RAIS SAMIA ARUDI KWAO KIZIMKAZI ZANZIBAR, AFIKA MSIKITINI ALIPOSWALI UTOTONI

  Рет қаралды 156,560

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

RAIS SAMIA ARUDI KWAO KIZIMKAZI ZANZIBAR, AFIKA MSIKITINI ALIPOSWALI UTOTONI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #RaisSamia #TanzaniaRoyalTour

Пікірлер: 93
@jamessitati7396
@jamessitati7396 2 жыл бұрын
i am Kenyan but really proud of president Samia, I wish Tanzania and its people all the best, Rais Samia tuna kuombea maisha marefu.
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 жыл бұрын
Amiin
@hattusilli2225
@hattusilli2225 2 жыл бұрын
Ameen
@nasseralmaqbali6317
@nasseralmaqbali6317 2 жыл бұрын
Samia Mungu akuhifadhi na maadui na fitna na uhasadi Ameen
@ramadhantahila9131
@ramadhantahila9131 2 жыл бұрын
🤲🤲🤲
@hilmialiomar1983
@hilmialiomar1983 2 жыл бұрын
Ameen
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@kakabaraka1058
@kakabaraka1058 2 жыл бұрын
safi sana,, watanzania tujifunze sana kuwashangilia viongozi wetu wanapofanya makubwa, na kufunga vinywa pale tusipo elewa hatua wanazozichukua na kumsii sana Mungu aliye hai juu ya afya zao, akili zao na wawe na nia njema juu ya taifa letu hili... Pengine hatupo katika nafasi za kulijenga taifa letu moja kwa moja lakini kwa kuwaombea viongozi wetu tuna kua tunafanya kazi kubwa sana katika kulijenga taifa hili, kwasababu nchi yetu sio ya serikali ya ccm na mama samia lakini ni yetu na vizazi vyetu.
@hamashiirislamicschool290
@hamashiirislamicschool290 2 жыл бұрын
Safi sana Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
@shukurukoll7269
@shukurukoll7269 2 жыл бұрын
Hongera Rais wetu. Hakika unachapa kazi.
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 2 жыл бұрын
Safi sana huo ndio uongozi uliotukuka kutembelea kila Kona ya nchi unayoiongoza kuwaonyesha wawekezaji ulipotoka wajifunze kwa namna hii wawekezaji watakuja ba kuwekeza kwa maendeleo ya nchi
@jacoblaiser7634
@jacoblaiser7634 2 жыл бұрын
Very worthy at large and much interested. Congratulations our Great Predident "Mama wa Afrika"
@monday1278
@monday1278 2 жыл бұрын
Mashallah Mashallah
@nzalimutua5913
@nzalimutua5913 2 жыл бұрын
President Samia has a lot of things to teach us women. Please women globally, let us rise to the occasion. May God watch over her.
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 жыл бұрын
Nampenda sana mama Samia, ni mwanamke jasiri na mpambanaji, tatizo watu wengi tunaangalia kwamba ni mama! Hatuziangalii lazo zake....🤔 (Akili za kuambiwa tuchanganye na za kwetuuu...) tena basi amekua mfn kwa mabinti wengi kuwa wanaweza!! kuwa mwanamke akisimama kwa ujasiri anaweza, (tunawezaa) hivyo tuwasomeshe watoto wetu bila ubaguzi wa kike na wa kiume tuwape usawa ktk Elimu.
@zainabnassoro1109
@zainabnassoro1109 2 жыл бұрын
Umetangaza Hadi uislamu love this 🔥👌
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Ndio uliloliona?
@zainabnassoro1109
@zainabnassoro1109 2 жыл бұрын
@@deograciakashaigili5973 imekuuma
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Hamna! Nimeongea tu.
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 2 жыл бұрын
MashaAllah
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Mashallah ❤️
@nassirrajab7392
@nassirrajab7392 2 жыл бұрын
Mimi ni mkenya naninapenda uongozi wa mama Samia Suluhu Hasan Mola ampe nguvu ya kuiendesha nchi ya Tanzania vile vile nawapenda ndugu zetu watanzania 🇰🇪❤️🇹🇿 sote ni kitu kimoja 🙏
@winfridamakoyola4213
@winfridamakoyola4213 2 жыл бұрын
Mmmh Shekhe anataka kutupa dhambi tu🤭
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@aminaluttu649
@aminaluttu649 2 жыл бұрын
Ahahahahha niache mim kumbe na wewe umeona ahahahahhaha dah
@ibra.mstudingfile8584
@ibra.mstudingfile8584 10 ай бұрын
Mwalim mwadin nakupat Sana my chemistry teacher at ndijan there
@husnaali7708
@husnaali7708 2 жыл бұрын
hongera dada tuna kupendasana. mama yangu ako na jinzia ya ki zanzibar ali zaliwa kenya lakini ukoo wake wote ni kutoka zanzibar na penda sana zanzibar na hisi sija enda nikwa mzima lakini nakumbuka ni kma jana❤❤❤
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Mashallah Allah
@bjzee1981
@bjzee1981 2 жыл бұрын
Favorable subject subject meths
@eshasalim5496
@eshasalim5496 2 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH
@nguvuyafikramedia1202
@nguvuyafikramedia1202 2 жыл бұрын
Masha allah
@hattusilli2225
@hattusilli2225 2 жыл бұрын
President Samia ❤. #Kazi iendelee
@ibra.mstudingfile8584
@ibra.mstudingfile8584 10 ай бұрын
Hizi nyumba Ni za skuli ya NDIJANI Zanzibar ambpo baba ake alikua huku pia Ni nyumb za walimu Proud be zanzibarian
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@mckobatz5861
@mckobatz5861 2 жыл бұрын
Mtangazaji mnyamwezi sanaaaa eti ah you got trouble, you got competition here😂
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Si umeeeleea alimaanisha nini? Tuache kasumba basi!!!!
@abdulmalikkhery7027
@abdulmalikkhery7027 2 жыл бұрын
Nimeona mpk msikt hongera mama
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Mh mtu kwao. Usisahau kijijini kwako. Umepewankugawa nyama usisahau washika miguu wakati ukichomja. Nani she kusaidia kujenga Kijiji Chako? Kiwe Kijiji Cha mfano Zanzibar.
@Veni584
@Veni584 2 жыл бұрын
Royal tour
@bjzee1981
@bjzee1981 2 жыл бұрын
Alipo swali utotoni . na sasa swala imebaki royal tour
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 2 жыл бұрын
Watoto labda hawamjui Mh. Rais. Anaingia Darasani kwao tena na mgeni hata kusimamia jamani?
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
maeneyoo yakuwekamkutano ni shulee yamichezani ndio tuwasulishee kiwepoo kusaidiya mum
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Mwekezaji mbona ni mmoja hivyo jamani mbona atuelewi mama
@soberkaleya5148
@soberkaleya5148 2 жыл бұрын
Zaburi 121: 7 Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako. 8 Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele. *ULINZI WA MUNGU ALIYE HAI UWE JUU YETU SASA NA HATA MILELE! AMETUTENGA NA MASHAMBULIZI YA IBILISI, HOFU, MASHAKA NA WASIWASI, HALELUYA!!!*
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
1wakolinto 15:18
@soberkaleya5148
@soberkaleya5148 2 жыл бұрын
@@shabansalee4924 Jitahidi kuangalia mustakabali wa huu mstari kwa kusoma mistari 1-17!!!
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
2:21 luka 23:19 esabu soma izo
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
1wakolinto 11:17: 19 kisha yoana 6:26
@shabansalee4924
@shabansalee4924 2 жыл бұрын
Embu tumuulize yesu yesuuu uku kuna ubishi kuna watu wanasema ww mungu unalinda watu embu twambie ww nani 8:40 yohana kisha tunakuuliza tena unasema unaenda wapi yesu 20:17 yohana
@salummussa1139
@salummussa1139 2 жыл бұрын
Golden tour inanimalizia .mb zangu
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 2 жыл бұрын
😂
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
Royal Tour sio Golden tour 😂😂😂, Yani hata mimi Mkenya najua inaitwaje lakini wewe Mtanzania na alie act ni raisi wako na Royal Tour yenyewe ime-actiwa nchini mwako na hujui inaitwaje 😂😂😂
@salummussa1139
@salummussa1139 2 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 ah mambo mengi , asante kwa kuniweka sawa
@yusuphadam8117
@yusuphadam8117 2 жыл бұрын
Sawa ilatunaomba atupunguzie bei zabizaaadukani nashelimafuta yapunguwe bajaji tunalipa nauli800 athpokeimishahala kazizakuungaunga mama amewasahau wananchi wahaliyachini
@goodteam7890
@goodteam7890 2 жыл бұрын
Bei imepanda dunia nzima so samia hahusiki
@super_boy_tz
@super_boy_tz 2 жыл бұрын
Sikubaliani ilaaaaa
@user-kj1bg4wl3y
@user-kj1bg4wl3y 6 ай бұрын
🎉😂🎉😂😂🎉
@najmanassoro308
@najmanassoro308 2 жыл бұрын
Natafuta kazi za ndan znz
@adam-saffi211
@adam-saffi211 2 жыл бұрын
Why is she a God of Tanganyika?
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 2 жыл бұрын
What? A God of !!!
@zuberikupaza1184
@zuberikupaza1184 2 жыл бұрын
Yaah.. kwa kweli umewasikiliza wazanzibar, hawana tozo kwa miamala wala mafuta, bei zao poa kabisa.
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
Kwani yeye ni Mwinyi !!?
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 2 жыл бұрын
Nenda ukaishi Zanzibar
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Zuberi mtu kwao jamani yatapita tu
@fahadhassan7390
@fahadhassan7390 2 жыл бұрын
hee safarii hii una bwana wa kizungu mashaallwah
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
ila ww jamani 🤣🤣🤣🤣
@tipape_2046
@tipape_2046 2 жыл бұрын
Ukikamatwa ukanyonywa pumbu izo italia lia paka ww
@emmadora7848
@emmadora7848 2 жыл бұрын
Jaribu kuwa na heshima
@fahadhassan7390
@fahadhassan7390 2 жыл бұрын
heshima wakiwa nayo wazazi wako 2 inatosha
@sultansallah4509
@sultansallah4509 2 жыл бұрын
We mamaako c anazuzuka na wauza genge ndo madhara yake akalizaa toto halina akili
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 10 ай бұрын
Samia awe rais wakudumu.
@ahz6907
@ahz6907 2 ай бұрын
😂
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
ni nyeyeye tuu ndiyo shidaa kufikas bungee kilasikuu story haonikani mwo ashikee ndio shida upoo hapoo
@khayrathwanda6843
@khayrathwanda6843 2 жыл бұрын
Acha kuudhalilisha uislamu Hatuingii masjid shingo iko waazi😯
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Janja janja to kama kweli munajali mungeshirikiana kule Zanzibar kulijenga lile jumba la Beilt Ajabu.sio kusubiri kupewa pesa na watu weupe wakati mukipewa munagawana na pesa za muungano munazo za kulijenga. Au tatizo lenu sheria za nguvu za giza ndio zinazokukwamisheni.
@ndohoriomsacky445
@ndohoriomsacky445 2 жыл бұрын
Wanafunzi hawana adabu walimu wao hawajawafunza kumsalimia mti kwakusalimia hatari Sana nyie Zanzibar
@arafasalum2259
@arafasalum2259 2 жыл бұрын
@@mohamedmussa5200 kabisa
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 2 жыл бұрын
Pesa ya maskini walipa kodi inatafunwa namabeberu bila kufanikisha watanzania. Aibu!!
@khuiii9032
@khuiii9032 2 жыл бұрын
Nenda ukauzee karanga na kahawa huna ujuwalo ww
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
mmh tutaona mengi mwaka huu
@hamidaissa4769
@hamidaissa4769 2 жыл бұрын
Uko ruanda karudi lini
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 жыл бұрын
Sasa uyu mkoloni kama nani tena nchi imenasa hii jamani
@rashidalnaamani6154
@rashidalnaamani6154 10 ай бұрын
umekalia ujinga mtu mkoloni gani wewe ushamba mtupu hii dunia niyamungu nasisi nibinadamu tunahaki yakuishi popote pale wacha ubaguzi wako we muuza mkaa pumbavu unaakili zakale
@bjzee1981
@bjzee1981 2 жыл бұрын
This is very wrong . kufanya sehem za ibada kua sehem za starehe .
@aliebrahim9423
@aliebrahim9423 2 жыл бұрын
Wazanzibari wanaongea English ile wenyewe na matamshi vile ambavyo inatakiwa.
@yes2676
@yes2676 2 жыл бұрын
Kiingereza au kiarabu?
@aliebrahim9423
@aliebrahim9423 2 жыл бұрын
@@yes2676 wewe utakayoona sawa tu.
@smmjtv3167
@smmjtv3167 2 жыл бұрын
Kizimkazi niliwahi kutembea watoto wote WA area hio wanajua English kutakana na watalii ni wengi area hio wanawaongelesha watoto English
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 жыл бұрын
@@smmjtv3167 Sio kweli wengi hawajui kiingereza.
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 20 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,8 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 39 МЛН
MAANDAMANO TUESDAY!! P0LICE ARR3STED IN PARLIAMENT WHILE PROT3STlNG
8:16
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01