PROPHECY MWANZA

  Рет қаралды 455

Prophet Edmound Mystic

Prophet Edmound Mystic

13 күн бұрын

PROPHECY MWANZA

Пікірлер: 15
@RuthRobert-vb8vz
@RuthRobert-vb8vz 4 күн бұрын
Uko mwanza sehem gani
@SophiaMlau
@SophiaMlau 11 күн бұрын
Amen mtumishi
@emilymakange3580
@emilymakange3580 11 күн бұрын
Glory to God Our Highest.
@julianmbise3797
@julianmbise3797 11 күн бұрын
Ameeen
@monicamichael-sr4kx
@monicamichael-sr4kx 10 күн бұрын
mtumishi naomba nisaidie sifanikiwi nafanya maombi ya kila namna na ninatamani kusapoti kazi ya mungu zaidi sana naishia kuota nakota noti chakavu naitwa monica nipo singida
@PrinceCharlz-vv1zs
@PrinceCharlz-vv1zs 9 күн бұрын
tafuta madhabahu yenye nguvu za Mungu kweli kweli na mtumish mwenye nguvu na uendelee na utumish zaid
@monicamichael-sr4kx
@monicamichael-sr4kx 9 күн бұрын
pastor haipiti siku mbili sijaota nipo madhabahuni mara napewa ratiba za ibada yaani naalikwa nishiriki mara nafanya usafi madhabahuni lakini me mkatoliki nikiangalia pia sioni mwanya wa nini nifanye na nani nimwambie sijui mungu anataka nifanye nini???
@PrinceCharlz-vv1zs
@PrinceCharlz-vv1zs 8 күн бұрын
@@monicamichael-sr4kx Endelea mbele usikate tamaa hata mm nilikuw napitia mambo Mangum sana kipind kirefu sana ila saiv mambo ni Supa
@monicamichael-sr4kx
@monicamichael-sr4kx 8 күн бұрын
amen nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu
@RuthRobert-vb8vz
@RuthRobert-vb8vz 4 күн бұрын
Mtumishi upon mwanza sehem gani
@rassanleezedon6861
@rassanleezedon6861 10 күн бұрын
BINAFSI nilikuwa na shida, nikafanya mawasiliano kupata muongozo, ila swala la kutozwa kiasi cha 50000 hilo ndio swala lililopekea kuona ndio wale wale, kama mnatoza watu hela, na mnahukika gani kama hizo fedha zinatoka KWENYE vyanzo halali ? mwisho wa siku mnazipokea fedha za aibu...
@VictorJohn-fu7ch
@VictorJohn-fu7ch 9 күн бұрын
Changia huduma kuendesha huduma ni gharama ... Kama hauna uwezo sema watakusaidia
@edmoundmystic
@edmoundmystic 9 күн бұрын
Oh pole sana. Kuna watu wengi tu wasio na pesa na wananiona! Ila acha niseme kidogo kuhusu wewe unaye challenge pesa! Cha Kwanza: Nataka niamini kabisa kuwa pengine Mungu anatafuta mtu kama wewe atakaye anzisha kanisa na ujalijenga bila pesa yeyote! Bika shaka anamtafuta mtu kama wewe utakaye ondoa kipengele cha sadaka. Katika kanisa lolote ikiwemo Roman Catholic, yako mambo mengi mazuri sana lakini naona hayo yote hujayaona ispokuwa Sadaka! Mbali na sadaka ulipaswa kuwaza hiyo huduma inaendeshwaje, vijana wangapi wanasomeshwa na kanisa, bili ya maji wanalipa hela au maombi, kodi ya jengo wanatoa pesa au maombi kanisa linapowalipia kodi wajane linatoa maombi au pesa! Kuna machozi mengi nyuma ya kila huduma unayoiona hata hiyo pesa yako (elf 50) isitoshe jambo lolote. Mbali na kuwa taasisi inayopaswa kujiendesha; wewe tu, matumizi yako kwa wiki ni sh ngapi??unaitumia elfu 50 kwa muda gani? Pesa hiyohiyo, Angeichukua mganga, mwanasheria, surveyor wa ardhi au daktari wala usingelaumu licha ya Mchungaji mwenye machozi aliyekuombea ukapona. Kwani wachungaji wanapoenda dukani wao husamehewa wasitoe pesa kwa sababu ni wachungaji?? Au wakipanda gari huwa hawalipi nauli? Tuiombe serikali itufutie kodi kila mahali: Tuwe tuna pewa viwanja vya kuishi bure, viwanja vya makanisa bure, nk. As long as unaihitaji huduma ya Daktari, bila shaka huwa unambariki kwa dhabihu aliyotoa kupata maarifa aliyonayo yakakusaidia. Mwansheria Vivyo hivyo. Ila inapokuja kwa Mchungaji, hapo ndo mnatunga vitabu vyenu vinavyosema MCHUNGAJI HATAKIWI KUJIHUSISHA NA JAMBO LOLOTE LINALOHUSU PESA! Hii ni sawa kweli?? Umewahi kuwaza wewe uwe boss wa shule ya watoto, Mimi mchungaji nikamleta mwanangu aanze masomo kwenye shuke yako: hivi huyo mtoto wa mchungaji ataondokewa ada kwenye shuke yako?? Acha kujitoa kuwaonea watumishi wa Mungu. Wana machozi mengi kuliko unavyodhani. Wanakesha hawalali kuliko usingizi wako! Na kuna wengine kwa sababu ya maombi yao, uko hapo ulipo. Pesa si kitu hapa duniani. Lakini tunaihitaji kwa kila jambo ikiwemo huduma. Pasipo pesa yako HAKUNA HUDUMA INAYOWEZA SIMAMA POPOTE!!
@JOSHUAMWAKALAGO
@JOSHUAMWAKALAGO 9 күн бұрын
Alafu pia si lazima kumuona nabii. Ziko ibada nyingi sana kama J2, Alhamisi na zingine nyingi ambazo zinatolewa bure kabisa. Kwa nini ulitaka private moment na Nabii? Ulitaka asimamishe ratiba zake aje akuone. Kuna shida gani ukichangia Huduma? Habari njema ni hii WATUMISHI WOTE WASIOITAKA PESA YAKO HAWANA MAJIBU YAKO. MWISHO WA SIKU UTARUDI KWA HAWA HAWA UNAOWAPONDA. NA NDO MAANA Mungu ameruhusu watu kumuona katika ibada Ila kumuona kibinafsi SI RAHISI. LAZIMA ULIPE GHARAMA
@naturelle1097
@naturelle1097 7 күн бұрын
​@@edmoundmysticvery valid points Mtumishi. Tunapaswa kutoa sadaka pasipo manung'uniko.God have mercy upon us.
kupokea nguvu mpya
17:25
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 301
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 127 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 116 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
NABII ATOA UNABII PART TWO KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophetedmoundmystic
4:38
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 18 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 359 М.
POMBE NA UKRISTO
12:11
Servant Ivan Kibiki
Рет қаралды 8 М.
LIVE: PROPHETIC CALL | Prophetedmoundmystic
1:20:49
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 436
Prophet Elisha muliri Rafiki wa kweli ninani?
5:00
Elisha Muliri
Рет қаралды 27 М.
🔴 LIVE: IBADA KUU JUMANNE,  OPERESHENI YA KUTEKETEZA NA ZIKA WACHAWI
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 128
MALANGO NA HATMA ZA WATU || part one || Prophetedmoundmystic
1:04:11
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 262