Рет қаралды 139,997
Rais Magufuli amekutana na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako Ikulu jijini Dar es salaam na kupiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za serikali za msingi na sekondari huku akiwaagiza mawaziri hao kusimamia hilo.