No video

SAKATA la RAZABA LAMFIKIA WAZIRI SILAA - "HUU ni UVAMIZI na HILI ni ENEO la SERIKALI".....

  Рет қаралды 9,177

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SAKATA la RAZABA LAMFIKIA WAZIRI SILAA - "HUU ni UVAMIZI na HILI ni ENEO la SERIKALI".....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 32
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Ай бұрын
Wakati mwingine msitete kufunga mapoli tumieni hekima watu wapate sehemu ya kuishi maisha ya hapa nduniani msiwabane sana kupitiliza waweza kukuta hata hayo maeneo ni viongozi wasitafu nibora mkapatia na watanzania wakapata makaanzi
@NDEWARA
@NDEWARA Ай бұрын
Very smart Waziri 🎉
@CharlesiPhilimoni
@CharlesiPhilimoni Ай бұрын
Hiyo elimu waziri mmechelewa kuelimisha watu wanannchi .mnachofanya sasahivi mnanyanyasa watu Tena wapigakura wenu ila mungu yupo
@chayomgonja3131
@chayomgonja3131 Ай бұрын
Tatizo la hii nchi kila kitu kinafanyika kisiasa…wananchi hawana makosa sababu hawana elimu lkn anachosema wazir ni sawa kisheria ndiyo hivyo… ndiyo maana kila kitu kwa busara kwa busara na huruma za mheshimiwa Rais ndiyo maneno yanayotawala… dawa ni wanasiasa wasiingilie taaluma…
@LawrenceKomba-w8k
@LawrenceKomba-w8k Ай бұрын
watanzania wengi wamenyimwa haki ya kujua sheria,naomba tuwasaidie watanzania walionyimwa haki yakujitambua.
@IssaAbushehe
@IssaAbushehe Ай бұрын
Huyo mzee ametumia hekima sana
@user-ej5sl9mn5k
@user-ej5sl9mn5k Ай бұрын
Acha kunyanyasa watu elemisha sio kukebei
@PeterJohn-sg4oe
@PeterJohn-sg4oe Ай бұрын
Waziri nenda Kibada uone jinsi maeneo ya wazi yanavyogawanwa, yaani dili zinapigwa
@CharlesiPhilimoni
@CharlesiPhilimoni Ай бұрын
Miaka yote watumishi wa aridhi walikuwa wapi? Miaka yote? Mmelala . Wote tumekosea mkubali ila msiuwe watu kwa presha
@seneu.2128
@seneu.2128 Ай бұрын
Miaka yote serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ilikuwa wapi mpaka wananchi wakaendeleza makazi yao? Wananchi hawana makosa waangaliwe vizuri.
@Baba-nm4qz
@Baba-nm4qz Ай бұрын
Tumia akili mali sio yako unaenda kuchukua ili iweje
@LenardDaudi
@LenardDaudi Ай бұрын
shiqa sana
@amalykibondei1644
@amalykibondei1644 Ай бұрын
Ardhi ni mali ya serikal na serikali ni nani mkishajua mtaenda vizur hakuna kutunishiana msuli
@vankumw3ndatalk2friends29
@vankumw3ndatalk2friends29 Ай бұрын
Kasome Sheria ya Ardhi uwone inasemaje.
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Ай бұрын
Watanganyika tusipokuwa imara tutaendelea kunyang’anywa ardhi pasi na sababu mpaka tugeuke wahamiaji katika ardhi yetu. Inawezekana vipi kumilikisha ardhi kwa TFS ambayo ni mamlaka ya misitu angali wapo Watanganyika wanahitaji ardhi kwa ajili ya maendeleo? Kwani serekali inafanya kazi kwa manufaa ya nani? Jerry ana ukichaa flani ama ni uccm tu ndio janga.
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Watu wamilikishwe kisheria mnawafukuza waende wapi
@andrewanset4126
@andrewanset4126 Ай бұрын
Ninaitaji jamani namba ya waziri ninajambo muhimu
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y Ай бұрын
Ili uwe raia halali wa Nchi kama ulihamia kutoka Nchi nyigine, Ukikaa miaka kumi na mbili ktk Nchi husika unakuwa na uwezo wakuwa raia. Wana Nchi hao waliokaa zaidi ya miaka arobani ktk eneo hilo mimi sioni kama ni wavamizi wapewe uharali wa kumiliki eneo hilo
@amalykibondei1644
@amalykibondei1644 Ай бұрын
Inategemea hao wananchi wapo hapo muda gan
@amalykibondei1644
@amalykibondei1644 Ай бұрын
Na razaba ndio mmiliki alikuwa yeye ndio aje awaondoe na awape haki zao sio kuwakimbia kaeni hapo
@rahimwaziri1727
@rahimwaziri1727 Ай бұрын
Njoo na mkuranga waziri Kuna madudu viwanja vya serikari
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Hapa ni eneo gani
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s Ай бұрын
Waziri Ana akili ya ziada.
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Ай бұрын
Mie huwa sielewi mtu akisema sehemu ya serikali ? Sasa serikali ni wakina Nani? Na aliyepanga sehemu hii nakuweka kusema ya serikali ni Nani? Wakati miaka hiyo Nyerere walivyopewa Uhuru walikuwa Wana sajili kila sehemu ya aridhi na kusema hii sehemu ya serikali kwahiyo walitembea kila vijiji na mikoa . Swali?nauliza kabla ya Nyerere tulikuwa bado chini wazungu sasa hawa wazungu walitupangia sehemu. Na kusema hii aridhi iwe kiwanda ama sehemu ya serikali ? Ilikuwa hivyo sasa Nani? Na hawa Wazenji walifikaje kuwa na aridhi miaka hiyo kumilikishwa? Nchi ya maamuma
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Wazili silaa itungwe sheliya anaevamiya afugwe miaka 30 nizaidi uhalifu
@HeboniBabu
@HeboniBabu Ай бұрын
Utafunga Nani Sasa vipi akifu gwa baba yako
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Itugwe sheliya hata kama unajenga update kibali tunaishi kama nyani Peleka muswa wa sheli wajinga watatesa nchi hii
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Aludi musoma kwao waondoke hata anagolofa awondoke
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 Ай бұрын
Na wewe utarudi lini kwenu Burundi.
@johnsonmaurice1178
@johnsonmaurice1178 Ай бұрын
Halafu akirudi Musoma inakuaje
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Wengine wajinga wawe wanachalazwa wakina bakalishingo hao
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 22 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 54 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 86 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 22 МЛН