Rais Magufuli ampa ulinzi wa Polisi Mwanamke Mjane anaetishiwa maisha

  Рет қаралды 515,162

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Wakati Rais Magufuli akimaliza kuhutubia February 2 2017 ikiwa ni siku ya sheria ambapo maadhimisho yake yamefanyika katika viwanja vya Mahakama Ocean Road, Mama mmoja mkazi wa Tanga Sabaha Ally mjane mwenye watoto wawili alijitokeza mbele ya Rais Magufuli akiwa ameshika bango lenye maelezo na kutaka msaada kutoka kwa Rais katika matatizo aliyonayo.

Пікірлер: 185
@xardaye
@xardaye 7 жыл бұрын
that is what real leader does viva Tanzania president.
@AbdulghaniDMusa
@AbdulghaniDMusa 7 жыл бұрын
A great man who will lead Africa, we love you Rais Magufuli, a real son of mother Africa.
@youngswaggatv9966
@youngswaggatv9966 6 жыл бұрын
Nice
@mwilakingsley9795
@mwilakingsley9795 4 жыл бұрын
This one should rule Africa ,Magufuli is larger than Tanzania he should be African president...and i vote yes.
@collinsblessed
@collinsblessed 4 жыл бұрын
Sure sure
@ambrosemokaya9420
@ambrosemokaya9420 6 жыл бұрын
Hongera Rais Magufuli. Natamani kuwa Mtanzainia. kazi nzuri kweli.
@alistairelias536
@alistairelias536 7 жыл бұрын
Dah simulizi ya huyo mama imenigusa sana. Kwanza nimpongeze kwa kuwa alijieleza vizuri sana mbele ya Rais. And props kwa Rais kutaka kumsikiliza na kutoa uamuzi wa fasta, mwingine angeweza kumpuuza kwamba ni mtu mwenye fujo.
@ericamwangomo6883
@ericamwangomo6883 4 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@batuliwanjallah5482
@batuliwanjallah5482 3 жыл бұрын
Wallahy tena, mjasiri... Haki haizami jamani
@kingkongmadiba3174
@kingkongmadiba3174 5 жыл бұрын
Hero of Tanzania 🇹🇿. We chose a right president and let’s love him and give him support for better change for our country!
@ruchusprospa7796
@ruchusprospa7796 6 жыл бұрын
i realy appreciate your job Milard Ayo, nakufwatilia kila siku from Drc congo
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
@mmary70
@mmary70 7 жыл бұрын
Magufuli has never convinced in anyway he is a good leader but for this kudos man
@saidasidiq1355
@saidasidiq1355 7 жыл бұрын
Mungu atakulipia!!don't cry mama
@KIMSwahili
@KIMSwahili 7 жыл бұрын
ahsate Raisiwetu kwa kusikiliza kilio cha mama mungu akuzidishie uruma amiin
@khalfantambwe9291
@khalfantambwe9291 7 жыл бұрын
safi sana Mheshimiwa Rais yetu JPM...mungu akulinde
@jazilarajabu6628
@jazilarajabu6628 5 жыл бұрын
Khalfan Tambwe kingwendu
@mwanalikhamis9875
@mwanalikhamis9875 4 жыл бұрын
natamani ungekuwa kwetu wewe jeembe nakupenda baba
@johnnjogundegwa9799
@johnnjogundegwa9799 6 жыл бұрын
Thank you Mr President for helping the lady. May justice prevail
@loudbamanaaf172
@loudbamanaaf172 7 жыл бұрын
Hakimu mkuuu Sir God tu Tutaelewa tu huko mbele ya haki
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
Nimeshindwa kujizuia daaaah 😢😢😢😢Mungu akulinde Rais wetu mtetezi wa wanyonge uwe na umri mrefu ili uendelee kututetea lakin pia waliopokea rushwa wasiwe na kaz iwe fundisho
@lilianrichard2696
@lilianrichard2696 6 жыл бұрын
joyce michael love love
@babaazbabaaz7643
@babaazbabaaz7643 6 жыл бұрын
I wish all African president's wangekua Kama mangufuli
@pendochimamy6514
@pendochimamy6514 5 жыл бұрын
Magufuli naomba uishi miaka mingi nimelia machoz ya furaha asante mungu kwarais wetu asie kuelewa atakua namapungufu
@dugulemuse4458
@dugulemuse4458 4 жыл бұрын
Keep up mr President , going this way is best in our future.
@husseinyhassany5696
@husseinyhassany5696 5 жыл бұрын
Rais magufuli mm nmelia haki sana shukran lau ungekua rais wetu Kenya tungefika mbali sai Kenya bure
@radhiasalum833
@radhiasalum833 7 жыл бұрын
mwenyezi mungu akulinde rais wetu.kina mama tunateseka na miradhi.
@moturithevictor2522
@moturithevictor2522 7 жыл бұрын
Watanzania twawaomba Magufuli aje Kenya kwa miezi mitatu tu....tuwarudishie...asanta
@gjeffw3717
@gjeffw3717 4 жыл бұрын
Victor Moturi 👍
@salimali3035
@salimali3035 4 жыл бұрын
Kenya viongoz sio binadam awana imani
@leilathango8411
@leilathango8411 4 жыл бұрын
Pambaneni na kenyata wenu hahaha magufuli baba wakenya wanakutamani
@honeybee5720
@honeybee5720 6 жыл бұрын
My rais you are honest and helpful... god bless you...
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 3 жыл бұрын
Huyu mama ni mkenya wakenya tutakulilia daima shujaa wetu magu😭😭😭
@sirgomahojoa969
@sirgomahojoa969 7 жыл бұрын
Hapana huyu mama ni wakupewa pongezi angekuwa mwingine keshazurumiwa tayali kila la kheri mama utafanikiwa katika madai yako
@haulemwasembo6583
@haulemwasembo6583 7 жыл бұрын
.mungu akulinde sana were mama
@Chingagirl123
@Chingagirl123 7 жыл бұрын
Asante sana Ayo tV...
@matondolameck8313
@matondolameck8313 7 жыл бұрын
" 5 Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane, Mungu katika kao lake takatifu. Zaburi 68 :5 6 Mungu huwakalisha wapweke nyumbani; Huwatoa wafungwa wakae hali ya kufanikiwa; Bali wakaidi hukaa katika nchi kavu." Zaburi 68 :6 Shared from Swahili Bible Offline 2.1
@emmanuellema4167
@emmanuellema4167 7 жыл бұрын
Tanzania kwa style hii lazima kila mtu apate haki yake, Mungu akubariki Mr. President , Mungu ibariki Tanzania.
@abdirahmanmohamed5420
@abdirahmanmohamed5420 5 жыл бұрын
Mimi ni msomali mkenya nime liya kwa uchungu ya mama Rais Magufuli asante sana kwa kusikiliza wananchi yako May ALLAH BLESS U MR PRESIDENT
@franklinagisoodero4340
@franklinagisoodero4340 7 жыл бұрын
GOD bless you mheshimiwa.mama apate justice
@happyjulius8423
@happyjulius8423 6 жыл бұрын
jaamn vilio vya wamama mungu visikie 😭
@anawa4326
@anawa4326 7 жыл бұрын
Big up president mtetezi wa wanyonge 👍👍🏼
@christopheromoro3264
@christopheromoro3264 4 жыл бұрын
may God stand with you Mr.president long live
@robinsonmaleo37
@robinsonmaleo37 7 жыл бұрын
big up sanna ila Mtangazajia ayyo punguza matangazo yanaharibu concentration bana. tafuta njia nyingine plz
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
dah imenigusa sana pole sana mungu atakusimamia upate hak yako inshaaallah
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 7 жыл бұрын
daa! mpaka nimelia jaman kwa nn tunatesana hivyo jmn cc wanadam
@dullerdilloh5369
@dullerdilloh5369 4 жыл бұрын
ikrissa idrissa n
@mtolelahwaya3605
@mtolelahwaya3605 7 жыл бұрын
Safi sana, watanzania tubadilikeni haki ya mtu si mpaka tumuone rais, tumuogope MUNGU duniani tunapita mkae mkilijua hili.
@nzeyimanaayubu
@nzeyimanaayubu 7 жыл бұрын
kwakweli nampongeza muheshimia raisi mama huu atia imani allah atakusaidia
@ashirafsalum2673
@ashirafsalum2673 6 жыл бұрын
Mungu mpe umri mlefu rais we john pombe magufuli na umpye afya nzuri umuepushia maradhi umpe ujasili na hekima ya kutuongoza sisi watanzania kwa moyo wake wote..
@alliabaraka5810
@alliabaraka5810 7 жыл бұрын
this is great
@YamunguYb
@YamunguYb 7 жыл бұрын
Mungu azidi kumpa nguvu Rais wetu
@emanuelkimaro8440
@emanuelkimaro8440 7 жыл бұрын
Safi Mungu akulinde rais
@gm7045
@gm7045 5 жыл бұрын
Mungu ni muweza ..poleni Mama
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 5 жыл бұрын
Asante bb mungu akusadiye
@radhiasalum833
@radhiasalum833 7 жыл бұрын
daaa inauma sana.hao mahakimu wakamuliwe yaani wanajali pesa za hongo kuliko mali za mwana mama daaaa.
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 7 жыл бұрын
Mungu huwapa watu wake haki zao
@roseannisiaka4004
@roseannisiaka4004 7 жыл бұрын
mungu atakujaria usikate tamaa mungu atakusaidia na usichoke kumuomba mungu na usijari mungu yupo pamoja nawe
@saudaligomba600
@saudaligomba600 5 жыл бұрын
Nashukur mungu tumempata rais anaye tujar nakuombea kwa mungu uyu ndio rais wa wanyonge mungu atakulupa atuna cha kukulipa zaid ya maombi yetu mungu akutangulie kwa kila jambo
@raynestory600
@raynestory600 7 жыл бұрын
kwel mungu akupe maisha rais magufuli tumepewa mtu sahihi kwa muda sahihi
@sullepeter4722
@sullepeter4722 7 жыл бұрын
mheshimiwa rahisi nashukuru sana kwakuliangalia hilo swala la huyo mama, haki sawa kwa kila raia
@bububuytgdustobambooyttyty2439
@bububuytgdustobambooyttyty2439 7 жыл бұрын
Haki itendeke pande zote za Muungano na Wazanzibar pia wapewe haki yao kw kua bdo haijacmamiwa kikamilifu haki icwepo upande mmoja tu,tunapenda kaz unayoifanya muheshimiwa rais na tunaikubali sana lkn tunaomba haki hio ienee Tanzania nzima maana na znz haki haipo
@saimondevidmanyelezi6835
@saimondevidmanyelezi6835 6 жыл бұрын
Ndo Tanzania ilipofikia, wanaombeza Rais waone ugumu wa kazi aliyo nayo Rais wetu.
@delickjulius5644
@delickjulius5644 7 жыл бұрын
mwenyez mungu akulinde mamaangu cha kufanya muombe mungu usiitegemee selikali
@mounbakko5871
@mounbakko5871 6 жыл бұрын
when people believe you are their hope, who to take their grievances and redress above all else, then you have transcended being leader to protector and father and saviour.
@gnmmng4203
@gnmmng4203 7 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Tz mbona hivi kweli?utu ulienda wapi?Mungu wa wajane anaishi.
@mariamtemba2372
@mariamtemba2372 7 жыл бұрын
mama ameniliza jamaniii imagine kuna wamama wangapi huko vijijini hawapati nafas kama hii so wanaishia kudhulumiwa tu .
@andrewasagwile7162
@andrewasagwile7162 7 жыл бұрын
Pole sana mama kwa yalio kukuta lkn MUNGU mwema atakushindia
@samueljr9105
@samueljr9105 5 жыл бұрын
KENYA huyo nilijua tangia akiongea mara ya kwanza tu
@sirialemmy37
@sirialemmy37 7 жыл бұрын
najua magufuli hataisoma hii ujumbe ila....daima Mungu akulinde sana mzee. Asante kwa kuwa msimamizi wa wanyonge na wajane....wewe ni mtu mwema sana
@irenemwanaa8160
@irenemwanaa8160 5 жыл бұрын
Mungu akusaidie mheshimiwa rais wetu mtetezi wa haki za wanyonge hususani wajane
@jamesmsigwa2149
@jamesmsigwa2149 5 жыл бұрын
mama upo vzr kujieleza
@richardmissa1155
@richardmissa1155 5 жыл бұрын
Rais Mungu akujaliie na akusimamie kila kitu ulitusaidia tukapewa mirathi wakati ukiwa waziri wa ujenzi
@irenesese6968
@irenesese6968 5 жыл бұрын
Mungu akubariki baba
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 7 жыл бұрын
Very sad.....pole sana mama Mungu yuko nawe utafanikiwa
@kulwameshack1075
@kulwameshack1075 5 жыл бұрын
Julius URONU .
@mako331
@mako331 7 жыл бұрын
tusaidie muheshimiwa kuna watu wengi wanatumia ofisi vibaya, hata balozi zetu nje ya nchi hazitusaidii tufanikiwe kutafuta maisha, tusaidie watu nyumbani, Mungu alikuchagua Muheshimiwa
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
shukran
@zainabrashid4858
@zainabrashid4858 7 жыл бұрын
mwenyezi mungu akulipe zaid mheshimiwa mtufu Rais
@zackjamal9469
@zackjamal9469 5 жыл бұрын
Great Leader 🇹🇿🇹🇿
@aloysrugazia
@aloysrugazia 7 жыл бұрын
Natamani ningekua na handle hii kesi mimi. Hongera Mhe. Rais kwa Hekima za Sulemani.
@evelyneemakala3012
@evelyneemakala3012 7 жыл бұрын
Hakika nimelia aisee pole sana mama hongera Mh... rais
@abdwelidaud7129
@abdwelidaud7129 3 жыл бұрын
Good president ever
@mgabejames9331
@mgabejames9331 4 жыл бұрын
Uyo mama kaenda shule alafu anajiamini pia yupo makini
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 6 жыл бұрын
Masikini ,mungu akusimamie dadangu
@samsungandroid9277
@samsungandroid9277 7 жыл бұрын
Maskin pole mama kwa kuteteshwa hadharani lakin mungu alikua pamoja nawe ukaonekana na Raisi ukapata usaidizi ni kweli Mungu hawachi mja wake..
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 6 жыл бұрын
aisee aijui anaitwa mama nan ningeenda kumpa zawad kwakwel yan amepigania hak live bila chenga.strong woman
@tytytresor362
@tytytresor362 5 жыл бұрын
Hakuna cakufa.. Rais Ni wewe kabisa.mungu akuzidishiye.
@gideonimathew6491
@gideonimathew6491 7 жыл бұрын
Mungu saidia watu wako. wewe ni Mungu
@TheChidonline
@TheChidonline 7 жыл бұрын
Ahsante mtu wangu wa nguvu.. kwa taarifa pia ni vizuri kulinda kazi zako.. ila hii lebo ya ayotv ikiwepo hapa kati inakuwa irritating katika kuangalia hizi video ni vizuri ungeangalia sehemu nyengine ya pembeni kidogo itakuwa poa sana.. ni ushauri tu kaka #millardayo
@mweyoms5548
@mweyoms5548 3 жыл бұрын
Ama kwa hakika naendelea kupata elimu ni kwa nini Mwenyezi Mungu ameweka tayari MOTO wa kushughulikia MADHALIMU.Dhulma ni kubwa na ni nyingi mno juu ya uso wa dunia.
@johnnybegood92
@johnnybegood92 5 жыл бұрын
Tanzanian’s Please HELP THAT POOR WOMAN 😭
@estherchacha7112
@estherchacha7112 Жыл бұрын
😭
@fabianaloyce7427
@fabianaloyce7427 4 жыл бұрын
jamn huyu rais ni baraka kutoka kwa mungu tumuombe jamn
@babyejames3398
@babyejames3398 3 жыл бұрын
Eeh Mungu ameondoka huyu mama itakuaje khs ulinzi aliopewa 😭😭😭
@iranangole7007
@iranangole7007 4 жыл бұрын
Duh Uyu mama aliangaika sana
@danyrobertz2078
@danyrobertz2078 7 жыл бұрын
pole mama
@tiyasakita6576
@tiyasakita6576 5 жыл бұрын
Vidio
@rukiahussein9737
@rukiahussein9737 7 жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Jamanii.....huyo askari anaongea nini 👊
@chikumunna7377
@chikumunna7377 4 жыл бұрын
Asante. Magufuli
@lamecklameckmbembati1852
@lamecklameckmbembati1852 5 жыл бұрын
Muwe mnatoa maandishi ya. Ayo tv atuon picha vzur
@brytonzablon4744
@brytonzablon4744 5 жыл бұрын
Mama toa shaka Mungu huwa anatenda unapochoke yeye ndipo anapo jiinua
@nellydj8184
@nellydj8184 5 жыл бұрын
Nomaaa
@charlesmtumsha5798
@charlesmtumsha5798 7 жыл бұрын
Mambo Hayo Yapo Sana Nchi Hii
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 4 жыл бұрын
Bongo mpaka Leo sijaona wala haijawahi kutokezea duniani public courts on pared kama raisi mzee barakat magufuli its more entertainment its allots enjoyment
@rosilidakichanilo1410
@rosilidakichanilo1410 2 жыл бұрын
My president umeindoka mapema sana
@sarafinamwaka8302
@sarafinamwaka8302 4 жыл бұрын
Mmmh sio Siri nimelia
@tamimwatamim3427
@tamimwatamim3427 4 жыл бұрын
HYO NDOO AFRICA/TZ MNYONGE NIMNYONGETU KLACKU NDOMLYAJI HATA KM NDOO MWENYE HAKI. DAAH AFRICA AFRKA!!! TZ TZ.
@user-vv5xd3ye4i
@user-vv5xd3ye4i 7 жыл бұрын
mi ni askar nimetoa machozi gafla japo sijazoea kutoa machozi, imeniuma bac tu ...mungu amxaidiee
@Darupdates
@Darupdates 7 жыл бұрын
kaka nimeiskiliza hadi nimeshikwa na ganzi, mimi pia ni askari hali hii inatisha sana...
@user-vv5xd3ye4i
@user-vv5xd3ye4i 7 жыл бұрын
karbu babati Joh...wsup me +255758247202..ni ukatili huo bac tu ..roho yangu labda..
@duaalawati6097
@duaalawati6097 5 жыл бұрын
Na mm pia sio askari lkn nimetokwa na machozi km mlivotokwa nyinyi nna was was namie kuja kuzulumiwa kijumba changu +968
@LM-dh1fq
@LM-dh1fq 5 жыл бұрын
Hatibu Jumbe tusaidieni wanyonge jamani
@naimmohamed6959
@naimmohamed6959 4 жыл бұрын
Sasa Kama ni askaari kitu nawaoomba musipende kutumiwa kuwadhulumu wanyonge
@pascallukanya9373
@pascallukanya9373 5 жыл бұрын
nakupenda sana magufuli!!!
@neemahassan8786
@neemahassan8786 7 жыл бұрын
God's plan
@brianshikoli7637
@brianshikoli7637 6 жыл бұрын
Watanzania twaomba mtupee magufuli tuwape uhuru
@sphrb1063
@sphrb1063 7 жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢
@tammysalum5475
@tammysalum5475 7 жыл бұрын
Sina hamu na maaskari
@irenesese6968
@irenesese6968 5 жыл бұрын
Ee Mungu uwajalie wajane na yatima
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 жыл бұрын
Dah mm nalia tu jmn alafu hao watu wanao wasukuma raia sio vzr jmn 😭 Sasa magu umeondoka ndo tutasukumwa ss had kifo 😭😭😭
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 5 жыл бұрын
duh mama jasiri sana na pole
@mshamhemed6607
@mshamhemed6607 5 жыл бұрын
asante raisi wetu wewe cjui nikuite nani eeMungu asante kwakutupa rais wamfaano
@athumaniabdi4122
@athumaniabdi4122 6 жыл бұрын
duuuh wabongo bn kwa kukandamizana ni hatar
@florambwambombwambo1322
@florambwambombwambo1322 6 жыл бұрын
apewe hakiyake anawanawake watano kumi ilaawaliniawali acheni zuluma
"NENDA KAMKAMATE SASA HIVI, UMUWEKE NDANI HARAKA" - JPM
8:41
Global TV Online
Рет қаралды 1,1 МЛН
AGIZO LA JPM: Kuhusu Mwanamke alieangua kilio mbele yake
8:28
Millard Ayo
Рет қаралды 252 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
10 of the best Governor Lonyangapuo funny moments
8:36
NTV Kenya
Рет қаралды 2,7 МЛН
Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
5:57
Millard Ayo
Рет қаралды 936 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 590 М.
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 22 МЛН