RAIS SAMIA AANGUA KICHEKO WODINI, MTOTO APEWA JINA LA SAMIA

  Рет қаралды 101,480

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 254
@anifasekumbo9273
@anifasekumbo9273 2 жыл бұрын
I love you mama samia popote ulipo love you more Allah akupe ulinzi wa kutosha uishi maisha marefu,afya nzuri akuepushe na husda za waja ni Mungu amekuchagua kutuongoza wanawake tunaweza nakupenda yani natamani tukutane ana kwa ana mama yangu kipenzi. wanawake tunajivunia kupitia kwako mama samia asiyekupenda ana lake jambo na Allah hatakudhuru kwa lolote piga kazi mama kwa ajili ya Watanzania wenye majungu pelekeni huko ukiona vyaelea vimeundwa poongezi kwa wazazi wa Mama yetu samia nakupenda sanaaaaaaa asietaka ahame nchi alaaaaah!
@aishamoddu1804
@aishamoddu1804 2 жыл бұрын
Safi Sana Mama👏 Mungu akupe maisha marefu na afya njema 😘😘
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 2 жыл бұрын
Mambo ya jpm hayo R.i.p jemedar jpm 2takukumbuka daima kwa uzalendo waki katka inchi na maono yako kwa taifa hili mungu aku leheem upo ulipo
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 🤭😅 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@hilmialjahdhami9787
@hilmialjahdhami9787 2 жыл бұрын
HATA MAMA SAMIA NI MZALENDO
@samirarsan2024
@samirarsan2024 2 жыл бұрын
na wewe kufa unfuate uyo rais wako aliko
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
@@samirarsan2024 Usishangae ukaanza wewe
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
R.i.p jpm
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Mama Samia ovyo huna atahuruma wamama wenzako ata shilingi miliioni moja washindwa kuwatunza ingekua Mze Hayati apo wangepewa ata laki 5
@user-wr6lc3jz6g
@user-wr6lc3jz6g 2 жыл бұрын
Hana moyo wakutoa kama magu
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
@@user-wr6lc3jz6g kweli kutowa yataka moyo ila angefaa kujikaza upande huo
@alimoosa2388
@alimoosa2388 2 жыл бұрын
Mhhh magu akizitoa wapi?
@witidavid8328
@witidavid8328 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀
@hashamadewa6451
@hashamadewa6451 2 жыл бұрын
Samia hafanyi. Mambo kwa sifa kama magufuli. Na kudhulumu kadhumu mbona hamsemi
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 2 жыл бұрын
Kazi iendelee👏👏👏👏💪🏿
@suleimanmohamed4367
@suleimanmohamed4367 2 жыл бұрын
Watamkubali tu mwanzo mgumu
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 2 жыл бұрын
Mamaaaaaaaaaaaa. Naanza kukuelewa sasa Huwa simuungi mtu mkono had afanye kitu.sasa nakuunga mkono mamaaaaaaaaaaaa Love yoooooo
@faridhassan6834
@faridhassan6834 2 жыл бұрын
Yuko sawa tumpe mda tu
@hishamally4846
@hishamally4846 2 жыл бұрын
I miss you mama samia piga kazi upo vizuri mungu akutanguliye
@erickzephania1030
@erickzephania1030 2 жыл бұрын
Yani mi nahangaika kutafuta hela ya Panadol afu nikute mama watoto anarudi na jina aliolipanga yye😂😂
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
Atarudi alipotoka
@husseinhaji8459
@husseinhaji8459 2 жыл бұрын
Utamchinjaaa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Ninavyokujua Utaua
@lidiagodfrey5786
@lidiagodfrey5786 2 жыл бұрын
Hahaaaa umeona et samia amekosa jina la kumwita
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 2 жыл бұрын
Love mama Rais wetu kipenzi cha watu
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 2 жыл бұрын
Hizo Hospitali zilijengwa kila wilaya nchini bila TOZO wala MIKOPO . Kazi ilipigwa ikaonekana.
@hassanally511
@hassanally511 2 жыл бұрын
Serikal ina Siri kubwa kijana ww unajuwaje Kama awamu ya 5 hakuja kopwa
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 жыл бұрын
Kulea mtoto ndiyo kazi
@emmanuelmkama3000
@emmanuelmkama3000 2 жыл бұрын
@@hassanally511 ilikopwa fedha nyingi sana kwa miradi ya kimkakati tu. Lakini vi hospitali, vituo vya afya ndugu yangu navyo tukope?
@othmanali7637
@othmanali7637 2 жыл бұрын
Sawa je wakati zinajengwa mama samia alishiriki au hakushiriki maana zilijengwa sawa awamu ya tano na mama hapo alikua ni makamu wa raisi kwaiyo point yako ni ipi apo tueleze
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Hujielewi
@beatriceyustomwakabanje5789
@beatriceyustomwakabanje5789 2 жыл бұрын
Sijuh lini ntapata mtu wa kunifuta machoz kwa wema ,upendo uchapa Kaz, maendeleo makubwa Kama magu , rest in peace dady 😭😭😭
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Laana Bado zinakutafuna
@fatmamohd2444
@fatmamohd2444 2 жыл бұрын
@@mohammedrajabumwamba1322 🤭🤣🤣🤣🤣
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 жыл бұрын
Mwambie baba ako akufute hayo machoz..shenzi
@preciousjohn9405
@preciousjohn9405 2 жыл бұрын
Kubar matokeo
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Mama mama mama oyooooo nakupenda saaaana Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan 🙏
@Thoiba-xj4vd
@Thoiba-xj4vd 2 жыл бұрын
Mama la mama....Mother of the nation😘😘💕💕
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 🤭😅 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@mauwarashid4823
@mauwarashid4823 2 жыл бұрын
ongera_ raisi wetu_mungu akutienguvu_pare unapovunjika_moyo_mama yetu kipenzi
@taucmbonia9924
@taucmbonia9924 2 жыл бұрын
Mie raisi yangu nilishampigia kura tangu 2015 na ndio namtambua mpaka sasa hawa wengine naona kama wananichanyanga tu rest in peace my Dady 😭😭😭 we miss you so much and we love very much 😔😔😔
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Utapata taabu saaana
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Mama mama mama uyo mama mama mama uyo mama mama mama uyo mama mama
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Much love Mama Tanzania 🇹🇿💞🌹Msikivu, mwema, mzalendo, kifaa cha kazi... Mwenyezi Mungu akutangulie 🙏🏽🤲
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 2 жыл бұрын
Amelalaaa yooooooo...... Jpm
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 🤭😅 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 2 жыл бұрын
😁
@haitumikitena4978
@haitumikitena4978 2 жыл бұрын
Kalale nae
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
@@haitumikitena4978 Utaanza wewe
@stevenlwakasambula202
@stevenlwakasambula202 2 жыл бұрын
I miss you so much, magu, 😭😭😭😭😭😭
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Hamia Chato.. ukakae pale kaburini pamepigwa rangi nzuri unaweza hata kulalapo.
@haitumikitena4978
@haitumikitena4978 2 жыл бұрын
Kamfufue
@khaulaismail9403
@khaulaismail9403 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@tausimpoma347
@tausimpoma347 2 жыл бұрын
Hakuna jema, mwaacheni raisi atekeleze kwa uwezo anaowezeshwa na M'mungu. Magu alitimiza kwa wakati wake,,,msimchukie mtu hata anapoonesha mchango wake hata japo mdogo..M'mungu zidi kumpa ulinzi raisi wetu.Samia.Suluhu.Hassan.
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 tunahamia,mbona hakuna noma! 🙏🙏 RIP JEMEDARI MAGU
@athumanjuma1913
@athumanjuma1913 2 жыл бұрын
Zamani tungeskia imejengwa kwa sh ngapi na bei na majengo vinaendana then kufungua kunafuata
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
Pimbi wewe ndio uliye...au tukueleweje? Kwani wt wasiompenda Magu tunamashaka nao..
@elihurumalukumay3242
@elihurumalukumay3242 2 жыл бұрын
ila kwa mbali kuna watu wanalalamikaa kwambaa "mama nina shida" but naona mamaa kakaaa kimyaa!?? any way R. I. P. Magufuli
@seebs1156
@seebs1156 2 жыл бұрын
Alishasema hatati mabango ya kulalamika anataka ya kushukuru 🤣🤣🤣🤣🤣
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Tabia mbaya, Rais wetu Haiti watu wake wanyonge.. na watu nao wasipende kujiliza shida.. watakuwa wanyonge kweli.
@seebs1156
@seebs1156 2 жыл бұрын
@@malopemaliyamungu5243 kila mtu ana shida ndugu unyonge na shida ni vitu 2 tofauti mpaka mtu anakuambia nina shida hauwez jua inakuwaje mpaka anakuambia wewe
@maxmkemia9504
@maxmkemia9504 2 жыл бұрын
Wewe ungefanyaje unaweza kumsikiliza kila mtu? Hapo mama wala hana mike hahutubii hawez kuskia sauti zote hapo
@aminaabdulla8568
@aminaabdulla8568 2 жыл бұрын
Mnataka hamtaki ndo kashakua hivyo kila mtu apambane na hali yake utakula kwa urefu wa kamba yako wallah
@InfinixTechnology
@InfinixTechnology 2 жыл бұрын
Mama.shikamoo.watoto.wako.hatuna.ajira.na.tumemaliza.chuo.kikuu.tusaidie.mama
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Taifa la Tanganyika raisi wa Tanganyika
@nzalimutua5913
@nzalimutua5913 2 жыл бұрын
Mama mungu akupe nguvu. Hongera.
@husseinmaula4361
@husseinmaula4361 2 жыл бұрын
Mimi bwana nakukubali sana samia Niko tayari kukupigania kwa nguvu zote Raisi wangu.
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Tuko wengi!
@abraman8260
@abraman8260 2 жыл бұрын
Nasiri na samia ni katika majina mazur na kazi iendelee 2025 kapita tayar tukutanane 2030 kumbe la dunia .,...mh mrisho gambo tayar kasema mama samia ni mipango ya mungu na mungu daima hakosei kazi yake .mimi naamimini hata babu yako wa ukoo angekua hai lazima kazi iendelee ...
@mdimimdimi4282
@mdimimdimi4282 2 жыл бұрын
Sikukubali Samia daimaaaaa
@husseinhaji8459
@husseinhaji8459 2 жыл бұрын
😁😁😁We jamaaa kiboko
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 2 жыл бұрын
Walau umeongea zako ukweli
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 2 жыл бұрын
Hiari yako, ila utake usitake ndio rais wako!
@khadijalambo2138
@khadijalambo2138 2 жыл бұрын
Ungeita magu naye awepo saa hizi ungekuwa na laki 5😂😂😂mama yetu mgumu
@honekisebwa226
@honekisebwa226 2 жыл бұрын
@sheshi beshi we mpuuzi kila comments unazingua
@user-wr6lc3jz6g
@user-wr6lc3jz6g 2 жыл бұрын
Kabisa
@priscusjoseph7664
@priscusjoseph7664 2 жыл бұрын
@@honekisebwa226 😆😆😂😂😂😂😆😆anayumba Sana uyo makande
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Hizo picha sasa 😁🙌
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 жыл бұрын
Safi mama piga kazi
@issakawaya8315
@issakawaya8315 2 жыл бұрын
Mashaallah mama yetu
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 2 жыл бұрын
Unampa mikosi kumpa jina Samia atakua anajipendekeza kwa wazungu
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 жыл бұрын
Wacha chuki ww ndio maana mko nyuma kimaendeleo
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 жыл бұрын
Na mikosi kweli kweli
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 жыл бұрын
Na mikosi kweli kweli
@dicksonkilupa6881
@dicksonkilupa6881 2 жыл бұрын
Majina mengi huambatana na roho. Sasa tungejua kwanza tafsiri ya hilo jina, kw mf ukimpa mtoto jina kama, MAKOSA, MADENI, CHUKI, SEMENI, PATUPU, SHIDA, SIKUJUA, SIWEMA, NK TEGEMEA MAJIBU WAKATI WOWOTE.
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@faridhassan6834
@faridhassan6834 2 жыл бұрын
Ukiendelea hivi mama utampata kila mtu,hongera sana,nina imani na wewe huwezi niangusha
@elizabethmkude9452
@elizabethmkude9452 2 жыл бұрын
Mama.oyeee
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Sina neno.!! Acha nisome comment za wadau
@fridasevelini9268
@fridasevelini9268 2 жыл бұрын
Kazi iendelee
@firdausrajabu6822
@firdausrajabu6822 2 жыл бұрын
Kaz inaendelea
@salimally8496
@salimally8496 2 жыл бұрын
Maaasha Allah mama nakupenda sana. Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
@salimally8496
@salimally8496 2 жыл бұрын
Yaani mama umenifurahisha. Halafu mtoto ameitwa mama Samia yaani hadi rahaa. Una huruma sana na Utuu. Maaaasha Allah. Namuomba Allah akupe umri mrefu na afya njema
@jamesmahatane2723
@jamesmahatane2723 2 жыл бұрын
Safi sana
@abdulrazackkanyetamisa6926
@abdulrazackkanyetamisa6926 2 жыл бұрын
Safi sana Mama yetu raisi wetu kazi iendelee
@humayraakhamisi9952
@humayraakhamisi9952 2 жыл бұрын
Ujinga mtupu
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
KaSi iendelee! Kwa mwendo huu, Ilani ya CCM tutainadi kabla 2025!
@allykeita704
@allykeita704 2 жыл бұрын
Huyu mama namuunga mkono hahahaha Asante Mama yetu
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 жыл бұрын
Mama anazd kunenepa😃😃
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 жыл бұрын
Mama mbona uwapi elacwazazizazii jamaniiiuu
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 🤭😅 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@justinefelis8772
@justinefelis8772 2 жыл бұрын
Rais NI taasisi sio ya kusaidia mtu Bali watu.
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 2 жыл бұрын
Hakuna kama mama
@hindisaid2413
@hindisaid2413 2 жыл бұрын
Tanzania KWANZA UJINGA weka pembeni .Ala!
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 2 жыл бұрын
Mamaaa chapaaa kazi
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 🤭😅 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@salimkiembaemba8840
@salimkiembaemba8840 2 жыл бұрын
nikajua pamvilage nilitaka nilirushe
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 жыл бұрын
Wanaomtambua marehemu Kama bado ni Rais wao basi wamuombe Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi awaunganishe naye iliwakaishi naye katika makazi yake huko aliko, Ee Mwenyezi Mungu wakubalie maombi yao maana wanajifanya hawatambui kazi yako na hawajuhi kuwa hukumu zako niza Adili.
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽 Watu wanajitafutia laana, na itatoka mlangoni mwao, Mungu hadhihakiwi...
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 жыл бұрын
najivunia na kutembea kifua mbele na Tanzania yetu, Kazi iendeleee chuki tupa kule , Tanzania kwanza, karibu tena Arusha, na kazi iendereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 🤭😅 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 2 жыл бұрын
Mbona jina la hiyo hosp, au mtu akija hapo anapaswa kuuliza hospital ya jiji?
@chaulafundiumeme7621
@chaulafundiumeme7621 2 жыл бұрын
Hapa kazi tyu
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Kazi iendelee
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
🤣🤣Samia
@egnonemes7008
@egnonemes7008 2 жыл бұрын
Huyo camera man ndiye kanifurahisha. Mama tupige kisawasawa
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 🤭😅 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 жыл бұрын
Okey okey
@husseinhaji8459
@husseinhaji8459 2 жыл бұрын
Rais Wetu Yupo Chini said huyu mwingine Hatumjui
@mhinahalfan2694
@mhinahalfan2694 2 жыл бұрын
Nakulingania uwe makini na Maneno yako, usije kuingia kwenye kufuru. Huyo unayesema ndio unamtambua tayari ameshatangulia kwa muumba wake na ahadi ya Mwenyezimungu ni kuwa kila kitu kitatoweka. Walikuwepo mitume wa Mungu Leo hii hawapo itakuwa Magufuli?
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 2 жыл бұрын
MASHAALLAH
@johanesbina1302
@johanesbina1302 2 жыл бұрын
Simpendiiii huyuu Ngojeni tuu
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 2 жыл бұрын
Mama ni mama. Nampenda sana mama yetu kwa huruma alonayo. Mungu amuhifadhi.
@johannesishengoma1232
@johannesishengoma1232 2 жыл бұрын
Kawatembelea wazazi na kugusa watoto tu, hata ya uji tu!!!! Au ndo kuinua uchumi😁
@maggiepeter4174
@maggiepeter4174 2 жыл бұрын
@@johannesishengoma1232 hahahah khaa
@lidiagodfrey5786
@lidiagodfrey5786 2 жыл бұрын
Sema mama yako syo wetu sna mama kama huyo
@lidiagodfrey5786
@lidiagodfrey5786 2 жыл бұрын
Sema mama yako syo wetu
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Aki mm hamna
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Hamna nn?
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
@@khadijahali4837 kumwita mwanang jina la mtu hawa viongozi wanabadrika mda wowote
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
@@musason1680 kubadilika nn sasa, nimahaba tuu my
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
@@khadijahali4837 some times anaweza azingue mpaka ukasema y nilimwita mwanang jina la huyu mtu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
@@musason1680 ukiwa na mahaba nae huwezi ona kama anazingua
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Huyu ndiye Rais wetu wa Tanzania Samia Suluhu Hassan....Songa mbele Usiogope chochote kwako Mungu ameruhusu Uongozi wa Taifa letu la Tanzania uongoze Wewe kipenzi chetu.
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
hatutaki wanafiki akitoka anatoka akiwa sehem fulan raisi 🤣🤣🤣🤣🤣mungu wee ndio kila kitu kwa maisha yetu tulinde kwa uwezo wako YaaaaAllah
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 жыл бұрын
Kabisa mama anaijitahidi ila kuna mijitu inachuki binafsi
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
@@mohamnedsalum2150 Yaani kuzindua hospital aliyojenga mwingine nako ni kujitahidi??
@neemahamis6399
@neemahamis6399 2 жыл бұрын
@@ellymaz2187 hapo chacha
@ustawiwetu
@ustawiwetu 2 жыл бұрын
Wengi tunamkumbuka Magufuli
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Endeleeni kuomboleza, ila kazi inaendelea !
@leocadiaonesmo8422
@leocadiaonesmo8422 2 жыл бұрын
Tanesco mwanza wanakera Kila sku wanakata umeme hasa juma pili tusaidie
@fadhilmohamoud
@fadhilmohamoud 2 жыл бұрын
Waachie ata kidogo bac daaah
@ambokilemgimbe6352
@ambokilemgimbe6352 2 жыл бұрын
Jpm alikuwa jembe sana
@husseinmiraji5497
@husseinmiraji5497 2 жыл бұрын
Wewe malia magufuli nawakati alishakufa
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Mali ya nani?!!! 🤣🤣🤣 0 brain kweli!
@aminaabdulla8568
@aminaabdulla8568 2 жыл бұрын
Sisi binadam wanafiki sana magu mlimponda amefariki ndo mnamdifu wacheni chuki zenu hawewe unaemponda ukipewa urais utapondwa pia
@omaryjuma8002
@omaryjuma8002 2 жыл бұрын
Mimi nasubili hukumu ya mungu
@babyjohnmusamba5760
@babyjohnmusamba5760 2 жыл бұрын
Mama Anaupiga mwingii hongera sana Rais wetu
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
Mama kaanza kazi sasa
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 🤭😅 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 2 жыл бұрын
@@patrickclavery4799 unazingua we jamaa
@kainimlowe7555
@kainimlowe7555 2 жыл бұрын
mwenda zake angetoa na mapesa
@hamidaala2832
@hamidaala2832 2 жыл бұрын
SaanaMwendaZakeAtakumbukwazmDaima😭😭😭
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Mpenda misifa huyo angetoa hela yake ya mfukoni au ?
@esteredward6980
@esteredward6980 2 жыл бұрын
Tatuen kelo
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 2 жыл бұрын
Piga kazi rais wetu mungu ndo alipanga wakati ukifika ww ndo uwe rais wetu piga 5 Kisha mungu akupe 5 mingine mama yetu ❤️❤️
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Kamaliza mizunguko yanje sasa Kaz inaendelea
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
Hivi aliendaga nchi zipi ktk huo mzunguko?
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Sshv mzungk wa ndan
@issahdady608
@issahdady608 2 жыл бұрын
Magu ashakufa,mm na ww tutakufa Ukikalia tu kila saa magu magu na unabeza yafanywayo na hao hao ambao walikuwa na magu,pia hukubali kama mzee hayupo you wasting your brain to be critical thinker. Every living organisms ni maiti watarajiwa.
@kondegangmusic5866
@kondegangmusic5866 2 жыл бұрын
Diamond platnumz kazimia kwenye show 😢😢😢kzbin.info/www/bejne/qKeVkJqGbtiHqpo
@rehemamkalawa3801
@rehemamkalawa3801 2 жыл бұрын
Yaani rais mzima,unamgusa mtoto mchanga na kono la kushoto! Chaaah!😎 Ningekuwa mie Mama mtu nisingeruhusu hiyo kitu! Mtoto mchanga anastaha zake,tena ilitakiwa amsalimie kwa mbali,katoka nje huko kagusa vitu vingi,upepo alotoka nao nje,na yawezekana jana yake kanyanduliwa! Halafu unakuja kumgusa TU mwanangu dah! Ati kisa rais! Viongozi mjitambue wenyewe, kabla ya kufanya jambo!
@petronillajosephat2655
@petronillajosephat2655 2 жыл бұрын
KWAHIYO WW MWANAO UNAMGUSA KWA MKONO MMOJA WA KULIA TU KUSHOTO HAKUHUSIKI.
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 🤭😅 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@beatricejulius3321
@beatricejulius3321 2 жыл бұрын
Hana lolote
@liliansamson674
@liliansamson674 2 жыл бұрын
Rais wetu alifariki 😭😭😭😭😭
@hilmialjahdhami9787
@hilmialjahdhami9787 2 жыл бұрын
KWAHIYO MAMA SAMIA SIO RAISI WAKO?
@samirarsan2024
@samirarsan2024 2 жыл бұрын
na wewe kufa unfuate uyo rais wako aliko
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Umfuate huko alipo unasubiri nini?
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
@@samirarsan2024 ww utabaki etiiii
@abdallahyasin6829
@abdallahyasin6829 2 жыл бұрын
Kwahiyo taifa hili halina rais mbona mnakuwa hivyo basi nenda huko kwa mwenda zake akuingoze
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 49 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
LIFE WISDOM:MUEPUKE MTU WA NAMNA HII - JOEL NANAUKA
12:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 8 М.
HATIMAE AZIZ KI AWASHUSHA PRESHA WANANCHI, AZUNGUMZA HAYA
2:31
Millard Ayo
Рет қаралды 43 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 777 М.
UKIBEBA MKAA KWA PIKI PIKI FAINI MIL 1
0:55
Millard Ayo
Рет қаралды 19 М.