RAFIKI KUWA ADUI YAKO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 15,648

Joel Nanauka

Joel Nanauka

2 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 40
@salomeedson9868
@salomeedson9868 2 жыл бұрын
Rafiki yangu nilimwambia siri ya maisha yangu
@veronicawilsonmbwambo1054
@veronicawilsonmbwambo1054 Жыл бұрын
Asante sana kijana masom yako na fatilia sana yamenibariki San barikiwa
@godloventengwi5460
@godloventengwi5460 2 жыл бұрын
Ahsanteee sana Kaka Joel Kuna rafiki yangu wa dam kabisa ashakuwa adui yangu coz alinidhurum pesa zangu,,,
@MagdalenaPChuwa
@MagdalenaPChuwa 2 жыл бұрын
Shukran sana Joel. Kuna wale wengine ambao mtakuwa marafiki wazuri sana (hii ipo sana kwa wanawake) lakini ukifanikiwa katika jambo lolote lile, huyo rafiki anageuka kuwa adui lakini taaaaratiiiibuuu!!! Mie imenitokea mara mbili so far katika maisha yangu. Na namshukuru sana Mungu kuwa kumbe alikuwa ananiepusha kwa kuwaondoa marafiki hao katika maisha yangu bila mie kujua. Ila kwa kweli, ilinistaajabisha sana!
@niyonzimaegide9596
@niyonzimaegide9596 2 жыл бұрын
Asante Mwarimu nimejifunza kitu chamhimu
@farajhassan1775
@farajhassan1775 2 жыл бұрын
Hatari sana ndio maana mimi sinaga marafiki yaani nipo nipo tuu....sitakag kabs kumweleza mtu vit vyangu 🙌🙌
@fabiolabeni71
@fabiolabeni71 2 жыл бұрын
Hapo kwenye mahusiano masikin wa mungu imenikuta ila nashukuru mungu mafundisho yako yananifundisha
@gastoniisaya2008
@gastoniisaya2008 2 жыл бұрын
Nakubari Bro amini nimejifunza kitu kutoka kwako
@charlesjohn5377
@charlesjohn5377 2 жыл бұрын
Marafiki wengine wana wivu, akiona umefanikiwa urafiki unakufa
@ndobeheshija4176
@ndobeheshija4176 2 жыл бұрын
asante sana sir nana umenifunza mengi Sana 🙏🙏
@zenabaziga3620
@zenabaziga3620 2 жыл бұрын
Iyo kweli haswa sisi tuko mbali na nyumban kila mtu akauwa adui hata familia sasa mm hua nachanganyikia kwakweli kuona kila mtu hanitaki
@alonto8159
@alonto8159 2 жыл бұрын
Am luck to know u my brother JN
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
All is true!! be blessed na tumeshapatikana sana kw watu kama hao!!
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 жыл бұрын
Kibiashala hiyo ndo inanikuta kila ninapopigga hayua
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 жыл бұрын
Hakika Namshukuru Mungu kwa ajili yako kila ulichofundisha Kama nimekusimulia. Zaburi 32:8, Isaya 48:15-17, MALAIKA WA MUNGU wakulinde sk zote (Zab 34:7,Waebrania 1:4,7,13-14,ISAYA 9:6 JEHOVAH SHALOM=Waamuzi 6:20-24.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Ameen Ameen
@angelajoseph4643
@angelajoseph4643 4 ай бұрын
Mimi siamini marafiki kwani wanageuka. Siri zangu zinabaki kifuani kwangu, niliwahi kupata pigo la rafiki kuungana na adui yangu.
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 жыл бұрын
Asante Kaka Joel namba moja imenicost Sana😢
@michaelkayoka1615
@michaelkayoka1615 2 жыл бұрын
Aisii brother unaongea vitu vinavyo nitokea mm kila atua rafiki yangu aliungana na watu wenye nia mbaya ya kunihalibia jina langu ina uma sana brother
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
Acha tu ndugu
@yasirabdalla1430
@yasirabdalla1430 2 жыл бұрын
diamond na harmonise
@kharifasiraji3446
@kharifasiraji3446 2 жыл бұрын
Br joel sana sana apo ni swala la pesa
@ndobeheshija4176
@ndobeheshija4176 2 жыл бұрын
Kumtongoza mke au mme wa rafiki yako, hapo sir nanauka inaweza kupelekea kutoka kwenye urafiki na kuwa maadui wa milele huwa inauma Sana rafiki uliemwamini ukagundua ana uhusiano wa kimapenzi na mke wako hapo hakuna urafiki tena
@ericndahani5152
@ericndahani5152 2 жыл бұрын
thanks for today brother nanauka
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 жыл бұрын
Kila ninapopiga hatua kutokana na kanuni zangu hilo hutokea
@mudingusii2252
@mudingusii2252 2 жыл бұрын
Ok,nilijua pia jambo linalohusu mahusianao pia litatajwa hapa kwan wapo baadhi ya watu ni maadui kutokana na mahusiano..... 🤔🤔🤔 Ok,asante kaka joel kwa somo zuri
@Francsimba64
@Francsimba64 2 жыл бұрын
Nakuelew sana kak
@user-wq8iz2lc1z
@user-wq8iz2lc1z 5 ай бұрын
rafiki kutaka Kila wakati upo chini yake usimzidi Kwa chochote ( wivu)
@kiotastar1791
@kiotastar1791 2 жыл бұрын
Pitien na kwangu pia
@aishanasri7561
@aishanasri7561 2 жыл бұрын
Kaka angu nashkulu kwahilo nahitaji nipate mawasiliano niongee naww unifunze kitu
@neemaonesmo1483
@neemaonesmo1483 2 жыл бұрын
Very true Sir. Thanks
@consolatamapunda5142
@consolatamapunda5142 2 жыл бұрын
Xna bro
@annahaule7275
@annahaule7275 2 жыл бұрын
KAKA JOEL UMEGUSA MSHIPA WA DAMU SIJAONA TU KWA WATU WALA KUSIKIA IMENITOKEA MIMI MWENYEWE NINAMTU TUMEVUNJA URAFIKI SABABU NI YEYE KUWA RAFIKI WA ADUI YANGU KUVUNJA MAKUBALIANO YA KAZI NA KUFANYA KINYUME NA KILE TULICHOKUBALIANA NA MAMBO KADHA WA KADHA KAKA NIKUTAKIE MAISHA MAREFU KAZI YAKO INANIBARIKI SANA
@vincentmassay4610
@vincentmassay4610 2 жыл бұрын
Mr Joel naomba maelekezo ya namna naweza pata vitabu vyako nikiwa na uhitaji
@badilishafikratv9354
@badilishafikratv9354 2 жыл бұрын
Asantee sana
@victorwere2997
@victorwere2997 2 жыл бұрын
Naitwa Victor kutoka Kenya, nimefatilia ushauri wako naupenda but nashindwa kupanga bajeti how can you help me to find out what is the problem
@rwezauladonny
@rwezauladonny 2 жыл бұрын
👏
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 2 жыл бұрын
TEMBO VS SIMBA 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️
@hamisilumona7163
@hamisilumona7163 2 жыл бұрын
Watu kma hao nikuashana nayo pia punguza mazoeya. Kama nivigumu sana kwako kuonana nayo badilisha number za siku na kuwa block na ku delete numbers zao for goods. Cheza role ya bubu na kiziwi.
LIFE WISDOM : FANYA MABADILIKO HAYA UFANIKIWE - JOEL NANAUKA
14:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 20 М.
BUILDING YOUR INFLUENCE - JOEL NANAUKA
21:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 14 М.
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 21 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 14 МЛН
Epuka Marafiki Hawa Kwenye Maisha Yako
7:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 183 М.
NAMNA YA KUISHI RAFIKI YAKO AMBAYE UNAJUA NI MNAFIKI
5:21
Lazaro Samwel
Рет қаралды 13 М.
DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
9:26
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 12 М.
Vitu 4 Kwa Anaeomba Msamaha - Joel Nanauka
5:06
Joel Nanauka
Рет қаралды 11 М.
Learn How To Control Your Mind (USE This To BrainWash Yourself)
17:04
Fearless Soul
Рет қаралды 17 МЛН
UMUJEPE WA PEREZIDA NDADAYE ATUBWIYE AMABANGA AKOMEYE
31:10
Rwanda updates
Рет қаралды 10 М.
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Elias Mwinuka
Рет қаралды 7 М.
LIFE WISDOM : KWA NINI WANAKUCHUKULIA POA - JOEL NANAUKA
13:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 190 М.
JINSI YA KUMTAMBUA ADUI YAKO
36:45
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 15 М.