarikiwe evangelist
@user-gs9rx1ep8m
@user-gs9rx1ep8m 7 ай бұрын
Amina Amina mungu akutuze kwa ajili ya kazi ya YESU
@tesco112
@tesco112 7 ай бұрын
Amen Bwana acfiwe mtumishi
@eunicepetro4901
@eunicepetro4901 7 ай бұрын
Mtumishi Amin kwa ujumbe wako ulete SoMo kuhusiana na amri za MUNGU sababu nashindwa kuelewa....
@kisituclassicwear5246
@kisituclassicwear5246 7 ай бұрын
Wapi huelewi tusaidiane mpendwa
@mathayoju2832
@mathayoju2832 7 ай бұрын
Mung aendelee kuwa na wew katika Kaz yake amin
@epiphaniemugwaneza1259
@epiphaniemugwaneza1259 7 ай бұрын
Mungu akubaliki
@faithwamaitha-tr8qc
@faithwamaitha-tr8qc 8 ай бұрын
Eeh Mungu nisaidie nienende kwa njia zako 😢
@furahag3098
@furahag3098 7 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏
@user-go9ku4cn2w
@user-go9ku4cn2w 7 ай бұрын
Mungu akupe mibaraka tele
@AwaziRajab
@AwaziRajab 7 ай бұрын
Vinazulu Mwili Nasio Loho
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 7 ай бұрын
Nimewahi kuishi na mtumishi mmoja wa Mungu, nilikuwa simwelewi ni kwanini anachagua sana mahali pa kula, na nini cha kula. Leo ndo nimemwelewa sana.
@irenemuia2718
@irenemuia2718 7 ай бұрын
Kweli kabisa Amina ❤🙏
@obedimtafya4022
@obedimtafya4022 7 ай бұрын
Mtumishi wa Bwana hongera sana kwa kazi hiyo ya kupambana na shetani uko vizuri pamoja na hayo yote usishau sabato ambayo Mungu ameiweka kwa kupima uaminifu wa kila mwanadamu ebrania 4:9
@kisituclassicwear5246
@kisituclassicwear5246 7 ай бұрын
Ameen Pia kwa kuikumbuka unathibitisha kuwa Mungu unayemuabudu ndio Mungu muumba wa vyote vinavyoonekana na visivyo onekana 📖mwanzo 2:1-3
@rashaketsau7015
@rashaketsau7015 7 ай бұрын
Mungu akubariki na akulinde
@user-tv7yx8nt5k
@user-tv7yx8nt5k 7 ай бұрын
MUNGU akubariki sana
@MlongechaBaraka-ow7kw
@MlongechaBaraka-ow7kw 5 ай бұрын
Amina
@ceciliahharon268
@ceciliahharon268 7 ай бұрын
May our God 🙏 mighty blz you pastor
@user-fv7kn1bb4l
@user-fv7kn1bb4l 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@BintiMwambapa-ev6kw
@BintiMwambapa-ev6kw 7 ай бұрын
MUNGU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU Alie hai
@bonfaslazaro2289
@bonfaslazaro2289 7 ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@user-qh3xs1xw8v
@user-qh3xs1xw8v 7 ай бұрын
Ubalikiwe Sana baba kwa kutufungua macho mambo mengi tulikuwa hatujui mungu akupe maisha marefu 🙏🙏🙏
@issachege5606
@issachege5606 7 ай бұрын
Watu walio tumwa na shetani kumpinga pastor watajitokeza tuu bt nachojua niukweli bt yeyote asie kua na upako na uteule hawawezi elewa mungu akupe nguvu mtumishi
@AredFered
@AredFered 7 ай бұрын
Asante Mtumishi ni kweli
@boazdillu3611
@boazdillu3611 7 ай бұрын
Ebrani 8:10-13,Kila mmoja anatakiwa kumjua Bwana kuanzia mdogo hadi mkubwa huu sio wakati wa kusema,Amina Amina kwa kila mafundisho lazima tulijue neno la Mungu vizuri .sasa wengi wetu hata kitabu cha ufunuo hatutakibkukifahamu uhalisia wake l,afu ndio kinazungumzia ujuo wa pili wa Yesu.Matokeo yake tunaongeza na kupunguza katika ufunuo wapendwa tujitahidi sanaa kujifunza na kuelewa Biblia vizuri
@eliasmyamba4767
@eliasmyamba4767 7 ай бұрын
Amina mtumish 🙏🙏🙏🙏
@yusterlucass
@yusterlucass 7 ай бұрын
Mungu unisamee kwakula chakula ambacho niliwahi kula kisicho kupendeza ww
@daudimdete8671
@daudimdete8671 Ай бұрын
😂😂utachaaaa sasa
@user-ji2ks9ex9s
@user-ji2ks9ex9s 7 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 7 ай бұрын
Hapo SAWA paschal uko sahihi
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l 7 ай бұрын
Ubarikiwe
@user-es4jv6pb8x
@user-es4jv6pb8x 7 ай бұрын
Kweli tena Baba
@MichaelsaimonMwita
@MichaelsaimonMwita 8 ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@user-qm3rj6ch4y
@user-qm3rj6ch4y 6 ай бұрын
1timotheo4:1-- mtapata majibu yote
@Neemakilimba
@Neemakilimba 7 ай бұрын
Ameen Ameen
@SamweliMwita-ul2kh
@SamweliMwita-ul2kh 7 ай бұрын
Mungu akubarik
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 7 ай бұрын
Hata hivyo yapo mengi yaliyo ya wazi hasa la vinywaji ni kweli , pafume nk hata vyakula.
@user-uz3it6li6u
@user-uz3it6li6u 7 ай бұрын
Asante mchungaji ila biblia haikukataza vyakula fulani ila inakataza ulaji mbaya au ilafi
@salomemakene9241
@salomemakene9241 7 ай бұрын
Kumbukumbu la Torati 14:8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
@user-we6vp8xf9g
@user-we6vp8xf9g 7 ай бұрын
​@@salomemakene9241 bible hiyo hiyo umesema kilichoumbwa na MUNGU usikiite najisi ,mfano m nikila nguruwe akiniletea madhara kwangu ndiyo najisi, hiyohiyo bible inasema kimuingiacho mtu kinywani sio najisi Bali kimtokacho,,mfano wazungu wanakula nyoka lakin kwa mwafrica ni ngumu kula nyoka
@user-jt2ob8sc9k
@user-jt2ob8sc9k 7 ай бұрын
Inuka uangaze
@user-bm2zt6yg8j
@user-bm2zt6yg8j 6 ай бұрын
Tujitahidi kuishi kwakumwamini KRISTO YESU kwani ndiye kielelezo chetu wakristo hivyo Kila atakavyo KRISTO YESU katika neema ya NENO lake. Tafuteni katika kitabu Cha Bwana na mkasome muuone kama kutakuwa na mtu wakumkosa mwenziwe.
@habililailo271
@habililailo271 7 ай бұрын
Yesu alisema chakula hakiwezi kuchafua roho maana ukila badae utaenda chooni. Marko 7:18-20 18 Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi; 19 kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote. 20 Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi.
@marymdika439
@marymdika439 7 ай бұрын
Unaposema neno tafakari katika roho, upate kujua hekima ya neno hilo, kwa neno hilo hilo hebu jaribu kula nyama ya mamba
@marymdika439
@marymdika439 7 ай бұрын
Ukisikia neno, usipinge kwanza mpaka uombe hekima ya kuelewa neno hilo
@habililailo271
@habililailo271 7 ай бұрын
@@marymdika439 usinipangie nile nn nakula ninacho jisikia mm
@floramongi1410
@floramongi1410 7 ай бұрын
Dodoma vwatoto walikuwa mjusi wakafa
@rashaketsau7015
@rashaketsau7015 7 ай бұрын
Someni biblia mlieliwe
@KulekatsengeHaruni-sb6qc
@KulekatsengeHaruni-sb6qc 8 ай бұрын
Amen
@JoramKasenga-ig2gk
@JoramKasenga-ig2gk 7 ай бұрын
Iko sahii
@Pendopasilika
@Pendopasilika 7 ай бұрын
He!! Ehe! hata kanguruwe kana madhara tena nakapendaga kumbe niache nisije kuharibu familia yangu asante kunifundisha leo nimejifunza kitu MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU
@ObadiaSimkoko
@ObadiaSimkoko 7 ай бұрын
Iwe na akili Kura ngurue sio dhambi WALA vingine visivyocheua someni Bible vizuri Sana inamapana yake
@Pendopasilika
@Pendopasilika 7 ай бұрын
​@@ObadiaSimkoko Barikiwa sana mtumishi kunielewesha nataka kujifunza
@onesmonaseebnakubal5350
@onesmonaseebnakubal5350 7 ай бұрын
Tatizo walokole waleo tunataka kujua kipi dhambi na SI dhambi akati tunatakiwa kumjua sana Mungu na yeye atatuongoza kupitia roho wake ​@@ObadiaSimkoko
@kisituclassicwear5246
@kisituclassicwear5246 7 ай бұрын
@@ObadiaSimkokokitabu gani cha biblia kilichoharalisha uraji wa nguruwe??? Ukisoma mambo ya walawi 11:7 nguruwe tumekatazwa
@floramongi1410
@floramongi1410 7 ай бұрын
Hata mimi sitaki kula nguruwe ni dhambi Mungu amekataza
@JoramKasenga-ig2gk
@JoramKasenga-ig2gk 7 ай бұрын
Mwanamke anaweza kuhubiri ila akifunika kichwa na asiwe amesuka Paulo aliwazuia wanawake kusalisha kwa sababu Wanavaa vyombo vya uzuri ambavyo ni machukizo kama wanja,mawingi,mapete,mabangiri ,mashanga,macheni,kusukanywele ,makucha kupaka rangi vyote ni vinyago masanamu kwa mungu
@user-we6vp8xf9g
@user-we6vp8xf9g 7 ай бұрын
Hizo ni nyakati za mwisho neno linasema nyakati za mwisho BWANA atamwaga roho wake kwa vijana hapo haijalishi ni WA kiume au wa kike watatabiri na wazee watatoa ndogo so MUNGU muache aitwe MUNGU ikiwa wakati umeisha anatumia yeyote ili watu watubu ingali NEEMA Bado ipo
@user-do2wb3rb7h
@user-do2wb3rb7h 7 ай бұрын
Nimenza kuelewaa
@gideonelishadai100
@gideonelishadai100 6 ай бұрын
PASCHAL UMEANZA KURUDI NYUMA KIIMANI, UMEANZA KUWARUDISHA WATU KWENYE TORATI YA MUSA KWA HABARI YA VYAKULA, UNAWATOA KWA KRISTO TARATIBU NA KUWAFANYA MAFARISAYO, TAFAKARI VIZURI. Maandiko yafuatayo yatakusaidia:- Soma: Marko 7:17-23; Matendo 15:19-29; Rum 14;1-4,14,17,20; 1Kor 8:8; Kol 2:20-23; 1Tim 4:1-5; Tito 1:15. MAFUNDISHO YA KUZUIA WATU KULA CHAKULA FLANI KAMA VILE NYAMA YA NGURUWE, SAMAKI FLAN AU KIUMBE FLANI NI "MAFUNDISHO YA MASHETANI" KWA KUWA YANAENDA KINYUME NA INJILI NA MAFUNDISHO YA BWANA YESU KRISTO NA MITUME WA KWELI WA KRISTO ALIOWAACHIA KANISA MWANZO.
@mariamlungu3507
@mariamlungu3507 7 ай бұрын
Hahahaha kaka pascAl soma Marko 7;19,,,, Hhhaaaaaaa ,Pombe ni dhambi but nyama ya nguruwe SI dhambi soma Marko 7;19
@marymdika439
@marymdika439 7 ай бұрын
Kama vyote vimetakaswa waweza kula, kula nyama ya mamba kwa imani hiyohiyo, neno hilo bado hujalielewa ndo maana kuna wanyama ukila nyama yake inaua
@marymdika439
@marymdika439 7 ай бұрын
Kuna wanyama ukiwala wataharibu mwili wako
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 8 ай бұрын
Hamwezi kukinywea kikombe cha Bwana na kisha mkakinywea kikombe kinachotukuza mashetani. Na machukizo usitie ndani ya nyumba yako, usije wewe kuwa kitu cha haramu mfano wake; ukichukie kabisa, na kukikataa kabisa; kwa kuwa ni kitu kilichoharimishwa. Kweli kabisa mtumishi watu wamesahau na Mungu wanakula wanavyopenda, wanafanya wanavyotaka, ndio maana unaona wanaona mke kwa mke, mume kwa mume chukizo mbele za Mungu. Yesu alisema na vile vile kulikuwa siku za Nuhu hivyo ndivyo kutakuwa wakati wa mwana wa Adamu. Ubarikiwe sana kwa kazi njema unayofanya.. Mungu atembee nawe nyakati zote.
@noelmtumishi7895
@noelmtumishi7895 7 ай бұрын
May one who listens this word should do hearing research
@Salmahozza-hj3ej
@Salmahozza-hj3ej 7 ай бұрын
Muombe joo davie
@AredFered
@AredFered 7 ай бұрын
Mimi kanguruwe sikaach jaman Mungu atanisamehe
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 7 ай бұрын
Tupo wengi kumbe😂😂🙌🙌
@AredFered
@AredFered 7 ай бұрын
Yan kwa hilo mmmmmmh labda yesu mwenyewe ndo afanye yake
@AredFered
@AredFered 7 ай бұрын
@@pastorteddywaziri5754 lakini pastor si nyama ya nguruwe Yesu alitakasa
@user-fm2mq6mx9f
@user-fm2mq6mx9f 7 ай бұрын
Umeonaeee😅😅
@johnzacharia
@johnzacharia 7 ай бұрын
Siyo kweli, nguruwe siyo dhambi asome habari za Petro,Mungu alimshushia wanyama ili achinje ale na alijibu siwezi kula najisi, na Mungu mwenyewe alimwambia nilichokiumba usikiite najisi, nadhani wainjilisti na Wachungaji nimuhimu kupita shule ya biblia ili kunolewa vizuri lasivyo watahubiri mambo mengi ambayo niagano la kale na nikivuli Cha agano jipya
@habililailo271
@habililailo271 7 ай бұрын
nifafanulie na Marko 7 :18 -19 na 20-23
@salomemakene9241
@salomemakene9241 7 ай бұрын
Anadili na wachungaji sana🤣🤣
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 7 ай бұрын
Nina swali mtumishi wa Mungu je, mwanamke kuwa mchungaji ni dhambi?
@marymdika439
@marymdika439 7 ай бұрын
Ila katika Biblia hakuna sehemu mwanamke alikuwa mchungaji, soma mwanzo hadi ufunuo
@user-we6vp8xf9g
@user-we6vp8xf9g 7 ай бұрын
Debora na Miriam walikuwa manabii kwahyo soma vizuri na wew
@Spark8Technoo
@Spark8Technoo 8 күн бұрын
Ndio kbs hunaongea ukweli
@user-ll3zu8lz4y
@user-ll3zu8lz4y 7 ай бұрын
Wee Wacha mandiko yanasema aje wakorosai bili kumi na sita mtu asiwahukumu kuhusu viakula Wala sabatu Wala miadamo ya mwezi wewe ni muongo unapotosha watu hujui katika Imani kunae roho mtakatifu abae anaelekeza kodoo za mungu hizo una hubili ni polojo Wacha kabisa
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 7 ай бұрын
Nina mauwa yako
@alexishakiza7576
@alexishakiza7576 7 ай бұрын
GMO food
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 7 ай бұрын
Mbuzi wapo, ng'ombe wapo kondoo wapo hata kuku wapo!! Swali, kwanini nile nguruwe? Au paka au mbwa? No no no!! Sili kamwe!! Amen!!!
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk 7 ай бұрын
Kama hauli sawa umefanya vema na hutahukumiwa, nae alae amefanya vema nae hatahukumiwa. Ukitaka maandiko naweza kukupa.
@EBENEZEREMMANUELtv
@EBENEZEREMMANUELtv 7 ай бұрын
Kwahiyo alie umba mbuzi sie alieumba nguruwe? SOMA WARUMI 14:1_5
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 7 ай бұрын
​@@EBENEZEREMMANUELtvNguruwe hana shida kabisa asante kwa maandiko
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 7 ай бұрын
​@@EBENEZEREMMANUELtvvitu vyote ni halali lakin si vyote vina faa,so kitu ambacho kilikarwazwa na BWANA kisiliwe ukila hua unajichafua,na kumbuka mwili wako ni hekalu la MUNGU je ukilichafua
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 7 ай бұрын
@@EBENEZEREMMANUELtv si kila kitu ni kula tu!! No plz!! Mbuzi yupo!!
@AwaziRajab
@AwaziRajab 7 ай бұрын
Video Za Kucheza Uchi Bai Koko Singeli Video Za Ajabu Zinapley Bila Neno Lakini Video Za Wana Siasa Watu Wa Dini Zinagoma Kupley Najiuliza Hi KZbin Imetoka Duniani Au Sayari Ya Wapi
@user-vt3vw8mp1w
@user-vt3vw8mp1w 6 ай бұрын
uwe unalusha na tkt
@boazambokile2587
@boazambokile2587 7 ай бұрын
hata sisi wapagani nguruwe hatuli 😅😅😅
@godlovemalekela17
@godlovemalekela17 7 ай бұрын
🎉
@juliusjoseph6320
@juliusjoseph6320 7 ай бұрын
Casian kila kitu chini.ya jua ni halali ndo maana vinauzwa
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 7 ай бұрын
Si kwa mienerg si nzurii coca cola pia sinzur
@marymdika439
@marymdika439 7 ай бұрын
We puuza neno saivi, ila Mungu akiamua kukufundisha mwenyew utaelewa chapchap sana, Kama Mungu ametaka uelewe neno hili atakufundisha mwenyew
@user-vt3vw8mp1w
@user-vt3vw8mp1w 6 ай бұрын
na vipi kusu loshen na poda tu nazo tumia nimbaya
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 7 ай бұрын
Kwenye nguruwe mtumishi Hapana haina shida
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 7 ай бұрын
Mmmm soma bible utaona haliwi
@user-rt2cc1uz9w
@user-rt2cc1uz9w 7 ай бұрын
Nilikuwa nimelala na sikiliza mahubir haya nikajikuta rohon roho yangu inatanga tanga
@user-rh5yn3bc1o
@user-rh5yn3bc1o 7 ай бұрын
Hata hela ni haramu? Maana inaua sana
@floramongi1410
@floramongi1410 7 ай бұрын
Less ukiitumia vibaya ndio inaonekana ni mbaya biblia inasema usiipende sana less ila ukiitumia vizuri haina shida
@PaschalKabizo
@PaschalKabizo Ай бұрын
Nahitaji namba yako ya whatsapp mtumishi nitaipataje?
@AwaziRajab
@AwaziRajab 7 ай бұрын
Video Kutokupley Tatizo KZbin Au Weifa Nijue Kama Weifa Niachane Na Kampuni Yao Feki
@daphnemasogange7353
@daphnemasogange7353 8 ай бұрын
My self I love dog meat
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 7 ай бұрын
Watu Mpaka Kumuerewa Pascali Si mchezo Yan anatamani woote tyyuende MBINGUNI kiukwer tuache zambi Na Kujitakasa Napia Machukizo kwa MUNGU tutaache jamani nimuhimu ayamaonyo tyuyafuate na Kwenye Biblia tutii maonyo Ili twende MBINGUNI WOTE SIKU YAUNYAKUO
@TRUEHUBBY
@TRUEHUBBY 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Salmahozza-hj3ej
@Salmahozza-hj3ej 7 ай бұрын
Unatafuta Kiki kwa pikipik😂😂😂
@user-no2hd9ew9m
@user-no2hd9ew9m 7 ай бұрын
Wewe ndio unatafuta Kiki na akili yako iliyokosa uelewa na akili
@marymdika439
@marymdika439 7 ай бұрын
Mungu akusamehe tu, Maana atakapoamua akufundishe mwenyew mbona utakuwa mpole sana
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 7 ай бұрын
Mimi binafs Bado namtfakari huyu pascal ,!! why ? kanisa lake liko wapi ? Wote anaowasema ni kweli kuwa wote ni WA shtani na eye pekee ndye wa yesu ? mbona baadhi ya anaowasema wanaitumia biblia vizuri ? Sasa sahihi ni yeye pekee ? Mfano : Hivi alivyomsema mwamposa ,! mbona hajaonyesha au. kufafanua ?mapungufu
@marymdika439
@marymdika439 7 ай бұрын
Sio anawasema vibaya, ila anatoa angalizo kuwa ziko ibada zinazofanyika kwa kuongozwa na nguvu za giza, wewe bado huhitaji miujiza unahitaji kusoma neno la Mungu kwanza, utakuja kumuelewa mtumishi huyu
@MussaSamwel-dk2fl
@MussaSamwel-dk2fl 7 ай бұрын
​@@marymdika439mungu akulinde kwa kuwa elewesha watu
@user-we6vp8xf9g
@user-we6vp8xf9g 7 ай бұрын
Mpenz huu wakati sio wa kucheza sio Kila mtu anaetoa miujiza na ishara ni WA kweli jamni YESU anarudi Kila mtu asimame nafasi yake ,,wengi kinachotuponza tunapend sana miujiza jamn siku zimekwishaa
@user-cu5pr5ri9z
@user-cu5pr5ri9z 4 ай бұрын
Mtumishi nguluwe si najisi basi maandiko yanasema usimuhukumu alae kisicho mtoka na kila alicho kiumba Mungu kimebarikiwa,nakushauli nenda chuo cha Theorogia
MCHUNGAJI HUYU NA MKEWE WAMETUMWA NA SHETANI KUPOTOSHA WATU  EV PASCHAL CASSIAN
31:28
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 9 М.
KILISIMASI NI SIKU KUU YA MASHETANI SIO YA WAKRSTO EV PASCHAL CASSIAN
1:05:30
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 33 М.
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 6 МЛН
CASSIAN ACHUKIZWA NA WASABATO AWAJIA JUU EV PASCHAL CASSIAN
19:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 12 М.
ORODHA YA MANABII WAKUZIM HII  HAPA EV PASCHAL  CASSIAN
4:29
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 53 М.
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 420 М.
KIFO CHA MAKOMDA? EV PASCHAL
25:48
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1 М.
PAT1WANDISHI HABARI WAMIMINIKIA PASCHAL KUHUSU JODEVI NABII MKUU  MWAMPOSA
13:23
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 31 М.
SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA  WAIBIKA  HAZARANI  EV PASCHAL CASSIAN
1:02:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 63 М.
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47