PART 2: MBELE ya KIKWETE, Mzee MAKAMBA Asimulia VITUKO, MIKASA WALIYOPITIA na BABA YAKE NAPE VITANI!

  Рет қаралды 137,813

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

PART 2: MBELE ya KIKWETE, Mzee MAKAMBA Asimulia VITUKO, MIKASA WALIYOPITIA na BABA YAKE NAPE VITANI!
LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 307
@fredybasleymrema4737
@fredybasleymrema4737 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuongezee maisha baba. Hakika kuna kitu cha kujifunza baada ya kuangalia hii.
@karaoglan9444
@karaoglan9444 2 жыл бұрын
Strong memory...Mzee Makamba is very genius! Udumu na kudumu!
@augustinesimwiya9091
@augustinesimwiya9091 2 жыл бұрын
Asanteni kwa kumbukizi hii ya Mzee wetu MOSES NNAUYE imetujuza mengi ya Muhimu kuhusu Nchi yetu🇹🇿🇹🇿🙏
@loner_wolf
@loner_wolf 2 жыл бұрын
Ww unatafuta uteuzi au kichwa ya kitumwa tu uliyobeba kichwani , au msomi sana mwenzetu ,maana wasomi siku hz ndio wameoza kbsa hahahahaaaa .
@geraldmwandolela8535
@geraldmwandolela8535 2 жыл бұрын
Mzee hakika Asante kwa Elimu na kufundisha kuweza kuelimisha vijana na wengi tutajifunza kupitia huo ujumbe Mungu azidi kuwabariki daima wazee wetu
@erickford9324
@erickford9324 2 жыл бұрын
Sasahiv wanaonekana mungu anawaona
@richardkamota859
@richardkamota859 2 жыл бұрын
Yani nimeipenda hii stori sana, mungu awabarik
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 7 ай бұрын
Shikomoo boss wangu ewe rafiki Mkuu. Ni Kikwete ndugu yangu kwako najitupa puu. Nisamehe kosa langu, Moyoni si juujuu. Nilikusengenya ndugu, kwenye simu kuukuu. Nahofu sana kwa Mungu nisichomwe huko juu. Mkali moto wa Mungu, siyo moto wa kifuu.
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 жыл бұрын
Wakati wa magu mlikua hamuonekani kimya
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Mungu anawaona
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 2 жыл бұрын
Kabisa
@ndamarevocatus4918
@ndamarevocatus4918 2 жыл бұрын
Kila aliyezaliwa ndani ya Nchi apewayo na Mungu hutoa mchango wa kuijenga kwa nguvu zake zote. Yusufu wala sina shaka na kazi zako Mungu akubariki
@francisibrahim2206
@francisibrahim2206 2 жыл бұрын
Kosa moja kubwa sana wanalolifanya wanasiasa ama kwa sababu ya ujinga wao au kwa masilahi yao binafsi, ni kushindwa kufahamu kuwa moja ya tunu na nembo za taifa letu ni pamoja na Rais wa awamu ya 5. Mwanasiasa yeyote anayejitoa ufahamu wa kutaka kufifisha uongozi uliotukuka wa awamu ya 5, ajue anapambana na nguvu ya umma!
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Hujitambui wewe
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 2 жыл бұрын
Ibrahim hujitabui, toa blanket usoni kumeshakucha.
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
@@josephatkajange8714 magufuli anakuwaje tuna ya taifa embu acheni utoto
@hassankurwa464
@hassankurwa464 2 жыл бұрын
Hakika hakika. Nchi ina chezewa sasa na Watanzania tunakubali huu Ujinga?
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
@@hassankurwa464 watu kukutana ndio kuchezea nchi?
@loner_wolf
@loner_wolf 2 жыл бұрын
Kwahiyo mzee unamaanisha nini ? Mbona kama stori haitoshi ninyi kujimilikisha taifa hili ...... Yaan hivyo tu itoshe ninyi kujimilikisha na kurithishana nchi hii kweli ..... Hakika mungu atawaumbua mmoja mmoja na kwapamoja as you are.
@mashashpastory7467
@mashashpastory7467 2 жыл бұрын
Wala hiyo siyo sababu ya kuifanya hii nchi kuwa pango la walanguzi.
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Una ushahidi wa unayotuhumu ?
@happinessmsila1896
@happinessmsila1896 2 жыл бұрын
@@itwaaky75 yes anao hao ni kundi la wezi na ndiyo wanaoua viongozi wenzao hiyo ni sherehe kwa kufanikiwa humuua mkapa magufuli na wengine .so dont think were stupid. No were not
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
@@happinessmsila1896 inabidi ukamatwe ukatoe ushahidi
@Werema3760
@Werema3760 2 жыл бұрын
Mmmh aya bana apanguae ni Mungu pekee hata mwanadam ajitahidi vp haitachukua muda!!!
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 2 жыл бұрын
Kazi wameshaimaliza sasa ni muda wao kujitokeza
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Breaking news - jambazi sugu limezikwa chato
@lameckzakaria2297
@lameckzakaria2297 2 жыл бұрын
Wauaji
@tanstudiotv
@tanstudiotv 2 жыл бұрын
Unafiki aiseee kazi sana!
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 2 жыл бұрын
Kazi tunayo, maana hichi kikundi Sina imani nacho kabisa.
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 7 ай бұрын
Hongera sana Mhe Mzee Yusufu Makamba kwa Hotuba hiyo nzuri na kuweza hadi kuwachekesha kina mhe daktari Kikwete jamani.
@karaoglan9444
@karaoglan9444 2 жыл бұрын
Makamba,JK na Kinana..watu muhimu Sana kwa nchi hii
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Nchi hii haya bwana sema historia nzuri kweli
@SoudyBrown
@SoudyBrown 2 жыл бұрын
Mzee Makamba Bana anafurahisha anaelimisha 😂
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 7 ай бұрын
Hongera bwana Yusufu Makamba la mwisho jina . Hakika tunakusifu, uimbaji wenye vina. Tungo zilizosafifu, mahiri kama kijana. Atakae kukashifu ni mjinga na laana. Amepotezq mkufu na ni kama dini Hana.
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Hakuna Siri Duniani Hapa haitafichuliwa....
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Wapigaji wa taifa. Wameifanya Tanzania kama mali yawo binafsi. Mungu atawahukumu.
@ahmadkilili4204
@ahmadkilili4204 2 жыл бұрын
Kufa kwa nja hko
@katangaminerals8047
@katangaminerals8047 2 жыл бұрын
Wamerudi
@ismailchongera9812
@ismailchongera9812 2 жыл бұрын
Mungu yupo wanahc nchi mali yao
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Kwenda zako jambazi kuu limezikwa chato 😂😂😂
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
@@ghoststpatrick9878 mbona umehamaki? Ukweli unauma?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 ай бұрын
Dah!
@getitdoneright1938
@getitdoneright1938 2 жыл бұрын
Bring back professor Asad
@msafirisehaba270
@msafirisehaba270 2 жыл бұрын
Mzee Makamba umetukumbusha sehemu ya Historia ya Nchi yetu asante Baba. Barikiwa Sana tusingeyajua haya yote
@elipidtesha5466
@elipidtesha5466 2 жыл бұрын
Safi sana viongoz mmetutoa.mbalimwenyez.mungu zid kuwalinda upendo dumu asijetokea mtu tena wa kutuondolea utu heshima na upendo
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 2 жыл бұрын
Safi Sana kila Jambo Lina waanzilishi
@geofreyambakisye767
@geofreyambakisye767 2 жыл бұрын
Hicho kikosi jaman sijui!!
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 2 жыл бұрын
Kipo vizuri sana hicho kikosi cha watu wakale…
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
NYERERE anawaona
@umayanasir8052
@umayanasir8052 2 жыл бұрын
Comredy upo!
@yonnasingogo5877
@yonnasingogo5877 2 жыл бұрын
They are happy now!
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Why not jambazi kuu SI limekufa? 😂
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 2 жыл бұрын
They are so happy sasa hivi wanajimwambafai wezi wakubwa mabepari wa Tanganyika hawa
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
@@teddyoscar6876alaaa kumbe kama mwizi wa chato 😂😂😂
@azaellivingston7415
@azaellivingston7415 2 жыл бұрын
Hi ndiyo kamati ya roho mbaya utazani wazuri lakini?
@superangeltv4615
@superangeltv4615 Жыл бұрын
ccm inawenyewe
@godsonndamgoba8053
@godsonndamgoba8053 2 жыл бұрын
Aaa watetezi wa wanyonge
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 2 жыл бұрын
Brother Code never break
@fikirinyanda6805
@fikirinyanda6805 2 жыл бұрын
Kwakweli mnafuraha sana dah!
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 2 жыл бұрын
Umeliona hilo
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 жыл бұрын
Haka kameseji kako kamenifurahisha, 🤣 🤣 🤣
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 жыл бұрын
Ndio maana MABUSHA nnje nnje
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Majambazi nyie tumeshajua kwann mnaichezea nchi, urafk wenu ndo ututese sisi, watu wanakufa watu wanazaliwa acheni kupeana vyeo Kisa kujuana (
@nestor384
@nestor384 2 жыл бұрын
Genius
@jumahamis227
@jumahamis227 2 жыл бұрын
Wameipigania sana hii inchi lakini na ku serve kwenye jeshi tena kipindi cha vita, wanastahiki heshima zao hawa wazee , hata kama hamuwapendi, ila vyeo kwa kweli vitolewe kwa uwezo na sio upendeleo wa kujenga undugulisation.
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 жыл бұрын
Juma Hamis, waeleze wajue na waache chuki zao.Hawa majemedari wameipigania nchi kwa hali na mali hadi vitani wamekwenda kwa ajili ya nchi lkn hawajisifu.Hata hao wanaotukana Leo wasingekuwepo Kama sio hawa wazee.Wengine hawajatoka jasho kwaajili ya Taifa hili Bali wanataka kujinyakulia umaarufu wa majemedari hawa kwa kuunda vikundi vya kuwatukana na kuwavunjia heshima.
@yeshuasweapon4384
@yeshuasweapon4384 2 жыл бұрын
@@jumahamis227 mbona makomandoo wertu waloiuliwa Sudan na Congo hawajapewa harambeee
@jumahamis227
@jumahamis227 2 жыл бұрын
@@yeshuasweapon4384 wanastahiki kupewa heshima sana,ila nilivyoona hapo baba yake nnape hasherehekewi kwa sababu ya kijesh tu,ila ni kwa sababu ya mchango wake kwenye harakati za chama na nchi kama utunzi wa nyimbo za uzalendo na malezi ya viongozi wa chama.
@rachidkidugo1127
@rachidkidugo1127 2 жыл бұрын
Nikiwaona Hawa jamaa nakumbuka umeme tabu Maji tabu nchi inanuka rushwa watu wanazurumiwa viwanja hakuna Haki Mzee ditopire ariua dereva. Wadaradara kwa bunduki kesi hakuna
@henrytibendelana9774
@henrytibendelana9774 2 жыл бұрын
Asante Rachid tuliteseka Sana henzi hizo
@jituakilimali15
@jituakilimali15 2 жыл бұрын
Wezi wakubwa
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Wamekuibia nini??
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 2 жыл бұрын
Wamekuja wote sasa…! Lakini ushaidi hakuna, na kweli ushaidi HAKUNA…, kazi mlioifanya kwa kweli M/Mungu aendelee kuwalinda. Andika kitabu mzee Makamba
@richardmziba55
@richardmziba55 2 жыл бұрын
Maandalizi ya "ngoma ya mshosho" !
@obediifanda3117
@obediifanda3117 2 жыл бұрын
Nyie hayeni tu
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 2 жыл бұрын
KWELI WATU MMETOKA MBALI SANA MNASTAILI PONGEZI , ILA MUWE MNATUADITHIA TUJUE ANGALAU MACHACHE
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 2 жыл бұрын
Mzee Makamba anaimba kwa kiGanda kizuri sana
@jacksonsaileni1219
@jacksonsaileni1219 2 жыл бұрын
Bongo raha sana
@kilelechaimani.8956
@kilelechaimani.8956 2 жыл бұрын
Hapa mzee makamba anapanda mbegu ya undugulization je watoto wa mzee kanani uko kijijini watashikwa na Nani?
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 3 ай бұрын
Mzee, makamba achana na story za paukwa na pakawa huku mkifisidi na kulihaibu taifa
@mdimimdimi4282
@mdimimdimi4282 2 жыл бұрын
Staki kuyaona mazee hayo,Anko MAGU angekuwepo asingeruhusu majambaz yaongee utumbo wao hapo.jinga xn
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 жыл бұрын
Asiyetaka kumuona Binaadamu Bora ujichimbie aridhini maana DUNIANI ya MUNGU. Usiyempenda ndio anaishi muda mrefu
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Jambazi kuu sugu limezikwa chato 😂😂😂 halleluja
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 2 жыл бұрын
Kumbe mlikuwa mnatengeneza logistic za kuwapa vyeo watoto wenu!!!
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 2 жыл бұрын
MMMM! NDO MAANA WAZEE MMEUMIA SANA WAKATI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO...TUSAMEHEANE TU...MEMA TUYAFURAHIE...
@gidionpaul152
@gidionpaul152 2 жыл бұрын
Kilakitu kinamwisho wake Sasa mwisho uwe mzur mbeleza muumba wetu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
Zee hili😮
@MakameAbdallah-wn3hc
@MakameAbdallah-wn3hc 9 ай бұрын
Ukiona vyaelea vimeundwa hawa wazee wamefanya kazi. Msikae mkiwatukana ni watu wa kuwaenzi sana. Wamefanya kazi kubwa sana. Tulipovamiwa na Idi Amin wazee hawa ni miongoni mwa waliojitoa mhanga kuikomboa ardhi yetu na kutufanya Tanzania tuonekane kuwa si nchi ya kuchezewa Hongera sana wazee wetu mliopo hai hadi leo Wanaokusemeni kwa ubaya wana lao jambo.
@miltonjohn1402
@miltonjohn1402 2 жыл бұрын
Wauwaji
@ooafrica3626
@ooafrica3626 2 жыл бұрын
Sasa baba ake nape anatuhusu nini
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 2 жыл бұрын
Huwezi kujua wewe mtoto mdogo
@kurejeakatikamaandiko558
@kurejeakatikamaandiko558 2 жыл бұрын
@@slowclimbertothetop4572 sure
@fadhilikavindi5385
@fadhilikavindi5385 2 жыл бұрын
Hii ndio timu yenyewe
@barakamwakapoma2702
@barakamwakapoma2702 2 жыл бұрын
Hahahahaha
@emanuelkenethkanyela9137
@emanuelkenethkanyela9137 2 жыл бұрын
Wakati wenu huu r .i.p jpm mzalendo namba moja tanzania
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
You mean mpigaji namba Moja Tanzania fala sana we jamaa 😂
@allymadunda7931
@allymadunda7931 2 жыл бұрын
Mtukumbe hajaenda vitani halafu anatukana wazee vijizee vinawashwa
@cidewashington670
@cidewashington670 2 жыл бұрын
Kikosi Kazi cha mizee iliyopora mali za Watanzania
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 жыл бұрын
Kina Sabaya au Wasiojulikana au 😳😳Hatari sana hii. Kwa MUNGU hakuna Cheo
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Lol na yule jambazi sugu wa chato veepeee 😂
@mkudeevarist9603
@mkudeevarist9603 2 жыл бұрын
Kaongea nini chamaana?
@billgussy6099
@billgussy6099 2 жыл бұрын
Kila jambo na wakati wake usitukane mamba kabla hujavuka mto..hawa wazee walisahaulika kabisa awam ya 5
@christianchando7041
@christianchando7041 2 жыл бұрын
Una visa ww, walisahaulika kivipi?
@adammwamba9177
@adammwamba9177 2 жыл бұрын
Aiseee......watu muhim Sana ktk taifa hili mnastahiki kuheshimiwa Sana na kila atakae shika madaraka nasio kuwabeza kanakwamba hamjafanya lolote na amna umuhim wowote....
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
Mbele za mungu hawana hata ndururu ya kujivunia malaika atafukua kitabu atarudia atachoka sifia hapa hapa duniani laana wa kubwa hawa wamefikia hatua ya kumzihaki mungu kuapa kwakushika vitabu kwamba hawatatia siri za IKULU KISHA WANAZITOA THE GRUP OF THE DEVO HAWANA HAYA HATA MBELE ZA MUNGU KISA UTAJILI WAHESHIMIWE KWA MAKUNDI YAO YA UOVU NA KUPIGA MACHINGA NA KUWAACHIA WASANII WANAO IMBA NYIMPO MBOVU NA NGUO NUSU UCHI?
@adammwamba9177
@adammwamba9177 2 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 Kati yao Kuna hata mmoja uliemuona akivunja kibanda au kumpiga machinga yoyote?..... Akili za kuambiwa changanya na zako,mbona aliekuwa kiongozi wa awamu ya tano alivunja nyumba za mabondeni na barabarani ila hakuna alie ongea....kuhusu machinga kuwepo mjini tena kwenye njia za wapita kwa miguu nisawa na kwako ukute shemeji kajenga Banda la bata chumbani kwako
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Halafu Mkazaa Machawa na walafi wa Madaraka
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Nonsense. Hata km huyo delila wenu kawaingiza sasa, mtajuta. DAMU YA NYERERE +JPM ITAENDELEA KUWATAFUNA.
@gracekaboigora189
@gracekaboigora189 2 жыл бұрын
Mlikuwa na upendo wa hali na mali,january na nape mmejifunza kitu???
@seifsungura6936
@seifsungura6936 2 жыл бұрын
Mhh kumbukizi..... Jambo jema
@thelezamathias1678
@thelezamathias1678 2 жыл бұрын
Mmh
@sudiyahya9276
@sudiyahya9276 2 жыл бұрын
Kikosi
@jamesmgimba7403
@jamesmgimba7403 2 жыл бұрын
Hii kumbukizi imeanza lini?
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Tanzania tumetekwa
@sudiyahya9276
@sudiyahya9276 2 жыл бұрын
Lakini hatawazaziwetu walifia huko,nahizonyimbo ziliimbwa mpaka mashuleni,
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Tusiwasahau wazee hawa... Yapo mengi wamefanya kwa nchi hii...japo Watoto wao viburi Ni vingi kwa ajili ya heshima za baba zao... Hekima zenu Zina tuzo kwa Mola .. éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 2 жыл бұрын
Makomledi Mungu Awabariki sana Kiongozi yeyote yule Awaye Kama Akikosa Heshima kwa Wazee wa Nchi yake na (akaridhia Watukanwe na Kigenge cha wahuni) huyo ni bure Hafai kabisa
@arthakasiba4360
@arthakasiba4360 2 жыл бұрын
I love this Mzee..haki
@kaisimwantindili397
@kaisimwantindili397 2 жыл бұрын
NCHI IMECHAFUKWA, HATA SHEREHE ZA UMBEA HUFANYIKA.
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Alaa why not jambazi kuu limezikwa chato 😂
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Panya akiondoka paka utawala. Mazee wa majungu na watoto wao si hawa ndio walikuwa wanampikia majungu mwanamapinduzi son of africa Mzalendo JPM . Mungu mlaze mahali pema peponi JPM 🙏🏽🙏🏽
@amiribakari2528
@amiribakari2528 2 жыл бұрын
Mzee leo umesema mengu akupe umri mrefu
@solomonilukumai8856
@solomonilukumai8856 2 жыл бұрын
Sikuwah kujua historia ya mzee nauye!aiseee
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 жыл бұрын
Dah,inatia raha Sana!Wazee wanazungumzia namna walivyolipigania Taifa hili Tena ktk mstari wa mbele vitani halafu wajingawajinga wasio mwaga jasho kwa taifa hili wanataka kuifuta historia ya wazee hawa.Mungu awalinde wazee wetu.
@mrishogange4276
@mrishogange4276 2 жыл бұрын
Wote waliokutana hapo n mbwa tu
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Mbwa koko kazikwa chato 😂
@amnewarji1707
@amnewarji1707 2 жыл бұрын
Mbwa ninyi mnao watukana wazee wetu
@feruzimbingo1234
@feruzimbingo1234 2 жыл бұрын
Hawa ni wanajeshi lakini yule JKT alijiona ni kamanda zaidi
@mrematvbabakoku8336
@mrematvbabakoku8336 2 жыл бұрын
Ukiniuliza kati ya huyu baba na mwanae nani awe raisi mimi namchagua huyu gingi leee
@praygodmtui1407
@praygodmtui1407 2 жыл бұрын
Watoto wa mjini wote mko hapo makonda uliwaheshimu sana wastaafu
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 2 жыл бұрын
Kama kampongezano hivi uku tukipewa story taratiiiiibu,dj lete kale kamzik ketu
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Mpongezano wa nini?
@umayanasir8052
@umayanasir8052 2 жыл бұрын
Hazina hii
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 2 жыл бұрын
Kiaxi hixtoria na vicheko vitawale maana Magu alitixha enzi zake
@radaonlinetv1922
@radaonlinetv1922 2 жыл бұрын
Nchi hii inatoka mbali xna
@daudimlamka1239
@daudimlamka1239 2 жыл бұрын
Hii team mmmh🤔
@simongwandu7392
@simongwandu7392 2 жыл бұрын
Wapigaji hao
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Mpigaji mkuu amelala chali chato 😂
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Siku zote mlikuwa wapi kusimulia hadithi zenu kweli chuma n kimoja tu Africa
@meshackmadema781
@meshackmadema781 2 жыл бұрын
Hiki nikikudi kwaajiri ya manufaa Yao wenyewe na wapo kuinyonya hii nchi
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Acha kupotosha
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 2 жыл бұрын
Kweli kabisa, nani anataka story hizo, za nini? Ni kwa ajili ya manufaa yao kweli
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
@@teddyoscar6876 umelazimishwa kusikiliza?
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Watu wametoka mbali na CCM yao
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 жыл бұрын
Tumesha wajua kwahiyo mwendo ni huoo huoo tuu inchi niyaoo wao tuu kwani ndo wao walio pigania uhuru tuu mbona kuna kina generally mayunga Wako kimya na watoto wao hawajulikani ? Nyie nikinanani muwe mwiba kwa inchi yetu wote ?
@simonmajengo4025
@simonmajengo4025 2 жыл бұрын
Hivyoooo
@tsaonethapelo6373
@tsaonethapelo6373 2 жыл бұрын
Hii ndiyo timu iliyomuondoa JPM
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Una ushahidi?
@tsaonethapelo6373
@tsaonethapelo6373 2 жыл бұрын
@@itwaaky75 muulize hata mama yako atakwambia
@ghoststpatrick9878
@ghoststpatrick9878 2 жыл бұрын
Safi sana kutuondolea jambazi sugu chato gang 😂
@filbertivo1988
@filbertivo1988 2 жыл бұрын
Watu warudisheeee mifumoooo yaoooo na kooo zakooo😆😆
@mikidadiibrahimlikenji6562
@mikidadiibrahimlikenji6562 2 жыл бұрын
Nyie wzee mbona unatukosesha furaha kwenye in hi yetu? Kwaiyo kwa kua uliibigania tanzania ndo amtaki kuiachia mpaka mufe Co? Mbona weng wamejitoa kwa ajili ya tanzania jaman 😢😭😭
@itwaaky75
@itwaaky75 2 жыл бұрын
Kwani wameishikilia?
@fatmaally217
@fatmaally217 2 жыл бұрын
Hata haya hayana hayo majitu
@mokhimji
@mokhimji 2 жыл бұрын
watu wakupiga story na kujenga bank balance
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 16 МЛН
бесит старшая сестра!? #роблокс #анимация #мем
00:58
КРУТОЙ ПАПА на
Рет қаралды 3,3 МЛН
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
Azam TV - Mzee Makamba awasha moto tena, ampiga dongo Lowassa
12:52
Salamu za Mzee Makamba
9:50
KKKT DKMS Online TV
Рет қаралды 152 М.
Kauli ya Yusuf Makamba Kwa Askofu Gwajima
18:28
SIMU. Tv
Рет қаралды 346 М.