RC MAKONDA AULIZWA SWALI GUMU Helikopta AMEPATA WAPI? RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU MAKONDA AKITOA MSAADA

  Рет қаралды 14,164

 WANANCHI TV

WANANCHI TV

Күн бұрын

#habari #makonda #arusha
🔴 JE, NA WEWE UNA HABARI?------------------------------
TUTAFUTE Wananchi TV
Contact:
📞 Phone: +255 686 379370
📱 WhatsApp: +255 686 379370
📧 Email: wananchihabari@yahoo.com
-----------------------------------------------------------------------------------
Social Media Links
📸 Instagram: / wananchiitv
🐦 Twitter/X: x.com/wananchitv?s=21
📘 Facebook: share/ff8FJq...
-----------------------------------------------------------------------------------
-- TIMESTAMPS --
0:00 - WANANCHI TV
01:04 - SUBSCRIBE,LIKE NA KUCOMENT.

Пікірлер: 12
@user-bc2wd1sq3k
@user-bc2wd1sq3k 3 күн бұрын
Utu wa mtu haupo kwa ajili ya uprofasa ,utu wa mtu nizawadi anayopewa mtu kutoka kwa mungu, utu wako makonda nizawadi uliopewa na mungu utumikie ndugu yangu malipo yako mungu kakuandalia bila shaka
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 5 күн бұрын
Duu afrika Tanzania mungu atuliwnde kwa upendo❤❤
@RevPaulMeela
@RevPaulMeela 11 күн бұрын
Hongera sana Mheshimiwa Makonda. Mungu aendelee kukupa nguvu na mafunuo ya kuwatumikia watu wa Mungu.
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 12 күн бұрын
Mh hapo mungu akulinde na mawe ya wenye husuda
@prophetjohnmasso186
@prophetjohnmasso186 12 күн бұрын
Amen amen amen 🙏
@maruhe1958
@maruhe1958 7 күн бұрын
Mheshimiwa mkuu wa mkoa popote ulipo mimi nakusindikiza kwa maombi kwa maombi ndiyo silaha itakayokufanikisha kukulinda dhidi ya wabaya wako wote. ISAYA 41:10-16
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 12 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@emilianchibinda82
@emilianchibinda82 9 күн бұрын
Uungwana ni vitendo!! Kiongozi ni uthubutu na kujiongeza.Wengine wanasubiri maagizo na maelekezo kutoka juu.Umepewa mkoa una wataalamu hadi wilayani kwanini usifanikishe jambo kama hili? Wakuu wengine hata baadhi ya wilaya za kwenye mikoa yao hawajawahi kuzitembelea
@user-lz7rh1vr2y
@user-lz7rh1vr2y 12 күн бұрын
Watanzania wasio mwelewa makonda basi hata mungu hawatamwelewa chapa kazi komredi makonda watumikie watanzania kiongozi, wengine waige siyo wanao ponda kazi safi kama hizi niwachawi wa maendeleo ya taifa letu hongera sana kwako Raisi wataifa kwa kutom poteza makonda sikumoja umlete DODOMA uyukiumbe adim sana, Arusha safiiiiiiiii nyuma ya makonda
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 8 күн бұрын
Hivi mikoa mingine ina wakuu wa mikoa mbali na Dar es salam........
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 12 күн бұрын
Acheni.maigizo.ccm.tangazeni.matibabu.bure.watanzania.wana.shida.kubwa.
@nixonpaul550
@nixonpaul550 12 күн бұрын
Kampeni
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 43 МЛН
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 33 М.
PROF JANABI AMSANUA MAKONDA KUHUSU HUDUMA YA KUSHUSHA KORODANI,.
9:25