Mwenyezimungu akupe maisha marefu she wetu H O Mazinge na walotangulia mbele ya haki M/mungu awape Nuru kwenye makaburi Yao Amiii
@PirfaImanipirfa10 ай бұрын
Eeh !!! Mwnyz mungu mjalie mjaa wako mwisho mwema na umuingize peponi na si mwengine ila habib mazinge, ameufanya uislamu upendeze zaidi, na si mamlaka yake bali kwa nehema yako ww Allah 🤲🤲😭☝️🕋
@ismilecheseremkip3612 жыл бұрын
Mazinge you're the best may you live longer ALLAH TO BLESS YOU
@SylvanusNgutse Жыл бұрын
Angekuwa best angemfikia pesa Mwampisa
@MakameSilima-y4f4 ай бұрын
Mashaa Allah Sheikh YAH-YA was very tallent in reading maandiko!! Nor one till now like him in reading [ Allah amlipe thawabu]
@abdularuffin93083 жыл бұрын
Mashaallah jazzakum kheri mashekhe wetu najivunia sana kuhusu nyie
@SalumuSalman2 ай бұрын
🎉🎉🎉 0:00 0:00 0:00
@jamalathman62193 жыл бұрын
Mashallah sheikh mazinge mungu akupe afya na umri mrefu
@fadhanamunishi62203 жыл бұрын
Mashaallah Allah amrehemuShekh Yahya
@eshasalim54963 жыл бұрын
Allahumma Amiin
@mohameeddoaan22963 жыл бұрын
MashaaAllah sheikh mazinge Allah akusimamie naakupe umri mrefu
@aishadaba70453 жыл бұрын
Aaaamin kwa soote jamian muslimin 🤲
@musakutisha3063 жыл бұрын
Yahaya Allah akupe Jannah 😢😢🙏
@Hussayn21 Жыл бұрын
Aaaamin
@fatmasalim82933 жыл бұрын
Uislaam dini ya haki subhanallah allahu akbar
@bilalheri90553 жыл бұрын
Ameen thumaa ameen yaraabil alaamin Mungu Ampee jannah shekh yahya kumbe alishatangulia mbele za hakii na waislamu wote waliotangulia mbele za hakii Mungu awalaze mahali pema peponi
@RamadanPaul Жыл бұрын
Inshallah
@sabrakhamis45853 жыл бұрын
Allah ibarik fiikum..Amin ya rabii
@AbdullatifSalum-c7r8 ай бұрын
Allahuakbar
@hamisijm84373 жыл бұрын
Masha allahy Mashekh wetu mungu Awaongoze katikamafundisho Munaowafundisha Awawenzetu ameen . Ken Juma Ameelewa lakn Anaogopa kusemaukweli Mbelezawatu . Uwezisema Yesu ni mungu Wataki yeye ni mwanadamu kama wengine . Kaulizwa Kama yesu Ni mungu Je Alipokua Tumbona Mwa mariam Je mungu wake Mariam Nae Alikua nani Akaogopea kujibu lakn wameelewatu
@rayhanrashid39283 жыл бұрын
Maashaa Allah Tabarakallah
@makenakendi90143 жыл бұрын
Mashaallah ALLAH BARIIK always my brothers
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/anrVanx3ZsmrhcU
@aishaasha83163 жыл бұрын
Mashaallah uslaamu dini ya haki
@MakameSilima-y4f4 ай бұрын
Masha-allah since the life of sheikh Yahya
@HashilElhamdan3 жыл бұрын
Allah amrahamu Yahaya na atukutanishe nae pepo ya Firdaous Insha Allah....
Allah akujalieni pepo firdaus ameen 🤲🏾 Mashekhe wetu ❤
@faizajingu59333 жыл бұрын
MashaAllah wape dawa shehe mazinge Allah akuzidshie mema inshallah 🙏🙏🙏
@UrmminOmary4 ай бұрын
Allah akupe makazi ya firdaus sheikh yahaya
@mikatejunior1362 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani shekhe yahaya
@munzshabby45213 жыл бұрын
Good work masheikh wangu mola awabariki k
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Yahaya, Said Ricco (Mungu awafutie madhambi yenu), mliipigania dini ya Allah Kwa nguvu kubwa!! Makaburi yenu yawe ni mabustani katika mabustani ya peponi!! Amen!!
@RahmaHoussein-p4s Жыл бұрын
Mansha Allah
@saidkinyogoli66113 жыл бұрын
Said Ricco, Yahya Hosea, Mbwana Mohamed, Muhingo Allah awarehemu awasamehe makosa yenu Amin
@Dysmedia2543 жыл бұрын
Ameen 🤲🏻
@khadijaiddi48873 жыл бұрын
Amin
@tahiraabdul17013 жыл бұрын
Aameen
@TheFortunate653 жыл бұрын
Amin. Allah arhamahum.
@ukaranderow30353 жыл бұрын
Amiiin
@mbarackkalinge3333 жыл бұрын
Allah nakuonba umuhifazi shekhe wetu yahya
@naamanomarimohamed93642 жыл бұрын
Amin Thuma Amin
@pambatec2 жыл бұрын
Allah awahifadhi nyote mnaofanya juhudi za kuitangaza dini ya uislamu
@fathimabh14873 жыл бұрын
Mashaa Allah mwennyezi mungu amrehemu alifanye kabri lke liwenanuru inshaa Allah 😭
@aligmoha90153 жыл бұрын
Maa sha allah.zamani sana callif Nairobi
@moviekaa2 жыл бұрын
Mazinge kamvuruga pastor 😂😂😂 safi sana 👏👏👏
@avalonking16552 жыл бұрын
Mazinge uko juu baba💪💪💪
@abdillahmbarak74183 жыл бұрын
Mashaallah masheikh wetu mungu awajalie na afya njema nguvu nyingi ili mzidi kutangaza dini ya haki
@saidaali38183 жыл бұрын
Mashallah Islam ni dini ya haki
@fatumjumaa55633 жыл бұрын
kazi nzuri jamani rudisheni mihadhara raha kweli
@PiliMohammed-d7t Жыл бұрын
Mashaallah
@RahmaHoussein-p4s Жыл бұрын
Mazinge nakupenda bure wew umeufanya w'islam upendeze zaidi
@missrukia96613 жыл бұрын
Mashallhaaa allha awalehemu
@saidbrek98173 жыл бұрын
Allah awasamehe awarehemu awape pepo Ameen
@RahmaHoussein-p4s Жыл бұрын
Allah azidi kuapa afya ma professional
@shabanathuman68483 жыл бұрын
Allah awarehemu
@maryamsaidmuhammad77612 жыл бұрын
Shehe mazinge Allah akupe nguv ,afya njema na uzd kuwapa elimu ya Allah
@Adamu-u9t Жыл бұрын
Shehe sulaiman nkata
@bilalheri90553 жыл бұрын
Mungu amjallie shekh Mazingee umri na afya njema
@analyticalguru58512 жыл бұрын
امن
@Jabaman207-ue6sk9 ай бұрын
Mazingeeeeee
@mwanahalimamwachili96793 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Shukran Ma Sheikh.
@PirfaImanipirfa10 ай бұрын
Allah awajalie ma sheikh wangu imani petro, Yahya na wengine wote upesi ktk makaburi yao😭😭😭😭🤲🕋☝️
@tamashamagoma29413 жыл бұрын
Allah akulipeni kwa juhudi mzifanyazo. Tuko pamoja inshaAllah
@halidimgonza59453 жыл бұрын
maashaALLAHu wahadhiri we2 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@abdularuffin93083 жыл бұрын
Hakika mashekhe zetu Allah awatunze awape mwisho mwema
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
Masha Allah
@apangomombasa92303 жыл бұрын
MA SHA ALLAH
@salehaltooq58293 жыл бұрын
Allahumma ameen
@harethojelle64852 жыл бұрын
Manshaallah Mahabibu wetu we are proud of all of u
@tahiraabdul17013 жыл бұрын
I miss Yahya alot, Allah amrehemu
@marrymwacha92622 жыл бұрын
Allah hawarehem
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Yahaya pumzika kwa Amani Allah akujalie janna
@rasheedynjerani31493 жыл бұрын
Amin mwnyz mung akuondolee azabu ya kabli
@maherzain6153 жыл бұрын
Ameen
@abbysule23903 жыл бұрын
Amina rabbila'alamin ALLAH amuondole adhabu ya qabri
@gharebsalum34153 жыл бұрын
Ameen...
@heyumi23403 жыл бұрын
Amiiiiiiina Amiiiiiiina
@jesmirmohamed34672 жыл бұрын
yahaya Allah akupe jannah inshaallah kutoka kenya
@jumakumala13373 жыл бұрын
Mungu awaifadhi pema peponi inshaallah Amiin
@eshasalim54963 жыл бұрын
Amiin Ya Rabb
@MakameSilima-y4f4 ай бұрын
It was a very attractive debate
@AliMohamed-ny2op3 жыл бұрын
Allah akujazie hasanaat nyingi shekhe letu
@ashaomary5558 Жыл бұрын
Inalillah wainailah rajiun
@dottokulwa7075 Жыл бұрын
Ukweli hakuna niliekua nampenda kama yahya allah ampe pepo namkumbuka sana naninamuombea mazige allah aendelee kumuweka hai nakumpa afya njema yeye na familia yake
@abdulkawimba180510 ай бұрын
yahya anajua sana
@kameliaalbusaidy54592 жыл бұрын
MashaALLAH ma shekhe wetu. ALLAH Awazidishie hiyo ilm na kuwafundisha wenzetu the right path. Naomba kama itawezekana hizi video clips zikamilishwe. Zinamalizika kabla hamjamaliza kuongea hii mada. Inatuacha kutaka kujua nini matokeo yake ya mwisho
@rbagha52802 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
@iddymurwanashaka57022 жыл бұрын
Point and well said Ray
@mabaazizitigermnyama52543 жыл бұрын
Mashallah 🙏🙏🙏🙏
@mudichezo81273 жыл бұрын
Mungu awarehemu wote walitangulia
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Saimu Gwao Umafaa sana kusasupportiwa
@yasseinn18303 жыл бұрын
kweli sana
@ahmadseif72413 жыл бұрын
poleni sana wakristo
@nalingarowl70482 жыл бұрын
Mkristu kamili habishani Kwa sababu akishaamini kuwa Yesu ni Mungu mengine hayana nafasi.Hao sio wakristu
@YusufKithi5 ай бұрын
Watu wa chunge sana na hiv vitabu vya dini hapo ndo kwenye mtihani kwani tutaingia motoni kwa ujinga wetu wenyewe, hivi mwenyez mungu Alishindwa kutufanya ss bnadam kua kitu kimoja,rangi moja,imani moja ila kuna watu watafaulu kwenye huu mtihani nae ni yule alietenda mambo mema na yakumpendeza Allah .(Good deed's.vyenginevyo n bure
@adamjumaaa15212 жыл бұрын
Safi sana
@masamasa23873 жыл бұрын
Allahu Akbar
@abdidude4167 Жыл бұрын
❤
@ismailmustafa26492 жыл бұрын
Assalam alaikum ? BAraka LLahu fiikum Salamui zetu toka hapa Hoima Uganda nikikumbuka wakati mulipo tutembeleya miaka ya 1990s
@Junior-rl2hj3 жыл бұрын
Mazinge oyeeeee
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Mashaallah
@SuphianiKaoneka Жыл бұрын
Ustdhi majini
@livingstoneberege33483 жыл бұрын
ALLAH SIYE MUNGU
@omarymsagati25883 жыл бұрын
toa andiko
@ziadasadiki81963 жыл бұрын
POLE Sana, Tatizo MUNGU wako ni Binaadamu na ALLAH siye Binaadamu wala KIUMBE chochote na HAZAI wala HAZALIWI wala hana Mama wala bibi wala Babu.
@livingstoneberege33483 жыл бұрын
NINAMJUWA MUNGU KULIKO NINYI WAISLAMU NIPENI ANDIKO NDANI YA BIBLIA KUWA ALAH mungu WA AISLAMU NI MUNGA KUHUSU KUSEMA MUNGU WETU NI BINADAMU NI KWA SABABU YA UPOFU WENU KWAKUWA MAANDIKO HAMYAJUWI MNAJIFUNZA BIBLIA KWA SABABU YA KUPINGA WALA HATAKI KUELEWA (YESU NI MUNGU ) MWANADAMU NIYE MFANO WA MUNGU WALA SIYO MUNGU NI MFANO WA MWANADAMU mwanzo 1;28-28. waebrania 1:1 -3 wafilipi 2;6-9 yohana 14:7-10. 1timotheo 3; 16 luka 24;25-28. yohana 17;4-5 Ezekiel 34:11. malaki 3;1-2
@ziadasadiki81963 жыл бұрын
@@livingstoneberege3348 USIKU mwema.
@ziadasadiki81963 жыл бұрын
@@livingstoneberege3348 🤣🤣🤣IMANI Ni HATARI SANA.
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Wachungaji wamefeli kabisaaaa
@ابنعثمن3 жыл бұрын
Wakristo wana hila sana,toleo la zamani Luka 4:8 limeandikwa "msujudie bwana Mungu wako...." Toleo jipya wamerekebisha wamelitoa neno "msujudie" wameandika "utamtumikia bwana Mungu wako...." Wamefanya hivi kwa sababu neno kusujudu linatupa nguvu Waislamu kuwa sisi tunasujudu,hao hawasujudu.
@isaacsengunda30993 жыл бұрын
Rashid dini isio yako unaizungumziaje? Hujui msingi wake wala maana yake,unchojua ni dini ya haki,hta haki yenyewe huitambui,akili yako imeenda wapi?
@ابنعثمن3 жыл бұрын
@@isaacsengunda3099Nikuulize wewe akili yako imeenda wapi mpaka unafuata dini ambayo kila kukicha kitabu chake kinatiwa mikono?? Nilidhani utaamka.kumbe ndio kwanza unavuta shuka!
@isaacsengunda30993 жыл бұрын
@@ابنعثمن kitabu gani kinatiwa mikono,, Wewe ymeshikilia lugha tu,na hata kusoma hujui,umebaki kusubiri usomewe na waarabu,wakudanganye ukajitoe muhanga,ujinga huo,mara IS,BOKO HARAMU,JANJAWID,TALEBAN,nk,,nk,,huo ni ujinga na ushenzi
@saramss72623 жыл бұрын
Rashid liangaliye vizurii Tena
@saramss72623 жыл бұрын
@@isaacsengunda3099 hawaa waabudu majini hata muongee Nini hio CIO DINI HATA MSEMEJEEEEE YESU NI BWANA NA MWOKOZI WETU
@JamesMatiko-i2z Жыл бұрын
Sii kila mchungaji au askofu, aliye na uwezo wa kuwajibu hawa waislamu
@issandayishimiye62473 жыл бұрын
L islam est ma religion
@jumakumala13373 жыл бұрын
Mungu awalipe kheir na hawasameedhabi zao waliotangulia mbele ya Aki , ayabadilishe mabaya yao kuwa mema
@nalingarowl70482 жыл бұрын
Yesu ni Mtu na ni Mungu pia. * Mkristo kamili KAZI yake sio kubishana kwani anajua hata eweje Yesu ni Mungu*
@saumusanjiama69913 жыл бұрын
Allah amrehem shk yahya
@YusufKithi5 ай бұрын
Zama hizi dini ndo zimebaki lkn imani hakuna imebaki tu masilahi si kwa wacristo wala waisilam
@dullahgsm10022 жыл бұрын
Sheikh Othman Mazinge Mimi najiuliz huyo Kennedy juma yupo hadi leo uyo alovaa suti
@kamanjamwenjerwa70323 жыл бұрын
AFADHALI NIABUDU MBWA KULIKO KUABUDU ALLAH NA KUMFUTA MUHAMMAD
@hassansaleh97303 жыл бұрын
Allah akusamehe kwa hayo maneno mazito, Allah akupe uongofu wakutambua njia ya haki🙏
@kamanjamwenjerwa70323 жыл бұрын
@@hassansaleh9730 Muongofu ni Mohammed na ALLAH. MALAYA WAKUBWA ALLAH NA MUHAMMAD
@hassansaleh97303 жыл бұрын
Hata kama humkubali Allah na mtume wetu basi si adabu mtu wa dini moja kitukana mitume na mungu wa dini nyengine, na vip unaemtukana akawa ndo mungu wa kweli na haki?? Unahis utakuw umetenda haki kwa hilo?
@kamanjamwenjerwa70323 жыл бұрын
@@hassansaleh9730 KWETU WAKRISTO HATUTAMBUI MUHAMMAD. MUHAMMAD SI MTUME WAMUNGU NAHESHIMU MITUME WOTE WAMUNGU. LAKINI ALLAH NA MUHAMMAD KUMAMAZAO WAKWENDE WAFIRANE WAWILI
@jumakumala13373 жыл бұрын
Nilikuwa nikisikia Shee Mazinge akiwataja sn km Yahya, Ricco na wengineo na leo ndio nawaona ktk muadhara wa kitambo ktk KZbin
@hajirinibakari253 жыл бұрын
Sheikh mazinge kunajamaa anachafua hali ya hewa kwenye tv ya davista mata anapotosha. Juu ya uislamu anadai alsha kua sheikh sasa maneno anayo yaongea anapotosha kweli kweli
@msellemkassim25152 жыл бұрын
Mathayo 21-12
@msellemkassim25152 жыл бұрын
Nyakati 2-7-3.
@abangaabanga46777 ай бұрын
Hapa angekuwepo Christian Prince pangekuwa bomba sana
@alsamali69642 жыл бұрын
Mwaka gani hii
@ntandumathayo32573 жыл бұрын
Kwahio waislamu mmeamua kumuhubiri yesu
@frankjohn87063 жыл бұрын
Wanamhubiri kwa jinsi yoyote na hawapokei nguvu
@mhogomchungu71682 жыл бұрын
wameamua kumuhubiri yesu kukwakua wakristo hamna zaidi ya kuimba kwaya na miujiza ya uongo
@amurimzungu-tn4jf Жыл бұрын
Wakenya mola akuongozeni yaani kumezidi dini za maajabu kupita kiasi na wanawasikiliza sana hao maskofu wao wapotevu mpaka wanawaulisha ibadah z maajabu wamewaambiwa wafunge hadi kufa yaani walioingia matatizoni wengi watu maskini wa vijijini huko yaani kenya inamtihani mkubwa sana Bila ya uislamu kenya wataangamia kila siku
@selestinsongola27872 жыл бұрын
Mm sioni Kama nimafundisho Bali niubabaishaji mwingi mno hakuna mafundisho mtu akamjua mungu