UKIBEBA MKAA KWA PIKI PIKI FAINI MIL 1

  Рет қаралды 90,886

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 403
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 2 ай бұрын
pole sana baba, hujui maisha ya watz, pamoja na ukilema wako, ukijia hutosema haya, Inauma Sana sana
@xxxl-jf2ji
@xxxl-jf2ji 2 ай бұрын
Kweli kbs
@josephclementkisendi6726
@josephclementkisendi6726 2 ай бұрын
😁😁 tunafeli sana mungu atusimamie wa tz wahaliyachini,
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 2 ай бұрын
Wewe sheria mara nyingi zilitungwa na wanywaji wa pombe wasiojali maisha ya watu wa chini, futa kauri yako, kabra hujafutwa kazi
@alliepeppino8883
@alliepeppino8883 2 ай бұрын
Staking kumtukana huyu mjinga sana masikini ndio unawatungia sheria hizo million mlala hoi ataipata wapi
@ramajuma5620
@ramajuma5620 2 ай бұрын
Mungu kakusaidia umepat uongoz na hyo hali yako ilibidi uwajali wenyew hali ya chin na kuwabeba ila wew baada ya kuona umepat uongoz bas umegeuka kuwa subili mungu atawasimamia watabeba huo mkaa watasaidia family zao najua wew huwez kudumu katk huo ungoz milele
@dastanfussy4898
@dastanfussy4898 2 ай бұрын
Sheria ameikuta
@atharmakanta6967
@atharmakanta6967 2 ай бұрын
Heee pole sana ndugu sema hujui watu wanapitia maishagani
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf 2 ай бұрын
Sio maisha lazima sheria mlio kubaliana zifwatwe
@exop-r7z
@exop-r7z 2 ай бұрын
UJUWI WATU WANAPITIA MAISHA GANI, HAPO NDIPO MNAPOKOSEA , UONGOZI SIO KUNYANYASA WANAINCHI
@exop-r7z
@exop-r7z 2 ай бұрын
TATIZO LENU NYINYI MNAFIKIRIAGA KWAMBA UONGOZI NIKUTISHIA WATU NA WAKOMOA
@emanuelpetro9591
@emanuelpetro9591 2 ай бұрын
Zimetungwa na watu wasiojua maumivu ya wananchi ipo siku Mungu atawafanya mjue maumivu ya wanyonge
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 2 ай бұрын
Alafu hao wenyewe ndio wavunja Sheria wakubwa.​@@emanuelpetro9591
@WardaKambi
@WardaKambi 2 ай бұрын
Mnashindwa kudhidit ukahaba inayofanyika na watoto wadogo. Kuanzia vijijin kwenye maubanda ad mijin kwe 9tcrab mnataka kuwaonea hao wa hali ya chin ambayo Kaz zenyewe ngumu😢😢😢😢
@SolomonLaizer-j2b
@SolomonLaizer-j2b 2 ай бұрын
Acheni kunyanyasa watanzania enyi mlioshiba, M/Mungu awaue Viongozi wote wanaofanya mamilioni ya watanzani wanateseka😢
@monsurejr8533
@monsurejr8533 2 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen😢
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 ай бұрын
Huyo baba anavyomwangalia Kwa huzuni kaumia sana moyoni ila basi hâta kuongea hawezi Hii nchi inafinya wanyonge jaman tumlilie nani😭😭😭
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 2 ай бұрын
Magoti mtani wangu naona una speed sana ktk mambo kadhaaa ambayo sijapenda sana. Hebu chukua muda kuexperience UTU+UONGOZI=HEKIMA
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 ай бұрын
Hawa watu dizaini hii hawana huruma nadhani anatoka kanda ya ziwa
@LaxskfordNjelekela
@LaxskfordNjelekela 2 ай бұрын
Mheshimiwa tafadhali usitake maskin ss tumkufuru mungu ww usione familia yako na ndugu zako wanaish vzuri usidhan i wote tuna maisha kam yako emvu tengua kauli yako na nenda mtaan kaangalie vzur maisha ya watu alafu ujadiiri huo ujinga wako ustake tuanze kukuchukie gafla
@dismassyothamu
@dismassyothamu 2 ай бұрын
Yan tulipo fikia Hawa watu tunaishi nao kilichobaki itafika wakat tuwe unaiba kwao hadi vijiko ukikutana na mtt wake nikisu2 ili waweze kuwa nauchungu wao wanakula vizuli najamba wanajua sis wote tuna maisha kama yakwao
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 ай бұрын
Mimi hata sielewi,kwani mkaa ukibebwa kwenye pikipiki Ninyi mnapungukiwa na nini?😢😢
@Jurbeg
@Jurbeg 2 ай бұрын
​@@dismassyothamuDuu point mkuu 🫡
@monsurejr8533
@monsurejr8533 2 ай бұрын
Ukiwa kwa kisu utaenda Jera baba ni uchawi tyuu kulala kuamka chizi anaokota makaratasi majalalani shubamiti
@James-y3j2v
@James-y3j2v 2 ай бұрын
Mbona masikiyo yako hivo je ni mlemavu?
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on 2 ай бұрын
Umejisahau sio mbona wew ni mtoto wa maskin sana acha kujichetua au tukuloge uwe pisi kali?
@MaryLyobha
@MaryLyobha 2 ай бұрын
Daaah 😂
@monsurejr8533
@monsurejr8533 2 ай бұрын
Hilo Ndio la maana ila wazee waliondoka na uchawi wao woote, najuta kwann sikuwa mchawi
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 2 ай бұрын
Nimecheka mwenzenu dooh watu wamevurugwa na life? Hawa viongoz mbona wanajitoa ufahamu jmn utadhan wao waliish maisha Bomba mno doooh
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MustaphaMatiku
@MustaphaMatiku 2 ай бұрын
Huyu ni mjinga sana hajui anacho kifanya hajui hali za watu masikini tena ni mkundu kama kikundi mingine
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk 2 ай бұрын
mzee umeozea jera umeroa tusi daaaa!!!
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 ай бұрын
​@@TangaMashewa-qe8kk Sio mjinga ni sheria zimetungwa tatizo sheria sio rafiki.
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 ай бұрын
Angalia maisha ya watu ndugu, pikipiki Ndiyo msaada wa watu wa chini. Tengua hiyo kauli na hiyo sheria ibadilishwe kwakweli
@mussaelias3535
@mussaelias3535 2 ай бұрын
Angalia haliza WA Tanzania wa chini mtu kupata efu moja tu ni tatizo
@madsonmmbwanga3037
@madsonmmbwanga3037 2 ай бұрын
Asilimia kubwa sana ya watanzania mkaa una waokoa sana.hapa hii Sheria sio nzuri
@StevenHinjo
@StevenHinjo 2 ай бұрын
Nikitumia mkaa Kwa siku ni tshs 1500 Kwa mwezi ni tshs 45000 nikijaza gass natumia Kwa mwezi tshs 23000😊
@IsmailMjesh
@IsmailMjesh 2 ай бұрын
Wazeee wa kisarawe wanamskiliza tuuu'...... Haya Bismillah rahmani Rahim..........
@OmaryRamadan-m8v
@OmaryRamadan-m8v 2 ай бұрын
Anataka watu waibe sasa wakabe ndo lengo lao😂😂
@dismassyothamu
@dismassyothamu 2 ай бұрын
Kama watu kufa wamesha kufa wengi mno kk chanika huko acha2 kk hawalipot2 lakin tayali vijana wachapakaz watt wamasikin wezetu tayali wameshauwawa kk ...
@abdulrahmanlutenga5119
@abdulrahmanlutenga5119 2 ай бұрын
Chizu huyu namba moja
@starjay3052
@starjay3052 2 ай бұрын
tanzania sio nchi ya kuishi ila basi tu
@hajibigawa-re4gk
@hajibigawa-re4gk 2 ай бұрын
BNDUGU YANGU UNGESEMA WENYE SHIDA YA MIGOGORO YA ARIDHI WAJE TUWASAIDIE UNAGOMBANA NA WAUZA MKAA ,MBONA UNASHINDWA MAPEMA.MBONA NYIE MNAPANDA MITI KIFASHENI HAMTUNZI NA NYIE. MM. MKAMATWE KWA KUTUMIA PESA ZA UMA VIBAYA
@MrishoSamueli
@MrishoSamueli 2 ай бұрын
Huyu anaulemavu wa akili mambo ya msingi hawaya simamii mkaa ndionini
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 2 ай бұрын
Hiyoo ni amri misitu inaisha nchi itakuwa jagwaa unakuta miti uoteshi mtu unategemea nn mkuu salut tutatekeleza nchi itakuwa jagwaa piga kazii mkuuu💪👏👏
@Njeriii536
@Njeriii536 2 ай бұрын
Umeanza sasa duh! Maisha haya
@athumanimhina1869
@athumanimhina1869 2 ай бұрын
Ulianza vizuri lakini kwa hili umepotea,hujui maisha halisi ya mtanzania,pikipiki ndio msaada mkubwa kwa wananchi hapo utasababisha maisha yawe magumu,yaani kiufupi umefeli
@Worldunite
@Worldunite 2 ай бұрын
Angalieni na mazingira halisi ya watanzania jmn, ajira na bei ya gesi ni changamoto
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 2 ай бұрын
Sasa mkaa mnazuia,Hapohapo Gesi mnapandisha bei,Je sisi wa hari ya chini tutatoboa?Bar zote hapo kisarawe Wanachoma nyama Kwa kutumia mkaa,nawewe unakula
@NickolausMsike-yn2bo
@NickolausMsike-yn2bo 2 ай бұрын
Hawa ni wnayanyasaji sana wanajisahau wanaona wamefika
@Alliyooo
@Alliyooo 2 ай бұрын
Haya bhana kuleni nyinyi Acha sis wabeba mkaa tufe njaa endelea kusimamia sheria kali kwetu maskini!
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 2 ай бұрын
Sheria Gani omolo mkaa polo Moja ya kupikia utukamate tukamate polo Moja nikodi fuso kupakia
@sophiarajabu8500
@sophiarajabu8500 2 ай бұрын
Mhhhhhhh kazi.kazini
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 2 ай бұрын
kuwa siriaz aisee daaah wananchi maisha magumu nasheria yenu mabaya hayo
@abdullahmohamudmohamed4450
@abdullahmohamudmohamed4450 2 ай бұрын
Sheria nyingi zimewekewa Ka mfumo Ka Kutengeneza Mazingira ya Rushwa😢
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 2 ай бұрын
😢Mungu Ibariki Tanzania Mungu Zibariki Kazi Zetu Zakujitafutia Riziki Maana Badhii yawatawala Wamekua Kazoba Kanyamwanga 🤲
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 2 ай бұрын
Mtu mwenyewe sasa daaaahhhh mpaka nachokaaaa😂😂😂😂
@jumannerizimbura6750
@jumannerizimbura6750 2 ай бұрын
😂😂
@JoabChisimbajr-x1q
@JoabChisimbajr-x1q 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂elewa neno kutekeleza sheria na kakwambia sio shera za Magoti😂😂😍😍
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 ай бұрын
​@@JoabChisimbajr-x1q😂😂😂😂😅😅😅😅, Ila nyie 😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 ай бұрын
Eti siyo shela
@ismailhassan1556
@ismailhassan1556 2 ай бұрын
Wale wale m wazingatiwe
@frankmahenge5943
@frankmahenge5943 2 ай бұрын
Faini million moja piki piki afu gari fain Tsh30000
@sirpurkinje2836
@sirpurkinje2836 2 ай бұрын
Watu wenye ulemavu siyo wa kupewa majukumu yanayohusu utashi wa maisha.
@josephjulio6112
@josephjulio6112 2 ай бұрын
Mwanya wa rushwa hao polisi ni ndugu zetu akinikamata rushwa 30,ooo mkaa unafika sokoni
@ginazngo4317
@ginazngo4317 2 ай бұрын
Sura mashavu haiina kaa kisosa 😂😂😂
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@MetodMakungu
@MetodMakungu 2 ай бұрын
Huyo nikilema wa mwili had akili😂😂😂😂
@hamzamfyagidzi6344
@hamzamfyagidzi6344 2 ай бұрын
Umeongeza sahihi kabisa
@NickolausMsike-yn2bo
@NickolausMsike-yn2bo 2 ай бұрын
Washenzi nyie hamjui maisha tunayopitia kwa mtaa mnatak tu umaarufu wa kizombii waizi nyie 😢😢
@KefasYared
@KefasYared 2 ай бұрын
Tatizo tulinyimwa kujua Haki zetu za msingi na Hilo SoMo tulifuchwa na tulio wengi watanzania hatujui Sheria tunaburuzwa Sio POA wangekuja Gen Z tz wawape SoMo kidogo Ili mtie akili 😂😂😂😂
@leoncemboyerwa
@leoncemboyerwa 2 ай бұрын
Mh. Uwe flexible Wabebe mkaa wa halali Husitupunguzie kura
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 2 ай бұрын
Usitake sifa kutokana ukilema wako unatakiwa uwenahuruma una zuia riziki zawatu
@ismailhassan1556
@ismailhassan1556 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@nusalim3389
@nusalim3389 2 ай бұрын
Kwani upo mitaa ya samora au ocean road, ? Au New York na Tokyo? Kisarawe yenyew vumbi na shambani na kijijini, mtu kutumia pkpk ndio usafiri unaoendana na mazingira ya hapo na watu wa hapo,hata pakichafua barabara za vumbi si yaleyale? Kwani Kuna tiles au carpet? Badili kisarawe iwe ya kisiasa kwanza,ndio weka Sheria za mazingira na usafi,ni sawa waweka Sheria ya kupiga deki baharini au kufagia jangwani☺️
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 2 ай бұрын
Huyu mzee kajiweka mkono kwa shavu mkuu hapa Pana shidoo😢😢
@ElishaMgimba
@ElishaMgimba 2 ай бұрын
Kiongoz unapotoa maagizo angalia unaemuumiza Ninan bodaboda nikazi kama kazinyingine ACHANA NABODABODA SISI NDIO WAPIGAKURA 😭😭
@RithaPhellan-qw3uh
@RithaPhellan-qw3uh 2 ай бұрын
Gesi mngefanya 5000 mtungi mdogo refilling watu wangeacha mikaa.....
@Rodelite11
@Rodelite11 2 ай бұрын
Huyu akili zake fupi kama yeye mwenyewe.. yaani kama yuko hapo kufanya maisha ya wananchi yawe magumu zaidi. Hawa wote wanatakiwa wapigwe bakora kama za waKenya.
@MdalesioWilliam
@MdalesioWilliam 2 ай бұрын
Umefeli mdogo wangu
@jamespeter5882
@jamespeter5882 2 ай бұрын
Hv unajua maisha ya maskini ww au kwa kuwa ww unaona million kama ten ndoo maana unataka kukandamza maskini
@saidkilungi641
@saidkilungi641 2 ай бұрын
Hapa umechemka DC huna hata huruma watu wanasomesha Kila mtu kampangia kazi ya kufanya mungu
@GodfreyKunambi
@GodfreyKunambi 2 ай бұрын
Daaah''' Ila hii Nchi bna
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 2 ай бұрын
Chefuuuuuuuuu. Kama magoti au mavindi utajijua mwenyewe
@R10_Rajab
@R10_Rajab 2 ай бұрын
Very Good
@laurentkapongwa2078
@laurentkapongwa2078 2 ай бұрын
Karibu Rukwa - Sumbawanga tyna jambo letu la kukusaprize ili twende sawa😅
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kazi tunayo nchi hii wewe unapikia umeme na gas 😂😂
@edlumala9428
@edlumala9428 2 ай бұрын
Elewa shida za watu unaowaongoza! Mh Rais hajakuteua kwenda kukamata mikaa, kuna mambo kibao muhimu ya kusimamia mbona huyafanyi? Atatumbuliwa huyu soon, ukuu wa wilaya ni dhamana ndogo sana, ishi vizuri na wananchi wako kwa kujua shida zao na kuzitatua!
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 2 ай бұрын
Nilidhan utaongelea kabla ya kutangaza nishart safi mshapunguza bei ya gesi na mshapata badala ya mkaa ni Nini tutumie! We baba unajua maisha ya wananch wako? Na je mkishika bangi au madawa ya kulevya mbona sijawai ona faini hiyo Sasa mkaa miti ambayo mungu kaipanda? SEMA TU huko tunakoenda Sasa ni kusababisha majanga makubwa ya kutisha ooooh ! Maisha magumu mno jmn
@MaxweliChipolopolo
@MaxweliChipolopolo 2 ай бұрын
Viongoz wengne Bhana unajua watu wanaishi Maisha gn we kaa ofisini tuy broo
@sultansallah8772
@sultansallah8772 2 ай бұрын
Kuna mzee kamkata jicho sujui mwanawe ni bdbd
@johnnyahi4875
@johnnyahi4875 2 ай бұрын
Yaani wekiongozi unayanyaza Wende.pikipki madawayakulevya hushiki tz shida
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 2 ай бұрын
Wanangu USA wametualibia sana hii inchi yote hii yote wazee wa haki za binadabu na usawa wa jinsia
@MbweaWajangwani
@MbweaWajangwani 2 ай бұрын
Simuelewi
@hassanyusuf1240
@hassanyusuf1240 2 ай бұрын
Viongozi kama hawa ndio watamkosesha kura Rais Samia.Huyu hafai kua Kiongozi.
@h.jrugashaula1296
@h.jrugashaula1296 2 ай бұрын
Safi sana....amesimamia sheria.
@laurentkapongwa2078
@laurentkapongwa2078 2 ай бұрын
Karibu Rukwa - Sumbawanga tyna jambo letu la kukusaprize ili twende sawa
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 2 ай бұрын
Tukiwaambia uwongozi ni witu sio zekomedi sasa hiki sikituko jamani hii inchi mungu atutetee tu
@athumanimhina1869
@athumanimhina1869 2 ай бұрын
Kwahiyo nikiwa na kiroba kimoja cha mkaa nikakodi gari mbona viongozi mnafeli hivi au kwadababu uongozi mnapewapewa tuu,inasikitisha sana mna mnamharibia huyu mama samia hajakutuma hilo
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 2 ай бұрын
Ngoja nikae kimya nisije kukufuru Mungu".
@EmanuelMaswaga
@EmanuelMaswaga 2 ай бұрын
Unataka mkaa ubebwe na usafiri Gani naona Sheria ipo kwa boda,tukitumia kirikuu si sawa mkuu.
@BradothAdm
@BradothAdm 2 ай бұрын
Busara inahitajika ktk hili kuna maisha ya watu
@SalumBakari-sg4sf
@SalumBakari-sg4sf 2 ай бұрын
Mheshimiwa maisha hayako ivo
@HamadFakiOthman
@HamadFakiOthman 2 ай бұрын
Mutatukamata wengi sheria Gani iyo
@kisinza6077
@kisinza6077 2 ай бұрын
Wewe umehurumiwa ni uteuzi wa huruma tu, Kwahiyo wasiojiweza Kwa kipato wale wapi? Oooooh! Samahani mheshimiwa nanyamaza Mimi.
@Missionary_work
@Missionary_work 2 ай бұрын
Ila Anachekesha 😂😅
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 ай бұрын
Mama sasa umeamua kutuchagulia machizi sasa huyu sichizi mwingine?
@ephrahimkivuyo4275
@ephrahimkivuyo4275 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mama kaharibu 😅
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 2 ай бұрын
Hamyajui maisha ya watu, ni nini mnafanya ili mkaa usitumike? Ndugu zangu nakumbuka familia yangu tuliishi kwa kuuza kuni na mkaa ili angalau tupate chakula..huo ni mlango wa kutengeneza ujambazi, ukahaba, nk...tafuta suluhisho ili wabeba mkaa wabebe kitu kingine.. magereza au kupokonya ni KUENDELEA kutengeneza maskini...😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😅🌚🌚🌚🌚🌚🌚🌚🌚🌚
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Ай бұрын
UMASIKINI MBAYA SANA...VIPI WALE WANYAMA PORI WANAUZWA NJEEEE ..WATZ MASIKINI ENDELEENI KUPAMBANA WATOTO WALE...FANYENI KAZI ..
@godcheudandy2534
@godcheudandy2534 2 ай бұрын
Huyu jamaa anataka watu tutende zambi tu 😢
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 2 ай бұрын
Sahihi maana mwishoe watu waonenane wabaya 😂😂😂😂
@geofreyjulius874
@geofreyjulius874 2 ай бұрын
😅
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 2 ай бұрын
Dhambi ipi mtani?😅😅
@mamesnayzo4300
@mamesnayzo4300 2 ай бұрын
Haaah masikini na shida zake hapo nakuwa mchawi😂😢😅😢😅
@monsurejr8533
@monsurejr8533 2 ай бұрын
Kabisa Yani ila tumeshachelewa hakuna pa kuupata maana wale vigogo wa uchawi woote walishakufaga
@khadijadauson8158
@khadijadauson8158 2 ай бұрын
Kwanini watanzania tunateseka hivi jamani...mkaa ndo Kimbolton letu jamani
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 2 ай бұрын
Wewe vip unarohomba
@zuhurasaid
@zuhurasaid 2 ай бұрын
Basi mkianza kula keki ya taifa mnajisahauuu, watu wabebe hata kwa baiskeli na watoto wetu wale kwa jasho letu.... Sheri sheria mmeshiba mnoooo mcheua tu
@nicholauspaulo377
@nicholauspaulo377 2 ай бұрын
Wee kweli fala
@ephrahimkivuyo4275
@ephrahimkivuyo4275 2 ай бұрын
Mama samia umetuletea mzimu kisarawe 😅😅
@ElishaKasekwa-vo2eg
@ElishaKasekwa-vo2eg 2 ай бұрын
Sheria ni msumeno lakini haichani dhiki,💪💪 FA
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 2 ай бұрын
DUH HATARI SANA MILIONI 1
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 2 ай бұрын
Tatizo mnataka kutrendi kama paul makonda,hamtoweza kufanana nae makonda anafanya haki ya pande mbili nyie mmekuja na uzakayo wenu mnajibwatukia tu
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 2 ай бұрын
Mmmh viongozi tunajisahau sana kana kwamba hakuna wenzetu wanaoishi kupitia mkaaa huo huo. Na unaweza kuta kwake kuna gunia za mkaa anatumia
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 ай бұрын
Heee jamani mbona sheria ni ngumu Hawa wazee watakula nini jamani. Mnataka kuleta maisha km ya wenzetu ilihali Tz ni nchi masikini.! Ukibeba jembe unazuiliwa Ukibeba mkaa kwa pikpiki shida Ukibeba petrol kwa kidumu shida kumbe mnatakaje???
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 2 ай бұрын
Issue ya mkaaa ni padua kichwa nani asiye tumia mkaaa tanzania???? mm ningeshauli zije sera za kupanda miti kwa kila kaya na kwa kila nsimu alimuhimmmm miti iwe mingi
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 2 ай бұрын
Sheria unafata ya duniatuu mungu amesema usizini usizulumi usioneewanyonge mbona huzifati
@Jurbeg
@Jurbeg 2 ай бұрын
Duu haka kajamaa kabaya naroho yake mbaya shida kameshiba nawatoto wake hakajui wenye njaa 😢😢😢
@TangaMashewa-qe8kk
@TangaMashewa-qe8kk 2 ай бұрын
sheria hiyo kwann hainasababu tatizo liko wapi ninapesa gani ya kupakiza mkaa wa debe kwenye gari mimi daaa hatar sana
@EmmanuelAron
@EmmanuelAron 2 ай бұрын
Nyie tubebe na baiskeli nchi hii muda huu hatakiwa mtu wa chini ipo siku wale mnao sema hoyee chama chetu mbadilike
@siskimkimu2298
@siskimkimu2298 2 ай бұрын
Tubebee wapi, magar kuna sehem yahafiki na bado garama za magar kubwa,nchi hii kila kiongoz ana kuja na sifa zake
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 2 ай бұрын
Daah kuna utu na ubinadamu huyo aliekuwa hapo anajuwa wananchi hali zao mbaya ndio mana mwezako alk
@AllyMasoud-c8w
@AllyMasoud-c8w 2 ай бұрын
Uyu nae anajikuta kila kitu anatk kujifany anasimamia sheria nchi ingeongozwa ivyo tusinge ishi fany mamb yak mengn icho cheo ni cha mda tu unatak kua kero snaa Unafikilia cheo icho utakua nacho milele
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 2 ай бұрын
Mmmhhh nikojoe nilale daaa
@HamiduRashidi-p4v
@HamiduRashidi-p4v 2 ай бұрын
Duuh!!! Hiv wenye maisha ya chini co binaadam..!!!? tambua hawa ni wazaz wetu na wanapambana wapate kutusomesha kwakweli dunia inaelekea mwisho...now 😢😢😢
@gidionherbet
@gidionherbet 2 ай бұрын
Umekosa chaku.fanya ah
@prosperLeslie
@prosperLeslie 2 ай бұрын
maisha magumu sn acha bhana futeni Sheria izo
CHEKESHA : MPOKI NI BALAAA NA KATARINA
15:17
CHEKESHA TV
Рет қаралды 7 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,4 МЛН
RAISI AVAMIA SABASABA WATUMBULIWA VIONGOZI
2:24
BETA film production
Рет қаралды 21 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 6 МЛН
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 4)
13:27
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,9 МЛН