RAIS SAMIA AMWOMBA MSAMAHA MAKAMU WA RAIS BAADA YA KUMHAMISHA JAFO BILA KUMPA TAARIFA

  Рет қаралды 22,691

Uhondo TV

Uhondo TV

14 күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 10
@Erastomdede73
@Erastomdede73 11 күн бұрын
jamani mbona . mama anahema sana
@SinguMahona-gh8ct
@SinguMahona-gh8ct 11 күн бұрын
Wahamisha mbona mama
@Erastomdede73
@Erastomdede73 11 күн бұрын
mama mbona unahema sana
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 12 күн бұрын
Sheria zipo wazi kwamba Rais anaweza fanya lolote bila ushauri wa mtu yeyote sio lazima ashauriwe Wala nm
@hajihassan5433
@hajihassan5433 11 күн бұрын
Kwa Muungano huu Makamo wa Rais alikuwa Karume peke yake ambapo Nyerere hakuweza hakufanya chochote bila kumpa taarifa pia alikuwa na mamlaka ya kusaini miswaada ikawa sheria mfano mswaada wa fedha (shilingi ya Tanzania) 10/06/1965 na likawa ni jambo la 12 au nyongeza ya 1 kati mambo 11 ya nyongeza ya pili ya mambo ya Muungano na kufikia 22. Alipoondoka Karume ndio Tanganyika ikaugeuza Muungano kuwa ukoloni.
@ANRAHIMKADUMA
@ANRAHIMKADUMA 12 күн бұрын
Jamani Mimi natangulia kuomba radhi lwapo nitakuwa nimekosea Nawaomba watanzani kwa ujumla wake hivi kama viongozi wetu wanafanya vizuri hususan katika nafasi ya URAIS Kwanini Tusimuache Aendelee ktk Nafasi hiyo Kuliko kuwa Wastaafu Wengi ambao Wataendelea kuhudumiwa na Taifa Faida yake hapa Nini
@ANRAHIMKADUMA
@ANRAHIMKADUMA 12 күн бұрын
Kazi Indeleeee
@VenaEliki
@VenaEliki 12 күн бұрын
Tanzania ya sasa ikulu iko kokote atakapoamua tulianza na magu natamani cku moja rais atoke mbeya nasisi uchumi upande maana kwa ugeni huu ni biashara kubwa
@hassanimsanga5641
@hassanimsanga5641 11 күн бұрын
Well done our president
@ZephaniaMlewa
@ZephaniaMlewa 11 күн бұрын
Mimi namkubali Sana mama kwaupande wake yeye Kama rais anajituma Sana Yale majukum ni mazito;
RC MAKONGORO AWAVUNJA MBAVU VIONGOZI
22:21
Uhondo TV
Рет қаралды 11 М.
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27
KimathiTV
Рет қаралды 289 М.