Jaman tumpate wapi rais kama huyu..Mungu mpe maisha marefu
@anyanwuchukwuemeka34424 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI RAIS WETU. UNA MOYO WA HURUMA JAMANI.
@georgeluoga99694 жыл бұрын
Akuna raisi atatokea kama wewe mungu akulinde tumeonewa sana
@damianmakala29134 жыл бұрын
Hapo umenena mheshimiwa rais , kama mtu yupo radhi kurudisha na kukiri kosa lake ni vema akaachiwa sio vibaya pia ! Good idea
@ayubujackson57824 жыл бұрын
Asante Baba unaweza xana mheshimiwa
@noronhacompanylimited53704 жыл бұрын
Kiongozi tuliyemtaka tumempata hatuna budi kumuongezea muda zaidi, Naomba Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20, katiba sio Msahafu Ibadilishwe!!!!!
@mbwanarajabhussein71414 жыл бұрын
Haya maneno ni madogo lakini yana mafunzo makubwa ndani yake...yaani JPM kusingekuwa na haja ya kufanya uchaguzi ungeendelea tu badala ya kutumia gharama za vifaa vya uchaguzi na hakuna atakaepata hata robo ya kura zako.
@antonyjoseph78584 жыл бұрын
Amina baba 👊👊
@luomusicchannelfromtanzani56504 жыл бұрын
Genius
@raphaelsamwel26404 жыл бұрын
Machozi tushatoa sana!!!!! Watumishi njaa miaka mnne. Maneno Maneno! Wafungwa wanapunguaje kama uharifu upo? Wasiojulikana?